HOUSE GIRL EP 06 | S3 | Love Story 💕💞

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 436

  • @Betty-t9q
    @Betty-t9q 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +97

    Wanaompenda zatiti na zuu naomba like ❤❤

  • @MawazoJustin-fw2ws
    @MawazoJustin-fw2ws 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +54

    Sania Acha uchonganishi 😢mama yake candy ajawahi muwekeya mwänâ ye sumu😊wanao kubali gonga like apa❤

    • @Bint-Zanzibari
      @Bint-Zanzibari 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂🤣

  • @Shinyg3l
    @Shinyg3l 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +28

    Ooh hapo kidogo karoho kamekaa poa kumbe masuala ya utekaji yameingia ili tu kumtoa jasmin katika house girl meipenda sanaa ♥️❣️wish ue all de best kipenziii jasmin masomo mema🙏🙏

  • @purityrotich1703
    @purityrotich1703 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +40

    Wangapi wanaoamini mke wake na kilamba katekwa na boss wake kai🎉🎉🎉🎉

    • @busatitv
      @busatitv  14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      🙏

    • @Gloriosenduwimana-ev3oe
      @Gloriosenduwimana-ev3oe 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Yule Jasmin ametekwa n Sania pamoja na yule kijakazi wa chiko hayo ndio maoni yangu na Sania tunasubili atekwe na kijakazi wa Papa hapo vip patm😂

    • @Fatuma-x7j
      @Fatuma-x7j 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Ule conman rafiki yake papa ndo alomteka jasmin akidania ni sania

    • @Realme-xm3sh
      @Realme-xm3sh 7 นาทีที่ผ่านมา

      Mi nahis nikendy uyo😂

  • @LidyaKadogo
    @LidyaKadogo 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +124

    Wanaopenda zatiti kwa ukarimu wake wapi like

    • @busatitv
      @busatitv  14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      🙏🙏

    • @UmaziMdzomba
      @UmaziMdzomba 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hongera sna zatiti kwa ukarimu wko

  • @Manasiti-k1p
    @Manasiti-k1p 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +88

    Aslm Alkm wapenzi watazamaji wa house girl mungu azidi kutogoza na kutupatia huai haya tujuwane kwa like na mm leo nijivunie😂😂😂😂

    • @mwanamisikifogo869
      @mwanamisikifogo869 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Walleykum salamu warahmatullah wabarakatuh

    • @Najmahnyangasi
      @Najmahnyangasi 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Walkm msalam warahma thulah wabarakatuh Ameen yarab inshallah

    • @hlimaa5182
      @hlimaa5182 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Waleykumu msalam waramathulah wabarakath

    • @anthoninnamjeni4464
      @anthoninnamjeni4464 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Waleikum msalam warahmatullah wabarakatuh

    • @LaylaSaheeb
      @LaylaSaheeb 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Walaykum salama

  • @Lillymwaura-xg8de
    @Lillymwaura-xg8de 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +92

    Wangapy tunampeda kibedu kwa jinsi anasimama na mamake ❤🎉

    • @nyokabikagua2628
      @nyokabikagua2628 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Napeda alivyo badirika ❤❤

    • @Gladys-254
      @Gladys-254 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kweli anakaa kichizi lakini hataki mamàke achezewe😅

    • @QtaarDoha
      @QtaarDoha 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kabisa bi mkubwa

    • @umfahad2609
      @umfahad2609 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Halafu anijichetua tu. Ila very handsome.

    • @RebeccaRhobi
      @RebeccaRhobi 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nampeda pia❤,maua yake🎉🎉🎉🎉🎉hayo apooo🎉🎉🎉🎉🎉

  • @YusraSiyaleo-yk2fz
    @YusraSiyaleo-yk2fz 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +73

    Busati inabidi mtafte muhusika ambae ataweza kukaa kwenye nafasi ya jasmin pia tunamtakia jasmin masomo mema ❤❤❤❤❤❤

    • @mwanamisikifogo869
      @mwanamisikifogo869 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Amiin amiin nitamsi san jasmine jamni 😢😢😢🎉🎉🎉❤❤❤

    • @RizikiZiki
      @RizikiZiki 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

