Mishono ya Vitambaa kwa wanawake rika zote Ankara women dress African dress

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024
  • hello my beautiful people Karibuni tena kwenye channel leo nimewaletea zaid ya mishono 70 ya Vitambaa mishono hii ni mizuri Sana na inaweza kuvaliwa na watu wa rika zote pia nimewaleta Vitambaa mbalimbali vinavyotrend mwaka huu 2022 Vitambaa hivi nimefanya utafit kua asilimia kubwa ya wapenda Fashion wanavaa Vitambaa hivi ivyo Kama utapenda kitambaa au mshono wowote unaweza kukoment na kuweka no yako nikakutumia kwa njia ya WhatsApp Asante Sana nawapenda sana
    Instagram tu tufollow
    DAWA_MSEBA
    Facebook
    DAWA MSEBA
    Facebook group
    MISHONO PAMBE
    Copyright Disclaimer Under section 107 of the copyright Act 1976, allowances is made for "Fair use" for the purposes such as criticism, comment, news reporting, teaching, scholarship, and research. Fair use is a use permitted by copyright Statues that mightwise be infringing. Non profit, education or person use tips the balance in favor of fair use.
    ALL RIGHTS BELONG TO THEIR RESPECTIVE OWNERS.

ความคิดเห็น • 18