mheshimiwa rais,naangalia hii video machozi yananitoka,mimi binafsi sitaki uondoke kwenye urais,ni rais wa watu ni rais wetu,m'mungu akubariki na akupe afya njema na umri mrefu.
Hongera sana mh. Rais! Mnaoupload hizi videos punguzeni background music sasa music sauti kubwa kuliko maongezi na sisi tunataka kumsikia Rais wetu anapozungumza
kikwete is the best presedent ever....
may God bless u sir.
JK...Kiongozi mwema kwa Nchi yetu...
Tutakupenda daima
mheshimiwa rais,naangalia hii video machozi yananitoka,mimi binafsi sitaki uondoke kwenye urais,ni rais wa watu ni rais wetu,m'mungu akubariki na akupe afya njema na umri mrefu.
mashallah
Hongera sana mh. Rais! Mnaoupload hizi videos punguzeni background music sasa music sauti kubwa kuliko maongezi na sisi tunataka kumsikia Rais wetu anapozungumza
Dr. Feisal J safi sana
A President of the people
hongera rais wetu ntupo pamoja nawe....
T
Utazid kumbukwa mheshimiwa
Tunakukumbuka baba
Propaganda.