Vipi kuhusu viss ya ndoa? Nina mpenz wangu ni raia wa marekani sasa hatuelewi ipi njia nzuri fisncee visa au spouse visa tunaomba utuelekeze mkuu tujue tunaanzia wapi
Asant san kaka sasa natak kuuliza ikiwa utaomba viza ya nikutano inatakiwa uende ukaombe baada ya mda gn mkutano kufanyika na pia viza iyo inachukua mda gn ww kupata
Tuko pamoja bra illla sema uko kimya sana❤❤❤
Thanks again bro ❤❤❤
Office zenu zinapatikana maeneo gani Dar es Salaam?
Vipi kuhusu viss ya ndoa? Nina mpenz wangu ni raia wa marekani sasa hatuelewi ipi njia nzuri fisncee visa au spouse visa tunaomba utuelekeze mkuu tujue tunaanzia wapi
karibu subscribe na ubonyeze alama ya kengele ili uwe wa kwanza kuipata video hiyo Tuta iandaa hivi karibuni
Asante mzee wa kusanua❤
Asant san kaka sasa natak kuuliza ikiwa utaomba viza ya nikutano inatakiwa uende ukaombe baada ya mda gn mkutano kufanyika na pia viza iyo inachukua mda gn ww kupata
karibu subscribe youtube channel yetu na ubonyeze alama ya kengele ili uwe wakwanza kupata video zote