      Wamesha muonyesha we hujamuona yupo

    • @EradiusSeverian
      @EradiusSeverian 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Ndo yup je na yeye alikua anaigiza humu au

    • @mwanamisikifogo869
      @mwanamisikifogo869 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      @@EradiusSeverian ndio

    • @FaisalAlrefai-u2y
      @FaisalAlrefai-u2y 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Apana ni mgeni anaitwa Lizzy ​@@EradiusSeverian

  • @افلينافلين-ي9ك
    @افلينافلين-ي9ك 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +52

    Waliopenda. Umakini wa mama tasha kuwajibu wakina jordan wanipe ata like 10 tu. Zitanitosha

    • @AbdulHamidBakar
      @AbdulHamidBakar 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Mimi hapa

    • @افلينافلين-ي9ك
      @افلينافلين-ي9ك 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@AbdulHamidBakar asante.

    • @ClaraHussein-s1v
      @ClaraHussein-s1v 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Mama Tasha anajuaa bana❤❤❤

    • @umfahad2609
      @umfahad2609 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mama Tasha ni mama mwema na yupo makini saana.

    • @MalkaNinik
      @MalkaNinik 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mama tasha nimama mwenye busara

  • @mwanamisikifogo869
    @mwanamisikifogo869 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +12

    Hamjambo nyote huko movie inasemaje🎉🎉🎉🎉kumosa mke wa kilamba kumekuwa na huzuni

  • @fredancephilip2259
    @fredancephilip2259 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +14

    Hatinaye leo nimekuwa wakaribu from USA 🇺🇸 nawapenda sana ❤️ ❤

  • @GalaxyA-ve8tu
    @GalaxyA-ve8tu 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +20

    Mama tasha una akili ya kuwaza mbali sana wameshidwa kujua alipo tasha 🎉🎉🎉❤❤❤

    • @busatitv
      @busatitv  14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ❤❤

  • @AminaDibwe
    @AminaDibwe 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +49

    Wanaompenda mam Tasha tujuane Kwa like😅hapa

  • @mauamshindo2558
    @mauamshindo2558 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +52

    Mungu atuepushe na mashoga kama sania, hakuna mama asiempenda mwanae❤

    • @SharonMokeira-ij7iq
      @SharonMokeira-ij7iq 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Kweli kabisa yani kazi ni kuambiana mauongo tu ataki kuona watu wakipendana

    • @ZipporaAbigailAchieng-ui1te
      @ZipporaAbigailAchieng-ui1te 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Sania kabaya walai😂😂😂

    • @mwanamisikifogo869
      @mwanamisikifogo869 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Kweli kabisa yani sani mkali na nusu

    • @RizikiZiki
      @RizikiZiki 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Nimtihani kabisa

    • @mwanaakidaomar4663
      @mwanaakidaomar4663 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      ​@@ZipporaAbigailAchieng-ui1tekijuso kama mbaaz mbich😏

  • @jamesirungu5283
    @jamesirungu5283 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +11

    Mamake Tasha hongera she so intelligent excellent mum

    • @samsonkaboko5137
      @samsonkaboko5137 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Sasa ndo naamin akili Tasha anachota wapi

  • @lechoaidan8416
    @lechoaidan8416 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +41

    Ambao tunajua duniani kuna watu wema kama Tasha,Zatiti, kazi,zuu baba mkwe zuu ❤

    • @YusuphChisagwa
      @YusuphChisagwa 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Na chisa masozi rahma na bozeni

    • @Saada-g4j
      @Saada-g4j 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Na yusufu pia na mimi na wengine wanao fatilia busati tv​@@YusuphChisagwa

  • @SikuJuma
    @SikuJuma 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Wanao mpenda zuu na zatiti naomba like❤❤

  • @Bintnailah
    @Bintnailah 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +23

    Wewe kendy huyo sania anakuweka motoni na utakuja Jutia na kurudi kwa mzazi kuomba msamaha hizo pesa zikishaisha

    • @NeemaEli-wl1dz
      @NeemaEli-wl1dz 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Yenu

    • @sharifabahar9905
      @sharifabahar9905 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Bora candy anapo kwa kwenda huyo sonia sijui anaishi wapi

    • @Bintnailah
      @Bintnailah 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@sharifabahar9905 atakwenda wapi huko

