Utukufu Rapogi (Banana mass) - Live Wedding Performance 2019

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024
  • • Utukufu kwa Mungu juu mbinguni na amani iwe kote duniani,kwa watu wenye mapenzi mema.
    Tunakusifu tunakuheshimu na tunakuabudu baba tunakutukuza x2.
    • Tunakushukuru Mungu kwa ajili ya utukufu wako mkuu ee bwana,ni Mungu ndiwe mfalme wa mbingu
    • Ee baba mwenyezi bwana Yesu kristu ee mwana wa pekee ee Mungu mwana,kondoo wa Mungu mwana wake baba.
    • Mwenye kuziondoa dhambi za dunia utuhurumie tuhurumie upokee baba maombi yetu.
    • Ndiwe mwenye kuketi kuume kwa baba utuhurumie kwa kuwa ndiwe ,pekee yako ndiwe mtakatifu.
    • Pekee yako bwana ndiwe mkuu ee Yesu kristu pamoja naye,roho mtakatifu milele yote.

ความคิดเห็น • 70