Chanzo cha Vita ya Congo I Kisa cha Rwanda Kutajwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 62

  • @omarabdallah1760
    @omarabdallah1760 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Almost kila mtu amekua akielezea historia ya Congo Hila Bro umehelezea safi Kabisa, clear.

  • @KuruthumBilali
    @KuruthumBilali ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Allah kareem

  • @epmzmusifiwar6694
    @epmzmusifiwar6694 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Yes I am A Congolese DRC 🇨🇩 inside my Blood ❤️
    I believe on day we shall make it yes I believe
    I know It's Always In My Dream

  • @Brunoh90Tv
    @Brunoh90Tv 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Huyo mdada nimemuelewa mwenye contacts zake anisaidie😊

  • @ThanksWorld-23456
    @ThanksWorld-23456 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uhu ndo ukweli

  • @sheikinitv8489
    @sheikinitv8489 7 นาทีที่ผ่านมา

    Huyu mdada anafaa kuwa mke wangu kabisa. Naomba Mawasiliano yake

  • @lubegajosia973
    @lubegajosia973 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kuna historian kubwa sana.

  • @agathekibobe
    @agathekibobe 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Congo ina pigwa na inci mingi wana tumiya tu kangame sana ila yuma ya rwanda pako inci zigine

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Hao wanajeshi wenyewe wanaoenda kulinda amani huko wengine hawajui hao M23 wametoka wapi wao wanaenda kutekeleza tu walichoagizwa tandika adui M23, wakati ukute hapo hata M23 siyo maadui ila ubinafsi wa watu wachace ndo wanaleta haya machafuko.

    • @BarakaKusalula
      @BarakaKusalula 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kweli hii vita tuwaachie wenyewe tu wapambane Ukute M23 wako sahihi kabisa kupigania ardhi yao

  • @abeidkhamis6130
    @abeidkhamis6130 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Watu wote wenye nia mbaya na fikra za Hima Empire hawaspoti ukweli kwamba Watusi walienzisha vuguvugu la kutawala eneo la Afrika mashariki na kati halafu ndio maana wanamtusi huyu kijana

  • @mbwizax87
    @mbwizax87 10 นาทีที่ผ่านมา

    Nyie jamaa ni waongo kinyama 😂

  • @storytownTv
    @storytownTv 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Apo hamna la maana ,mabeberu wanahusika sana na hawatajwi tayar ,ukwel bado umefichwa tuonekane tunapigana wenyew kwa wenyew..😢

  • @katembomuhiwa9956
    @katembomuhiwa9956 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kagame ame zeeka ile watakao teseka kwa haya mazara ni vijana watakao baki myaka ijayo

  • @mustafamsati9599
    @mustafamsati9599 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ishu sio ukabila hapo ishu ni madaraka ni dili za pesa kagame museven na wazungu

  • @mustafamsati9599
    @mustafamsati9599 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kama banyamulenge sijui ni wahutu sawa wapewe hio kivu yenye madini alaf tuone kama Kagame atawaachahuru

  • @rawahi7024
    @rawahi7024 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Dogo hujui hiyo historia

    • @hekimashola9079
      @hekimashola9079 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Yaan huyu ndo ziro kabisa 😂😂

    • @shizzo4nizzo
      @shizzo4nizzo 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hajui kabisa, hitoria inaanzia kwenye Berlin conference, hata nyuma ya hapo.

    • @Capt_Willy
      @Capt_Willy 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nyie mnaojua mbona hatuwaoni kwenye media acheni ujuaji

    • @PolRicric
      @PolRicric 52 นาทีที่ผ่านมา

      Ww unaejua tuelezee ss

  • @isayasimwinga2854
    @isayasimwinga2854 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kweli mchambuzi alipaswa kuanzia Berlin conference ili aeleweke vizuri. Ameleta historia nusunusu. Kabila kuwa kwenye nchi mbili ni kawaida kabisa sawa na wanyakyusa malawi na Tz, wamasai kenya na Tz nk.

