UKWELI KUHUSU UTATU MTAKATIFU SEH. 2 - MCHUNGAJI PAUL SEMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 65

  • @enockyamihwa1331
    @enockyamihwa1331 ปีที่แล้ว +4

    Pr Semba nilikuwa nakukubali sana kwamba hauwezi kufumbia macho ukweli...sasa unaenda kupotosha umma ni kheri usingehubiri hili fundisho la UTATU kuliko kulihubiri na ukapoteza watu wengi. Fundisho la UTATU liliingizwa kwenye ukristo na wanatheolojia wa Aleksandria
    Neno sahihi kutumia ni UUNGU (GODHEAD) na sio UTATU. Usiaminishe watu kitu ambacho hakiko kwenye Biblia

    • @Mahershalalhashbazi-kf6xi
      @Mahershalalhashbazi-kf6xi 4 หลายเดือนก่อน

      Neno la Kiebrania "Ihad" linamaana gani kiswahili?

    • @farajangwema4663
      @farajangwema4663 20 วันที่ผ่านมา

      Hivi naomba nikuulize walaka wa kwanza wa Yohana 5:8 Huwa mnaliluka? Hao wakatoliki wameenda Hadi kubalisha Aya za kwenye biblia mbona nyie ndio wapotoshaji? 👇👇
      1 Yohana 5
      8 : Kwa maana wako watatu washuhudiao [mbinguni, Baba, na Neno, na Roho Mtakatifu, na watatu hawa ni umoja.
      Lakini pia hata shetani pia anajua kuwa MUNGU ana utatu na yeye pia kaweka utatu wake bandia shetani mwenzio kaishi miaka maelfu mbinguni wewe hata Gati la mbinguni hulijui na kawaida ya shetani Kila original ya MUNGU na yeye huweka fake yake ndio naye shetani ameweka utatu wake bandia kama MUNGU asingekuwa na utatu shetani pia asingeweka utatu 👇👇
      Ufunuo wa Yohana 16
      13 : Nikaona roho tatu za uchafu zilizofanana na vyura, zikitoka katika kinywa cha yule joka, na katika kinywa cha yule mnyama, na katika kinywa cha yule nabii wa uongo.
      14 : Hizo ndizo roho za mashetani, zifanyazo ishara, zitokazo na kuwaendea wafalme wa ulimwengu wote kuwakusanya kwa vita ya siku ile kuu ya Mungu Mwenyezi.👇👇👇
      Sasa tukuamini wewe au tunaamini neno la MUNGU au tunaamini waliowahi kuishi mbinguni of course mnajidanganya wenyewe Kwa kutochunguza vizuri maandiko nyie ndio mnaopotosha ukweli Ili tupotee Wala sio pastor semba mwacheni huyu baba afanye kazi ya MUNGU sisi tumeamua kupotea nae.

    • @farajangwema4663
      @farajangwema4663 20 วันที่ผ่านมา

      Wewe hata usipo muamini hakuna hasara yoyote sisi wenzio tumejitolea kupotea na pastor semba wewe Ambae unataka kuokolewa pambana na Hali yako

  • @ferixbromela
    @ferixbromela ปีที่แล้ว +3

    Ulisema kwenye masomo yako juu ya fundisho hili kuwa" Mtu akitaka kuhojiana nawe uko tayari utashika maiki na yeye atashika maiki kwa kuhojiana" sasa mbona unakataa ulipopewa mwito wa kuhojiana hadharani na Mwali Ndacha wa Kenya? Hatutaki Washiriki kubeba matango poli na kufuga minyoo wekeni wazi wazi mjadala Hadharani!

    • @adarashidi8178
      @adarashidi8178 11 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅 wafuga minyooo Mwalimu Ndacha is on another level 🙏🔥🙌

    • @innocentfortunatus725
      @innocentfortunatus725 2 หลายเดือนก่อน

      Njooni kanisani

  • @Mahershalalhashbazi-kf6xi
    @Mahershalalhashbazi-kf6xi 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mburula aendelee kuwa mburula. Na mwenye hekima azidi kupata hekima 👉Mithali 9:9
    Ikiwa kuna mtu anamuabudu Mungu katika roho na kweli;atatambua haya ni mafunuo ya KWELI ya Mungu;na kila asiye muabudu halisi atapinga iliyo KWELI👉1Korintho 14:37-38.
    Kazi njema sana unafanya pastor Semba. Ubarikiwe na BWANA

