Wachambuzi pima michezo yote ya Simba tangu ametoka kambi amesajiri wachezaji wote hawa mseme timu sumbufu ni ipi inayoweza kuwa chini tabora?... Tabora tabora ni katimu kadogo tu saana tena kuliko zote amabazo amekutana nazo. Hata kama yakooba na makambo wangekuwepo wasingeweza kufunga Simba. Makambo amecheza ligi kuu hii sio Mara ya kwanza ni mech gani alimfunga Simba, aifunge aote!...
🦁♥️♥️♥️♥️♥️💪💪💪💪🙏🙏
Ni sahihi
Ovyoooo
kwa hiyo ww una chembechembe za kukosa ukweli
Mwaka Kundi oyeee
Matusii yaniniii sasaa mwaka kundii
uwezi muondoa mchezaji muhimu kwenye game mbili... hili ascheze game moja ..ukose point sita kisa tatu ambazo unaweza kukosa uwo siyo mpira
Wachambuzi pima michezo yote ya Simba tangu ametoka kambi amesajiri wachezaji wote hawa mseme timu sumbufu ni ipi inayoweza kuwa chini tabora?... Tabora tabora ni katimu kadogo tu saana tena kuliko zote amabazo amekutana nazo. Hata kama yakooba na makambo wangekuwepo wasingeweza kufunga Simba. Makambo amecheza ligi kuu hii sio Mara ya kwanza ni mech gani alimfunga Simba, aifunge aote!...
Msenge wewe huna unachokijua
We ni uto