Ufaransa inaweza kuwa sababu ya Traore kutokuja Tanzania.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 13

  • @fauzimaftaha2612
    @fauzimaftaha2612 8 วันที่ผ่านมา +4

    Kutofika kwake Tanzania imeniuma sana

    • @AVYBREE
      @AVYBREE 8 วันที่ผ่านมา

      bora hata hajaja huenda kaona jambo hasa pia anahofia usalama wake

    • @PhilipoMwita-b2x
      @PhilipoMwita-b2x 8 วันที่ผ่านมา

      Mbona unalilia rais wa nchi nyingine hilooooo kwani nyie hamna Samia wenu

    • @DeboraCalton
      @DeboraCalton 8 วันที่ผ่านมา

      ​@PhilipoMwi😂😂😂😂😂😂😂

    • @AgiripinaNisiphory
      @AgiripinaNisiphory 8 วันที่ผ่านมา

      ​@@PhilipoMwita-b2xhebu tuache kidogo na traore wetu😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @AgiripinaNisiphory
    @AgiripinaNisiphory 8 วันที่ผ่านมา

    Hili limeniumiza saaaana hili limeniumiza sana bora nikae kimya 😮😮😮😮😮

  • @simonpure109
    @simonpure109 8 วันที่ผ่านมา +3

    Bora hajaja,ile bastola yake angewabamiza viongozi wavivu 😂😂

    • @HappyNass-mu3lu
      @HappyNass-mu3lu 8 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂 kweli kabisa

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 8 วันที่ผ่านมา +1

    Hasije maana hapa Bado tunapambana na ma CCM wanaojipendelea madalaka😮😮😮

  • @MathewShayo
    @MathewShayo 8 วันที่ผ่านมา

    Sio kwel

  • @mtanganyika-e2b
    @mtanganyika-e2b 8 วันที่ผ่านมา

    Asije kwa usalama wake,hamna usalama Wa kutosha wasije wakamuuza mtoto Wa watu

  • @AVYBREE
    @AVYBREE 8 วันที่ผ่านมา

    Paul kagame, nae hayupoo

  • @AlfredMandi-t9v
    @AlfredMandi-t9v 8 วันที่ผ่านมา

    Mwambaa hajatikaa kwelii?