  • @am2323tze
    @am2323tze 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Big mistake was recruiting the rebels into Congolese army. They were supposed to be allowed to live in Congo but not participating in any army business. DRC had to undertake screening process to ensure that no one of those rebels are recruited into the army

  • @abeidkhamis6130
    @abeidkhamis6130 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Shida ya Tatizo la kongo wazungu wanataka Rasili mali wa Tutsi kwa upande wao wana taka ardhi ili kujenga himaya yao na wa Nilotics kagame amenunua hekari nyingi za ardhi hivi sasa upande wa mto kongo katika nchi kongo Brazzaville wameona kabila za mshsriki zinazingua bkora waingilie kupitia magharibi mwa nchi makabila ya kule hawawajui vizuri wa Tutsi na ni wazembe wapenda starehe.

  • @donaldmgunda4970
    @donaldmgunda4970 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    M veeeee ntwaaaaaa😂😂😂

  • @fatumahassanduale4701
    @fatumahassanduale4701 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Wewe ni mjinga,watutsi wanaishi pia congo,kama vile wamasai wako kenya na tanzania,m23 imeanza baada ya wacongo watutsi kufukuzwa,mwalim nyerere alijaribu kusuluhisha na katika hutuba yake alieleza kama ninavyo kuambia,wewe umesikia propaganda ya upande mmoja.

    • @JeanNelly
      @JeanNelly 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tulia wewe akunaga mtusi Mkongo watusi na wautu wote walitoka rwanda wote

    • @abeidkhamis6130
      @abeidkhamis6130 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wa Tutsi asili yao Ethiopia, Eritrea, na somalia ndio maana una hitwa Duale Kuna Mwanasiasa mmoja Somali Kenya anahitwa Duale wa Tutsi walikuja Rwanda kupitia Mto Nile Uganda hadi Rwanda, Leo unakua Tena mnaongelea Kongo , kesho itakua Tanzania na Burundi

  • @techtelecoms9308
    @techtelecoms9308 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nenda kwanza congo 🇨🇩 kisha ndo uje kua mchambuzi mzuri, nyumbni kwako vimekushinda unawaza vya majiani zako😅

  • @JKQGAME
    @JKQGAME 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tumerudi hapa hapa kihome weika tumeachana na mambo ya Ukraine na USSR pamoja nam mambo ya mioto huko ughaibuni kwaiyo dunia inaanza kuchangamka

  • @JellyCiza
    @JellyCiza ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwaka yazamani wakati wa ukoloni Rwanda Na Burundi ilikuwa inci moja wazumgu walipogawa Africa Waka weka mipaka kunamakabila zingine ziligawanyika wamoja Waka Baki Congo nawangine wa Kawa Rwanda Na Wangi Wakawa Burundi napande ya pili walipogawa Tanzania.ndiya kwamana Tanzania Kuna watu wanaongeya kirundi lakini niwatanza I wazumgu walipo gawa Congo Kabila la watusi walikuwaepo

    • @mbwizax87
      @mbwizax87 8 นาทีที่ผ่านมา

      Wewe ndo umeongea, sio huyu jamaa anadanganya watu

  • @agathekibobe
    @agathekibobe 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kagame ni muuwaji tu nderahamwe nilishaka malizika hakunatena wa hutu congo uganda na rwanda niya yao niku maliza wa congomani

  • @lubegajosia973
    @lubegajosia973 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kuna Siri kubwa sana ndg

  • @musauyepaulo802
    @musauyepaulo802 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    So Ile mission ya Rwanda kuwarudisha wa hutu wa kivu iliishia wp baad ya kuamua kumpa support L. Kabila ku take over

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kwani nyie nani kawaambia?