  • @zanishaikhonge7296
    @zanishaikhonge7296 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Kazi nzuri 45 nimewahi leo❤❤❤❤

  • @Najmahnyangasi
    @Najmahnyangasi 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Kilamba ushanikosesha raha aky mtu wa vichekesho na mpumbavu mwenzako ila kwa yote yataisha atapatikana tu kwa ajili ya Allah nawapenda sana family ya kolamba na mr tasha na mr kai mungu mbele nawaombea umri mrefu sana🙏🙏🤲🤲❤️💯

  • @Jenniffer-m9k
    @Jenniffer-m9k 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    🎉🎉tunao mpenda zatiti kwa upole wake n ukarimu wake mugonge like .n pia tunamtakia jasmin masomo mema❤❤❤❤🎉

  • @GraceOtieno-vo3sj
    @GraceOtieno-vo3sj 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Mpumbavu mwenzanguuuu.Hongera sana hivi sasa kiramba mpweke mwenzio hayupo.....anyway polkea🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤congratulations to all members of House Girl🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @sadahamad6158
    @sadahamad6158 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Ila sania kimbaumbau mwiko wa pilau una tabu 🤣🤣🤣 kwani haka kasania hakasomi kakarudi chuo naangalia house girl nikiwa na furaha ya ushindi wa goal 6 💚💛

  • @SalhaSamira
    @SalhaSamira 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Mimi sania simupendi 😢 gonga like hapa tuenderey

  • @MercySilvester
    @MercySilvester 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    KaSania kakonde kanaroho mbaya muona ety pia hako kavaa sare na kendy😂😂😂 acha niche mie kendy laana ya mama yakuandama heri wangemteka tu kendy

  • @cartoonpati2914
    @cartoonpati2914 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +10

    Nyi n machizi kendi na Sania but mama n mama

  • @veronicahmomanyi
    @veronicahmomanyi 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Sahii mnakalisha Sana House girl

  • @AliJussa
    @AliJussa 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Inakuwaje mnashindwa kumtumia bibi wa Zuri 😅 mke wa Kilamba🎉 angepatikana mapema

  • @Asiamohammed1317
    @Asiamohammed1317 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Chai ya rangi bila cha kutafuna mnajua vipi inaunguza 🎉🎉🎉yenu kutufilisi

  • @JanetRiziki-ut2is
    @JanetRiziki-ut2is 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +22

    Sania kamkondee acha roho mbaya basi muogope mungu mana umezidi mno😢😢😢😢

    • @MwanaMwana-f8f
      @MwanaMwana-f8f 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Kitawaramba na candy wake

    • @Riziki-b5s
      @Riziki-b5s 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂

  • @AgnesMiyi
    @AgnesMiyi 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Kisania ni kibinti kibaya sana na anasumu ambayo hata sio ya maziw wala kupona hospitali ndio maana hanenepi ng'o😢😢😢😢😢😢

  • @abdallahhalifa5860
    @abdallahhalifa5860 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Mama Tasha nakupongeza akili imekomaa umetulia Upo Vzr Pongezi sana Kwako

  • @addandendya
    @addandendya 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Msicheleweshe sasa maana usiku mzima jana nimekuwa nikiitafuta

  • @amosziro4152
    @amosziro4152 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Kilamba ukwaju anahuzunisha mpumbavu mwenzake katekwa muiten bibi ya zuri afanye manenoz basi

  • @DorcasL-g8q
    @DorcasL-g8q 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Wanaopenda zatiti kwa ukarimu wapi like

  • @MRSSUMAILI123
    @MRSSUMAILI123 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +15

    Wakwanza mimi nahomba like japo kumi tu tafazali 😢😢😢

    • @MrsHamadi
      @MrsHamadi 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Eti unahomba Duuh 😂😂😂😂

    • @saumu7760
      @saumu7760 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Zitakusaidiaje

    • @TrizahJefah
      @TrizahJefah 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Unahomba😂😂😂

    • @ruthyohanesy3739
      @ruthyohanesy3739 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kuomba NDIPO kufanya NN kwan😂

    • @Zenabeby
      @Zenabeby 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Weeeee Eti unahomba tena 😮😂😂😂😂😜