  • @MaombiJofre
    @MaombiJofre 4 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏

  • @Mahershalalhashbazi-kf6xi
    @Mahershalalhashbazi-kf6xi 4 หลายเดือนก่อน

    Proud to have you in Tanzania;more blessings upon you man of God

  • @SamSuma-v5l
    @SamSuma-v5l ปีที่แล้ว +3

    Huo niuwongo pasta

  • @benjaminlawi1400
    @benjaminlawi1400 2 ปีที่แล้ว +2

    Pastor wewe mjanja sana,, umeandika tu Utatu Mtakatifu lakini unachofundisha si Utatu Mtakatifu,, Sijui unaandika tu ili kuunga Mkono Kanuni ya Kanisa ili usionekane Kinyume na Kanisa,, maana sijaona Unataja Mungu aliye na nafsi tatu,, Unafundisha Uungu,, ijapokuwa hujagusa Uelewa wenyewe sahihi kabisa,, ila kwa hiki unaeleza Bwana akutie nguvu.

    • @gloryrimy230
      @gloryrimy230 2 ปีที่แล้ว

      unapaswa kuelewa maana ya utatu kwanza na umsikilize mfululizo wa masomo yote.

    • @benjaminlawi1400
      @benjaminlawi1400 2 ปีที่แล้ว

      @@gloryrimy230
      Hiyo maana ya Utatu inatakiwa iwe imetolewa na Mungu,, sisikilizi mm maelezo ya Mwanadamu, kwangu yanabaki maelezo binafsi wala si Ukweli.
      Hata wewe maana ya Utatu huna,, hata Pastor hana.
      Hilo liko wazi.

    • @gloryrimy230
      @gloryrimy230 2 ปีที่แล้ว

      @@benjaminlawi1400 Subiri basi Mungu ashuke akueleweshe kaka

    • @hopetunemedia3411
      @hopetunemedia3411 2 ปีที่แล้ว

      Akili iliyojiandaa kutokuelewa haiwezi kuelewa ila walio tayari kuelewa wataelewa acha kuifunga akili yako ktk kile unachodanganywa ruhusu akili yako.

    • @barakajoseph4905
      @barakajoseph4905 2 ปีที่แล้ว

      Kabisa na hafai kusikilizwa

  • @zephaniagershon3760
    @zephaniagershon3760 ปีที่แล้ว

    vividly indeed, may God bless You

  • @benjaminlawi1400
    @benjaminlawi1400 2 ปีที่แล้ว +1

    Basi hakuna Utatu wala Nafsi tatu za Mungu,, hilo tukubaliane tu, Maana Ukikiri tu Bwana Yesu ndiye Baba,, Basi Unavunjavunja habari za Nafsi Tatu.
    Au kama ni Hivyo Ukubali tu Baba hajawahi kuwepo,, maana Kama ndiye alimtokea Musa,, maandiko yanasema.wazi zamani za Mungu alizungumza kupitia manabii yaan, hata Musa,, na sasa anasema kupitia Mwana,, na kama.huyo aliyesema ktk manabii ndiye Mungu basi Uwana wa Bwana Yesu ni kitu cha muda si nafsi ya milele
    Ni jambo la kiukombozi tu.
    Mbinguni Bwana Yesu si Mwana wa Mungu.

    • @paulmasalu2219
      @paulmasalu2219 2 ปีที่แล้ว

      Pastor anachojaribu kufanya ni kusaidia watu wasipoteze muda kujadili jambo gumu la uungu kwa watu wanaojadili bila kuwa na uelewa mzuri wa maandiko. Tatizo Kanisani Leo watu hawajui mbinu za ibilisi kutupotezea muda wa kujiandaa kwa ujio wa Kristo. Inasikitisha sana watu wengi wanapoteza muda kulijadili suala hili badala ya kutafuta utakatifu ambao hakuna mtu atakayemwona Mungu bila kuwa nao Waebrania 12:14. Mungu haji kuchukua waliojua utatu au uwili mtakatifu. Tujiandae Yesu anakuja.

