MUIGIZAJI WA CLAM VEVO ANAE LIPWA PESA NYINGI ZAIDI, ONA MAJIBU YAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 179

  • @tobiaschirwa9364
    @tobiaschirwa9364 6 หลายเดือนก่อน +74

    Jamani kusema kweli huyo dada anajua Sana kama unamukubali kama mimi weka like apa

  • @salhamrishoi4943
    @salhamrishoi4943 6 หลายเดือนก่อน +24

    Uyu dada me nampenda saana jamanini 🎉❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @selemansalum9289
      @selemansalum9289 26 วันที่ผ่านมา

      kama unapenda nitafute nikupeleke anapo ishinapajua

  • @Eunicemakokha-gc9ss
    @Eunicemakokha-gc9ss 3 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu dada mrembo kweli hata kwenye movie yake ni kazi safi

  • @DorcasMagaza
    @DorcasMagaza 6 หลายเดือนก่อน +11

    Mash Allah Kim your ary beautiful ❤️❤️❤️❤️ ❤️ mtoto kaumbiwa

  • @GasoreJuma
    @GasoreJuma 5 หลายเดือนก่อน +5

    Aaah weee. KIM hawezi kufeli.anamazowezi ya kutosha. Big up KIIIIIM

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 6 หลายเดือนก่อน +13

    Jambazi🎉🎉 ukicheza umaskini🎉🎉🎉ukicheza dada .mwanafunzi .nakuona mbalikim

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 6 หลายเดือนก่อน +18

    Ila Kim inaonesha unachamba kweli ukiamua kumchamba mtu unammaliza hongera

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 6 หลายเดือนก่อน +13

    Mashallah kim,mashavu mashavu❤❤❤...go girl 👍

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 5 หลายเดือนก่อน

      Asha hebu njoo tuyajenge

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 6 หลายเดือนก่อน +13

    Napenda majibu Kim mashallah unajibu kwa kujiamini

  • @Maryam-e2x8p
    @Maryam-e2x8p 6 หลายเดือนก่อน +16

    Kim ni mzuri sana mashallwa 🇸🇦 🇸🇦 🇸🇦 🇸🇦 🇸🇦 🇸🇦 🇸🇦

  • @Happy-m5s2o
    @Happy-m5s2o 6 หลายเดือนก่อน +5

    Umenona my kwel kazi nzuri sana nakupenda bure❤❤

  • @andersonkatana-ow4lb
    @andersonkatana-ow4lb 6 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu mwanadada nampenda sana upande wa kuigiza hata umbo lake❤

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 6 หลายเดือนก่อน +6

    Nawakubali sana clam na kim❤❤❤

  • @tobiaschirwa9364
    @tobiaschirwa9364 6 หลายเดือนก่อน +8

    Kwenye kaz yupo sure Sana Mwanadada kim pongez Sana kwako unajua na unajua tena unajua Sana nakupenda from malawi

  • @Lastybonyshoka
    @Lastybonyshoka 6 หลายเดือนก่อน +9

    Apo Safi sana dada yangu nakupenda sana

  • @ShipiniMwarabu
    @ShipiniMwarabu 6 หลายเดือนก่อน +5

    Niko wa kwanza Kuifata tokeya Congo drc

  • @SherryIqramy
    @SherryIqramy 5 หลายเดือนก่อน

    Hapa saw mm nimeelewa nlikua nashndwa kumtofautisha kim na eliza midekoo ilaa .. nlikuaa namuonakim nd my favourite jman❤❤❤❤❤

  • @davidnakitare9378
    @davidnakitare9378 12 วันที่ผ่านมา

    Kabinti karembo nakapenda mno, huyo ntamtafuta nimlete kenya❤

  • @Mrsmussa-wn6kv
    @Mrsmussa-wn6kv 6 หลายเดือนก่อน +3

    Naramadhani ikimaliza pia uwe unajistiri hivohivo da ley unapendeza sana❤

    • @HassanSadiki-l5c
      @HassanSadiki-l5c 6 หลายเดือนก่อน

      Kujistiri Bado ..ni tumpe moyo ajitahid afikie kujistiri kiukwl

  • @AbubakarBakar-ok1ti
    @AbubakarBakar-ok1ti 2 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah Mungu amekupatiya sura yako mzuri umependeza

  • @PierJmKakule-j9w
    @PierJmKakule-j9w 6 หลายเดือนก่อน +3

    mimi hako ka mdada naka love kinoma yaan, niko congo natamani siku moja nionane naee face to face🎉

