Kibu fanya kazi mimi nakuitaji uwe simba saana wewe unajuwa wanaokubeza waache wasenge ukipata nafasi cheza maliza maarifa yakoyote kubwa muamini mungu na msikilize saana kocha piga kazi dogo
USHAURI MKIFUNGA GOLI MSIVUE JEZI UNAWEZA KUPATA KADI NA UKAKOSEA TENA UKAPATA KADI NYEKUNDU UKAIGARIMU TIMU. USIVUE JEZI HUO CY USHANGILIAJI HATA KM UMEFURAHI VP
Mungu ibariki simba ❤❤❤❤❤
HONGERA SANA KIBU D WEWE PIGA KAZI USISIKILIZE YA NJE. WAKANDE KILA WANAOKUJA RUDISHA JINA LAKO BABA
Kibu Fanya kazi usisikilize walimwengu wanasema nini ukipata nafasi itumie ipasavyo irudishe heshima yako sis tupo nyuma yako tunakuombea
Kibu fanya kazi mimi nakuitaji uwe simba saana wewe unajuwa wanaokubeza waache wasenge ukipata nafasi cheza maliza maarifa yakoyote kubwa muamini mungu na msikilize saana kocha piga kazi dogo
Achana nao hao yanga matango pori
piga kaz kibu heshima yako ilud sim tuko nyuma yako
Hao yanga matango pori
Kocha wa simba wambie wachaji wasifue jezi haswe wew matola waabie hili jopo ni furaha kadi utapata unaikosi timu
Kibu bado sijaona mashine zile unazopigaga😂
USHAURI MKIFUNGA GOLI MSIVUE JEZI UNAWEZA KUPATA KADI NA UKAKOSEA TENA UKAPATA KADI NYEKUNDU UKAIGARIMU TIMU. USIVUE JEZI HUO CY USHANGILIAJI HATA KM UMEFURAHI VP
Yani ww camera yako maiki yako lakini clip haina sauti
SASA NA NYIE KM YANGA WALIMTAKA ASISEME? HUWA MNASEMA HUYO HATUMTAKI KUMBE MNAMTAKA. NA NYIE WANDISHI MWACHENI KIBU D MSIMCHANGANYE MWACHE ACHAPE KAZI
Unajipendekeza kwa yanga hatukutaki
😁😁😁😁😁au ao yanga wanakujua Sasa😁😁😁🏃🏃🏃
Ww ngombe wa yanga simba nguvu moja kibu nakubali brother ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Baada ya kumkosa😂😂😂😂😂mbona Chama mlimchukua!??