mbu by mkasi hassan

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 38

  • @zingahassan5851
    @zingahassan5851 7 ปีที่แล้ว +8

    mashallah nakuaminia sana mamangu ,kweli mbu kidudu Kidogo sana lakini kisumbufu .shairi zuri sana .melody imekamilika.
    let us all wake up and support our Digo taarab,SOUTH COAST TAARAB flavor

  • @AaaBbb-mv7wl
    @AaaBbb-mv7wl 3 ปีที่แล้ว

    Kz nzur xnaa mashaallah

  • @salimmajaniali4030
    @salimmajaniali4030 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah kipaji chake kidumu.

  • @bentamismwakazi4995
    @bentamismwakazi4995 ปีที่แล้ว

    Mkasi mbon hi nyimbo yaikufika mwaisho

  • @mwanamkasihamisi9271
    @mwanamkasihamisi9271 6 ปีที่แล้ว

    Masha Allah nakukubali mwanangu mkasi😘

  • @suleimanmkulu8383
    @suleimanmkulu8383 2 ปีที่แล้ว +2

    Woow

  • @kwekwemahendo9747
    @kwekwemahendo9747 6 ปีที่แล้ว +1

    hahahaaa mbu jamani 😂😂

  • @zinabzinabo8916
    @zinabzinabo8916 2 ปีที่แล้ว

    Asante sanaaa wow masha Allah

  • @mariamsombo5766
    @mariamsombo5766 ปีที่แล้ว

    i lv that

  • @mhonamisaomar7011
    @mhonamisaomar7011 7 ปีที่แล้ว

    Dada mkasi hongera .kz nzuri

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 7 ปีที่แล้ว

    Hahaha halooo.mbu huyoo naja na leta net😅😅😅😅

  • @wemakalam3233
    @wemakalam3233 5 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri mkasi

  • @rahimalewe6280
    @rahimalewe6280 7 ปีที่แล้ว +1

    kabisa mama mkassi

  • @AychaAsdsa
    @AychaAsdsa 7 ปีที่แล้ว +2

    hiii nyimbo nimeitafuta sana tela sana

    • @itsnajma
      @itsnajma 7 ปีที่แล้ว

      Aycha1111 Asdsa ndio hio ndugu kazi ilobaki ni kudownload tu

    • @AychaAsdsa
      @AychaAsdsa 7 ปีที่แล้ว

      Najma Kamole thank

  • @ashabakari7757
    @ashabakari7757 5 ปีที่แล้ว +1

    Ngoma bila jasho

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 7 ปีที่แล้ว

    Shukran sana naomba na nyingine plz, Duh mbu balaaah Kweli.

    • @ayshamahariq8126
      @ayshamahariq8126 6 ปีที่แล้ว

      MWANAHALIMA MWACHILI kweli kabsa dadangu mbu baalaaaa

  • @mujibumsigit2741
    @mujibumsigit2741 6 ปีที่แล้ว +1

    Yanikumbusha mbali lungalunga wapi sera wap hamida

  • @bintykigan7014
    @bintykigan7014 7 ปีที่แล้ว

    Lov yah mammy mkasi

  • @halimawaziri7677
    @halimawaziri7677 6 ปีที่แล้ว +1

    jomonii mkasi ww umenigusa

  • @naimabwinga8572
    @naimabwinga8572 7 ปีที่แล้ว

    mkasy wanilaza hoi mama

  • @kassimfarouk3050
    @kassimfarouk3050 2 ปีที่แล้ว

    Jamani NAOMBA NYIMBO YAKE NYENGINE YAITWA"NI KWELI ANA MAUDHI LAKINI BADO NAMPENDA" HAPA TH-cam SIJAIPATA WALLAHI NISAIDIENI NTAIPATA VPI

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 5 ปีที่แล้ว

    Santaaa mamaake Hassan penda sana wweeee

  • @aishanjama8971
    @aishanjama8971 7 ปีที่แล้ว

    Sauti mama yanimaliza

  • @zondomariam228
    @zondomariam228 7 ปีที่แล้ว

    Hapo sasa

  • @ayshamahariq8126
    @ayshamahariq8126 7 ปีที่แล้ว +1

    M mbu kweli huyo?

  • @naimabwinga8572
    @naimabwinga8572 5 ปีที่แล้ว

    Sauti balaa

  • @sihabamwahozi7694
    @sihabamwahozi7694 2 ปีที่แล้ว

    Nitumie namba yenu

  • @aminaramadhan7792
    @aminaramadhan7792 6 ปีที่แล้ว

    Thanks alot sister

  • @bintykigan7014
    @bintykigan7014 7 ปีที่แล้ว

    Ruhusa nimemwachia arukeruke chumbani haoni pakuiingia ila mwangu sikioni warereeeee naipata nikiwa+974

    • @khadijanjama9016
      @khadijanjama9016 6 ปีที่แล้ว

      Binty kigan hatua nikichua nitalaumiwa mimi

  • @mujibumsigit2741
    @mujibumsigit2741 6 ปีที่แล้ว

    Jamani naomba mwenye nyimbo ya kijamvi no yangu ya wasap +255678732363

    • @khadijanjama9016
      @khadijanjama9016 6 ปีที่แล้ว

      Mujibu Msigit uko 255 kijanvi umekisahau 254😀😀😀

    • @allyzicko8149
      @allyzicko8149 5 ปีที่แล้ว

      @@khadijanjama9016 mpelekee mwenzako