WABUNGE WALIVYOJITOKEZA DODOMA KUICHANGIA YANGA BAADA YA SIMBA KUTOA SARE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 190

  • @halimamnavi3208
    @halimamnavi3208 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante. Mungu awatsngulie wabunge wote ambao mashabiki wa Yanga.

  • @elizaatilio527
    @elizaatilio527 5 ปีที่แล้ว +9

    Hiiiii ndo Yanga itabak kuwa juuuuu kileleniiiiii team ya wananchiiiii 🙌🙌🙌👏👏👏

  • @wolfhelmgothom6641
    @wolfhelmgothom6641 5 ปีที่แล้ว +14

    Chama Langu Yanga Mileleeeeeeeeeeeeeee

  • @gggjjahhhh9419
    @gggjjahhhh9419 5 ปีที่แล้ว +1

    HAHAHAHAHHA NAIPENDA YANGA SHABIKI WA DAMUU👌🏼 DAIMA MBELE NYUMA MWIKOOOO 👏👏👏😘😘😘

  • @agreyrecho9285
    @agreyrecho9285 5 ปีที่แล้ว +4

    Yanga timu ya wananchi naipenda mpk mwisho

  • @elesiaelia3740
    @elesiaelia3740 5 ปีที่แล้ว +7

    Naipenda yanga sanaaaa

  • @abduljumaa9414
    @abduljumaa9414 5 ปีที่แล้ว +13

    Kuchanga tuchange sisi roho iwaume waoooo

  • @elesiaelia3740
    @elesiaelia3740 5 ปีที่แล้ว +6

    Asante mwigulu kwa uzalendo

  • @florastephano1910
    @florastephano1910 5 ปีที่แล้ว +2

    Naipenda Yanga, nitaichangia Yanga.

  • @machozyonline5243
    @machozyonline5243 5 ปีที่แล้ว +6

    safi sana hii kweli team ya wananji atulelewi tunajilea pollen team marioo walelewaji mpo? ?

    • @judithpaul9013
      @judithpaul9013 5 ปีที่แล้ว

      Machozy Tv kuandk enyewe hujui, rud shule

  • @nyamangadicksononaka9057
    @nyamangadicksononaka9057 5 ปีที่แล้ว

    Naipenda Yanga na nitaipenda daima

  • @tereseamasawe8111
    @tereseamasawe8111 5 ปีที่แล้ว +3

    Asanteni sana wabunge

  • @abduljumaa9414
    @abduljumaa9414 5 ปีที่แล้ว +4

    Nakubali wabunge na mawaziri wote Yanga itabaki kileleni

  • @allyrashidi9215
    @allyrashidi9215 5 ปีที่แล้ว

    Safi sana Mbona mwakani tutapasuwa

  • @hapakazitu7364
    @hapakazitu7364 5 ปีที่แล้ว

    team yenu bwana si ya wananchi mtutake radhi aiseeee

  • @barakajoshy1
    @barakajoshy1 5 ปีที่แล้ว +1

    Jamani mnavyo wapenda hao basi mumpenda #BBRANTON pia ambae anahakilisha bongo flover Sweden

  • @ikrissaidrissa8613
    @ikrissaidrissa8613 5 ปีที่แล้ว +2

    kweri nimeamini unafki na roho mbaya havishi Tanzania but nazani mlisahau kuwa ukimwombea mwezako mabaya kwako ynaludi mara mbili yake. GOD BLESS SIMBA 🦁🦁🦁

    • @judithpaul9013
      @judithpaul9013 5 ปีที่แล้ว

      ikrissa idrissa kbs ndugu

    • @elizaatilio527
      @elizaatilio527 5 ปีที่แล้ว

      we moo fc umekosea njia au shobo 2?

