Women Matters (2): Mume wa rafiki yako anachepuka, utamuambia mwenzio? Watu na maisha Feki, vijembe

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น •

  • @latriciah01augustino67
    @latriciah01augustino67 5 ปีที่แล้ว +3

    Watu wana define vibaya sana uadui! Mtu anayekusema vibaya wala sio adui....!

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 5 ปีที่แล้ว +5

    Maisha y sasa iv iv watu wanaekt maisha kila mtu aonekane vzri

  • @dominicnzai8256
    @dominicnzai8256 5 ปีที่แล้ว +5

    Mama Debora yupo straight forward unajua.....kote Ni kupuliza hakuna kupuliza iwake Wala ipoe...Anayekuonea Wivu Anaweza kukuroga ukafa...hata Yuda alikuwa mwanafunzi wa Yesu Ila alikuwa Hadui tenaa....Hadui Ni hadui tuu

  • @priscambwambo1030
    @priscambwambo1030 5 ปีที่แล้ว +2

    Kabisa wala sio uongo watu wengi wanaishi kwa wasiwasi sana na madai yao wanasema wanamjua Mungu. Nina swali moja kwanini Walokole wengi wanaamini uchawi na kuuogopa ?na madai yao wanampenda YESU .AMBAE NI JEMADARY MKUU ALIESHINDA DHAMBI NA YOTE MABAYA.

  • @rahillhamidu2544
    @rahillhamidu2544 5 ปีที่แล้ว +5

    Mama debo uko right

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 5 ปีที่แล้ว +4

    Mama terry nakubalian n wew ni wivu tu

  • @eneolatukio8493
    @eneolatukio8493 5 ปีที่แล้ว +4

    Urafiki wa Ulaya ndio uko ivo. Leo adui kesho rafiki mnafiki, sababu ya upungufu wa watu wa kuhang nao. Very sad indeed!

    • @teddyoscar6876
      @teddyoscar6876 5 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa urafiki wa ulaya mie naushangaa 🙄

  • @rose_Winchester86
    @rose_Winchester86 5 ปีที่แล้ว +2

    Wanawake wengi wa tanzania asilimia 99% wana wivu mbaya mno yani akimuona mwanamke mwenzake kamzidi kitu anachukia.

  • @binthassancollection.6308
    @binthassancollection.6308 5 ปีที่แล้ว +1

    Mubarikiwe sana.

  • @rahiimal-shuwehdy1203
    @rahiimal-shuwehdy1203 5 ปีที่แล้ว +1

    Terry your talking right 100%

  • @mrsliverpool4235
    @mrsliverpool4235 5 ปีที่แล้ว +3

    Ni wivu kweli maana Hua wanaungulika Sana moyo

  • @sharonndowo6922
    @sharonndowo6922 5 ปีที่แล้ว +5

    Hata dhambi ilianza kama tamaa baadae izaa matunda; "Halafu ile tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi, na ile dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti."
    (Yak 1: 15).

  • @brendasasi4388
    @brendasasi4388 5 ปีที่แล้ว +1

    Picha sehemu yoyote ni ukumbusho tu na watu weng tunapenda kupiga picha nzur na sehem inayovutia tofaut na ambazo zimezoeleka. Sio ushamba

  • @josephinemeela9098
    @josephinemeela9098 5 ปีที่แล้ว +1

    Mara nyingi watu wanapiga picha kuweka kumbukumbu za matukio muhimu yanayowatokea mara chache sana. So kama mtu imemtokezea tu kapata bahati ya kula chipsi na samaki au kupanda ndege atapiga picha ya hilo bonge la tukio muhimu sana kwake.

  • @aliciadas5050
    @aliciadas5050 5 ปีที่แล้ว +6

    Niwivu tu Maman terry,😁you right

  • @nabintukadende2388
    @nabintukadende2388 5 ปีที่แล้ว +1

    Thanks wa Maman. Niwivu tu

  • @fatmazullu4933
    @fatmazullu4933 5 ปีที่แล้ว

    Mmependeza hattaree

  • @rose_Winchester86
    @rose_Winchester86 5 ปีที่แล้ว +2

    Kupiga picha kwenye ndege sio ushamba bwana. Picha ni kumbukumbu

  • @cadzabibu9871
    @cadzabibu9871 5 ปีที่แล้ว +6

    Anakuongeleyavibaya niwivu tu

  • @sharonndowo6922
    @sharonndowo6922 5 ปีที่แล้ว +1

    Shikamoo mama Kaisi

  • @rose_Winchester86
    @rose_Winchester86 5 ปีที่แล้ว +2

    Nampenda sana mama kaisi♥️, 😹😹😹😹

  • @tanzaniaoman6423
    @tanzaniaoman6423 5 ปีที่แล้ว +4

    NI WIVU TU😁😁

  • @nurudovino288
    @nurudovino288 5 ปีที่แล้ว +3

    Kweli eeeh hata aduhi inatakiwa umpende maan ndio inawakirisha uimara wako kupitia yeye

    • @consolathamushi785
      @consolathamushi785 5 ปีที่แล้ว

      I always love u nawapenda sana yan mnaniimarisha kila siku nalipenda jina La terry mbal nahapo mnahekima congratulation host for your commitment n your idears

