SIRI YABAINIKA KUHUSU MCHELE WA MASANJA RICE MMMH

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • Usiache ku subscribe na ku comment

ความคิดเห็น • 68

  • @JohnLucas-nv2jv
    @JohnLucas-nv2jv ปีที่แล้ว

    nnamchele wa kahama broo 1900 unachukuwa??

  • @alexbwalya5708
    @alexbwalya5708 4 ปีที่แล้ว

    Kak pamoja sana

    • @alexbwalya5708
      @alexbwalya5708 4 ปีที่แล้ว

      Kak ninashid na wew nitmie namba yok tuonge

  • @kulwabaraka8548
    @kulwabaraka8548 4 ปีที่แล้ว +3

    Good broo,,
    Inspired so much.
    Nitaendelea kujifunza kwako na huwezi amini nimedownload video zako nyingi za uhamasishaji na nazifanyia kazi sana sana.

  • @adolphmwangoje2887
    @adolphmwangoje2887 ปีที่แล้ว

    unapatkna wap huu mchele

  • @ndolepeter2770
    @ndolepeter2770 6 หลายเดือนก่อน

    masanja tena ww c mchoyo wa mbinu zakukimo kama mtu atakufatilia kila kitu kipo wazi sana hata mm mama nimejifunza sana kutoka kwako

  • @HellenMgassa-zs6jx
    @HellenMgassa-zs6jx 8 หลายเดือนก่อน

    Unapatikana wap

  • @jamescustom6699
    @jamescustom6699 4 ปีที่แล้ว +4

    Hongera mkuu ushauri ungeweka utalatibu au niseme kwa wafanya kazi wa masanja wanapo ingia ndani ya bidhaa inapo kobolewa kuwe na utalatibu wa mtu anapo ingia au wafanya kazi kwa ujumla wawe na mpangilio wa mavazi apo kuna shida kidgo wengine wamevaa ndala kitu ambacho binafsi cjakiona kama kipo Sawa

  • @KulwaSanga-y6u
    @KulwaSanga-y6u ปีที่แล้ว

    Bei ya mchele

  • @dicksonsheja251
    @dicksonsheja251 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana mkuu vifungashio Uneviandika UBARUKU MCHELE KUTOKA UBARUKU MBEYA ili waijue vzr UBARUKU YETU MAANA MPUNGA 90% UNALIMWA UBARUKU

  • @happyngungur8868
    @happyngungur8868 4 ปีที่แล้ว +1

    Masanjaa I love your efforts
    MUNGU.. Kazi a good family maisha yamekamilika 😍😍😍great

  • @yassiniabbassi6674
    @yassiniabbassi6674 4 ปีที่แล้ว +1

    Haya sasa wale wagonjwa wa akili maskini wa fikra mnaisemaga Masanja frimason ufrimason wake huo hapo mwenzenu anaendelea kupambana nyie endeleeni kumwambia frimason

  • @johanesmwombeki6462
    @johanesmwombeki6462 4 ปีที่แล้ว +2

    kwani ulikanyaga mafuta au unafanya kazi kwa bidii na kumtegemea /maombi/dua/maombi kwa MUNGU

    • @alexchungu9505
      @alexchungu9505 4 ปีที่แล้ว

      Johanes Mwombeki , jali afya yako, fanya kazi kwa bidii

  • @tusajigwemathias3758
    @tusajigwemathias3758 4 ปีที่แล้ว +1

    Alafu anatokea mjinga mmoja eti masanja mchawi kaloge na wewe mawe uyageuze sukari ... Alafu weka kwa pack ingiza sokoni uone Kama rahisi

    • @Feelfreechurch
      @Feelfreechurch  4 ปีที่แล้ว +1

      Tusajigwe Mathias 🤣🤣🤣

  • @joycekasakisya7755
    @joycekasakisya7755 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sn mpendwa na Mungu aendelee kkbariki.

  • @paschalzacharia6708
    @paschalzacharia6708 4 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe kwa mchele mzur

  • @beatricemaithya2539
    @beatricemaithya2539 4 ปีที่แล้ว

    From Kenya... Nimeipenda sana kazi yako..... Allah AKubariki zaidi...