    • @judithpaul9013
      @judithpaul9013 5 ปีที่แล้ว

      Eliza Atilio hajakosea amesema ukweli, ukweli lkn mchungu, mtaelewa tu muda ukifk

  • @jimmynassa3439
    @jimmynassa3439 5 ปีที่แล้ว

    poleni sana

  • @nurdinnswebe1905
    @nurdinnswebe1905 5 ปีที่แล้ว

    Daaaaaaaaah aiseeee huyo dida kajazia tako mkundu fwaaaaaah

  • @507media
    @507media 5 ปีที่แล้ว

    Daaaa mungu yu pamoja nasi.. Umoja wetu ndo mafanikio yetuuu...daima mbele nyuma mwikooooooo

  • @abduljumaa9414
    @abduljumaa9414 5 ปีที่แล้ว +3

    Yanga raha sana

  • @petershokolo9894
    @petershokolo9894 5 ปีที่แล้ว

    Kumbe mkikiri kuwa ombaomba kunafetheha hahahahahaaa nimecheka sana

  • @trilionea_online_TV
    @trilionea_online_TV 5 ปีที่แล้ว

    Hatununuliwi, domo kaya ni ya mtu binafc, lakn yanga ni ya wananchi

  • @nurdinnswebe1905
    @nurdinnswebe1905 5 ปีที่แล้ว

    Huyo wakageraaa nae anamkundu fwaaaaaaah

  • @dicksonulotu9717
    @dicksonulotu9717 5 ปีที่แล้ว +2

    Yanga itabaki kuwa ju ju ju zaidi

  • @hijazhija316
    @hijazhija316 5 ปีที่แล้ว

    Singida United

  • @vailethsalim5952
    @vailethsalim5952 5 ปีที่แล้ว +10

    Wabngunge tunashukuru kwa moyo wenu tusaidieni na yanga yetu na sisi mwakati tufike mbali na mm Niko tayari kuichangia yanga yangu

    • @AlexsemamsgwaErenet
      @AlexsemamsgwaErenet 5 ปีที่แล้ว

      Juma Kimweli shukulani sana sana kwa wambuge na mimi niko tayali kuhichagia yanga

    • @kenethkambanga5747
      @kenethkambanga5747 5 ปีที่แล้ว

      Niko tayari kuchangia yanga

  • @theastephen5878
    @theastephen5878 5 ปีที่แล้ว +6

    This is YANGA .......MUNGU Tubarikiee na Yangaa yetuuuu, tutafikaa tuuu

    • @yusuphmohammad1385
      @yusuphmohammad1385 5 ปีที่แล้ว +1

      Imeshakua this is yanga na sio this is simba

  • @priscajustine2183
    @priscajustine2183 5 ปีที่แล้ว +3

    Mambo ni moto

  • @rosebenito1336
    @rosebenito1336 5 ปีที่แล้ว

    Mbele daim nyuma mwiko

  • @nassororamadhan2515
    @nassororamadhan2515 5 ปีที่แล้ว +3

    Hadi waziri wa madini yanga .....daima mbeleeeeee?

  • @zarunaamwanajimba1950
    @zarunaamwanajimba1950 5 ปีที่แล้ว

    Nauliza tu kuna mtu anateseka?

  • @justusjerad9233
    @justusjerad9233 5 ปีที่แล้ว

    Tunawashuru sana wabunge

  • @jeremiahmollelmolleljeremi3671
    @jeremiahmollelmolleljeremi3671 5 ปีที่แล้ว +2

    Vyuraaaa oyeeeee ombaomba mtalamba lolo akiamungu simba ndio timu kubwa Tanzania simba oyeeeeeeeee

    • @revoricherasto9579
      @revoricherasto9579 5 ปีที่แล้ว

      JEREMIAH MOLLEL MOLLEL JEREMIAH MOLLEL MOLLEL maviiiiiio2 simba

  • @marwawilliam3648
    @marwawilliam3648 5 ปีที่แล้ว

    Hawana timu za kuchangia majimboni kwao!?

