PART 1 | HOW I SURVIVED HESSY WA DANDORA POLICE HIT SQUAD AFTER BEING POSTED ON FACEBOOK
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
- Watch part 2 here
• PART 2 | HOW I SURV...
Once posted on Dandora crime free Facebook page you are a marked man and your end is sealed. This is a story of Madola once a crime boss and feared in Eastlands,,He narrates his time in crime and how he escaped the dragnet of death and his journey to reforming''
Uyu jamaa amecatch attention yangu sa zile amesema kuhusu mentality ya watu wa ghetto in terms of crime...aty iyo pressure inakuanga ya kutoka kuogopwa na kutambulika...that is so true...For me I was not in crime though nkiwa highschool nlikuwa na pressure ya kutaka kutambulika nakufit in na awa mabad Boyz...ghetto life is crazy...Yani the most useless things ndo ukuwa praised...stori za wizi ndo watu upenda kupiga na nani ndo mgori
So many stories left hanging because jamaa wa interiew nkama hana time.....3/10 ratings
Iii story inaflow haiwez kuwa ya jaba,,uwongo ni expensive kumaintain,, ya uyu inaflow naturally
Kuna vitu zingine haziingiani kwa story,,,, alisema alianza crime ya kwaza akiwa almost 18yrs akiwa amemaliza high school,,,then later anasema walikosana na mzae akaenda kuishi na mabashte Koch na akasare shule...then anasema alimaliza.......gaps ni mob unless Kuna vitu anamezea kusema
Wacha nsikzie kwaza
this guy is speaking the truth, u see this people engage in crime they want to be feared respected mostly sio poverty, because if it's poverty wakiiba izo doh akuna kitu ya maana uwa wanafanya nazo ni kubuy manguo na kwenda reggae,waiba tu ndo wajienjoy na vitu za upuzi,gals wanakubaligi hao maboy ju ya crime, those boys are feared so gals wants to be associated with them, I have seen gals even dropping school to get married to a thug, nilisoma na such people, many of them are now regretting, they use drunks because of peer pressure bad company, wanataka kuonekana hao ni watu wa mafom , this thing is very satanic unatapa ata watoy wamsonko wenye wanakaa karibu na gettohs wanaigia Kwa crime
True💯
It's definitely coz of poverty....rich kids will probably do it for a while but will later change coz they've got so much to lose if they continue with crime life
@@indiatsiwilliams793 if it is poverty then Kwa nini hawafanyiagi izo dooh kitu ya maana like investment,they buy clothes, drunks then for reggae , parties and pleasing women, and when they come out of crime they are very poor they have nothing , I feel they use poverty as an excuse to join crime
😂😂😂Dandooh Kila yut anauza uwogaa n crime zenye ashaifanya😂😂....Nwei Dandooh n mtaa, na n place ftiiisnaa.....mengi sumu!!!if u know u know.
Yea it is good testimony lakini bro make sure you edit this videos and remove the parts that might cause problem to these reformed youth. Although they are here trying to save the other youth but their real story might bring problems to them, so usikuwe selfish ukitafuta interview noma kisha hawa wajipate wakitafutwa na DCI.
Story za jaba na dom
Wanaume wako n wivu huku ama pia nyinyi mlikuwa mnataka interview😂😂🎤
😅😅😅
𝙨𝙖𝙖𝙬𝙖😅
Civo ni Civil Servants.Iko katikati ya Kàriobangi South na Dandora.Stage ya mwisho ya R.O.G.
tHE NUMBER of "SaWa" mention is one thousand,seven hundred and sixteen sawa
I need this boy please nipige story na yeye
sawa
💯
Story za jaba. Tho amefurahisha madame
Sawa😂😂😂😂sawaa
Huyu jamaa si mwizi
Hii story imeshika..
Apo ni kweli uezi toa ugeto ndani ya mgeto....kama uamini fika pale TikTok ucheki Marco meng tv
Huyu boi n malisafi walai😂
😂😂😂
Shoot your shot
Fisilet 😂😂
How i wished i could be living Sivo😂😂dem days 😅😅thank God alinitoa Dando🎉
Sawa ahh sawa ahh
😂😂😂😂
Nice story. Next time ekea story teller ata Maji
Huwa wanapewa plus na what to eat thank you
Hes so alive 😃 good narrator kudos 💯
Aty kasa ni kwa masmarta bro
Ghetto life is not eazy😊
Hii story ni uongo buana huyu boyz tumekua naye area alikua anakaziwa life ka nonsense😂
😂😂 exactly felt so too ... Story za base
why do this 😂 sasa ata syke imeisha ya kuwatch
Za jaba😂😂😂
UKO SURE🤣 KUMBE TUNAPIMWA APA
0:29
We wacha story madollar😂😂😂😂😂😂sasa mbona unadaganya yawa 😂😂
Civil servant
Nipee No yake
He is quite a story teller
fr
Bro anatoa story poa but interviewer concentration Iko chini you ask funny questions..
