Umeelimisha sana wengi juu wanawake wa kiislamu wamechukulia mwezi wa ramadhani kama wale wa kikristo wakati sisi waislamu mtume katufunzs mengi na Imani tunayo hamna chenye aliacha nyuma Allah atujalie Dua zetu na Siri za nyoyo zetu na tukuze Imani Kisha chochote Cha kubandika ndio kiruhusiwi kabisa kwa Dini Allah subhana wataala atusaidie..tufwate nyayo za mtume (s.a.w) na mamaetu Khadija (a.s)
Mie mawapenda hawa wanawake wawili mashaa allah utadhani kweli wake wenza very nice wanajuwa kuigiza wallahi nawapenda from UK 🇬🇧 NATAMANI KUWAONA WALLAH
Asalam aleikum warhmatullah wabarkatuh Allahumma balighna shaaban 🙏🤲wa ramadhan🤲🙏 Naanza na ww kipenzi changu ❤❤ Nimepewa salamu zako na bwana shaaban anasema ***unasalimiwa na bwana Ramadhan ,muda si mrefu atafika🙏🙏🤲 kwako akiongozana na mkewe ❤❤ bisaumu** wakiwa na watoto wao 3, 1:TAUBA🙏🤲 2:MAGHFIRAH🙏🤲 3:RAHMA🙏🤲 mkononi Wana zawadi ya lailatul qadir ,🤲🤲watakaa kwako muda wa mwezi 1***baadae watafuatwa na mzee IDDUL FITRI❤❤ ALLAHUMMA BALLIGHNA SHAABAN 🤲🙏🤲🙏WA RAMADHAN 🤲🙏🤲🙏
Umeelimisha sana wengi juu wanawake wa kiislamu wamechukulia mwezi wa ramadhani kama wale wa kikristo wakati sisi waislamu mtume katufunzs mengi na Imani tunayo hamna chenye aliacha nyuma Allah atujalie Dua zetu na Siri za nyoyo zetu na tukuze Imani Kisha chochote Cha kubandika ndio kiruhusiwi kabisa kwa Dini Allah subhana wataala atusaidie..tufwate nyayo za mtume (s.a.w) na mamaetu Khadija (a.s)
Wakikiristo wanachukulia vp
Wewe acha kutaja dini za wengine apo kama wa coment just comment utoke lakin sio kusema sio kama wakiristo
@@LoiceKatana-ci1txukristo ni dini ya nan
😂😂😂 mashaaAllah mashaaAllah mnaelimisha vema Allah azd kuwapa kipaji muzd kutuelimisha zaid na zaid
Beka nakupenda kwa ajili y Allah kazi nzuri
Masha Allah, mafundisho mazuri kwa ummah wa kiislamu
huyo anaesema beka aongee kiswaili. wanyakyusa kwenye juakali wanaongea kinyakyusa mwaelewa?????😂😂😢😂😢😂😢😢😂😮😂. mnisumbulie beka u tu
Mie mawapenda hawa wanawake wawili mashaa allah utadhani kweli wake wenza very nice wanajuwa kuigiza wallahi nawapenda from UK 🇬🇧 NATAMANI KUWAONA WALLAH
Maa shaa Allah shukurani sana mola hakuzidishe humri wa hkeri huilimishe jamii kaka Bojir na timu yako
Mashaa Allah Bujra ❤❤
😂😂😂😂😂😂beka Takbir ustadh
Wallah mungu awadumisheni 😂 kwenye kheri zake njema ameen nawapenda bure 😂😂🤣🤣🇧🇮🇧🇮
Beka penda sana kwa movie ❤❤
😂😂😂hakakosa madera ghaa mfungo phai.ata kwenda swali kila mtu anasingizira sababu kkkkkk😂.