  • @ibrahimchatila4945
    @ibrahimchatila4945 5 ปีที่แล้ว

    Wabunge wa yanga wana matako ya haja. Hongereni vyura

  • @sebastiansalamba8236
    @sebastiansalamba8236 5 ปีที่แล้ว

    Huwezi kutunziwa familia na mwanamume mwenziyo iko Sikh,Yanga tuko vizur

    • @aixhajumaa6362
      @aixhajumaa6362 5 ปีที่แล้ว

      Sebastian Salamba waambie hao wanaume wazima wanajigamba kutegemea pesa ya mtu watakuja kulia hao

  • @wolframchikomo8873
    @wolframchikomo8873 5 ปีที่แล้ว

    Jamani Hii ndiyo Tanzania yenye Amani na Upendano. Na hii ndiyo Yanga, Baba wa Soka hapa nchini. Mubarikiwe sana Wabunge wetu na muendelee kuipenda Yanga timu yetu. Mmependeza sana na ASANTENI sana

  • @anthonymwandu2615
    @anthonymwandu2615 5 ปีที่แล้ว +2

    namimi yanga oyeeeeeeeeeeee nitaichangia yanga mpaka mwisho

  • @abdulhamis2393
    @abdulhamis2393 5 ปีที่แล้ว

    Mtabaki juu kweli kwa kuombaomba .

  • @twahabashir1288
    @twahabashir1288 5 ปีที่แล้ว

    mlipe na kodiiiiiii

  • @calacoswailer629
    @calacoswailer629 5 ปีที่แล้ว +10

    Tukimaliza mchango wa fedha tusaidieni kumaliza migogoro hili muhimu kuliko pesa

    • @charleskazimoto6968
      @charleskazimoto6968 5 ปีที่แล้ว

      Tuko tayari kuichangia Yanga mpaka dakika ya mwisho. Washabiki wa Yanga tuko wengi sana lakini utaratibu wa kuchangia hamuuweki wazi. Tunataka nchi nzima tuichangie timu ya Wananchi haraka sana. Mheshimiwa Mchemba tengeneza utaratibu mzuri.

  • @karimjumahabibu2337
    @karimjumahabibu2337 5 ปีที่แล้ว

    Yanga yanga itabaki kileleenii itabaki mawingunii

  • @boazsebastian358
    @boazsebastian358 5 ปีที่แล้ว

    nitaichangia yanga

  • @saulmwakyanjala5449
    @saulmwakyanjala5449 5 ปีที่แล้ว +3

    BASHE KUMBE WEWE NI YANGA DAMU NDIO MAANA UNAKILI SANA BUNGENI

    • @lydiathadeous6644
      @lydiathadeous6644 5 ปีที่แล้ว

      saul mwakyanjala 😂😂😂😂😂😂😂
      Daa kwa hiyo wasio yanga hawa akili bungeni 🤣🤣🤣🤣

    • @oscarngowi5578
      @oscarngowi5578 5 ปีที่แล้ว

      mnatia aibu timu lina miaka 100 . lipuli haitembezi bakuli yanga inatembeza bakuli

  • @mrishomzelela4627
    @mrishomzelela4627 5 ปีที่แล้ว +1

    huu uboya kweli mwigulu m/kiti club ya singida utd lkn yupo na mapenzi na yanga,singida sahauni kufika mbali mtakuwa tawi tu LA yanga trust me

  • @mohameddamka922
    @mohameddamka922 5 ปีที่แล้ว +3

    ntachangia 200000

  • @saidalumuli4938
    @saidalumuli4938 5 ปีที่แล้ว

    Omba omba fc katika ubora wao

    • @juniorbayyo9209
      @juniorbayyo9209 5 ปีที่แล้ว +1

      Said A Lumuli @@@mshukuru mo maan ata ujawahi kuchangia simbaa ata cku moja uatabaki mpiga debe

    • @saidalumuli4938
      @saidalumuli4938 5 ปีที่แล้ว

      @@juniorbayyo9209 unataka mchago gani?

    • @juniorbayyo9209
      @juniorbayyo9209 5 ปีที่แล้ว

      Said A Lumuli @@@wa,pesa kuchangia timu co kufuata mkumbo kuwa simbaa kashinda

  • @wolframchikomo8873
    @wolframchikomo8873 5 ปีที่แล้ว

    Jamani, Mama Ndalichako na Ummy Mwalimu wako upande gani mbona wameniangusha kutoonekana hapa?

  • @saidalumuli4938
    @saidalumuli4938 5 ปีที่แล้ว +1

    Omba omba fc

  • @abdallahmchange1370
    @abdallahmchange1370 5 ปีที่แล้ว +2

    Daima mbele nyuma mwikooo

  • @mgomboally2652
    @mgomboally2652 5 ปีที่แล้ว +10

    Kuna MIKIA inateseka sana juu ya hili suala. Mtapata taabu sana maana ss tunaiendesha team yetu wewe maumiv ya nn? Cheeevuh!

