simply the best ...her voice is amazing....kutoka Kisauni i remember those days listening to chereko chereko...may GOD bless her even more....que inspiracion..
This song came out in 2016 when i was going through a very rough patch in my life and nothing seemed to be making sense and working.But through the Grace of God and hardwork.Things turned out fine.
Wow wow wow...Nyota congs sana...una vybes kali kali and talent ni yako..fanya colabo na platnumz sasa......yani how comes haijafika 50millions views...great message and tune....kama kawa..!!great fan....all the way from mexico naifeel hii hit....!!!!!!!!
Nyotaaaaaaa my baby sister.... Niko soooo proud of you ..kweli Mola anakutunza poa... Miss and love you sooo much. Wa salimu wanangu. Waambie auntie wao mkubwa hajawasahau..
Walisema sanaa .wakasema sanaa sishindani na mtu nala jasho langu.bidii yangu itanifikisha ninapotaka.nyota umenigusa wakati mzuri ambapo niko katika hali yakustrugle na maisha.nakupenda mpaka bas nyota frm Abudhabi
Came here after watching #storyyangu..We met at some point on one of the stations at the coast (Ingolo Esther and DJ lenium worked there then). You are so humble. Nice song.
mwanaisha abdhalla aka nyota ndogo haya huyo shemeji ni muslim ama hahah utani tu mi ni mwanaisha nakuskiliza somo yangu nikiwa jordan ...nakupenda na wenye wivu wajinyonge ....tunasafiri wote dadangu...subira yangu...bidii yangu itanifikisha nitakapotaka inshaallah ...welcome bak our lvly artist ...kenya tuko pamoja
I lack words to express this awesome jam I love this song from the beats tobrje lyrics I mean the message is of much significance in today's life God bless u sis Nyota Ndogo
nyimbo tam upo juu#nyota ndogo
Love ur songs Nyota natamani kukuona
Nyota nipe 😍
bonge la beat dada
ahsante
nawashukuru sana kwa maoni yenu wallai mpaka naskia malaika mwilini wakitembea.nawapenda sana wallai
Hata sisi pia twakupenda nyota coz hutubwagi huwa ngoma zako zote nzuri Be Bless.
We have missed your music. Welcome back, the Kenyan music scene really needs you back
simply the best ...her voice is amazing....kutoka Kisauni i remember those days listening to chereko chereko...may GOD bless her even more....que inspiracion..
Girl still doing wat u know best...looking good
thanks dear
Apo sawa ..bidii yangu ..kip on motivating us ..mob love malkia
tuendelee
nice song... sauti yako ndo inazidi kuwa tamu.
Sitawahi kuchoka na ww nyota ndogo nakupenda hadi naumwa♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
woww nimependa kwa sana mahasidi kazi kusema
nimeipenda ioooo dadaangu uckawie achia kitu chengine kikali utafikaaaa unApotakaaa
Nyota gud work kudos to lil guy g
thanks
on point mamaz....amz check,nyota check,Guy G check kazi flani mafuta kabisa..keep it up
Wooow....nyota ndogo nyimbo zako zina mafunzo tena zafanyika
kazi nzuri sana nyota
Hongera nyota,nice song love it
Kazi nzuri mpnzy
Nasi twakupenda
Wimbo mzuri sana....
My all time favorite n best female artist in East n Eastern Africa for 2 decades,Mungu akubariki Nyota Ndogo.
Wallahi nyota hii song naimba everyday siamini imenigusa ila mbaya
pamoja sana
I love my sis🙌🔥💥💥💥
Nyota Ndogo msanii wangu
🔥🔥🔥🔥🔥
This song came out in 2016 when i was going through a very rough patch in my life and nothing seemed to be making sense and working.But through the Grace of God and hardwork.Things turned out fine.
Wimbo mtamu sana.
Thumbs up nyota always the best
Nyota Kubwa nakupesh kwa Sana♥️♥️♥️♥️
Hapo ushasema dada
Kongole Nyota
daa nyota napenda saana huu wimbo una nipa nguvu mda wote niku uskia mwenyezi mungu akuzidishie barka kwa kila ulitendalo
ahsante sana
Nakukubali sana nyota
She Doi It Extra With Her Hair And Makeup Very Creative
Good music....Good vibes mi humuita malkia wa nyimbo za busara
wow nimependa
Wow wow wow...Nyota congs sana...una vybes kali kali and talent ni yako..fanya colabo na platnumz sasa......yani how comes haijafika 50millions views...great message and tune....kama kawa..!!great fan....all the way from mexico naifeel hii hit....!!!!!!!!
