Uchochezi uko wapi hapo? Kutetea haki ya WA lamu niuchochezi ovyas unavyo ongea ww ni msapere chuki zenu hizo watu lamu hawana taa na maji hasara tunategemea fishing so ujinga wenu pelekeni mbele wakati nyinyi kwenu mkigoma hatutesemi ni wachochezi but lamu wafanyalo nuwachochezi pelekeni ujinga mbele huko
Habari zenu.. Habari zenu
Waziri wa kawi ndio shida..kenya nzima...sehemu nyingi hazina stima kwa muda wa miezi
Swadaka
Bado hamuchachoka mutalia tena badooo kabisaaa
Mnataka kutransfer shida kwa nani tena? Akishindwa na kazi anaenda akalime.
Shekila abdalla..huyu ni mchochezi