    • @juniorbayyo9209
      @juniorbayyo9209 5 ปีที่แล้ว

      Mgombo Ally @@wanatapata taab hatr

    • @almacyokha4199
      @almacyokha4199 5 ปีที่แล้ว

      tulieni tume watoa out mwakani msije mkatutia aibu club bingwa africa

    • @zephaniahenry3694
      @zephaniahenry3694 5 ปีที่แล้ว

      @@almacyokha4199 cc ha2wez fungwa 10 ucwaze

  • @jumamohamed1556
    @jumamohamed1556 5 ปีที่แล้ว

    Yanga tunaweza wenyewe

  • @ngoniboychef5703
    @ngoniboychef5703 5 ปีที่แล้ว +4

    timu wa wanainchi kaz kaz tu

  • @boazsebastian358
    @boazsebastian358 5 ปีที่แล้ว

    chama letuuuuuuuuuuuu

  • @veronicalusinde9564
    @veronicalusinde9564 5 ปีที่แล้ว +3

    Tutafika tu Yanga oyeeeee.Daima mbele nyuma mwiko

  • @raphaeljoshua6614
    @raphaeljoshua6614 5 ปีที่แล้ว

    hakika yanga niteam yawananchi tuko pamoja nanyi wabunge nawanachama wanayanga

  • @dommytz4410
    @dommytz4410 5 ปีที่แล้ว

    Yanga poleni kwa msiba wa kuchangiwa

  • @judithpaul9013
    @judithpaul9013 5 ปีที่แล้ว +2

    OMBA OMBA FC

    • @vicentkisege1035
      @vicentkisege1035 5 ปีที่แล้ว

      Hamjui maana ya hiss Kweli Hakuna wasomi

    • @saidchita730
      @saidchita730 5 ปีที่แล้ว

      Kuomba ndio saws hats we uliomba ada kwa baba yako

    • @saidchita730
      @saidchita730 5 ปีที่แล้ว

      Mbona sijamuona sanda

    • @hassanandnabil7243
      @hassanandnabil7243 5 ปีที่แล้ว

      @@saidchita730 yanga oyeeeeee

    • @Yunusahazi
      @Yunusahazi 5 ปีที่แล้ว

      wote awo hawajui ata mpira ila wamepangwa kufanya ivo hi ni omba omba ya kmataifa

  • @salimhussain8382
    @salimhussain8382 5 ปีที่แล้ว

    Timu ya wananchi buana

  • @muharamharoub8896
    @muharamharoub8896 5 ปีที่แล้ว +1

    Huu ni muda wa Simba na ikitoka simba labda Azam, Yanga m2acheeeeee

  • @josephmalangalila9744
    @josephmalangalila9744 5 ปีที่แล้ว +2

    Tukiungana namna hii sioni kikwazo mbele ya Yanga

  • @happykayumbo3827
    @happykayumbo3827 5 ปีที่แล้ว

    Yanga juu hatutegemei ubabe wa mtu mmoja

  • @mariamukajiru1898
    @mariamukajiru1898 5 ปีที่แล้ว +2

    Hivi kumbe kuna viongozi wapo Yanga? Msiache mpaka mgonjwa awe mahututi ndio mumtibu, Kwanini mliacha ikafikia hatua yakutembeza bakuli?

  • @fredyfred777
    @fredyfred777 5 ปีที่แล้ว

    Hata harusi huwa zinachangiwa alafu zinavunjika au zinaendelea bila maelewano
    Cha kufanya waweke uongozi bora na endelevu alafu waifanye iwe yanga kampuni
    Michango ni ya kutatua matatizo ya muda mfupi sana

  • @nurdinnswebe1905
    @nurdinnswebe1905 5 ปีที่แล้ว

    Chiza bado hajafaaaaa tuuuu

  • @petroamini7483
    @petroamini7483 5 ปีที่แล้ว

    Duh yang hii aibu mtapatabu mpaka lini.