  • @RajabuKisaka-y9h
    @RajabuKisaka-y9h 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +19

    wala wote tulio chukia kiramba kumkosa mpumbavu mwenzake tujuane hapa

  • @MariamJaberi-g5y
    @MariamJaberi-g5y 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Kaz nzuri San jaman

  • @zawadiKimaro-xh6wx
    @zawadiKimaro-xh6wx 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Jamani nje ya muve jasmini ameenda masomoni chuo hivyo ndio maana imewabidi waingize kipande cha utekaji wake ili kuizima nafasi yake nimeeleweka kama umenielewa gonga like

  • @AminaAbeid-ih2kp
    @AminaAbeid-ih2kp 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wanao mpendae zatiti na Tasha wawe pamoja naomba like zenu please naomba

  • @Muck_tz
    @Muck_tz 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    Wa kwanza like za kutosha

  • @paulinengeresa8649
    @paulinengeresa8649 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Msiseme hamjaona walking style ya Mr Tasha ❤

  • @LovenessLucas-r2x
    @LovenessLucas-r2x 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +11

    Sania na candy waende na wao chuo 😂

    • @busatitv
      @busatitv  14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      🤣

    • @نيجي-ن1د
      @نيجي-ن1د 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Si kungewaka moto huko chuo🤣🤣🤣

  • @seniordecanzhen7897
    @seniordecanzhen7897 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Frm 254......Zuri nakukubal mama we n mtu na ½.....ila umakin zaid na batuli. Like nkulike.

  • @RehemaMwakisyala-k9u
    @RehemaMwakisyala-k9u 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Nais waliomteka mpumbavu huu mchezo anausika bos wa Kai

  • @MaulidAmri
    @MaulidAmri 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Kumbe mr Tasha upo vizuri mkono wa mazoezi nikajua kai ata kuzingua kizembe

  • @RoseKagai
    @RoseKagai 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wanao penda zatiti na zuu naomba like ❤❤❤❤🎉🎉

  • @Mwanajumahassan-tg3zg
    @Mwanajumahassan-tg3zg 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    😂😂😂😂😂😂sania aki wewe watia na chumvu loo nimecheka yangu yotee😂😂😂😂😂ati alikua akiekewavijidawa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂sania kamkonde wwtu weweunavituko ❤❤ watu wangekua na roho kama ya zuu kai na zatiti na mr tasha aki hii dunia ingekua raha kilamba pole ...jasmine mungu akuongoze kwenye masomo yako na busat tv muna tisha ❤❤❤❤❤❤❤❤much lov aki munajua kuwaeka watu kwe position yao 😂😂😂sani na candy nawapenda

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Saniaa na candy mnalanaa nyny nawachukiaa vibayaa sana zuu zatiti kai mama tasha tasha baba kai kilamba kibend nawapendaaaa sanaaaa muzidi kubatikiwa🙏🙏❤❤❤❤❤❤❤

  • @sheryoman
    @sheryoman 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Jamanii mpumbavu mmoja amepoa ana huzuni ya kupotelewa na mpumbavu mwenzake pole kiramba ukwaju atapatikana tu mpumbavu mwenzio

  • @jaymapepefatma5936
    @jaymapepefatma5936 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    This is first love From Mozambique 🇲🇿❤💞

  • @salumSaid-zy4fm
    @salumSaid-zy4fm 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mlikuwa wapi siku zote waigizaji kama nyinyi mmetisha Sana mnajuwa mpaka mnakera halafu huyu candy na saniya itakuwa kwelindotabiya zao yaani nyie miwabunifu Sana mmetisha mpaka mkatisha kweli

  • @Brother-moses2vs7bi1v
    @Brother-moses2vs7bi1v 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Jameni mpumbavu mwenzetu ana majonzi Hana wa kumliwaza,,,,,,❤❤❤

  • @everlinenjuguna2281
    @everlinenjuguna2281 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mwenda tenzi na omo maregeo ni ngamani,,,,huu msemo umfikie kendy

  • @Rehemamakuka
    @Rehemamakuka 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Tajiri kend umemuona kaka jambazi kashusha kofia kwa 😂😂

