Tommy Flavour & Marioo - Nakuja (Recording Session)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2024
- Stream/Download:linktr.ee/tomm...
Stream "Nakuja"Click here:smartklix.com/...
Listen to Tommy Flavour on Digital Streaming:
Audiomack:audiomack.com/...
Apple Music: / tommy-flavour
Boomplay:www.boomplay.c...
TH-cam: / @tommyflavourtz
Spotify:open.spotify.c...
Follow Tommy Flavour on Social Media:
Instagram: / tommyflavour
Facebook: / iamtommyflavour
Twitter: / tommyflavour
Triller:triller.co/@to...
TikTok: / tommyflavourtz
Follow Marioo on Social Media:
Instagram: / marioo_tz
Facebook: / thisismarioo
TikTok: / marioo_bad
TH-cam: / @mariooofficialmusic
Written & Performed by: Tommy Flavour & Marioo
+For More Information Booking Tommy Flavour:
Contact: emailtommyflavour@gmail.com
©2023 Ziiki Media & Kings Music Records.All Rights Reserved.
#TommyFlavour #Marioo #Nakuja
Hii team inainjoy sana sema tu hawataki kushow off maisha yao ila wanainjoy sio siri
timu king tujua hapa kwa lake
kama umegundua huo ni mjengo mpya wa kiba kule mbezi beach makonde gonga 👍
Nikusanue tuu...uyo King anamijengo mingi sana ya wapangaji na hataki watu wajue😅😅izi n za chini ya kapeti😎
@@supertallone1902 nakutajia 3 nazo zifaham kuna hio kwenye kideo,,moja ipo kunduchi kipindi kavamiwa na majambazi akahama kapangisha,;moja ipo njian njia ya tabata segerea ambayo nayo kahama,,sahiv anaish tabata unashuka sanene amabako karibu yake kajenga msikiti mi ndo naswali hapo!!!kiufupi anapo ishi yeye npo mkabala pembeni kuna nyumba za kupanga ndo nakaa apo.
@@johjohns4021 ndio ivyo na nyingine anasimamia AbduKiba...hawa watu wapo vizuri kimaisha ni vile wako wasiri
Tafuteni pesa mjivunie na jasho lenu huyo alikiba atawasaidia chchte shabiki mandazi
@@sabanajunior3243 anatusaidia sana tuu...pesa tunatafuta na Kiba anatuhamasisha vijana so usiringie pesa maana muda wowote mambo yanaweza badilika acha wivu😂😂
Kumbe marioo alipanic😂😂😂🙌 Kweli tommy ni jinamizi la muziki
😅😅hatar
Tommy ni full package maelekezo n muhimu iki Kazi iwe kubwa
Dah kumbe studio session ilkua poa hvi safi sana ,naona umoja wa Kings music💪🔥👍
Marioo ananga maneno mingi yeye anataka too apangwe 🤣🤣👊
Umeona eeh😂😂😂😂😂
Unyam ulikuwa ni mwingii bro nakukubari sanaa brother Tommy🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Team King 👑 piga makofi
Kumbe king pia alikua studio 🔥🔥🔥
Dah mlipingana sana na mkatoa kitu kizuri sana 🙌🙌🙌
I knew it from the word go lazma kuna mchango wa Mfalme mahali...bt the jam is wow and infact it's my favorite right now 🙏♥️♥️👌🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hii studio session ya nakuja imekuwa on trending😂😂🙌 ndo mtambue kuwa wimbo ni mkubwaaaaa
I like the unity among you guys. One love 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mwanangu Tommy flavour
Tommy ni noma sana 100%
Nafurahi kuona Marioo kajikubali na kushirikisha king kiba ❤❤
Can see my young upcoming kings k2ga, marioo and Tommy flavour much much more love 💕💕..... always following you 👌👑💪🥰🥰🥰🥰🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
Tunawapenda king music👑👑👑👑
Good job guys🙌 tommy flavour your my favorite 😍🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Muziki umetoka mbali sana leo kurekod sio tena kusimama na mike kubwaa easy way
Ngoma ya marioo kumbe marioo noma sanaaa
King Kama king big up bro❤️😘
King sharing wisdom 💯
Nice Jam.