  • @justusjerad9233
    @justusjerad9233 5 ปีที่แล้ว

    Kagera mpoooo mmemsikia dada yetu katisha

  • @tereseamasawe8111
    @tereseamasawe8111 5 ปีที่แล้ว +1

    YANGA CHALIIIIII

    • @aixhajumaa6362
      @aixhajumaa6362 5 ปีที่แล้ว

      Teresea Masawe kati ya Yanga na wewe hanaelala chali nani

  • @jimmynassa3439
    @jimmynassa3439 5 ปีที่แล้ว

    watoto yatima watu wasiyojiweza watu wako maodini awana dawa mtapata lana kwa mungu

  • @africanhappyadventure6951
    @africanhappyadventure6951 5 ปีที่แล้ว

    Hivi huuu uchizi wa Kupiga MIC Kibao tumeutolea wapii Aseeee..Hivi mnajua mnaimuza Hiyo MIC Chukulia ni wewe unapigwa kichwa hivyo..MIC Haijaribiwi hivyo Asee.Nimeona niandike maana huwa naona watu wengi sana hufanya hivyo.kitaalamu sio Sahihi kabisa.

  • @nyasandakisombi9748
    @nyasandakisombi9748 5 ปีที่แล้ว

    Soka limevamiwa na siasa

  • @muharamharoub8896
    @muharamharoub8896 5 ปีที่แล้ว

    Yanga mda wenu umeisha hata mchangiwe na mapadriiii

    • @victoriabayo7704
      @victoriabayo7704 5 ปีที่แล้ว

      Naipenda yanga na nitaedelea kuipenda yanga mbele daima kurudi nyuma mwiko

    • @hamadizomalapa2095
      @hamadizomalapa2095 5 ปีที่แล้ว

      Muharam Haroub ninyi mikia hamna lolote munamtegemea mo tu je hakiiacha timu mikia mtafanyaje?

    • @muharamharoub8896
      @muharamharoub8896 5 ปีที่แล้ว

      Sawa sie mikia ila narejea kusema Yanga anatena safar ya popote, na moo akiacha simba bass, watakuja kina Moo wengine, simba tim ya vijana na wananchiii

    • @muharamharoub8896
      @muharamharoub8896 5 ปีที่แล้ว

      M2 hakatazwi kupenda na hata ukimkataza mazal kaamua ataamua hata kua teja mazal imani yake ina mlazimishaaa

  • @danielnyantory5132
    @danielnyantory5132 5 ปีที่แล้ว

    Niko tayari kuichangia yanga

  • @laurentsunta5169
    @laurentsunta5169 5 ปีที่แล้ว +3

    kumekucha

  • @ramadhanmahongore7277
    @ramadhanmahongore7277 5 ปีที่แล้ว +1

    hahahaaa eti yanga timu ya wananchi yan wanajitekenya na kucheka wenyew. na simba sports club mtawaitaje mana ndio timu yenye mashabiki wengi kuliko timu yoyote tz na Afrika mashariki hata nyie vyura mnajua hilo... simba taifa kubwa simba nguvu moja simba tim inayopendwa zaidi hp nchini tz hizo zingine zinafuata

    • @jeskalutind2350
      @jeskalutind2350 5 ปีที่แล้ว

      Ramadhan Mahongore tuongee ukweli siyo ushabiki au unanz

    • @hamadizomalapa2095
      @hamadizomalapa2095 5 ปีที่แล้ว

      Ramadhan Mahongore we hunae sema simba hinawashabiki wengi haujielewi kabisa tz hakuna timu yenye washabiki wengi km yanga we funnga safari kila mkoa alaf huone

    • @AlmahadHamza
      @AlmahadHamza 5 ปีที่แล้ว

      Kakazwe nyuma wewe naona umezaliwa jana wewe

    • @hassanandnabil7243
      @hassanandnabil7243 5 ปีที่แล้ว

      Yanga ndokila kt kwang

    • @aixhajumaa6362
      @aixhajumaa6362 5 ปีที่แล้ว

      haliekudanganya mwambie hakudanganye tena mnajipa moyo mnavyojijaza taifa ngoja Yanga hikae sawa halafu huwone kama hatabaki mtu nyumbani

  • @xeviajohn3508
    @xeviajohn3508 5 ปีที่แล้ว +1

    Endeleen kuchangia... Ipo siku mtafanikiwa....

