Kuna kitu nimekigundua kwa Simba na ndio maana makocha wa Simba walipongezana sana walipofunga goli la 1 na la 2. Waliwafundisha wachezaji wa katikati wawe wanapiga mashuti makali ambayo kwa vyovyote kipa atatema na wawe tayari kumalizia kazi likitokea hilo .NA NDIVYO WALIVYOFANYA.Kuna watu wanasema goli la 3 na la 4 ni offside sijui goli lipi maana hata juzi lilofungwa goli la tatu dkk ya 95
ASANTE MUNGU KWA USHINDI HUU MKUBWA NAMNA HII TUNAKUOMBA EE MUNGU TR 03/07/2021 TUIFUNGE YANGA SC NAKUIBUKA NAUSHINDI, KAMA NAWEWE NIMPENZI NA SHABIKI WA SIMBA SC GONGA LIKE KUITAKIA SIMBA YETU USHINDI KWA KILA MCHEZO ULIOKO MBELE
Safi sana wachezaji wote wa simba hawana uchoyo wanapeana pasi hatakama anaweza kufunga SHOW ME THE WAY KAPOMBE hiyo pasi uliyo mpasia CHAMA ni upendo kabisa salaaaam kwa wale jamaaaa ambao wazee wao wanasema hawaingizi timu uwanjan
Naomba irudiwe In fact hii simba si ya kufananisha timu zingine za bongo naomba timu ziige ,kama wataendelea kufanya utopolo watashangaa mtu anabeba kombe misimu sita mfululizo 🏆🏆🏆🏆🏆🏆 cmba imejaa mafundi tuu chama morrison bwalya miqussone boko yaan hadi raha
Bado siamini kama timu mbovu ya Kaizer Chiefs imetuondosha ligi ya mabingwa. Nafasi ya ubingwa tumeipoteza bure tu hii timu ni nzuri sana na nafasi huwa hazijirudii
@@emmadora7848 Ile timu ni mbovu,, ni wakamiaji wa mechi ngumu,, ukiangalia takwimu ni wabovu sana,, lakini mpira una matokeo katiri wakati mwingine,, ndiyo maana unatakiwa ukubali matokeo. Kitu kingine,, usifikiri kushinda mechi ndiyo ubora,, ndiyo maana kuna takwimu,, hivyo zile timu zinazoishi bila game analysist ni ngumu sana kulinda ubora wao,, maana wakati mwingine unashinda kwa bahati,, hivyo unatakiwa kushughulikia mapungufu ya timu hata kama uneshinda.
Nachowapendea Simba, yanga wakifunga goli la offside then wakalitetea na wao Simba wanafunga kama lile ili yanga waendelee kulitetea... Kwa bahati mbaya maskini wanaumia, wanaugulia ndani Kwa ndani... This is Simba, ukijua hivi sisi tunajua vile.
*Habar zenu ndgu zangu naomba nikukarbishen katika masomo yetu yanayohusu tiba za Asili mbali mbali bila malipo yoyote karbuun mjifunze ingia TH-cam andika sir Binladen 786 yaliyomo kumvuta mpenzi, Tiba ya nguvu,Tiba ya kizazi, Mvuto wa biashara na mengineo mengi karbuun mjifunze*
Mnaosema goli la 3_4 ni offside bas ayo magoli mawili tumewaongezea yanga bas tufanye Simba 2 mbeya city 1 Apo ni point ngap 😂😂😂😂😂Akili zingine bana Simba ndoo waga wako offside tuu ila magoli ya yanga yako swafiiiii kabisaa punguzeni mihaho 😏😏😏
Katazama tena takwimu za huu mchezo vzr. Ni mfumo wa uchezaji leo mwalm alibadilisha, zaidi pia ni wale walinzi wa pembeni kushambulia kutojishughulisha na kuzuia sana kwa muda mwingi.
hawa si niwale wanaoangalia tuu mchezaji akiwa mbele wanajua ni offside... Ngoma inaangaliwa wakati pasi inaachiwa, yaani mtoa pasi y mwisho kuelekea huyo unaezani ni muoteaji aliitoa wakati gani!? je muoteji alikua tayari ameshawaacha mabeki au walikua sambamba
Simba is the best team in Tanzania 🇹🇿 all love ❤️ from a South African fan 🇿🇦
True fact bro we love South African league too
Of course simba is amazing prey total football no one can compare with simba in Tanzania for 100%
noma sana simba
Tuliondoe hilo la 4 na gori la tatu la Yanga na mwadui Tuliondoe MAJIBU YATABAKI YANASOMAJE.
