Huyo jamaa anayetangaza nimesahau jina lake lakini waki naishi pale Vatican City Hotel Sinza mwaka 1993, yeye alikuwa ni meneja wa matamasha yote ya muziki hotelini hapo. Sijafika tena Sinza kwa muda mrefu sana sasa, nadhani hoteli hiyo ilishakufa
Aisee! Nime-enjoy vya kutosha. Sasa ningependa kufahamu, tukio hili lilifanyika wapi na mwaka gani? Je, ni kipi kilichopelekea manguli hawa wakaketi kiti kimoja na kupiga zing zong la hatari namna hii? Burudani kwa kwenda mbele!
Enzi hizo magitaa yanaheshimika
Deo Kiduduye
Mwaka gani hi? Kasalo Kyanga si kafariki miaka mingi nyuma?
Kuanzia 9:58 sauti inakata hadi mwisho. Halafu ndo Kanku Kelly anaimba daaah!
hii itakuwa kenya sbb nawaona wakina kasongo
Hii ni Tanzania hapo ni Kimara Baruti Bahama Mama club
Nani kamuona ISSA NUNDU KAMA MIMI????
Huyo jamaa anayetangaza nimesahau jina lake lakini waki naishi pale Vatican City Hotel Sinza mwaka 1993, yeye alikuwa ni meneja wa matamasha yote ya muziki hotelini hapo. Sijafika tena Sinza kwa muda mrefu sana sasa, nadhani hoteli hiyo ilishakufa
Juma mbizo ndio jina lake
@@selemanisalum7685 K
Aisee! Nime-enjoy vya kutosha.
Sasa ningependa kufahamu, tukio hili lilifanyika wapi na mwaka gani?
Je, ni kipi kilichopelekea manguli hawa wakaketi kiti kimoja na kupiga zing zong la hatari namna hii?
Burudani kwa kwenda mbele!
Hii shoo ilikuwa maalum hizo ni bendi mbili Pacha
Bahama Mama club kimara Baruti
@@bonifacekobelo2752 Mwaka gani?
Mwaka 1995 nadhani
@@fredylucas2484 Shukrani!