  • @mangofish9079
    @mangofish9079 5 ปีที่แล้ว +1

    Muna choyo sana nyie kumbe munajigamba timu yenu ya wsnanchi simba ni mali ya mtu binafsi kwahivyo nyie akija dangote hapo hamutotaka kumpa timu au? Maneno ya mkosaji tu timu ya wananchi ata vyama vya siasa ni mali ya wananchi lkn pia vinakwenda kwa ufadhili mumepitwa na wakati.

  • @abdallahhassan6055
    @abdallahhassan6055 5 ปีที่แล้ว

    kwakweli mmenifikisha mbali sana sasa hapa mpira wa Tanzania utakuwa na tutacheza mpaka world cap kwa staili hii ila tukumbuke wachezaji wapo mpaka kijijini tuuondoe mtoto wa shemeji anajua kucheza kumbe hajui pelekeni mashushu mpaka vijijini tutapata wachezaji wazuri

  • @ibrahimmzito390
    @ibrahimmzito390 5 ปีที่แล้ว

    Timu LA wananchi litabaki kuwa juu kileleni

  • @ramadhanyahaya9144
    @ramadhanyahaya9144 5 ปีที่แล้ว

    Kuchangiwa ni Umaandazi mkubwa

  • @laylahashim5988
    @laylahashim5988 5 ปีที่แล้ว +1

    Hili timu la yanga silipendi linanitia kichefuchefu 👊👊

  • @sondajohn6785
    @sondajohn6785 5 ปีที่แล้ว

    Yan siamn kama kwer tum inakalibia miaka 100 ikajiendesha kwa bakuli nac mda majb yatapatkana

  • @jamesmbata8542
    @jamesmbata8542 5 ปีที่แล้ว

    Maninaaa
    OmbaOmba FC 😂😂😂😂

  • @mohammediallykaboza5862
    @mohammediallykaboza5862 5 ปีที่แล้ว

    mh wachezaji wanakazi na ifikie wakati wasijilaum wala kulusha ngumi kwa wachezaji wenzao ivi unapokua umeajiliwa na omba omba utakua na matalajio ya mshahara kweli?

  • @jacksonfungo263
    @jacksonfungo263 5 ปีที่แล้ว

    Hapo sasa ndo napata tafsiri yakwamba kile kipindi mlicho kuwa mnachukua ligi kuu kumbe mambo ndo yalikuwa kama haya, hapo mmefeli sana tena zaidi ya sana maana mpira pesa na siyo siasa kama hao waomba kura

  • @prophetmunuo9317
    @prophetmunuo9317 5 ปีที่แล้ว +1

    roho mbaya haitaruhusu msogee hapo mlipo. mtachanga mpk muiache hiyo roho mbaya yenu.

    • @christinamduma6246
      @christinamduma6246 5 ปีที่แล้ว

      Prophet Munuo mwanga mkubwa mmezoea kuroga Jana mmekutana na vingunge wenzenu mbwa ww

    • @judithpaul9013
      @judithpaul9013 5 ปีที่แล้ว

      Prophet Munuo kbs, wana roho za kutu hawa omba omba

    • @judithpaul9013
      @judithpaul9013 5 ปีที่แล้ว

      Christina Mduma ht ww mbwa, brat! Pimbi uliyekosa adabu, changien litimu lenu bovu km nn

    • @christinamduma6246
      @christinamduma6246 5 ปีที่แล้ว

      judith paul mmezoea kudanga Malaya nyie mwaenda uwanjani kuvua nguo msenge kweli ukaona yanga wavua nguo pimbi boko kahaba wa simba nendanao keshokutwa Kongo kama utarudi wasenge kweli yanga juu najua hutaacha kutaja hill neno yanga

    • @judithpaul9013
      @judithpaul9013 5 ปีที่แล้ว

      Christina Mduma hahaha yanga inatia aibu, mna wivu na simba nd maan unaumia... kenge ww, cyo bure mchawi wa simba.... kanye uko ulale.... af unisameh huwa ctukanag ila watu wasio na akil km ww huwa nawafunza hv, jus keep ua dirty mouth quit.... brat!