Simba na mbeya city 3-1
Yanga na mwadui 2-2
Thinking again....
Our Club 🦁 Our nation 🇹🇿 Our Pride 💪... SimbascTanzania #Nguvumoja
NGUVU kama zote, KWANI WAO MBEYA KIJIJI WANASEMAJE🤭🤭🤭😂🙄🏃
Mmi shabiki wasimba kindaki ndaki nimekua wakwanza like nyinyi kwa wanangu wa simba
Chama super maestro wewee ni fundi wA Mpila ujua kuwafinya na kuficha Mpila big up
PONGEZI NYINGI ziende kwa kocha wa VIUNGO Adel Zrane - fitness coach.
Wachezaji wamekua WEPESI hadi imekua SIFA.
Ile pasi ya kapombe kwa chama ilkua ni Rambi Rambi tosha 🔥🔥
😂😂😂😂
au co
Yaani tangu nianze kuishabikia Simba najikuta nanenepa tu ,Simba raha sana
wanenepa kila pahala co
Nimerudia kuangalia magoli hadi raha❤❤❤❤
Kuna kitu nimekigundua kwa Simba na ndio maana makocha wa Simba walipongezana sana walipofunga goli la 1 na la 2. Waliwafundisha wachezaji wa katikati wawe wanapiga mashuti makali ambayo kwa vyovyote kipa atatema na wawe tayari kumalizia kazi likitokea hilo .NA NDIVYO WALIVYOFANYA.Kuna watu wanasema goli la 3 na la 4 ni offside sijui goli lipi maana hata juzi lilofungwa goli la tatu dkk ya 95
SimbaAAAAAA🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
ASANTE MUNGU KWA USHINDI HUU MKUBWA NAMNA HII TUNAKUOMBA EE MUNGU TR 03/07/2021 TUIFUNGE YANGA SC NAKUIBUKA NAUSHINDI, KAMA NAWEWE NIMPENZI NA SHABIKI WA SIMBA SC GONGA LIKE KUITAKIA SIMBA YETU USHINDI KWA KILA MCHEZO ULIOKO MBELE
WE BAADA YAKUOMBA MUNGU AKUJAALIE UMUBUDU UMTUMIKIE, UNAOMBA UPUMBAVU.
Hamisi mfaume Namwewe duh!
Mpenja unajua kuwakeraaaa na wewe😋😋😋😋😂😂😂😂😂🦁🦁🦁🦁
Sisee hako kameingia kwa bahati sana mshukuruni Mungu haki dah ,Simba jmn hii timu htri mnoo
Kinacho nifurahisha nikuone makocha wanavyo pendana
Kbs yaan mda wote wanatabasamu pamoja
Hakuna machoka wenyewe furaha mda wote km makocha wa simba 😘😘😍😍👌👌👌
au co
Asantee Sanaa chama langu la SIMBA 🙏 ubingwa wetu msimu huu
Hv Trh 3 wataleta timu kwel uwanjani 😂
Safi sana wachezaji wote wa simba hawana uchoyo wanapeana pasi hatakama anaweza kufunga SHOW ME THE WAY KAPOMBE hiyo pasi uliyo mpasia CHAMA ni upendo kabisa salaaaam kwa wale jamaaaa ambao wazee wao wanasema hawaingizi timu uwanjan
Naomba irudiwe
In fact hii simba si ya kufananisha timu zingine za bongo naomba timu ziige ,kama wataendelea kufanya utopolo watashangaa mtu anabeba kombe misimu sita mfululizo 🏆🏆🏆🏆🏆🏆 cmba imejaa mafundi tuu chama morrison bwalya miqussone boko yaan hadi raha
Bado siamini kama timu mbovu ya Kaizer Chiefs imetuondosha ligi ya mabingwa. Nafasi ya ubingwa tumeipoteza bure tu hii timu ni nzuri sana na nafasi huwa hazijirudii
Hiyo unayoiita timu mbovu imemfunga wydad tens kwao
Hapo kwenye kujirudia umekosea.
@@emmadora7848
Ile timu ni mbovu,, ni wakamiaji wa mechi ngumu,, ukiangalia takwimu ni wabovu sana,, lakini mpira una matokeo katiri wakati mwingine,, ndiyo maana unatakiwa ukubali matokeo.
Kitu kingine,, usifikiri kushinda mechi ndiyo ubora,, ndiyo maana kuna takwimu,, hivyo zile timu zinazoishi bila game analysist ni ngumu sana kulinda ubora wao,, maana wakati mwingine unashinda kwa bahati,, hivyo unatakiwa kushughulikia mapungufu ya timu hata kama uneshinda.
