❤❤ mbarikiwe na MUNGU. Mtunzwe na MUNGU Kila SİKU nabarikiwa na mafunuo ya MUNGU kupitia kunena kwwnu. HAKIKA nawafurahia sanaaa..... Mama kiatu chako kizito LAKIN HAKIKA NEEMA ya MUNGU imekubeba
Naendelea kutiwa moyo na imani kuzidi kuongezeka ndani ya Yesu Kristo Bwana wetu! Tena nakwambia dadangu Solome umezaa weeeeeengi utakuja kugundua hili tutakapo simama mbele ya kule kiti cha Mungu muumba wa mbingu na nchi, barikiwe sana!
dada mungu akubaliki sana unanitia moyo kwenye changamoto ninazopitia Ila mungu hawahi Wala hachelewi anatanda kwa wakati naamini mbalikiwa pia atatoka kwa imani
Mama wa watoto wa kikosi kazi cha injili hakika wewe ni mwalimu Mungu akubariki sana, na abarikiwe mbarikiwa aliye beba maono ya kikosi kazi, nakuyaishi kwa namna ya kuyaingiza kwenye miyoyo ya watu nao wanayaishi sasa, nazani swawabu yake ni kubwa sana,
Nafurahi sana kuwaona mmesimama katka imani yamitume na roho ya YESU indani yenu nikweli yaulimwengu yanaukomo mtu muovu hana amani daima japokuwa mcha Mungu anaweza kukuso amani kupitia magumu nikwa mda tu ila atafurahi milele MUNGU awasimamishe awatetee Matendo makuu yake yanakuja samee jeshi la falao wanaohusika na yote hatutawaona tena wakiwatesa asema Bwana samee samee MUNGU ajibu
Mungu.akusamehe..tukwa.sababu.hatahivi haujajitabua.vita nivyako havikovya mungu kwa kwasababu unajiwekakwa.nafasi.yamungu..wewe.unazani.juunaimba..mungu.anaendanga namupubavu lakini
Huu mama nimwenye Heiman. Wewe unamuita mpumbavu. Akosa wewe. Anaimbia Mungu Tena bwana yske iko mabusu natoto wake amekufa. Hauone uvumilivu wake... Mungu atawapiga Sawa Farao....
1Fal 17:1-9 Kwa dhambi ya kumfunga Mch. Taifa lazima tupigwe kama wanavyopigwa Waparestina maana walijidanganya kuwa wanaweza kumbe hawana lolote. Tanzania tutakumbana na mafuriko, kimbunga na mvua ya moto twende tusubiri.
@@EdwinMbwilo-fj6bfimani yako ndio imeishia hp ww ni nan wa kuiombea tz mabaya Omba Mungu amtoe gerezan uyo mchungaji wako wa taifa kwa Mungu kila kitu kinawezaka
@@lightnessabdallah2340Mimi si muumini wa kikosi kazi Bali Mimi TAG damu lakini kwa dhambi hii kupigwa ni lazima tena liko pigo moja kubwa litakalofanya taifa liwaheahimu watumishi wa MUNGU aliye hai. Amina.
❤❤ mbarikiwe na MUNGU. Mtunzwe na MUNGU Kila SİKU nabarikiwa na mafunuo ya MUNGU kupitia kunena kwwnu. HAKIKA nawafurahia sanaaa..... Mama kiatu chako kizito LAKIN HAKIKA NEEMA ya MUNGU imekubeba
Mungu akutie nguvu uedalee n safari mwesho wake utasida kwa jina la yesu 🙌🙌👏👏👏🙏🙏🙏
Naendelea kutiwa moyo na imani kuzidi kuongezeka ndani ya Yesu Kristo Bwana wetu! Tena nakwambia dadangu Solome umezaa weeeeeengi utakuja kugundua hili tutakapo simama mbele ya kule kiti cha Mungu muumba wa mbingu na nchi, barikiwe sana!
Ishi kwa uhalisia wa maneno ya wimbo wako hata mwisho. Yesu yu karibu kurudi
Mungu ndiye tumaini pekee mwanadamu hana msaada .Mungu awabariki songa mbele na Yesu japo miiba na michongoma itawaotea.
Nina imani kuwa Baba MUNGU atatenda megi zaidi❤😢😢
Mungu ni mwema, ni ta simama Mbwana Kati ya kuteda mema
dada mungu akubaliki sana unanitia moyo kwenye changamoto ninazopitia Ila mungu hawahi Wala hachelewi anatanda kwa wakati naamini mbalikiwa pia atatoka kwa imani
Amen kubwaa
Ooooh hallelujah wa milele MUNGU anaweza yoote,,,hakika nikusimama Kwa zamu na YESU atafanya
Ameeeeeen ❤❤❤❤❤
Asante MUNGU kwa kumfariji Mtumishi wa Mungu
Amina ❤
Wimbo wangu ninaoupenda kitabu Cha habakuki Mungu akubariki mama
Ameen ubarikiwe
👏👏👏👏👏👏👏
Ameeeeeeen
Nsimire nshokano
Mama wa watoto wa kikosi kazi cha injili hakika wewe ni mwalimu Mungu akubariki sana, na abarikiwe mbarikiwa aliye beba maono ya kikosi kazi, nakuyaishi kwa namna ya kuyaingiza kwenye miyoyo ya watu nao wanayaishi sasa, nazani swawabu yake ni kubwa sana,
Elizabeth Amen wimbo mzuri sana nitasimama juu ya mdala nione atakalolitenda. Mungu azidi kuwabariki na kuwainua
Mungu hachelewi wala Hawaii husikia kila ombi la mja wake
Mungu akutie nguvu Sana mama
ubarikiwe sana mama
Amina Amina Amina watu wa mungu 🙏
Amen Mungu atafanya tu❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ameni wana wa YESU nawapenda bure
Amen 😢
Mungu awatie nguvu katika mafundisho hayo piga kelele paza sauti
Nafurahi sana kuwaona mmesimama katka imani yamitume na roho ya YESU indani yenu nikweli yaulimwengu yanaukomo mtu muovu hana amani daima japokuwa mcha Mungu anaweza kukuso amani kupitia magumu nikwa mda tu ila atafurahi milele MUNGU awasimamishe awatetee Matendo makuu yake yanakuja samee jeshi la falao wanaohusika na yote hatutawaona tena wakiwatesa asema Bwana samee samee MUNGU ajibu
Amen
Ameeeeen Ameeeeeeen
Mama yetu
Mungu.akusamehe..tukwa.sababu.hatahivi haujajitabua.vita nivyako havikovya mungu kwa kwasababu unajiwekakwa.nafasi.yamungu..wewe.unazani.juunaimba..mungu.anaendanga namupubavu lakini
Hata kuandika kwenyewe shida, afadhali ya mimi niliyeishia darasa la 6 lakini ninaeleweka,
kuandika shida sijui anaskia tu ila kuandik tatizo
Huu mama nimwenye Heiman.
Wewe unamuita mpumbavu.
Akosa wewe.
Anaimbia Mungu Tena bwana yske iko mabusu natoto wake amekufa.
Hauone uvumilivu wake...
Mungu atawapiga Sawa Farao....
Mungu akusamehe kwan hujui ulitendalo
Ameeeee
Mtanyookat
1Fal 17:1-9
Kwa dhambi ya kumfunga Mch. Taifa lazima tupigwe kama wanavyopigwa Waparestina maana walijidanganya kuwa wanaweza kumbe hawana lolote. Tanzania tutakumbana na mafuriko, kimbunga na mvua ya moto twende tusubiri.
Tunasema Acha farao aendelee kujaa vizuri