⚒️RADDI(2) KWA KUONDOA PAZIA KWA KUWAWEKA WAZI MASWAAFIQAH WAOVU, SHEIKH ABUU ZAGHAR حفظه الله تعالى

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 20

  • @musarashid-xw1qm
    @musarashid-xw1qm 2 หลายเดือนก่อน

    Umefikisha nimesikiya allah aniongoze mm na mzungumzaji

  • @HassanHamad-rf9tq
    @HassanHamad-rf9tq 2 หลายเดือนก่อน

    Barakallahu fikum

  • @AhmednurHussein-m2s
    @AhmednurHussein-m2s 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani hukumtaja sheikh Rabii na sheikh Ubeid si wamemtahadharisha ibn Hadiy au na hao si maulama

  • @وزيرهالوزير-ذ8س
    @وزيرهالوزير-ذ8س 2 หลายเดือนก่อน

    Hawawatu nimtihani wawa3 mnatofautiana hamufai

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 2 หลายเดือนก่อน

    Muhammad bin imaamu ni ktkt mahizbi walioiharibu da'awat ssalaf ktk nchi ya yemen kwa kushitikiana na mashia wa kihoouth na kuwasifia
    hata sheikh swaleh Al fawzaan amemradd Muhammad bin imaam!!

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  2 หลายเดือนก่อน

      Ww acha ujinga km huyajui haya masaala ni vyema ukinyamazaa itakuwa Bora vyenginevyo utoe ushahidi uache kusikia sikia watu wasema

    • @AhmednurHussein-m2s
      @AhmednurHussein-m2s 2 หลายเดือนก่อน +1

      We umejuaje kama hayajui acha ta'asub masheikh wa kisalafi wako wengi msing'ng'anie waliopinda kama muhamad imam mmeenda mbali zaidi kwa sas tunaona hawa mahizibi wanaotuita majadida nyiny mko nae duh poleni saana namuomba Allah Awaongoze ​@@Ibnsalim3

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 2 หลายเดือนก่อน

      Aach ujinga kivipi sasa ,wewe ndiwe uache ujinga kwani wajiona wewe pekee ndie unajua haya masala ,kwahio ikiwa waona kakosea kwenye mazungumzo yake ,yaweke sawa umuelimishe ,,,lkn ilmu hujatoa ili tuone wewe si mjinga ,warukia kumwita mtu mjinga ,,dalili za ushabiki tu .​@Ibnsalim3

  • @hassanhamid4359
    @hassanhamid4359 2 หลายเดือนก่อน

    Baraka llah fikum

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  2 หลายเดือนก่อน

      Amin

  • @abbaspaziaog2188
    @abbaspaziaog2188 2 หลายเดือนก่อน

    Baarakanllah fiikum ❤❤

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  2 หลายเดือนก่อน

      Amin

  • @athumanali2969
    @athumanali2969 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi nauliza kutoa darasa au mawaidha kisha ukaonekana katika kamera hii ikoje ,maana tunaona vigogo vya kisafy huko saudia wanaonekana sisi huku Afrika hatuonekani hapa vipi naomba kufahamishwa.

  • @mussamsuya8595
    @mussamsuya8595 2 หลายเดือนก่อน

    HUELEWEKI ULICHOKIONGEA MTIHAN MTUPU

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  2 หลายเดือนก่อน +1

      Haeleweke au hutaki kumuelewa acha taasubuu akhuy

  • @mussamsuya8595
    @mussamsuya8595 2 หลายเดือนก่อน

    WEWE NI MTIHANI TU

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 2 หลายเดือนก่อน

      Kivipi

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq 2 หลายเดือนก่อน

      Sema wewe ndo humuelewi kwa asbabu zenuu mujuazo nyinnyi sisi tumemuelewa vizur

    • @mussamsuya8595
      @mussamsuya8595 2 หลายเดือนก่อน

      @@HassanHamad-rf9tq HAYA

    • @AhmednurHussein-m2s
      @AhmednurHussein-m2s 2 หลายเดือนก่อน

      Lazima mmuelewe hata kama haeleweki mana mko pamoja katika dwalalah ​@@HassanHamad-rf9tq