Very good Simba sc NGUVU moja
Nachowapendea Simba, yanga wakifunga goli la offside then wakalitetea na wao Simba wanafunga kama lile ili yanga waendelee kulitetea... Kwa bahati mbaya maskini wanaumia, wanaugulia ndani Kwa ndani... This is Simba, ukijua hivi sisi tunajua vile.
mabao yote yako halali kabs la hawa na lile la wale
yanga wenzangu hawa simba wapewe tu kombe lao🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️😊
Hahahahhahahaha
This is Simba brother
Tarehe 03 itakuwa lini ivi 😂😂😂😂
Kwaiyo tarh3 watacheza kweli maana hii ni another level
Hii ndio simba bnaaaaaaaaaaaaaa🥰🥰
BARAKA MPENJA FAHARI YA ITETE WE NOUMA JOMBAAA
Hapa hapa Itete njiwa au
Simon Mahundo ndo wap huko
Mimi ni utopolo ila kwa levo hizi alizofika simba nalazimika kuipenda jamani
Usajili wa mashabiki umejaa, mwakani labda
Da kwel
*Habar zenu ndgu zangu naomba nikukarbishen katika masomo yetu yanayohusu tiba za Asili mbali mbali bila malipo yoyote karbuun mjifunze ingia TH-cam andika sir Binladen 786 yaliyomo kumvuta mpenzi, Tiba ya nguvu,Tiba ya kizazi, Mvuto wa biashara na mengineo mengi karbuun mjifunze*
Mnaosema goli la 3_4 ni offside bas ayo magoli mawili tumewaongezea yanga bas tufanye Simba 2 mbeya city 1 Apo ni point ngap 😂😂😂😂😂Akili zingine bana Simba ndoo waga wako offside tuu ila magoli ya yanga yako swafiiiii kabisaa punguzeni mihaho 😏😏😏
Simba noma sana tunapata Raha sana
Simba Chama LA wana😘🙏
Hadi raha aiseee mi wote wafunge ila akifunga bocco safi kabisa
Highlights za mechi za Simba mnachelewa kuweka inawauma nn
🤚🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁 Mpk ubingwa 💪 moja
Walahi nimecheka eti kekeee keeekeee miguu kekeee keee
Chamaaa❤❤❤
💥💥💥
Nakupenda miquisonne
Oy
MPE sasa hicho kitu akisasambue
Shija Makoye dah! 😣
@@shijamakoye6544 hebu mpe wewe
Wellcome back Chama tulikumiss
Great job
Pasi tamu
Noma sana
Captain mkuu na captain msaidiz wanapeleka kilio mbeya city hahaha
Kwa simba hii bora tushushwe daraja lkn kuliko kuingiza Team uwanjan sema sina sauti katka hili😭😭
mwamba wa Lusaka!!! noomaa!!
Zimbwe...Kapombe❤
Duh tofauti ya manula na cacolanya nimeiona
Hakika!
Yupi mkali
@@nuhumaalim9338 Aish
Mo kulanga sports kwa lipi?
Shomali uwo ndo mpira nakubali sana kijana mwezangu
Unadanganywa kupigiwa shuti nje ya 18 halafu mwenyew wakati unaokoa unajikuta umefanya set up ya goli😁😁
Hatrii
kulikonk
Kiboko ya balala, chunusi, u. T. I sugu, malaria, fangas 🤣🤣🤣 simba sport club 💪💪💪💪💪💯
❤❤👏👏
Watani yanga bao mbili moja zinawatosha hiyo tarehe tatu mwezi was sabaaaaa
Clean sheet
Barcelona hahahahaaa
kama vp 2 kwa 1 hayo mawili yafuteni basi maana la wazir jr hamuoni mnayaona ya simba tu
Kekekeeee😂😂😂😂😂
Wape Salam,,, Nahamu🍷
🔥 🔥 🔥
Next match loading
Simba mnajua kunipa jeuri nyie
Simba rahaaaaaaa
This iz............