You put work into it..
Love the intro... Saaanaa
Big up from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪...
❤❤🎉
Tommy 🔥🔥🔥🔥❤️❤️
King's music for life🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Young King Tommy👑
Vous faites un grand boulot les gars, vraiment félicitation pour le morceau 🇨🇩🔥🇨🇩👏🔥🇨🇩👏
La chanson entière est déjà sur TH-cam mon frère
Marioo mnyamaaa
Nakuaminia mdogo wangu kip up🎶🎶
Alafu wee sijapenda ulivoimba😁😁😁
😂😂😂😂 kiba kazingua 😂
Young King on the beat
Nakubaliii
unajua sana brother
Maunyama mwingi yaani
Nime penda 🤝🤝 unit 🔥💯💯
Mziki mzuri lazima maandilizi yake yawe na mawazo ya watu wengi kwaiy mumetixha 💯
King is king I think is Rimix good g
Jobs 💥💥💥
Fundi wa mziki aliinama kwanza akasklza kwa kisha akatoa ushauri ngoma ikatoka na ngoma ikaenda mtaani hongera sana kingkiba kwel ww ni teacher wa mziki wa bongoflave
Unashabiki wa kindezi wewe
Oooh tommy tupe section two unyama sana
Very humble Tommy ❤❤❤ huna baya dogo 👏👏👏
Pale mnapokutana wote mnajua lazma mijadala iwepo ili kazi iwe nzu na kweli kitu ni 💥
No wonder they make hits it's a collective thing
Tommy nyimbo ii kaua jamn anajua uyu kijanah
Kaka Tommy hii ni another banger kweliii🔥🔥🔥🔥🔥
Tommy a caminho de sucesso
Very true, 💕
Y'all did a good job💯💯✔✔
Mnajua hogeren sana mmefanya kitu kizur sana🙌🙌🙌🙌
Big up guyz
Kali bro
Keep it up tommy ❤️❤️.
Clean Click 💯💯🇰🇪🇰🇪
Hit nakuja 🎧💥
King 👑 kibaa
Hii ngoma nikali Sana 🔥🔥🔥
Nimependa how mna work together good sana baddie x king music hivi ndio inavyotakiwa
Kali
❤❤❤❤❤ bila idad Kwa kings music end broo bad marioo
🔥🔥🔥🔥🔥
Eti cjapenda ulivyoimba. 😂 😂 Kiba bana.
Music mzuri ni combination ya watu WENGI
Tommy nakukubali sana🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Studio bedroom💥
🇰🇪🇰🇪🇰🇪 much love from this side of the world 🌎
Marioo kafanya jambo la msingi sana namkubali sana
Kiba bhana
Kiba fund jaman
Chama langu Mpo vizur
Kizazi Sana'a boss
Tommy nakufatilia sana
Tommy wamoto 🔥🔥🔥
Tommy nakupenda mwezio😅
Safi sanaaa
Keep it up good job
Amazing good job
Team king
Tommy 🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥💪
Nakubali sanaa
Ngoma karisna🙏
Unyama 🙌
Jamani hiyo mijibwa mmeiskia nyie
Kali sana
Ndio man makewakiba alikua analalamika nyumban Kila saa imejaaa masela haaa ilitakiwa awe na nyumba nyingin ya Mambo yamzik tuu
Hit
💥💥💥💥💥💥
Jmn classic combination lkn muwe na Watoto wa kike bhn😂😂😂😂😂 Wanaume tu
Wow was so amazing
Hot hit🔥🔥🔥🔥🔥
Hawa jamaa ni noma sana
Wamoto sana
Part 2 plz
🔥🔥🔥❤️❤️
waliomo ndiyo wenye Gharama ila mziki.wao.hauna gharama kabisa
Unyama san
kiukweli office zenu za kong’s music noma
Mzee unajua sana mzee tommy
one of my best
Toto Bad
❤🔥❤🔥❤😍