    • @benjaminlawi1400
      @benjaminlawi1400 2 ปีที่แล้ว

      @@paulmasalu2219
      Dhu.Sasa utajiaandaje nje ya Uelewa sahihi wa Unayesmsubiri??
      Hili fundisho la Utatu,, halipo na huwezi kulitetea ukaweza,, hata Pastor hapo hajafundisha Utatu,, Bali kautaja tu.
      Fundisho la Utatu linadai Yesu ni Sehemu ya Mungu,, jambo ambalo Pastor hajalisema hapo anadai Yesu ndo Mungu mwenyewe,, kitu ambacho Utatu haufundishi Bali Mwana ni nafsi yaan sehemu ya Mungu.
      Bila Kuelewana na Fundisho sahihi kuhusu Mungu ni ngumu kuelewana na Imani.
      Mitume hawakuwa na mambo haya ya Utatu,, walikuwa na Uelew sahihi Kuhusu Bwana na Walimuelewa kuwa alikuja ktk mwili Yaan Mwana(mtoto wa kiume) amabaye hakuwa na Baba wa kibinadamu, mimba yake ilkiwezeshwa na Roho,, huyo Mwana ni Mungu mwenyewe nje ya Mwili wa kibinadamu.
      Mpaka Sasa Bwana Yesu huko juu ndiye Mungu wala hakuna mwingine zaidi yake

    • @tonnyjr2864
      @tonnyjr2864 2 ปีที่แล้ว

      @@paulmasalu2219 yaani Paul umeongea facts, tujubali mambo mengine ni MYSTERY, tangu lini Mungu aeleweke complete kwa akili ya kibinadamu. Kuna Mungu afu kuna Mwanadamu, a note to be taken.

    • @fredrickgitonga1972
      @fredrickgitonga1972 2 ปีที่แล้ว

      Utakatifu ni kwenenda kama vile maandiko yasemavyo, Wala sio kuamini maneno ambayo ata mitume na manabii hawakuyaamini

  • @barakajoseph4905
    @barakajoseph4905 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna ushaidi uliotoa ktk mada zako zote juu ya utatu mtakatifu,
    Mimi naona mchungaji hajui maana utatu mtakatifu.watatu wapo ila hakuna utatu.sifa ya Uungu haikufanyi kuwa Mungu mwenyewe.hakuna Mungu Mwana na tumuogope Mungu kwa uongo huo,hakuna mwandishi aliyeandika Mungu Mwana.ebu tupe huo ushaidi.

    • @paulsemba_TV
      @paulsemba_TV  2 ปีที่แล้ว +2

      “Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote; Mungu Mwana pekee aliye katika kifua cha Baba, huyu ndiye aliyemfunua.

      - Yohana 1:18

    • @tonnyjr2864
      @tonnyjr2864 2 ปีที่แล้ว +1

      @Baraka Joseph suala apo sio kutokujua kwa Mchungaji, Hoja ni hii, mweleweshe ili ajue unachojua wewe. Afu punguza kasi vuta subira hayo ni Mambo ya Mungu.

    • @paulsemba_TV
      @paulsemba_TV  2 ปีที่แล้ว +1

      “Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote; Mungu Mwana pekee aliye katika kifua cha Baba, huyu ndiye aliyemfunua.

      - Yohana 1:18

    • @barakajoseph4905
      @barakajoseph4905 2 ปีที่แล้ว

      Pasta jaribu kuwa mkweli na uogope Mungu,ktk mada yako ulikuwa ukichambua biblia maneno yaliyokosewa,andiko uliyotumia ya yohana 1:18 haijamuita Yesu kwamba ni Mungu Mwana.
      Kwanini unatumia uongo ili hali unajua ni uongo? Kumbuka maisha ya watu yako mikononi mwenu.
      Nafahamu mchango wako ktk injili; ila kwa hili sijakubaliana na wewe.na tusiwadanganye washiriki

    • @fredrickgitonga1972
      @fredrickgitonga1972 2 ปีที่แล้ว

      mwenye kutafsi na kiswahili ndiye kakosea, cz in English iko wazi Jesus Christ is the son of God, John 1:18
      [18]No man hath seene God at any time: the onely begotten Sonne, which is in the bosome of the Father, he hath declared him. Dio mwone mnatuchanganya nyie Wana utatu

  • @SamSuma-v5l
    @SamSuma-v5l ปีที่แล้ว

    Jest hao

  • @dottoyohana5128
    @dottoyohana5128 2 ปีที่แล้ว

    Amina pr

  • @denismugisha2
    @denismugisha2 2 ปีที่แล้ว

    Kuna watu wanakili Yesu ni MUNGU harafu wanakataa nafsi 3 ZA MUNGU sasa niwaulize miaka 36 aliyokuwa duniani kiti cha enzi huko mbinguni kilikuwa wazi? Na je nani aliyefanya kazi ya ufufuo?