  • @SuleimanSalim-q9j
    @SuleimanSalim-q9j 6 หลายเดือนก่อน +27

    Team Kim let's gather her

    • @kenkenedyken7226
      @kenkenedyken7226 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂let's gather what

  • @SarahKiza-s4i
    @SarahKiza-s4i 5 หลายเดือนก่อน +2

    Nzuri sana dada kim mungu weke kweli

  • @nasibumayoka2335
    @nasibumayoka2335 6 หลายเดือนก่อน +3

    Upo vizuri kim hongera

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 6 หลายเดือนก่อน +6

    Pamoja na unavosema hutabasam mda mwingi ila Kim unataasam tam kwa kweli

  • @mishentown3259
    @mishentown3259 6 หลายเดือนก่อน +6

    Wew unachumba Mimi nakupendaga siriae

  • @jumandhale6096
    @jumandhale6096 6 หลายเดือนก่อน +7

    Penzi la muzimu kimu ulicheza vizuri pongezi sasa pia waonekana kushamiri zaidi endelea tuko pamoja

  • @AmCool_
    @AmCool_ 6 หลายเดือนก่อน +8

    Kim kanenepa. Katoka mashavu mashallaaa

  • @saidomar1882
    @saidomar1882 หลายเดือนก่อน

    MashaaAllah kipenzi cha watu KIM

  • @masterpeter896
    @masterpeter896 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu dada Kim ni mzuri sana akiwa clam me nampenda saana jamanini kazi safi♥♥♥♥♥♥♥

  • @Hussaindazaqia
    @Hussaindazaqia 6 หลายเดือนก่อน +3

    Asante kwa kazi nzuri

  • @MICKEYBOYHB
    @MICKEYBOYHB 6 หลายเดือนก่อน +12

    Ka kim hakajawahi kufel🔥🔥

  • @DanielLaizer-ec7cd
    @DanielLaizer-ec7cd 6 หลายเดือนก่อน +3

    Namkubali sana Kim ❤

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nimependa umeeleza vizuri dada kim

  • @NdijuStar
    @NdijuStar 6 หลายเดือนก่อน +4

    safi dada kim

  • @enemtatuka5863
    @enemtatuka5863 6 หลายเดือนก่อน +4

    How do you feel....mtoto mzuli kacheka noma san

  • @JeannotMbikayi-uq1hh
    @JeannotMbikayi-uq1hh 4 หลายเดือนก่อน +1

    ni Delkey Msafi Zanzibar kutoka DR Congo nawa penda sana

  • @Mbalason
    @Mbalason 6 หลายเดือนก่อน +19

    Unaandka kitu kingne unahoji kingne ujinga wanang

    • @willykijanaa004
      @willykijanaa004 6 หลายเดือนก่อน

      Matusi kando mwanangu pliz ukiona huez kimya 2

    • @Mbalason
      @Mbalason 6 หลายเดือนก่อน +1

      Kaakmy bando unaweka ww

    • @askebinabwe050
      @askebinabwe050 6 หลายเดือนก่อน +1

      🤣🤣🤣🤣🤣 Tz pazuri wallahi sitokiii

    • @tiffahbby3697
      @tiffahbby3697 6 หลายเดือนก่อน

      Watangazaj washamba watafuta viewers w lazma

    • @willykijanaa004
      @willykijanaa004 6 หลายเดือนก่อน

      Simu yenyewe ya mkopo

  • @DjumaRichboy
    @DjumaRichboy 6 หลายเดือนก่อน +4

    Weye njo ukuwe shemeki yetu kwa Clam vevo wala saha raha

  • @DenisKipkemboi-p9f
    @DenisKipkemboi-p9f หลายเดือนก่อน

    Kutoka Kenya namkubali Binti huyu🔥🔥🔥🔥

  • @mohamedikitambulio
    @mohamedikitambulio 5 หลายเดือนก่อน

    Safi sana good night love you movie yako mzuri sana ❤❤❤

  • @Husnaissa-lf6jt
    @Husnaissa-lf6jt หลายเดือนก่อน

    Unatisha sana pambania kombe chimama❤

  • @BelloTz-fq8uw
    @BelloTz-fq8uw 6 หลายเดือนก่อน +6

    Anafanya Soo ana jitaidi me na kukubali kinoma san

  • @stephanoeneshi9960
    @stephanoeneshi9960 6 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤kazi nzur Kim beautiful

  • @ahmedbinsule5586
    @ahmedbinsule5586 6 หลายเดือนก่อน +4

    Kim pole kwa changamoto za maisha

  • @katsuhirechristianmbusa1176
    @katsuhirechristianmbusa1176 6 หลายเดือนก่อน +5

