Wallah hisi kasida zanikumbusha mbali mpaka nataman kuliya wallah mana kun matukiy yanakuja akilin yan daa maisha nisafari nasafar hiyo hun uhakuk kama utafika au utapatwa na shida njiyan
nakumbuka siku mwalimu wetu anakuja kutufundisha hii kaswida ilikua kama yy ndio kaimba maana sauti yake inafanana na huyu jamaa copy sh wangu mkubwa omar khamis pujini pemba allah amuhifadhi na amlinde na kila shari ....
Wallah hisi kasida zanikumbusha mbali mpaka nataman kuliya wallah mana kun matukiy yanakuja akilin yan daa maisha nisafari nasafar hiyo hun uhakuk kama utafika au utapatwa na shida njiyan
Yaani hapa palikuwa na qasda sio muda huu😂😂😂
Mi nilikua naita ahmada hii!!!
Kipindi hicho mungu atunusur na. Madhalm
Dah Zamani kweli sahii ukituona tusha kuwa ma baba watu na weke zetu
Kw nn Qadiria hawaimbii tna hz Qaswida nimezpend kuliko za mda huu hizi nd Qaswuda bhn 😍😎
saa hz ni dumbaki mziki tu wamekua wenzake diamond
@@imash04tv20 🙄🙄🙄🙄 Khatarii
Hizi qaswida za zamani sana kipndi hiki nilikua darsa la 4 Pemba
pemba wapi
@@imash04tv20Wete Kaskazini KIZIMBANI
QADIRIA twaomba album ya chozi la ngamia yote
Well done hahahaha dah nimeimic mda
Salum Raashid is best adi Leo anatulia anaposoma
Ntakutumia link ya youtube
Twaomba zoote za mwano kuanzia mwaka 2003/2007
KAKA TULETEE GAHAZALI PLZ
Assalam aleikum, ninaomba mashairi ya hii qaswida. Maneno mengine hayasikiki, shukran
Hii au ipi
@@nassorhaji2637 ndio hii
nakumbuka siku mwalimu wetu anakuja kutufundisha hii kaswida ilikua kama yy ndio kaimba maana sauti yake inafanana na huyu jamaa copy sh wangu mkubwa omar khamis pujini pemba allah amuhifadhi na amlinde na kila shari ....
Wapi uko kaka mkubwa
@@nassorhaji2637 unaniuliza mm nipo wapi au
@@imash04tv20 Ndio kaka
@@nassorhaji2637 pujini pemba ww je maeneo gani au unamfahamu