Mama kiburunge

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 60

  • @user-ii3rb6uj7g
    @user-ii3rb6uj7g 4 หลายเดือนก่อน +5

    Uzuri wa pcha zenu fupi ila zina mafunzo allah azid kubarikia vipaji vya wana
    002❤

  • @user-lx3oy8hw3m
    @user-lx3oy8hw3m 4 หลายเดือนก่อน +8

    nimekua wa pili jamni naomba like zangu kama 50😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤nawapenda sana

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 4 หลายเดือนก่อน +7

    Hadi nimekumbuka nilicho kipitia baada ya kulazimshwa kwa ndoa na miaka 16 nilikaa miaka mbili pekee bila mimba niliyaskia mengi sana kwa mawifi na mamake baada e nilijaliwa kumpata kijana ilikuwa furaha yangu hawakuishia hapo Bado walisema nimepata njee kijana wao hazai nilikuwa na wakati mgumu sana .hapa nimekumbuka mengi😢😢😢😢😢😢😢😢😢. Bujra kakangu Asante.

    • @hassanmohammad2504
      @hassanmohammad2504 4 หลายเดือนก่อน +1

      Pole sana dadangu

    • @zahraabdul9652
      @zahraabdul9652 4 หลายเดือนก่อน

      @@hassanmohammad2504 oh sound nice thank you be blessed ❤️

  • @MwanamisiKhadodo-xh8cn
    @MwanamisiKhadodo-xh8cn 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mama kivuruge kidogo😊😊😁👏👍✌️

  • @zni8z
    @zni8z 4 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂😂mamkwe tulia Kazaa ni mipango ya mungu Allah

  • @chunaabdullah1333
    @chunaabdullah1333 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa mawakwe mitihani sana yani uwa awafikirii watoto wao ndio matasa

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 4 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂yani uyo mm kwe 😅 kiboko 😂😂😂😂

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mmmmm huyo mama mkwe jamani 😂😂😂😂😂

  • @zhshsh-us8tf
    @zhshsh-us8tf 4 หลายเดือนก่อน +2

    Angekuwa Beka madikodiko angekuona Bekaaa😂😂😂😂😂😂

  • @tatojob572
    @tatojob572 4 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂😂mama unamichambo

  • @mejumaabaraza3989
    @mejumaabaraza3989 4 หลายเดือนก่อน +3

    Famili za waume Zina balaa ukizaaa Sana wambiwa ukikosa kuzaa balaa Sasa tufanyeje huwa wanasahau watt wao labda mikojo Yao haifiki vzr matumboni mwetu😂

  • @user-zn5tq1pr8w
    @user-zn5tq1pr8w 4 หลายเดือนก่อน +2

    mama wakwe jmn tupen mda bs wakat mwengine kuzaa sio mipango yetu Mungu tu 😢

  • @zhshsh-us8tf
    @zhshsh-us8tf 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera baba mukwe😂😂😂😂 ❤❤upendo🎉🎉🎉

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 4 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂waah hii kali ya leo huyo mama vyaa je mawifi patakalika, madikodiko asante kwa ujumbe message sende na send off pia.😂

  • @user-lb2by8bp6k
    @user-lb2by8bp6k 4 หลายเดือนก่อน

    🤣🤣🤣wallahi mamavyaa wa cku hizi,balaa tuu

  • @khadijaqatar9080
    @khadijaqatar9080 4 หลายเดือนก่อน +1

    Yule beka nikwel sio wahuyu baba, heri bujra anafanan na baba kw rang na ustarabu wake, haya mama atuambie alimtoa wap beka😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @user-fl5hw7jq9r
    @user-fl5hw7jq9r 4 หลายเดือนก่อน +1

    Bujra msikize na mama ogeza wapili mridhishe namama owa wapili update radhi yake

  • @SwabraHabibuOmar
    @SwabraHabibuOmar 4 หลายเดือนก่อน +2

    Bujra hongera❤

  • @mesaidikazungu4299
    @mesaidikazungu4299 4 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂 Mevyaa madikodiko ndie mwenye nyumba utake usitake.