  • @ignitiussilungwe7930
    @ignitiussilungwe7930 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Assalam alaykumu walhama tullahiwa barakatuh! Sifakamilifu dhimusta khiki Allah subhanau wataala
    Kiukweli Sania tuwachane nakuigiza inaonekana ndiouhalisia wake maana nimtumwenye tumanenotwingi alafunimpoto shanaji sasa kakutana na kichwamji Candy ndoasalale
    Candy utakujajutia nishakwambia Muzazi nikama Mungu wapili huokigunanjia ayendelee kukupotosha utajutia kilicho tumauna zalia
    Tasha Zatiti Kay Zuu nawaspliti kwakweli maana mume onyesha ushilikianowenu na Mungu awabaliki
    Naombeni like zenu kamasi wacho shi
    Asante🎉🎉🎉🎉

  • @JacintaMaloba
    @JacintaMaloba 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wanao mkubali mama tasha 🎉🎉

  • @JohnThomas-mq5fw
    @JohnThomas-mq5fw 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Hakika Kuna watu wema na marafiki wa kweli kama Tasha, zatiti,Kai zuu na bamkwe

    • @busatitv
      @busatitv  14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      🙏🙏

  • @PaulinaFrancis-l6p
    @PaulinaFrancis-l6p 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Mungu awabarik na kuwarunda nawapenda san❤❤❤

  • @elizabethmahenzo7220
    @elizabethmahenzo7220 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nice movie ❤❤❤❤🎉🎉

  • @Juliety-v3o
    @Juliety-v3o 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Jaman kend utakufa mdomo waz ww sania ww ucingilie ugomvi wa ndugu. Utakuja kuumbuka vibaya

  • @AXELLAassia
    @AXELLAassia 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mufanye yote tasha asitekwe km mke wa kiramba 😢😢

  • @irene-pw4dw
    @irene-pw4dw 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Tajiriii kendy😊😊😊😊😊😊😊😊

    • @Fofo-z6t
      @Fofo-z6t 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ngoja kitamramba😅😂😂

  • @نملةالمقبالي
    @نملةالمقبالي 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Nimekuwa wa mwisho ❤

  • @AgnessBenard
    @AgnessBenard ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Anaemkubali mama tasha anipe like ata kumi

  • @cartoonpati2914
    @cartoonpati2914 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Kai na Tasha n marafiki wakweli

  • @ZainabMxalu
    @ZainabMxalu 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Leo namba moja

  • @reginaIssa-m2j
    @reginaIssa-m2j 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    ❤❤❤bila shaka boss wake kai ndo katuma watu wamteke jasmine mpumbavu mwenzake na kiramba ili apate taarifa za kai

  • @veronicahmomanyi
    @veronicahmomanyi 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Bib zuu si amtafute jaman

  • @MozaRished
    @MozaRished 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Yaani hakuna mtu simpendi km Sania yaani ananikera yani Bora candy ana afadhali siku hizi

  • @EmanuelRaymond-q7l
    @EmanuelRaymond-q7l 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Wakwanza Leo nipeni like zangu 😢😢😢😢

    • @IsaiahOscarWanjala
      @IsaiahOscarWanjala 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Candy na sania hyo sio kuingiza2 bali ni tabia zenu

  • @mwasitihaji-s3z
    @mwasitihaji-s3z 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    kendy jitathimini sana Sania sio rafiki mwema anakupenda tu kwa kuwa una pesa ngoja ziishe utajuta

  • @Mbkapilima
    @Mbkapilima 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sania mchonganishi jamanii 😢😢ipo sikuu mtalia na kusanga meno dunia itakavyo waelemeaa😢

  • @SadaDjuma-e9b
    @SadaDjuma-e9b 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    We Ka Sania ndio maana Kai kakuita kamkonde ni kweli linakufaa, huna maan yoyote, hata Cheitwani anakukimbia, hun, akili Mama ni Mama tu hata uzunguuuuke Dunia nzima hakuna kam Mama hata awe chizi, kazi yenu mabaya tu,kuna siku mtaaibika Mungu atawaumbua tu One day

  • @HanifaHabibo
    @HanifaHabibo 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tunaeomba tasha na Zatiti wawe mke na mume gonga like pole kilamba kumkosa mkeo

