Kilimo Biashara | Matunda ya karakara yavutia wakulima Elgeyo Marakwet

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ม.ค. 2024
  • Matunda ya pesheni au karakara ni mojawapo ya matunda maarufu humu nchini yakiwa na hitaji kubwa katika masoko ya ndani na nje. Aidha wakulima wadogo wamependezwa na tunda hili kutokana na mapato yake mazuri. Katika kaunti ya Elgeyo Marakwet, mkulima mmoja amenufaika na kilimo hiki

ความคิดเห็น • 11

  • @nicksonkiprotich7556
    @nicksonkiprotich7556 5 หลายเดือนก่อน

    Good job brother

  • @iankandie6809
    @iankandie6809 6 หลายเดือนก่อน

    Nice one Sila congratulations

  • @patrickmurunga4820
    @patrickmurunga4820 6 หลายเดือนก่อน

    Cograts Is It possible to implement in North eastern with irrigation, as a way curb banditry, Kenya kwanza govt will get support if It invests in this especially north

  • @omodesigner
    @omodesigner 6 หลายเดือนก่อน

    Passion wow, nani akonazo anizambazie

    • @iankandie6809
      @iankandie6809 6 หลายเดือนก่อน +1

      Seedlings ama yakukula

    • @omodesigner
      @omodesigner 6 หลายเดือนก่อน +1

      @@iankandie6809 ya kumeza

  • @iankandie6809
    @iankandie6809 6 หลายเดือนก่อน

    My buyer,hehe,Nani anataka mbegu

    • @allseasonsfashion743
      @allseasonsfashion743 6 หลายเดือนก่อน +1

      Nataka mbegu

    • @iankandie6809
      @iankandie6809 6 หลายเดือนก่อน

      @@allseasonsfashion743 seedlings kiasi gani

  • @MIKENJUGUNA-tu3pv
    @MIKENJUGUNA-tu3pv 6 หลายเดือนก่อน

    Is it Kakara or karakara??