Gharama ya internet 🛜 USA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 26

  • @malengaWetuTv2699
    @malengaWetuTv2699 2 หลายเดือนก่อน

    ❤ mwenyezi mungu anijalie katika safari yangu kama content creator

  • @mohammedmussa6740
    @mohammedmussa6740 3 หลายเดือนก่อน +1

    Salute bruh

  • @SATZ-news
    @SATZ-news 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona naanza kupenda contents zako we dogo😊

    • @DINASSOUR
      @DINASSOUR 2 หลายเดือนก่อน

      Dogo kanyooka kaka....hatafuni maneno ata mm namuelewa sana

  • @ahmedalfan8075
    @ahmedalfan8075 3 หลายเดือนก่อน +1

    Salute kaka

  • @tanzaniadigitaltz
    @tanzaniadigitaltz 3 หลายเดือนก่อน +2

    Tanzania tuna Tsh TTCL 55,000 kwa mwezi na wana kufurushi cha juu zaidi depends na matumizi yako. Mshana hiyo yako Dollar 60 per month speed ni Mbps ngapi??

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  3 หลายเดือนก่อน +2

      500Mbps

    • @masoud0045
      @masoud0045 3 หลายเดือนก่อน

      @@mshanatheblacksmithrahisi sanaaaa

    • @masoud0045
      @masoud0045 3 หลายเดือนก่อน

      Au umekusudia 50 mbps

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  3 หลายเดือนก่อน +1

      @@masoud0045 hapana, its range between 300-500Mbps kwa uhakika huku ni 5G halisia

    • @SATZ-news
      @SATZ-news 3 หลายเดือนก่อน

      Hapa SA natumia unlimited internet ambayo ni mbps 300 kama 50,000 ya kibongo.

  • @issambela8279
    @issambela8279 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤

  • @ChoroTesla
    @ChoroTesla 3 หลายเดือนก่อน

    Bongo ukinunua Router then siumbue ndo imekula kwako sijui kwann tuna izo kasumba

  • @malengaWetuTv2699
    @malengaWetuTv2699 2 หลายเดือนก่อน

    Hii channel yako ipo monetized au mbona sioni matangazo ya adsense

  • @issambela8279
    @issambela8279 3 หลายเดือนก่อน

    Broo Unaswali lakn😊

    • @issambela8279
      @issambela8279 3 หลายเดือนก่อน

      Au misikiti michache usa😊

    • @salehkhamis3000
      @salehkhamis3000 3 หลายเดือนก่อน

      Vijana siku hizi wameghafirika wanaona kuishi vizur kikaisha ndio mafanikio, ila tuna mtihan mkubwa

    • @bellalygeomecky1145
      @bellalygeomecky1145 3 หลายเดือนก่อน

      Safi sana ukumbusho mpaka kiama........ndio raha ya uislam ....kukumbushana tumeusiwa.....

  • @isaacmduma5998
    @isaacmduma5998 3 หลายเดือนก่อน

    Zuku Tsh 69,000 per month

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  3 หลายเดือนก่อน

      Bei poa sana zuku ni internet au king’amuzi?

    • @isaacmduma5998
      @isaacmduma5998 3 หลายเดือนก่อน

      @@mshanatheblacksmith internet

    • @isaacmduma5998
      @isaacmduma5998 3 หลายเดือนก่อน

      @@mshanatheblacksmith internet

    • @chukemb
      @chukemb 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@mshanatheblacksmith wanakujaza sio mobile internet hyo ya zuku ni fibre alafu ipo city centre tu

  • @malengaWetuTv2699
    @malengaWetuTv2699 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤ mwenyezi mungu anijalie katika safari yangu kama content creator

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  2 หลายเดือนก่อน +1

      @@malengaWetuTv2699 Nimeangalia video zako kidogo💪🏻 upo vizuri hongera sana keep going

    • @malengaWetuTv2699
      @malengaWetuTv2699 2 หลายเดือนก่อน

      @@mshanatheblacksmith bless brother tuendelee kupambana 🇹🇿