  • @stephenmalilo9833
    @stephenmalilo9833 5 ปีที่แล้ว

    Hahahahaaaaa......nacheka kidhungu.......OMBAOMBA SACCOS LTD....

  • @rashidmohamedi1495
    @rashidmohamedi1495 5 ปีที่แล้ว

    Kwan we mwigulu manji si alikuwa anawaendeshea au ndo mfa Mani haish kutapatapa

  • @zanzibarkilosaconservation2894
    @zanzibarkilosaconservation2894 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwel yanga kazi mnayo wallah

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 5 ปีที่แล้ว +2

    Badala ya kuchangia madawati na ujenzi wa madarasa

    • @kastulisarwat3024
      @kastulisarwat3024 5 ปีที่แล้ว +1

      Hilo wanalofanya pia lina umuhimu

    • @bjzee1981
      @bjzee1981 5 ปีที่แล้ว

      Inasadia nani zaidi ya wachezaji? Wakichangia ktk maendeleo ya elimu ni kila mtanzania aliopo maeneo husika atafaidika kwa kipindi cha miaka mingi kuna shule zina zaidi ya miaka 60 tangu zijengwe. Niambie ni wangapi wamefaidika? Hawa yanga wala hawata wajua baada ya ushindi badalayake wataishia tu kustarehe mkiwaonea kwenye medias

    • @elizaatilio527
      @elizaatilio527 5 ปีที่แล้ว

      Inakuuma sana looh wivu wako kidonda utajibeba

    • @aixhajumaa6362
      @aixhajumaa6362 5 ปีที่แล้ว

      kwani mbona mnateseka

  • @tgeofrey
    @tgeofrey 5 ปีที่แล้ว

    Ccm kala

  • @jacksonfungo263
    @jacksonfungo263 5 ปีที่แล้ว

    Mmefulia hamna jipya hapo, siasa na mpira wapi na wapi? Mtafuteni mtu hapo awekeze na lingine mwache kuwa na uloo wa madalaka na migogoro isiyo kuwa na misingi mtapotea kisoka

    • @henrylulandala4016
      @henrylulandala4016 5 ปีที่แล้ว

      Jackson Fungo njoo uwekeze wew nafasi iko wazi.

  • @ridhiwanihassani4056
    @ridhiwanihassani4056 5 ปีที่แล้ว

    Iyo sio timu ya wananchi kila mwananchi anatimu yake

  • @MusaNgao
    @MusaNgao 5 ปีที่แล้ว

    Hatar sn hayo madongo bashe co

    • @mangofish9079
      @mangofish9079 5 ปีที่แล้ว +1

      Bashe ni hao miongoni mwenu muliopitwa na wakati ktk soka hata hicho chama cha siasa kina ufadhili ijekua timu ya mpira.

  • @salummkugwa7004
    @salummkugwa7004 5 ปีที่แล้ว +5

    Dah yanga ndo mmefikia hapa

  • @ramadhanmahongore7277
    @ramadhanmahongore7277 5 ปีที่แล้ว +3

    Tim ya wananchi simba timu ya watu walio wengi

  • @jacksonfungo263
    @jacksonfungo263 5 ปีที่แล้ว +2

    Yanga ni ombaomba tu wala halikwepeki hilo

  • @mahadshekh398
    @mahadshekh398 5 ปีที่แล้ว

    Zimechangwa ngapi kwenye hiyo Saccos?Milioni 60?

  • @ramadhanmahongore7277
    @ramadhanmahongore7277 5 ปีที่แล้ว +3

    nyie ombaomba tu

    • @juniorbayyo9209
      @juniorbayyo9209 5 ปีที่แล้ว

      Ramadhan Mahongore @@@@na wew endelea kupigia debe garii ambalo limejaaa

    • @AlmahadHamza
      @AlmahadHamza 5 ปีที่แล้ว +1

      Omba na wewe kama utapewa

    • @juniorbayyo9209
      @juniorbayyo9209 5 ปีที่แล้ว

      Almahad Hassani @@@me c ombi ila na changia na wew endelea kumpigia debe mo