    • @zaburi2386
      @zaburi2386 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ni mambo yapo waz

    • @Bilioneabichwa331
      @Bilioneabichwa331 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @zaburi2386 me mwenyewe natania tu, lakin kiukweli tunapata somo zuri sana, ila wazungu ndo chanzo cha yote, wanatugombanisha wale mbwa

  • @techtelecoms9308
    @techtelecoms9308 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Acheni kudanganya watu

    • @NepporSabith
      @NepporSabith 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Twambie unacho kijua

    • @zaburi2386
      @zaburi2386 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hio story iko clear Sema dogo kaelezea kwa ufup hata asie na ufaham ataelewa

  • @d-maxplatnumz8849
    @d-maxplatnumz8849 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kaka historia yako nzuri ila umeifanya fupi, kuna vitu vingi hujaongelea, kama mfano tunaskia kuna kabila la watusi pale kongo tangu zama hizo za ukoloni, na hua wengi ndo tunavyojua, tunahitaji utupe historia ndefu

    • @JCMaxima
      @JCMaxima 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Historia inaanzia kwenye Berlin Conference...

  • @WilsonMosses
    @WilsonMosses 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mtu anijibu tafwadhali kwani hao wahutu hawakua wanyarwanda? Mpaka waiikimbie rwanda

    • @Jumamaduka240
      @Jumamaduka240 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ukisoma chanzo cha vita cha wahutu na watusi utajifunza zaidi.
      Mgogoro wa kikabila Rwanda na Burundi ni mkubwa tofauti na mazoea ya huku kwetu

    • @WilsonMosses
      @WilsonMosses 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@Jumamaduka240 Ndio mkuu asili ya wahutu Ina maana sio Rwanda sindio maana wakaikimbia Rwanda ? Au acha nifwatlie historia io

  • @muhengamakunga
    @muhengamakunga 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    nyie hayo mambo ya ki historia yamesha pitwa na wakat hicho ndo kilicho ifanya palestina kua hivyo inshu ni maslah ya wazungu ambao wame pitia rwanda kudil na congo

  • @ShariffCharlesSangabo
    @ShariffCharlesSangabo 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Very shallow explanation

  • @OmmyOmario
    @OmmyOmario 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uongo mtupu badoo ujuilolote

  • @reisedyy4910
    @reisedyy4910 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    msiwe mnaleta watoto wa 2000 kuelezea historia kama hizi... hauwezi kuzungumzia mgogoro wa Congo kwa kuanzia mwaka 1994...😂😂😂😂 sasa wale Banyamulenge wa Kivu ambao ni wazawa halisi wa congo na ndio wenye hio M23 kwanini hata hajawagusia?? Hahaha hawajui... mmetukosea sana watazamaji wenu.

    • @zaburi2386
      @zaburi2386 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Bamyamulenge wanakuaje wazawa halis wa congo hali ya kuwa walitokea Rwanda 🇷🇼

  • @ambrosemtena2876
    @ambrosemtena2876 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dogo upo vizuri

  • @futuremistake7886
    @futuremistake7886 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Haya mambo ya historia acheni kutafuta vijana wa 2000 kuelezea wanaposha, historia ya Congo na Rwanda ukianzia tu 1994 uwezi pata uwelewa sahihi wa jambo ili

    • @lampadshigonko3006
      @lampadshigonko3006 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      umri namba tuu

    • @kamanzicrouch3881
      @kamanzicrouch3881 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nashangaa hivi vitoto vya 2000 vijuaji ya ajabuu

    • @isayasimwinga2854
      @isayasimwinga2854 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kweli ila mchambuzi alipaswa kuanzia Berlin conference maana Rwanda na mipaka yake inaanzia apoo

  • @bigenawelcome9923
    @bigenawelcome9923 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tomba mamako mujinga

    • @zaburi2386
      @zaburi2386 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Shida nn mkuu

  • @claudetiddy6758
    @claudetiddy6758 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Unaongea usioyajua

  • @sheikinitv8489
    @sheikinitv8489 7 นาทีที่ผ่านมา

    Huyu mdada anafaa kuwa mke wangu kabisa. Naomba Mawasiliano yake