Waooo ..mnyama mkaliiiiii haguswi
Unakwepa ya kwanza anarusha nyingine hahahaa!! Mpenja bhana
Makocha wenye furaha zaidi na upendo
Simba baba lao
wakuua ni kuuwa tu
Tarehe 3 simba anatangaza ubingwa kwa yanga???
aamin
Two goals clearly offside for simba sc
Ndug yangu ndompira wa bongo timu ndogo hazitafanikiwa
@@fadhmas9836 so sand
@@danielhumble4292 unajua kwnz offside inakuaje
@@geraldyona5597 No comment for u guy
Hujui mpira wewe na kizungu chako hicho cha darasa la pili
Ivi shomari ni beki au kiungo?
wote
This is simba brother com voçe tambem e simba
Wavivu sana nyie kutoa highlight za mechi siku ya pili sasa mpaka hamu inaisha😏
masaa 24 gani hayo mehesabu
Hiyo ndio SSC Mnyama, ukibisha ni ujeuri wako tu
Had rahaaaa
Mm shabiki wa simba lakini hapo simba inamagoli mawili offside kabisa tujaribu kukuza mpira wabongo marefa wawemakini zaidi
Mwambie refa
tuondoe offside za simba vs mbeya na offside za yanga vs mwadui nani atabaki na point tatu?
hujui kitu we kaa kuangalia matokeo tu
We fala tuondole utumwa wako hapa
@@sebastiansulubesto3133 sawa mjuaji hahaha
Simba mnyama
Hivi hawa simba kwann wana roho mbaya?
Tuliondoe hilo la 4 na gori la tatu la Yanga na mwadui Tuliondoe MAJIBU YATABAKI YANASOMAJE.
Mmmmm
Kwan hyo tar 3 yenyewe inasemaje
Wata tukoma
nguvu moja!
Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa full shangweee
Nguvumoja
Timu imeshuka kiwango
marefa kama hawa wasije wakachezesh mech ya watan mana wanaweza wakafia uwanjan au ikatokea kama enz ya sanya
Ila goli juzi la tatu kwa Yanga dhidi ya Mwadui ulifurahi mwenyew hata hujakosoa refa,,pumbaf sana
Hamna offside hata 1
Wallen Mack 👏🏿👍🏿👊🏿
Sema leo simba mhh down kiwango
Katazama tena takwimu za huu mchezo vzr. Ni mfumo wa uchezaji leo mwalm alibadilisha, zaidi pia ni wale walinzi wa pembeni kushambulia kutojishughulisha na kuzuia sana kwa muda mwingi.
Hi
Denis ni levo yenu kabisa yule
mnyama anatuma salaam trh tatu 3
Oyooooo
Goli La 3 Ni Offside
Kumbe
bac 3-1
@@lulelule3922 🤣🤣🤣🤣saf kabisa kifo ji kifo hata ufe juu ya mti
tazama tena na tena vixuri
Toeni hayo mawili basi
Passi pumbu 😄😄
ndo ikoje hiyo
Kwan upande wa pili wanasemaje????
Wanaharisha tu wanalakusema? Simba oyee
@@halimamasai2234 hahaha wacha wapmbane na khal zao
@@halimamasai2234 hahaha wacha wapmbane na khal zao
Wazee wao wamesha sema hawaleti timu uwanjan
@@maulidihussein7003 iyo tarh 3 c ni cku ya kufnya mazoez ubingw utakuw tyr wetu ata wasipo kuja tyr point 3 tunazo
Hellow
Offside za wazi hiz tuongee ukwel mm simba damu dam
We unajua mpira agalia vzr tna kwa umakini kisha utajua kma offside au sio offside
kwanz ili iwe offside inakuwaje? maana naona hujui hata maana ya offside
hawa si niwale wanaoangalia tuu mchezaji akiwa mbele wanajua ni offside... Ngoma inaangaliwa wakati pasi inaachiwa, yaani mtoa pasi y mwisho kuelekea huyo unaezani ni muoteaji aliitoa wakati gani!? je muoteji alikua tayari ameshawaacha mabeki au walikua sambamba
We ni utopolo 100% tutolee shobo hapa
Ungelipuliza wewe
Nguvu moja
Gori la tatuna nne offside za wazi kqbisa...kaizerchief bwana
choko ilooo
Goli lenu la yanga la tatu ndo lilikuwa offside, na si hili cheki boliti lililo jichon mwako ndo upate la kusema.
tofauti ya goli la 3 la simba na goli la 3 la yanga mech ya jana iko wapi? au kwenu ni goli safi kwa wenzenu ni offside?
tofauti ya goli la 3 la simba na goli la 3 la yanga mech ya jana iko wapi? au kwenu ni goli safi kwa wenzenu ni offside?
Wewe utakiwa umesoma kuliko malefa walio kuwa uwanjani😏😏
Hatariiiii
Sina tuishi la Tanzania