    🎉 félicitations

  • @ThaskyCaga-mi9hb
    @ThaskyCaga-mi9hb 6 หลายเดือนก่อน +2

    eeeeh kim na Iphone 15 macho matatu😘😘😍😍

  • @ksaskaka
    @ksaskaka 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubari kimu❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @Mimy_keys
    @Mimy_keys 5 หลายเดือนก่อน

    Kim uko vizuri haki 🙌 Umejuwa mpaka unajuwa tena ❤🇸🇦🇸🇦🇸🇦

  • @danielmazoya-nn5wg
    @danielmazoya-nn5wg 5 หลายเดือนก่อน

    kazi nzuli kim aisee mimi napenda kazi yako sana yan

  • @Hussaindazaqia
    @Hussaindazaqia 6 หลายเดือนก่อน +3

    Nauapenda saana timu clam

  • @AminaKarimu-lb8mb
    @AminaKarimu-lb8mb 2 หลายเดือนก่อน

    Mzuri san dada ww unafanya kaz vizuri san❤❤❤🎉

  • @DorcasMagaza
    @DorcasMagaza 6 หลายเดือนก่อน +5

    Good morning 🌅 Kim

  • @japhasondaud570
    @japhasondaud570 6 หลายเดือนก่อน +6

    I wish all the best Kim & Clam vevo❤

  • @DorcasMagaza
    @DorcasMagaza 6 หลายเดือนก่อน +5

    Vizuri sana

  • @DorcasMagaza
    @DorcasMagaza 6 หลายเดือนก่อน +3

    Apanango anajaribu anaweza kweli

  • @aminaas8144
    @aminaas8144 6 หลายเดือนก่อน +5

    Muendelezo❤❤❤❤❤❤

  • @CharifoAliabdalaAbdala
    @CharifoAliabdalaAbdala 3 หลายเดือนก่อน

    Hata mm Sharif kutoka msumbij nakubali san yuko vizir san

  • @MasauleTitika
    @MasauleTitika 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nzuri jamani ❤❤

  • @SamyMuhindo-s7d
    @SamyMuhindo-s7d 5 หลายเดือนก่อน

    Asante dada apa drc tuna furaiya michezo

  • @dismasjuma7440
    @dismasjuma7440 6 หลายเดือนก่อน +6

    lakini huyu dada anajaribu

  • @Mbalason
    @Mbalason 6 หลายเดือนก่อน +6

    Kwel kanapendeza hako kadada

    • @MimiUsanase
      @MimiUsanase 6 หลายเดือนก่อน

      Utawowa 😅😅

  • @gundasontv570
    @gundasontv570 6 หลายเดือนก่อน +4

    Kim tunakusubiri huku Nyawilimilwa home uje na cc utupaishe, usipasahau

  • @Mary_sup
    @Mary_sup 6 หลายเดือนก่อน +9

    Hela nyingi haitolewi bure bado anapigwa rungu na clam vevo na hilo kila mtu anajua

    • @joshuasakwa1548
      @joshuasakwa1548 6 หลายเดือนก่อน

      Shida Iko wapi, kwani ni bibi ya mtu

    • @Mary_sup
      @Mary_sup 6 หลายเดือนก่อน

      @@joshuasakwa1548 braza hamna shida natao sababu ya kulipwa hela nyingi kuliko wengine

    • @rajabkingi2397
      @rajabkingi2397 6 หลายเดือนก่อน

      Si uende na ww upigwe rungu kenge ww

    • @Mary_sup
      @Mary_sup 6 หลายเดือนก่อน

      @@rajabkingi2397 mind your language umejazwa mavi na mkojo kwa kichwa ndiyo maana hata kufikiria huwezi,ngedere mmoja

    • @Mary_sup
      @Mary_sup 6 หลายเดือนก่อน

      @@joshuasakwa1548 ndiyo ni bibi ya baba yako

  • @Abunuskills
    @Abunuskills 6 หลายเดือนก่อน +5

    Wakwanza leo

  • @ShelaGodlisten
    @ShelaGodlisten 5 หลายเดือนก่อน

    Kim unaweza mm mwenyewe nakupendaa sana kim❤❤❤

  • @josephnzuma-uv5vg
    @josephnzuma-uv5vg 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri Kim Mimi Niko Kenya

  • @MwahanjeNdegwaNdegwa
    @MwahanjeNdegwaNdegwa 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mpo vizuri

