NITARUDI MWANANGU sehemu ya 2 season I

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 34

  • @chantalmavandu4950
    @chantalmavandu4950 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wangu sema neno moja tu kwa ajili ya yatima wote ulimwenguni pote

  • @aishaabdallah8558
    @aishaabdallah8558 2 ปีที่แล้ว +1

    Daaa mungu awaangazie viumbe hawa

  • @sellenasellena5475
    @sellenasellena5475 2 ปีที่แล้ว +5

    Hiii stori kiukweli yataka moyo kuisikiliza maana inaumiza sana😭😭😭

    • @shamsaalrahbi5573
      @shamsaalrahbi5573 2 ปีที่แล้ว +1

      Sn yni

    • @fatimabakari8079
      @fatimabakari8079 2 ปีที่แล้ว +1

      umeongea ukweli dada mimi nilisikiza nikawacha njiani iliniumiza moyo wangu sana sahi nimerudi kusikiliza tena🤔

  • @lonakirao5275
    @lonakirao5275 2 ปีที่แล้ว +1

    Yani ndo mwanzo lakin inaumiza moyo sana jamani,Asante sana simulizi mix 👍

  • @laylasaid8406
    @laylasaid8406 2 ปีที่แล้ว +1

    Mamaaaaa tooba roho yangu yangu binadam hatuna 😭😭😭😭😭😭😭😭 shukurani kwa simulizi ukwli namaa mbaya sana

  • @hanifaal1556
    @hanifaal1556 ปีที่แล้ว

    hii nidunia sote tuna pita tu so tupendane bila kubanguana Na pia Dunia Ni duwara kila Baya unalo lifanya Kwa mwenzako IPO siku litakurudia hata kama nimiaka mitatu ijayo so tupendane binadamu wote Nisawa Wenye fedha Na wasio nafedha hakuna atakae zikwa ju YA mabati sote tutazikwa chini YA aridhi Nawapenda Sana wadau wenzangu one love Kwa D,oen 🤟✌️🔥🔥🔥

  • @ffed1876
    @ffed1876 2 ปีที่แล้ว +1

    Daa!!! Inauma my friend

  • @happinesshelkon3015
    @happinesshelkon3015 2 ปีที่แล้ว +2

    😭😭😭😭😭😭Sina cha kusema 😭😭😭😭Nimeumia mnooo

  • @evalineedwardsuzanne9862
    @evalineedwardsuzanne9862 2 ปีที่แล้ว +2

    Inauma sana 😭😭😭

  • @vero756
    @vero756 2 ปีที่แล้ว +1

    11th hour sio mwisho ila ndio mwanzo mwema,najifariji nikisema ni simulizi tuh😒na kwa watoto walio mitaani Mungu awape afya na awalinde kwa lolote mbya maskini asante sana simulizi mix.Sam I salute you guy,

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 2 ปีที่แล้ว

    Mm katika maisha yangu nadhiri yanguu mwajirii haeezi nipigaaa mana hata saudia nilipiga nakuletewaa policee mm mubishii sowezii siwezi kukubali mwili wangu kuwa starehee kwa mtuuu

  • @salmazwallo5920
    @salmazwallo5920 2 ปีที่แล้ว

    Mmmhhh dunia so mbayaa ila binadam do wabayaa polee G kwa mapito haya ilaa hawa madoctar mungu atawalipaa 2 kwa ubaya wenu

  • @nusratbintabdullah5713
    @nusratbintabdullah5713 2 ปีที่แล้ว +2

    May Almighty Allah protect everything orphans and street children in the world very painful Ya rabbi 😭😭😭

    • @lonakirao5275
      @lonakirao5275 2 ปีที่แล้ว +1

      Aamiin rabby amiiin 🤲 InshaAllah

  • @hanifaomar7438
    @hanifaomar7438 2 ปีที่แล้ว +1

    Pamoja Sana

  • @zahrababygarl1568
    @zahrababygarl1568 2 ปีที่แล้ว

    Dunia haina huruma kabisa

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 2 ปีที่แล้ว

    Yan kuna watu hawana akili hiviii mnashindwaaa kuenda ku adampt watoto mwataka kuibaaa...

  • @ummusulaish5586
    @ummusulaish5586 2 ปีที่แล้ว +1

    Shukran sana kwa Simulizi mpya

    • @judithemali1454
      @judithemali1454 2 ปีที่แล้ว +1

      Mungu atawalinda yatima wake mahana awo ni mboni wajicho lake

  • @aminanimbona1861
    @aminanimbona1861 2 ปีที่แล้ว

    Asante kwa muendelezo

  • @janethmagemakwakeliinauma3581
    @janethmagemakwakeliinauma3581 2 ปีที่แล้ว

    Nawalaani madokta wrote wenyetabia kama hizi

  • @fatumajumanne5961
    @fatumajumanne5961 2 ปีที่แล้ว +1

    ❤️❤️❤️

  • @خديجهالبلوشي-د4ك
    @خديجهالبلوشي-د4ك 2 ปีที่แล้ว

    Nalia jaman

  • @evalineedwardsuzanne9862
    @evalineedwardsuzanne9862 2 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭

  • @monajafar4473
    @monajafar4473 2 ปีที่แล้ว

    Kuna watu wa nyama yani mtu uuwe mtoto wa kakako kwa sababu ya Mali na bbke ndio ame hangaika akijua mtoto wake hata teseka ss yuwafa mtu mwengine aliyekusudiwa amepona

  • @euwine_0726
    @euwine_0726 2 ปีที่แล้ว

    Kama ni D’one mi huwa si pingi kwakusikiliza yani mpaka mwisho hapa

  • @fatumajumanne5961
    @fatumajumanne5961 2 ปีที่แล้ว

    YARRABY TUPE MWSHO MWEMA.

    • @sadkham4021
      @sadkham4021 2 ปีที่แล้ว +1

      dahh inahuzunisha sana yan pesa inagarimu maisha hii nomaa 😱😱😱,,ila muendelezo mbon unachelw??

    • @hadija1135
      @hadija1135 2 ปีที่แล้ว +1

      Amiin

  • @aishagarcia733
    @aishagarcia733 2 ปีที่แล้ว

    😭😭

  • @فوازالفواز-ذ5ظ
    @فوازالفواز-ذ5ظ 2 ปีที่แล้ว

    Asante Sana kwa muendelezo