  • @CharoJohnson
    @CharoJohnson 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mama tasha hongera mama unamaawaidha mazuri sana tasha na ztiti nanyi mmependezana sanna❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @HabibaHabiba-z6g
    @HabibaHabiba-z6g 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nakupenda bure mamake Tasha
    Mashallah uko na busara sana katika maongezi yako

  • @Fofo-z6t
    @Fofo-z6t 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ndo naingia mjengoni 😢😢😢😢

  • @sarahchampions-wi8re
    @sarahchampions-wi8re 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kna marafiki wengne wanafiki kweli kama huyu Sania

  • @shangaokigwada5053
    @shangaokigwada5053 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Nakupenda sanaaa mama Tasha ❤❤❤

  • @DivineIngabire-lj3sr
    @DivineIngabire-lj3sr 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Tasha kua makini wasikuteke jamani tunasubiri ndoa yako na zatiti wallah

  • @Jajakanjaniri
    @Jajakanjaniri 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Urafiki Wakai Na Tasha Niuzuli Kbx Hongera San ❤❤❤ Zuuuh & Za Titi I Love You So Much ❤❤❤ Maman Tash Unahakiri Sana😊😊

  • @MariamRiziki-o8x
    @MariamRiziki-o8x 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sania wacha uchawi na fitina😢😢😢😢😢

  • @tabithanzisa9755
    @tabithanzisa9755 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mmmh ukiwa na rafiki kama sania ww kwisha kabisa😂😂😂mnafiki haswa

  • @JbmtekaMteka-u3h
    @JbmtekaMteka-u3h 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Yan mtu kama sania sio rafiki wa kuingwa hta kidog

  • @MwazanMbwan
    @MwazanMbwan 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Jmn msije mkatuambia tena kend kaenda kusoma nitalia jmn😂😂😂

  • @KhadijaMasoud-m6u
    @KhadijaMasoud-m6u 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Mauwa yenu nyote humu

  • @LevinaMassawe
    @LevinaMassawe 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Sania mungu akulaani

  • @ShamsaMussa-f3g
    @ShamsaMussa-f3g 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Candy laana inakuijia mama ni mama shoga angu😢

  • @YusuphChisagwa
    @YusuphChisagwa 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mnatupa raha sana busati mungu awabariki kwa kazi mzuri

  • @EstherMrisa
    @EstherMrisa 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Tasha kua mankini sana kwamaana saii watafutwa wewe wakuteke

  • @SaraUlaya-is2ch
    @SaraUlaya-is2ch 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Jamanipumbavu mwenzangu ni umeigiza kama kweli maana niumechoka😂😂❤❤❤

    • @MustyNgongo
      @MustyNgongo 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Yan kweli yan amechoka km kweli

  • @christinewanga7385
    @christinewanga7385 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Alafu nyie niwaulizeni Wapumbavu/Watazamaji wenzangu😅 huyu Sania ako na Wazazi kweli🤔 maana hio Roho yake na anavyomuelekeza Kendy c sahihi, Mungu hatuepushe mbali na Masoga kama akina Sania😒☹️😫

    • @JescaYusuph-m4y
      @JescaYusuph-m4y 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Acha tu mpumbavu mwenzetu 😂😂 bora ata candy anakwao kitakapomlamba atarudi kwa mama je huyo sania sijui ataenda wapi😂😂

  • @sakina5550
    @sakina5550 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ukiwa na rafiki kama sania utafika mbiguni unachoka sana wallah Mr Tasha kuwa makini hao wanampago wao

  • @FatumaRamadhan-ku9pq
    @FatumaRamadhan-ku9pq 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sania kendi mtafika mbinguni haliyakua mechoka

  • @FatumaChindoro-p8o
    @FatumaChindoro-p8o 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sabas ww sania watak pesa tu tangu lini mama akaekea sumu mwanawe

  • @NeemaEli-wl1dz
    @NeemaEli-wl1dz 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tunawapenda sana wahigizaji wetu mnatupa vitu viziri sana mungu awabariki sana natena awahinuwe kenyekazi kazi zenu

  • @user-dp3fv2kh4l
    @user-dp3fv2kh4l 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Busati hongera sana yani mko vizuri

  • @Hadija23-b1y
    @Hadija23-b1y 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kazi nzuri ❤❤

  • @JanetBange
    @JanetBange 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    We thania ww acha kumpoteza kend