Jinsi beka alivyofura😂😂😂 🙌 🙌 🙌...ataka akavunje jungu😅 Astaghfirullah tumuogope Allah
Takbir mzee beka
Hiv nyimyi Ni wakewenza kweli
😂😂😂😂😂😂😂beka kashikwa na mkojo jamani
Beka jmn 😂😂😂😂😂😂😂, wajua kukasirika hatar
Mino kaka namkodzo nda swali baadae😂😂😂
Mafunzo mazur👌❤❤
Saw kka ❤
Nani kamskia beka eti Takbiiiiir Ustadh 😂😂😂😂
Beka utavunja mbavu zang mana cio kwa hyo Takbir ostadh
Bujra wavifanya kweli au ni kutu pima🤣🤣🤣🤣
Congratulations ❤❤🎉🎉
Beka acha kunichekesha na takbeera yako aya mbona ujamswalia Mtume
😂nmependa sana
Kabla sijaangalia ASALAAM WALEYKUM🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝
Walaikumslm
Walaikm salam.wa rahmatullah wa barakat❤❤❤
Walaykum salam warahmatullah wabarakatuh
Asalam aleikum warhmatullah wabarkatuh
Allahumma balighna shaaban 🙏🤲wa ramadhan🤲🙏
Naanza na ww kipenzi changu ❤❤
Nimepewa salamu zako na bwana shaaban anasema ***unasalimiwa na bwana Ramadhan ,muda si mrefu atafika🙏🙏🤲 kwako akiongozana na mkewe ❤❤ bisaumu**
wakiwa na watoto wao 3,
1:TAUBA🙏🤲
2:MAGHFIRAH🙏🤲
3:RAHMA🙏🤲 mkononi Wana zawadi ya lailatul qadir ,🤲🤲watakaa kwako muda wa mwezi 1***baadae watafuatwa na mzee IDDUL FITRI❤❤
ALLAHUMMA BALLIGHNA SHAABAN 🤲🙏🤲🙏WA RAMADHAN 🤲🙏🤲🙏
Waleykum msalam warrahmatullah wabarakatuhu
Bekaaaa😂😂😂😂😂😂 leo kapatikana
Jamani Beka yafuraisha ❤❤ kwako
😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉nakupend sana beka
Masha ALLAH, ahsanten kwa darsah, ila Beka jaman 😂😂
Haifai kusherekea mfungo
Beka ilo jicho anavyo muangalie madikodiko lingekuwa mkuki angekuwa chini
Funzo kubwa hili jimbo media ❤️❤️
Jamani beka yuwataka kupasuka😂😂😂😂
Beka unamikodzo😂😂😂😂
😂😂😂😂 Takbir ustadh.
Kumbe umesikia na ww😂😂😂😂😂😂
Allah Akbar
Uwe nawe phiya ukaswali. Mino Nina mkodzo😅😅 beka ruga umezidi
Ss beka c uende msalan ukakojoe ama wataka ukojolee makochingwa ya madikodiko
Mashaa Allah tabaraka Allah
Wapili nipeni zangu na mm❤❤
Sofia anifuraisha uwa
Majine higo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Beka ananipunga😂😂😂😂
Mbona msifanye full movie jamani
Usia mzuri❤
Masha Allah kazi nzuri sana kaka Bujra ...ye Beka ndamuumira eid mubarak 😂
😂😂😂😂 ni nzuri
😂😂😂Bujra kazi unayo hapo kwa wake zako
Saf sanaa
Beka punguza kidigo wengine hatukijui kidigo hatuelewi bana
Mashallah
Kope na mawig mafi, safi sana Bujra
😂😂😂majine gakedza
Uyu because nampenda bure anajuwa
Beka ww😂😂😂😂😂😂
Atu atak kurya mfungo 😅
Asalala nipeni like zangu wakwanza leo😂😂😂😂
Nice1❤
Congratulation
Ana anzoo Kaka inyoo😅😅
😂😂Beka jamani ❤
Mdigo kutoka msambweni sio beka
❤🔥🔥🔥🔥
Allah wakumbaru
😂😂😂😂😂😂 ana ngombo sn
Anaandzo kpweli😂😂😂
😂😂😂beka
Eti ngobo😂
Majine higo 😂😂😂
Nice❤❤❤❤❤❤
🎉🎉❤
Beka kanuna hahaha
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😢
🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Beka mdomo huo 😅😅😅
Hierdie artikel 🎉🎉🎉😢
Majin gakainjira😅😅😅😅😅😅😅😅😅
😅😅😅
Mm nipo nachati na beka nitakuja ni comment paadae
😂😅😅😅
😅😅😅😅😅😅😅
😂😂
😅😅😅😅
😅😅
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂🎉🎉
Wajinga hao
😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