  • @tomasjilundumo865
    @tomasjilundumo865 5 หลายเดือนก่อน +2

    Nimetokea kukupenda kim nataka nikuoe uwemkewangu

  • @Maxwellezekiel776
    @Maxwellezekiel776 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Kim endelea kuwa juu kwenye game

  • @mosestiger-y3n
    @mosestiger-y3n 2 หลายเดือนก่อน

    Namkubali kim❤❤❤❤

  • @saadekhamisnassor4331
    @saadekhamisnassor4331 5 หลายเดือนก่อน +2

    Kim upo juu

  • @SalumNghwalala
    @SalumNghwalala 4 หลายเดือนก่อน

    Sema kweli kadada ni kazur mm napenda tabasam lake ni zur sana

  • @priencedamdoek508
    @priencedamdoek508 6 หลายเดือนก่อน +1

    Much love ❤️
    Much respect 👍

  • @nationaltrendingmedia4603
    @nationaltrendingmedia4603 6 หลายเดือนก่อน +4

    Kim n gwiji mkubwa kwa kuigiza

  • @MR_RAMSATZ
    @MR_RAMSATZ 6 หลายเดือนก่อน +2

    kim nakukubali sana

  • @bintiomar8924
    @bintiomar8924 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu dada penda bure sana kz nzur ❤❤❤

  • @enoszaka-tx8qw
    @enoszaka-tx8qw 4 หลายเดือนก่อน

    mwenyezi mungu ni mwingi wa rehma 🙏

  • @MumoPeter-j9m
    @MumoPeter-j9m หลายเดือนก่อน

    uyu dada namuaminiaga juu katika part yake ya kuact anakuwaga serious nampeda sana

  • @DanielMukali
    @DanielMukali 5 หลายเดือนก่อน

    aky aliwze vbya sna ♥️♥️♥️💯

  • @edinamathews7717
    @edinamathews7717 6 หลายเดือนก่อน +4

    Mwandish embu tuache kidogo anauzur gan

  • @hussenkuraishi5886
    @hussenkuraishi5886 5 หลายเดือนก่อน

    Yuko vizur❤❤❤

  • @Kassim-zh9oy
    @Kassim-zh9oy 5 หลายเดือนก่อน

    Ata mm nampenda jamani anajiamini kwel❤

  • @gastonmulondani8900
    @gastonmulondani8900 6 หลายเดือนก่อน +4

    Kwanini aja onekana kwenye snake boy

  • @joshuasakwa1548
    @joshuasakwa1548 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kim Kenya unapendwa sana, kwanza hio kicheko yako

  • @Rashadrashid8554
    @Rashadrashid8554 2 หลายเดือนก่อน

    hongr san kim mung azid kukikuz kipaji chko

  • @EdmundEdson-nf7rq
    @EdmundEdson-nf7rq 5 หลายเดือนก่อน

    Nakukubali sana kim

  • @3malis
    @3malis 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 nimependa

  • @JosephKibawa
    @JosephKibawa 5 หลายเดือนก่อน

    Très cool la dada❤❤

  • @wardaomar4828
    @wardaomar4828 4 หลายเดือนก่อน

    Hivi kwani mtu awe mzuri mpaka ajaze mi makeup na mawigi.hyo dada mzuri tu na hpo hana ata makeup

  • @shupanamugala6266
    @shupanamugala6266 5 หลายเดือนก่อน

    Mimi na mpenda sana karangi kake

  • @NurdinRama-pq6os
    @NurdinRama-pq6os 5 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda xan

  • @RevisRevocatuus
    @RevisRevocatuus 6 หลายเดือนก่อน +5

    Kiufupi niwambie tv ni nzuri ila watangazaji hawajielewi kiufupi badilisheni wafanyakazi poor
    Interview

  • @AgostinhoJacinto-zu2vm
    @AgostinhoJacinto-zu2vm 2 หลายเดือนก่อน

    Bring many more stories

  • @rashidgona1808
    @rashidgona1808 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kim mzuri bana black beauty uzuri wa kiasili na ako na sauri nzuri ya kicheko🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @salmahoperi9783
    @salmahoperi9783 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mdada mzuri ila mashauzi mengi simu ni simu tu kikubwa mawasiliano piga kazi

  • @ZainabuAbdallah-iw3cc
    @ZainabuAbdallah-iw3cc 6 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤❤🎉

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 6 หลายเดือนก่อน +4

    Septa zote Kim anauwa akiwekwa

  • @RukiajumaMwamguta
    @RukiajumaMwamguta 5 หลายเดือนก่อน

    Mashallah🎉🎉🎉

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nakukubali sana Kim unazidi kuwa mrembo na wewe ni mrembo shabiki yako