Wakazi wa Mombasa wataka rais mteule kushughulikia suala la ajira

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
  • Baadhi ya wafuasi wa Kenya Kwanza kisiwani Mombasa wamemtaka rais mteule William Ruto kushughulikia ahadi alizotoa kwa wapwani. Mojawapo ya masuala wanayotaka yashughulikiwe ni shughuli katika bandari ya Mombasa na kutoa ajira kwa vijana. Wafuasi hao walisema haya baada ya uamuzi wa mahakama ya upeo na kuandaa sherehe katika barabara za Mombasa

ความคิดเห็น • 39

  • @asaa3219
    @asaa3219 2 ปีที่แล้ว

    Sasa ndio wanatambua kua anaweza kabla walikua wanamkataa oh GOD you are so good

  • @carolinenduku6722
    @carolinenduku6722 2 ปีที่แล้ว

    I can see you my shem,Kanga bravo👌👌👌well spoken

  • @alexanderkapinga700
    @alexanderkapinga700 2 ปีที่แล้ว +6

    People are having so much hope with Ruto all I wish is you to do more than their expectation.

    • @hustlingingodwetrust417
      @hustlingingodwetrust417 2 ปีที่แล้ว +1

      Jehovahis faithful the one who has given him victory he will guid him through the holy spirit

  • @RK-xv1si
    @RK-xv1si 2 ปีที่แล้ว

    You sent Cherera to act on behalf of Raila and Joho and Raila. Uncle Willy is God fearing man he’ll take care of you ata kama kura hakupata Mombasa!

  • @lalimohammed647
    @lalimohammed647 2 ปีที่แล้ว +1

    poleni!

  • @fancytulula9537
    @fancytulula9537 2 ปีที่แล้ว +2

    Please, our President Elect, the Youth all over have high expectations of you, giving them jobs, reviving Businesses for all & improve their lives... May God help you achieve these. It will not be done immediately,but, it's achievable, Shalom🙏

  • @carolinenduku6722
    @carolinenduku6722 2 ปีที่แล้ว

    Vidudu watu😂😂😂😂u made my day

  • @davidsimiyu56
    @davidsimiyu56 2 ปีที่แล้ว

    Mombasa they let us down

  • @antonypatrickmangori1585
    @antonypatrickmangori1585 2 ปีที่แล้ว

    Kenyans as you continue keeping your hopes high, also leave room for disappointments.

    • @levinaringoma
      @levinaringoma 2 ปีที่แล้ว

      Sure , lots of disapointments

  • @abdallahkassim318
    @abdallahkassim318 2 ปีที่แล้ว +4

    Kwa nini mkapea Abdulswamad shariff kura???

    • @abouhafs2891
      @abouhafs2891 2 ปีที่แล้ว +1

      Sasa Abdulswamad na hii ya urais inaingiliana vp?....

    • @abdallahkassim318
      @abdallahkassim318 2 ปีที่แล้ว

      @@abouhafs2891 Saa hii ndio mnalilia ajira na wakati port kuamishwa Naivasha JOHO hakujuwa madhara yake? Uhuru last week alikuwa mombasa sijui kama vilio hivyo vya kazi aliambiwa..

    • @suodeekenia9034
      @suodeekenia9034 2 ปีที่แล้ว

      Kwani wakimpa abuuswamadi Kuna shida gani

  • @trenchtown7362
    @trenchtown7362 2 ปีที่แล้ว

    The country is in a sombre mood, nothing to smile about 🙏

  • @faizzimboy9319
    @faizzimboy9319 2 ปีที่แล้ว

    Wamejaa wakale port walingia wakati wao

  • @hustlingingodwetrust417
    @hustlingingodwetrust417 2 ปีที่แล้ว

    mwabiyeni njoho afanye hiyo kazi naa rafiki yake muliochagua hiyo ni ngoma yaa azimio mulisema wenyewe

  • @donhussle948
    @donhussle948 2 ปีที่แล้ว +1

    Ati mama mbogq na watu wa bodaboda wamemueka Kwa kiti wacheni zenu ...CAMARGO NDO kamweka pale c nyinyi 🤣🤣🤣🤣🤣 ...muta hustle kivyenu sasa ...si court muliona chenye wanaongea. Ambavyo c nyinyi muliopiga Kura sasa sukumeni wheelbarrow ruto hapo haisiki kabisa. ...mutajua hamujui 🤣🤣🤣

  • @donhussle948
    @donhussle948 2 ปีที่แล้ว +2

    Mutajua hamujui sasa hakuna ajira mutapewa wala nn c nilikuwa mwataka yy haya sasa ndo hvyo pambana na Hali yako ..sukuma wheelbarrow sasa. Ashawaambia mu hustle sasana wheelbarrow

    • @khadijakheir9323
      @khadijakheir9323 2 ปีที่แล้ว

      letu jicho tuone mwisho wake

    • @donhussle948
      @donhussle948 2 ปีที่แล้ว

      @@khadijakheir9323 ushasema kabisa nipe number zako

    • @toshakisasi8331
      @toshakisasi8331 2 ปีที่แล้ว

      Hzo za Africa Uhuru alifix

    • @toshakisasi8331
      @toshakisasi8331 2 ปีที่แล้ว

      @@donhussle948 ndo hvyo
      Danganya mbuz na magad

  • @sheilakimutai4026
    @sheilakimutai4026 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna sauti

  • @dzunyasuleiman7057
    @dzunyasuleiman7057 2 ปีที่แล้ว

    ,hizo aridhi ndio amazonas kwanza

  • @hadijasadi2543
    @hadijasadi2543 2 ปีที่แล้ว

    Mutalilia choosing nyinyi

  • @khadijanjama8721
    @khadijanjama8721 2 ปีที่แล้ว

    Hakuna ajira wala nini jiandaeni kununua unga kilo mia tano mkishindwa rudini arabuni

  • @mainagakere5548
    @mainagakere5548 2 ปีที่แล้ว

    The people are now demanding their pound of flesh ,it is time to pay back ,unga ,fuel,cooking ,it is easier said than done

  • @trenchtown7362
    @trenchtown7362 2 ปีที่แล้ว

    Real work has now began, campaign rhetoric Kwisha 😂🤣😂

  • @kwekwenyotakwekwenyota183
    @kwekwenyotakwekwenyota183 2 ปีที่แล้ว +1

    Ruto madamu amekalia hakuna kitu mtapewa ama kufanyiwa ruto ni kiburi amebeba

  • @salmahamisi8049
    @salmahamisi8049 2 ปีที่แล้ว

    Hehehee

  • @abouhafs2891
    @abouhafs2891 2 ปีที่แล้ว

    Mshachukua serikali mkiwa na nani?.....subiri wheelbarrow sasa

  • @bakarihamis2789
    @bakarihamis2789 2 ปีที่แล้ว

    Sima in ugali