  • @yudatadeshayo4434
    @yudatadeshayo4434 4 ปีที่แล้ว

    Halafu jitu sijuii limekula kiporo oooh masanja anauza mdawa ya kulevyaa msiuu barikiwa sana mchungaji

  • @salummussa1139
    @salummussa1139 ปีที่แล้ว

    Niajiri na mie

  • @prophetjoeAngel24
    @prophetjoeAngel24 4 ปีที่แล้ว +1

    Kila siku najifunza jambo kutoka kwako,

    • @Feelfreechurch
      @Feelfreechurch  4 ปีที่แล้ว

      Prince Aivan Ministries Asante sana ndugu yangu

  • @HappnessYohanaRohongo
    @HappnessYohanaRohongo ปีที่แล้ว

    Hongera sana mtumishi wa Mungu

  • @gauedwin1960
    @gauedwin1960 4 ปีที่แล้ว +1

    Imani bila vitendo...bravo 💪 my pastor

  • @joycezipporah1203
    @joycezipporah1203 3 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri kaka hongera from 254+

  • @saidishabani7102
    @saidishabani7102 3 ปีที่แล้ว

    Masanja ntapata mawasiliano

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 4 ปีที่แล้ว

    Masanja mchele umepasia simu kwa harufu nzuri,ubarikiwe zaidi

  • @rehemamolleliy9457
    @rehemamolleliy9457 4 ปีที่แล้ว +1

    Waoo nice👍❤

  • @rosesimiyu1834
    @rosesimiyu1834 4 ปีที่แล้ว

    Nataka mchele Niko Kenya Nairobi

  • @ambadedekilala973
    @ambadedekilala973 4 ปีที่แล้ว +1

    unatisha kaka

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 2 ปีที่แล้ว

    Hongera

  • @rugessyboy8671
    @rugessyboy8671 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakuku bar brother man

  • @teresiamgimba760
    @teresiamgimba760 4 ปีที่แล้ว

    Da hongera kwa kweli

  • @ephraimrichard6701
    @ephraimrichard6701 4 ปีที่แล้ว

    Daaaahhh hongera sana bro unaninspire kuingia iko et

  • @officialstoner771
    @officialstoner771 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana

  • @agathathobias8690
    @agathathobias8690 4 ปีที่แล้ว +2

    Masanja jaribu kusambaza mchele wako n huku mikoan nasikia una mchele mzur sana

  • @frankngoloka8311
    @frankngoloka8311 4 ปีที่แล้ว

    Endeleeni kuongea haa masanja Freemason,huo mchele amelima yeye kwenye mashamba yake,hongera mtumishi juhudi zako nazikubali

  • @kileopaul3316
    @kileopaul3316 4 ปีที่แล้ว

    Nataka mchele. Niko moshi

  • @kileopaul3316
    @kileopaul3316 4 ปีที่แล้ว

    Nataka mchele. Niko moshi

  • @Kilungumika
    @Kilungumika 4 ปีที่แล้ว +1

    God bless you my Brother!

  • @christopherrichmangi8570
    @christopherrichmangi8570 4 ปีที่แล้ว

    Big up Kaka Masanja

  • @selinaemanuelnyemela6182
    @selinaemanuelnyemela6182 4 ปีที่แล้ว

    Good job and big up

  • @anthonyjoseph4979
    @anthonyjoseph4979 4 ปีที่แล้ว

    Be bless

  • @carolinewanjala1158
    @carolinewanjala1158 4 ปีที่แล้ว

    Ongera kaka ni kasinzuri lakini naona wajapakasi ni wakiume Mimi naomba kasi hio

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema 4 ปีที่แล้ว

    Machine za kisasa sana zinakoboa vizuri mmliki ni muha wa Kigoma. Ubaruku, Mbarali. Hata mimi nanunua mchele hapo Ubaruku naleta Moshi.

  • @vitolomohd4979
    @vitolomohd4979 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akuzidishie .

  • @YasminYasmin-kj4ep
    @YasminYasmin-kj4ep 4 ปีที่แล้ว

    Wow hongera sana kaka

  • @gm7045
    @gm7045 4 ปีที่แล้ว

    Kg 100 ni sh ngapi?

  • @graciousjoseph6060
    @graciousjoseph6060 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubaliki masanja