  • @aminachiziamina
    @aminachiziamina 4 หลายเดือนก่อน

    Waq haya yako ukwelii tena yanatokea aswa😊

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 4 หลายเดือนก่อน +1

    SubhanaAllah 😢

  • @user-pp3vo8rw5j
    @user-pp3vo8rw5j 4 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂 kazi ipo

  • @user-xg9ej6qr7r
    @user-xg9ej6qr7r 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kijalejale chekundu ni beka ruga 😂😂😂😂😂😂😂

  • @mejumaabaraza3989
    @mejumaabaraza3989 4 หลายเดือนก่อน +3

    Bila shaka kijale jale ni beka 😂😂😂😂

  • @SAJIDADAUDIRASHIDI
    @SAJIDADAUDIRASHIDI 4 หลายเดือนก่อน

    Sio kwa mama mkwe huyu

  • @chunaabdullah1333
    @chunaabdullah1333 4 หลายเดือนก่อน

    Kijalejale chekundu kiko wapi kwani

  • @ramasarai7875
    @ramasarai7875 4 หลายเดือนก่อน +1

    Baba amngea ukweli ❤❤

  • @ExcitedChefHat-ef5jt
    @ExcitedChefHat-ef5jt 4 หลายเดือนก่อน +1

    Madikodiko wewe ndiye mwenye.

  • @user-nr5di2yw2s
    @user-nr5di2yw2s 4 หลายเดือนก่อน

    Mama 😂😂 weee

  • @abubakarmaphox7132
    @abubakarmaphox7132 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wah 🎉🎉🎉 what about...😮😮😮

  • @monarose6091
    @monarose6091 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wako ivyo kina mama zetu

  • @salmasaid7058
    @salmasaid7058 4 หลายเดือนก่อน

    Nc 1fundisho tosha

  • @mohammedbah4521
    @mohammedbah4521 4 หลายเดือนก่อน +1

    Imenifanya nathokwa namathoz wallai

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 4 หลายเดือนก่อน

    Amazing 👏 ❤❤❤

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq 4 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢wallah mmeniliza 🎉🎉🎉

  • @Fatma-to6rq
    @Fatma-to6rq 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂eti cjuwi mee modo cjuwi ni nanii

  • @user-jl8pr1ql7k
    @user-jl8pr1ql7k 4 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Mabangi123
    @Mabangi123 4 หลายเดือนก่อน

    ❤🔥🔥🔥🔥

  • @zhshsh-us8tf
    @zhshsh-us8tf 4 หลายเดือนก่อน +1

    Halooo😂😂😂 mamamavia

  • @FatimaFatima-xu2ff
    @FatimaFatima-xu2ff 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mavya ameenda kupanga kupanga ndoa😂

    • @aisharajimbo6784
      @aisharajimbo6784 4 หลายเดือนก่อน

      Na ni bouncer alimvunja mlumewe mguu😂😂😂

  • @kibibiabdalla1451
    @kibibiabdalla1451 4 หลายเดือนก่อน +1

    😢😢😢😢nice1❤

  • @mariamanzazi2696
    @mariamanzazi2696 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kitaretare ni beka

  • @TaarabChannel
    @TaarabChannel 4 หลายเดือนก่อน

    Loooh....m mpitie na kwangu wapenzi sapoti zenu❤

  • @user-hm9nj9lx2t
    @user-hm9nj9lx2t 4 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @user-uc6xe7ht4k
    @user-uc6xe7ht4k 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hahaha

  • @user-wm9xn9iy4s
    @user-wm9xn9iy4s 4 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂

  • @user-bw7ve8ce3q
    @user-bw7ve8ce3q 4 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂😂❤

  • @LatifaLatifa-kz6ix
    @LatifaLatifa-kz6ix 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂❤

  • @amina2044amin-zv2gh
    @amina2044amin-zv2gh 4 หลายเดือนก่อน

    😢😢🎉🎉baie

  • @saummwakumbo.4926
    @saummwakumbo.4926 4 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