    • @fatmaalnabhani3609
      @fatmaalnabhani3609 4 ปีที่แล้ว

      Si kweli

  • @sweetmama6885
    @sweetmama6885 5 ปีที่แล้ว +2

    Ila Mama Terry mama yangu unaumbo 🔥😃. Hongera sana mamaa. Mimi sina wivu na wewe. Nimekwambia ukweli. 😁

    • @hamhamy621
      @hamhamy621 5 ปีที่แล้ว +1

      Sweet Mama ni 🔥🔥🔥🔥🔥 was looking kwa comment kama kuna mtu ameona 🙈😁

    • @sweetmama6885
      @sweetmama6885 5 ปีที่แล้ว +1

      @@hamhamy621 Ha!ha! Sisi tumeona kwa kweli. Na labda wenzetu wameona ila wivu. Kama asemavyo mama Terry😁. Natania😜.

    • @priscawilliam2414
      @priscawilliam2414 5 ปีที่แล้ว +1

      Sweet Mama nimemuona pia mashalaah

    • @hamhamy621
      @hamhamy621 5 ปีที่แล้ว

      Sweet Mama hahahaha umetusaidia naona tumepata ujasiri kujitokeza 😂😂😂 kweli hatuna wivu sisi

  • @ummies4349
    @ummies4349 5 ปีที่แล้ว +2

    You hide from your reality😅😅😅 asante mama.

  • @isabellamethod1842
    @isabellamethod1842 5 ปีที่แล้ว

    Uko sahihi mama debora

  • @margarethsaramaki1100
    @margarethsaramaki1100 5 ปีที่แล้ว

    Kweli watu wanaishi na fake life.
    Unakuta mtu anatengeneza kwake kwa mzazi hovyo anaona aibu kupeleka rafiki

  • @najma3268
    @najma3268 5 ปีที่แล้ว

    Uadui unaanza kidogo kidogo ,mwisho wa cku unapatwa na kubwa,

  • @chanuakihara5186
    @chanuakihara5186 5 ปีที่แล้ว

    Chuki na uadui ni Tofauti Sana, Adui Mara zote ni anayekujua na chuki anaweza kukuchukia yoyote bila sababu, Ila Adui lazima awe na sababu ya uadui wake

  • @boballymote7586
    @boballymote7586 4 ปีที่แล้ว

    Siku zote wivu chuki binafsi ndio inakuja kujenga uadui hii ndio hali halisi

  • @chainbre275
    @chainbre275 5 ปีที่แล้ว

    Wanawake tu hapaa 🙌🙌🙌💞😘😘😘🍻

  • @khadeejaabdullah7083
    @khadeejaabdullah7083 5 ปีที่แล้ว +1

    Hello WOMEN MATTERS

  • @majaliwamwandembo2048
    @majaliwamwandembo2048 5 ปีที่แล้ว

    Mama kaisi uko right

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 4 ปีที่แล้ว

    Uadui upo na chanzo ni wivu mpaka kuua

  • @priscambwambo1030
    @priscambwambo1030 5 ปีที่แล้ว

    Lilian ni ushamba sana qatoto wa kibongo wengi washamba sana sana Ndege kitu gani ?

  • @khalifanassor5349
    @khalifanassor5349 5 ปีที่แล้ว +1

    Mtu akikuchukia mara moja bila sababu ni adui

  • @vanlago7580
    @vanlago7580 5 ปีที่แล้ว

    Kusemwa ni kawaida kwakweli ingekua ni uadui tungekua tumeshauwawa

  • @nadiakabamba7373
    @nadiakabamba7373 5 ปีที่แล้ว

    Dada lillian kama nina swali ndaandika wapi???

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 5 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏🙏❤❤❤

  • @frenchygigi
    @frenchygigi 5 ปีที่แล้ว

    Watu wakupiga mapicha ni ushamba

  • @priscambwambo1030
    @priscambwambo1030 5 ปีที่แล้ว

    Tena ni upumbavu sana sana kwa nini mtu usiiche maisha yako? Kuwa wewe sio kuiga jamani . Mama Terry ni kweli waswaz wengi waki fake sana sana.

  • @margarethsaramaki1100
    @margarethsaramaki1100 5 ปีที่แล้ว

    Huo ni ushamba

  • @priscambwambo1030
    @priscambwambo1030 5 ปีที่แล้ว

    Ninachokijua ni kwamba ukiwa unafatilia vitu vya kijinga vya watu vitakusumbua sana . Nakubaliana na mama Terry na Aunt Sadaka kuna vitu vingine ni hasi sana sio uadui kabisa. Mungu akiniinua hakuna wakukushusha. Otherwise una baya unalotendea watu.

  • @priscambwambo1030
    @priscambwambo1030 5 ปีที่แล้ว +1

    Ujinga mambo ya status ni ushamba sana myu kakukwaza mwambie kaeni muongee.

  • @julianamelk1746
    @julianamelk1746 5 ปีที่แล้ว

    Hi lili naomba kuongeae na wewe plz weka namba yako au naomba unicheki namba yangu hii 0659 468636