Hii nyimbo huwa inanigusa sana
Lovely dia
kazi zuri dada Nyota ndogo Mungu akubariki sana
nice works nyota
💥💥💥✨⭐️💫luv you ❤️💞nyota ndogo
mama madikodiko hoyeeee
Nyotaaaaaaa my baby sister.... Niko soooo proud of you ..kweli Mola anakutunza poa... Miss and love you sooo much. Wa salimu wanangu. Waambie auntie wao mkubwa hajawasahau..
nakupenda wewe mpaka basi
kwakweli hii nyimbo siichoki ina mafundisho sana
This is a song I can relate with... so Kenyan so real... good job Nyota
thanks
nakuped nyota mungu akujalie maisha marefu nice song
Our airwaves should be rocking this song every hour
Nice song nimeona ujumbe ndio nikakuja kuwatch 👍🏽🙏🏽
Thanks dear
Nyota walahi always your songs are all reality ...uko Juu dada
Mungu akuinue zaidi dadangu ...Mungu yupo kweli
lina nato yupo sana
Haraka Haraka Aina Baraka nitafika 🙏 I like it.. Much love nyote keep it up👌 💋💋
Hapa duniani tupo kwa muda ,acha Dada atuburudishe yakutosha
MashaAllah😘😘
naaapenda
Listening to your songs nataka toa, mwachie mungu n this sweet songs have shared so i listen and others tooo be blessed nyota❤
2020 gonga likes zenu hapa tujuane
Me too
i love this lady, beautiful voice. Nyota ndogo one of the best local artists.
nakukubali my dada big apu
Walisema sanaa .wakasema sanaa sishindani na mtu nala jasho langu.bidii yangu itanifikisha ninapotaka.nyota umenigusa wakati mzuri ambapo niko katika hali yakustrugle na maisha.nakupenda mpaka bas nyota frm Abudhabi
MUNGU akufanyie wepesi
nani kama nyotaaa.......uko juu nimeipenda
nashkuru
nakuuuuuuuuuuuuuuupeeeeeeeeendaaaaaaaaaaaa nyota
thanks kwa mapenzi
2021 who is still watching , likes for nyota ndogo
nakuheshimu nyota,muziki wako una heshima za kwake
santa
Iko poa Nyota I liked it before watching
Sauti nyooooororo safi sana mwanaisha.
Song en video on point.
Hongera
Nice song
Wimbo umetulia kabisa na maneno ya busara. Keep Up to the end
Wa this should be the song of the year. Napenda sana wimbo huu
This song!!!
Naes
good work
Upto date, this song still motivates me, Asante sana Nyota for this song❤️❤️❤️
Nice songs
ma shaa Allah... subira yangu iko juu
#storiyangu brought ne here.
Winnie good
nyota!!!!!!!!!
mungu akuzidishie daa nyota kweli kabisa bidii yako itanakufukisha unapo taka hongera sana
Came here after watching #storyyangu..We met at some point on one of the stations at the coast (Ingolo Esther and DJ lenium worked there then). You are so humble. Nice song.
wow this is one of the best 2019 and still going am glad nimeipata hapa tu youtube
Can't get enough of this song
big up @nyota ndogo sauti inayo vutia kila mtu wawoooooo
Nani yuko hapa 2020
Thankyou so much nyota for this beautiful song.
nyota ndogo, next time am in kenya tukutane jamani...mtunzi mzuri sana naishi kilifi tutaonge tukikutana majaliwa! much love from uk xx
bidii yangu....inanipa nguvu sana hìi nyimbo Nyota. respect mamaamadikodiko.😍😍😍
Nyota ndogo true african beauty humble and inspiring ....love you Queen 😍😍😍
aaawww love it
hapo safi, ina tia moyo sana. hivo hivo NYOTA.... tunataka nyingine
hapo umesema ukweli dia,
Real don't compare yourself with other people
mwanaisha abdhalla aka nyota ndogo haya huyo shemeji ni muslim ama hahah utani tu mi ni mwanaisha nakuskiliza somo yangu nikiwa jordan ...nakupenda na wenye wivu wajinyonge ....tunasafiri wote dadangu...subira yangu...bidii yangu itanifikisha nitakapotaka inshaallah ...welcome bak our lvly artist ...kenya tuko pamoja
ni muislam.
Nyota ndogo nakupenda sana dadangu you live on the reality side of life,haya mambo yako tena sana "naishi kama ninavyoweza".
wow iko poa nyota
iko viZuri
but ungeiita BiDII YANGU maoni yangu tu... mob love mumy
l like ua songs ma dear Nyota ndogo keep it up and may God bless you more
My all time tune... Lops on guitars
goood stuff!!!!
Still my favorite ❤
2021 still rocking...my love for this song is beyond limits.
Mama wa nyumba kumi nashkuru
I lack words to express this awesome jam I love this song from the beats tobrje lyrics I mean the message is of much significance in today's life God bless u sis Nyota Ndogo
thanks pamoja sana