    • @benjaminlawi1400
      @benjaminlawi1400 2 ปีที่แล้ว +1

      Hakuna maelezo ya Kinabii yaan ya Mungu mwenyewe kuwa ana nafsi Tatu,, kusema Mungu ana nafsi tatu ni watu wamesema,, hivyo ukiamini kuwa Mungu ana nafsi tatu basi tambua unaamini maelezo ya watu kuhusu Mungu, jambo ambalo ni hatari sana.
      Iko Siri kubwa hapo na ameiweka makusudi ili abaki kuheshimmiwa milele, yaan bila yeye kujieleza,, huwezi kumwelezea.
      Sasa Mwanzo hadi Ufunuo hakuna maelezo yasemayo Utatu au Nafsi tatu za Mungu

    • @barakajoseph4905
      @barakajoseph4905 2 ปีที่แล้ว

      Nani alikuambia kwa ikiwa Yesu ni Mungu basi kutakuwa kuna utatu? Wote wenye utatu,hakuna anayejua maana ya utatu,fundisho hili siyo fundisho la kanisa.hakuna nabii au mtakatifu anayejua utatu,bila shaka huyu mungu wa utatu atakuwa mungu mgeni na si Mungu Muumba.Daniel 11:38. Kuwepo kwa nafsi tatu haimanishi kwamba zote ni za Mungu.Mungu ni nafsi na Mwana ni nafsi na Roho ni nafsi,ila ni Royo ya Baba na Roho ya Mwana.

    • @fredrickgitonga1972
      @fredrickgitonga1972 ปีที่แล้ว +1

      Roho ni mmoja tu aliye wa MUNGU Baba na mwana wake YESU KRISTO,

    • @EliabuShima
      @EliabuShima 4 หลายเดือนก่อน

      Yesu ni Mungu katika asiri so katka nafsi vitabu vya Roho ya unabii inasema hivyo

  • @alicenyakawa2062
    @alicenyakawa2062 2 ปีที่แล้ว +1

    My thanks and glory goes to Jesus our Lord and Savior for the wonderful message of the day, may God bless you pastor Semba for clarification between the truth and misleading

    • @paulsemba_TV
      @paulsemba_TV  2 ปีที่แล้ว

      Amen, amen, amen! Praise the Lord!

    • @bibliakweliyaduniayote1137
      @bibliakweliyaduniayote1137 2 ปีที่แล้ว +1

      Wapi nafsi tatu Kwa mandinko mwanzo1 :26 huyu ni Baba na Mwana si nafsi tatu ,aliye sura ya Mungu ni Yesu ,na aliye mfano wa Mungu ni Yesu wagolosai1: 15 na wakorintho4:3-4

    • @fredrickgitonga1972
      @fredrickgitonga1972 2 ปีที่แล้ว +1

      Nakusapoti kaka, Hawa Wana utatu ni wajaja sana

  • @bibliakweliyaduniayote1137
    @bibliakweliyaduniayote1137 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli uyu mjungaji ni mjanja

    • @theresearcheronlinetv3649
      @theresearcheronlinetv3649 2 ปีที่แล้ว

      Mathayo 3:16-17
      Mara tu Yesu alipokwisha batizwa, alitoka majini; na kumbe mbingu zikafunguka, akaona Roho wa Mungu akishuka kama njiwa na kutua juu yake. Sauti kutoka mbinguni ikasema, “Huyu ndiye Mwanangu mpendwa, nimependezwa naye.”

    • @benjaminlawi1400
      @benjaminlawi1400 2 ปีที่แล้ว

      Mjanja sana,, anajua asipotamka Utatu,, basi watamuwekea kikao,, ila hapo hajafundisha Utatu,, yuko anafundisha Oneness