C ww ungeconcetrate tafuta show yko
sawaaaa😂😂
Saawa😂
Sawa😅
Huyu kitu ilimuokoa ni damu ya mamake ya ukuhya hakua na damu ya wizi huyu. 😊
Tunataka part 2 mkuu
Huyu vile walihama "Civo" mpaka mumenunuliwa "PS2" na video games inaonyesha hakulelewa Kwa shida!
Mbona slang ya eastlando iko present tense 😂😂
I really love his compassion at such a young age, he had the love of Jesus that you cant teach.
Unajua Bayano😁?
Kureform ndio form...
Press na prezzo man toa uyu boy kwa dimanga afanye kazi apate riziki alishe fam yke
Sonko saidia yut man ajitoe kwa wizi
H😂😂😂😂huyo jamaa ni story teller 😅
He was my class mate salute
Stori za jabaaa hizi...real thugs awatokeangi kwa interview after kureform waubaki stori inatolewa kwa news, TMK wanaume
John Kiriamiti alikuwa Churchill Show....
Tafuta documentaries hata za walami uone lazma moja abaki....to tell a story....
Sawa basi!!
Sawa 😂😂
I dont feel like these guys should be forgiven ati coz they have changed ...pay for what you did wrong
So you are a saint?? Kila mtu hukosea
Hii story na jaba .....acha tu ....😂❤
Me to I have a story edmac
gani hio Calton
part 2 loading ama
bro even made the interviewer laugh
....funny guy
The first time Madolla started his confession,Adi ingikuwa ni Mimi kumjudge,This boy has a bright future..He is saying everything to believe his story 🔥🔥🔥#Reform
Next episode pliz
The most boring thug story ave heard,the interviewer huna maswali watu wanataka kuskia
Kaskie vibaya uko kwenyu 🥴
Ebu give examples of probable questions the interviewer should ask
Enda ukatoe ur interesting story
Sawaaaa😂😂😂😂
I assure u hakuna mtu ashai engage Kwa crime anaweza peana ctory they are ever quiet
John Kiriamiti alikuwa Churchill Show na yeye ndiye kama Godfather hiyo industry coz of dem dayz
NICE GUY.HE IS STORY TELLER
WORK ON NOISE REDUCTION
I hate the "sawaaa" at the end of his statements & the term "ariifff." I hate ghetto slang.
Kaskie vibaya hukooo kwenyu...
Shembeteng' for life😅..
Nyongwaaa
Good job manze keep it up !👊🏾👊🏾
madollar mwenyewe
This guy 😂😂😂😂
Mbona wezi hukua na ka innocent face? Khaiii
Enda Facebook uingie group inaitwa Nairobi Crime Free ...
Innocent faces 😅😅😅iko Kwa tu Kwa Goole 😅....
killing me anytime he says sawa!!!
Sawa 😂😂
Jaba lazima
Karibu akue handsome
sawa,,,
😂
Such a story teller..
Wueh...Harry👊👊🤣🤣🤣
Hawa Jamaa wa mtaa ni great story tellers. Lakini sheng ni Kali, sukuelewa siivo ni wapi.
Civil servants sides za kariobangi
💥
Civo ni wapi?
Kariobangi South
Civil servants houses in Kariobangi south,civo ni short form ya civil servants
Part 2 tunangoja
Kesho 9am
Saaawa
haha the funny thing
Part two waiting
Kesho 9am
How handsome is this guy❤
Sasa wewe si uitishe tu namba upewe 😂
Shoot your shot Jameni..😂
@@edmacmedia 😂😂 namba itembee
@harrietmigide7267 gimme your number
Huyu ni mtoto hauoni ndevu zake ni zile za thenge.
Mr sawaa😂😂😂
😂😂😂😂😂😂sawa
Sivo ni wapi?
Civil servants houses in kariobangi( outering)
Part 2
This guy is a storyteller hehehe inakaa movie wuuuueh!!!
Civo ni wapi
After they tell you all this story how do you help them?? Or is just a story?
is it poice or police
Audio🎧30:23
😂😂😂😂
Huyu Madolla bado hajachange...
Bana
Unajuaje?
@@libertywild7507 I cannot disclose some things lakini heri a change for real.
Pin account number ya kusupport yut
0726557342