KIBAKI,KALALE PEMA PEPONI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • SHAIRI (KIFO)HUZUNI NCHINI KENYA.
    BY...
    MZAZI MWAGARASHI.
    0714741371.

ความคิดเห็น • 53

  • @Rashidu22
    @Rashidu22 2 ปีที่แล้ว

    Kibaki na Moi ni makafiri wataingia motoni

  • @Rashidu22
    @Rashidu22 2 ปีที่แล้ว +1

    " Waombee msamaha au usiwaombee, na hata kama utawaombea mara sabini basi Allah (s.w.t.) hatawasamehe" Makafiri At-Taubah 09:80)

    • @moussamohammad5073
      @moussamohammad5073 2 ปีที่แล้ว

      Tunaomba urudi kuwa una upload mawaidha ya Sheikh Ali Bahero tustafidi kwake.

    • @bintik2311
      @bintik2311 ปีที่แล้ว +1

      Safi kabisa Rashidu

  • @bbhbbh7353
    @bbhbbh7353 2 ปีที่แล้ว

    Shairi zuri sana na pia pole ni kazi ya Mungu aina makosa wa Kenya wote tunauzuni

  • @stamiliyuwa8360
    @stamiliyuwa8360 2 ปีที่แล้ว +1

    Inalilah wainailah rajiun,mashaallah hongera!

  • @mwanalimateusi1324
    @mwanalimateusi1324 2 ปีที่แล้ว

    Kullu nafsi dhaika tul maut hatuna jinsi nakifo hakiepukiki pamoja sna mwagarash pole xna kwa rais wetu kibak🙏

  • @mwandianiissa8838
    @mwandianiissa8838 2 ปีที่แล้ว

    Kali sana hii Mzee wangu

  • @pastormeshackmboya
    @pastormeshackmboya 29 วันที่ผ่านมา

    Napenda shairi

  • @kenyatradex6224
    @kenyatradex6224 2 ปีที่แล้ว

    shairi zuri brother mungu akujaze afya na hekma .

  • @yusufkiprop1.
    @yusufkiprop1. 2 ปีที่แล้ว

    Innah lillah wa innah rajiun, Hongera Kaka Hamisi

  • @jsshshsh4562
    @jsshshsh4562 2 ปีที่แล้ว

    Kaka nikitaka shairi nakupataje vile

  • @linetwanjala8851
    @linetwanjala8851 2 ปีที่แล้ว

    Ametutangulia Kibaki buriani kwake.

  • @Rashidu22
    @Rashidu22 2 ปีที่แล้ว

    Mushrikina ataingia jahannam

  • @saumuali1875
    @saumuali1875 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah tabaraq Allah

  • @jpchillahmansour6424
    @jpchillahmansour6424 2 ปีที่แล้ว

    🔥🔥 Mashaallah

  • @AllyMriri
    @AllyMriri 2 หลายเดือนก่อน

    Nakupataje kaka unitungie shairi ni namba

    • @hamisimwagarashi9501
      @hamisimwagarashi9501  2 หลายเดือนก่อน

      @@AllyMriri wala usiwe na wasi naieka namba yangu hapo...0714741371.

  • @ummusulaish5586
    @ummusulaish5586 2 ปีที่แล้ว

    MashaAllah,,,, Hii mbona nimechelewa kuiona

  • @shaurimfungoni1772
    @shaurimfungoni1772 2 ปีที่แล้ว

    Pore phai.....shairi liko sawa

  • @godfreymwenda9440
    @godfreymwenda9440 2 ปีที่แล้ว

    Beautiful....

  • @aishaali3693
    @aishaali3693 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah jazakaallah kher

  • @zakarialovelyofficial6806
    @zakarialovelyofficial6806 2 ปีที่แล้ว +1

    Rip

  • @husseinsamow6961
    @husseinsamow6961 2 ปีที่แล้ว

    Hongera

  • @amirjuma9395
    @amirjuma9395 2 ปีที่แล้ว +1

    Watanzania tulifiwa na raisi wetu akiwa madarakani kwaujirani mwema ulifaa kumtungia shairi sisi ni mashabiki wako tukiwa Tanzania tunaomba ututungie jamani

    • @hamisimwagarashi9501
      @hamisimwagarashi9501  2 ปีที่แล้ว

      Subbhana Allah.
      Shukran sana rafikiangu kwa kunikumbusha....Nilishatunga shairi hilo, lakini kwa uzuri na moyo wa unyenyekevu wa magufuli nilishindwa kughani kwa huzuni nyingi, ila nitafanya hivyo Allah akiniwezesha.
      Poleni sana ndugu zangu na naomba muamini kua tuko pamoja.

  • @mercywanjiru5927
    @mercywanjiru5927 2 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭

  • @lydiachebet6252
    @lydiachebet6252 2 ปีที่แล้ว

    Mola ailze roho yake pema peponi.

  • @edithmacharia2993
    @edithmacharia2993 2 ปีที่แล้ว

    Good job

  • @alimwakaga6316
    @alimwakaga6316 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @munamunaidhalma3053
    @munamunaidhalma3053 2 ปีที่แล้ว

    😭😭😭