Saida karoli - Kachumba bunula ( official Music Video ) Sms 7661850 to 15577 Vodacom Tz

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ส.ค. 2024
  • Saida karoli - Kachumba bunula ( official Music Video )

ความคิดเห็น • 310

  • @janesarah6711
    @janesarah6711 5 ปีที่แล้ว +11

    Kama hauelewi lugha kama Mimi na umependa wimbo hebu niwaone we love you #saidakarol

  • @zirimuabdulkadir7042
    @zirimuabdulkadir7042 ปีที่แล้ว +4

    As a munyankole from Uganda, I appreciate our common language.

  • @mirrobrack6768
    @mirrobrack6768 6 ปีที่แล้ว +2

    kweri Mimi ni msukuma ila kwahuu wimbo kachumba bunula no mzuri sana

  • @sasharahma7360
    @sasharahma7360 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera nyimbo nzuri dada

  • @edigargidioni5043
    @edigargidioni5043 6 ปีที่แล้ว +56

    Kama unaamini saida kaloli kaludy kwenye gem gonga #like hapa

  • @datiusdidace2173
    @datiusdidace2173 6 ปีที่แล้ว +56

    Wahaya tupo wangapi aiseee
    Ntawatambua kwa k like

  • @euclideslima7593
    @euclideslima7593 5 ปีที่แล้ว +10

    I don't understand any word she's singing about but I am in love with the here... real Africa Queen.
    One love to all African. From Guinea Bissau 🇬🇼

  • @robertevarist1595
    @robertevarist1595 6 ปีที่แล้ว +2

    Hakika we ndo Malkia wa nyimbo za asili Tanzania, ahsante kwa wimbo mzuri mwingne tena, Mola azidi kukuongoza ktk kazi zako.

  • @josebrownbongo9777
    @josebrownbongo9777 6 ปีที่แล้ว +5

    tamuu sana ngoma kalii 🔥🔥🔥beat💯💯💯dubai imetufikia

  • @franciscakahwili3655
    @franciscakahwili3655 6 ปีที่แล้ว +3

    Wachaaaa weee wimbo mzuriii. ...wake za wahaya tupoo 😊😊😊

  • @ayubuhenry5426
    @ayubuhenry5426 6 ปีที่แล้ว +13

    Mm hii tanzania kwel itakuja niikane kweli? mmmh siasa inaniboa najikuta mziki ukini flash narudi upya wangu, embu like kama uko kama mm #fire

  • @richardmkereti5436
    @richardmkereti5436 6 ปีที่แล้ว +8

    Kwa wale mnao juu Kihaya , hebu tusaidieni kutafsiri hili goma kali

  • @hansramadhan8945
    @hansramadhan8945 6 ปีที่แล้ว +2

    Good song kwa kweli nipo kwa Rwanda na nausikiliza hii nyimbo kwa kweli inanipa radhaaaaa sanaaa

  • @adamzakaria2463
    @adamzakaria2463 6 ปีที่แล้ว +9

    Wataelewa
    Wa bukoba
    Me naaangalia video Naona ikovzr

  • @Kainerugaba256
    @Kainerugaba256 9 หลายเดือนก่อน

    Im a munyankore from Uganda and appreciate our common language

  • @mirrobrack6768
    @mirrobrack6768 6 ปีที่แล้ว +1

    nikweri huu wimbo kachumba bunula ni mzuri

  • @eliakazilo6078
    @eliakazilo6078 ปีที่แล้ว

    Huyu Dada Karoli Ni Hazina ya taifa.maana anaimba kwa msimamo.habadiliki hachuji,Wala haigi Cha mtu.hongera saida.apewe mauws yake

  • @agavaification
    @agavaification 6 ปีที่แล้ว +5

    Saida Karoli is a queen

  • @hamstonemalika489
    @hamstonemalika489 5 ปีที่แล้ว +1

    Hata Kama sielewi matamshi yake ngoma iko sawa

  • @AHMEDABDALLAH-jf5dv
    @AHMEDABDALLAH-jf5dv 6 ปีที่แล้ว +3

    Akatanda ninkala.,,nchumbila akakawa,,mwami aaaaaaaahh amaju gabika bingi,,,
    wakola muno mkaile ekyo wakikola

  • @nassorlidoplt5411
    @nassorlidoplt5411 6 ปีที่แล้ว +4

    ngoma kali sana natamani siku moja saida awe mke wang wa ndoa nampenda sana karibu zanzibar

  • @maginamandago5032
    @maginamandago5032 6 ปีที่แล้ว +4

    Legend, penda sana Saida Super Naturally @KACHUMBA

  • @mcjabbyevents4938
    @mcjabbyevents4938 6 ปีที่แล้ว +1

    Safiii sanaaaaa dada

  • @mtungirey5973
    @mtungirey5973 2 ปีที่แล้ว

    Tosoroza choka mawe , safi sana kachumba munula

  • @Cheseret_Ankoo
    @Cheseret_Ankoo 6 ปีที่แล้ว +37

    Nikiona nimekengeuka narudi youtube kuona nyimbo ya Akothee na Saida karoli kujikumbusha mi n mwafrika na kujivunia
    Mob love

  • @matumbimasunga9396
    @matumbimasunga9396 6 ปีที่แล้ว +1

    huyu Dada anasauti yahatar sana

  • @sombongi
    @sombongi 6 ปีที่แล้ว +4

    Yet another beautiful song mama saida Karoli. Much love from Minnesota

  • @ndilanajunior
    @ndilanajunior 6 ปีที่แล้ว +1

    Mama uyoooo karud safiii xana

  • @tondisangasangasanga9507
    @tondisangasangasanga9507 6 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda tu dada saida kaloriiii
    ....nakasautiii sautii kako kalivo
    ...katamu by ##Tondi ##sanga#

  • @ramekinandule7737
    @ramekinandule7737 4 ปีที่แล้ว

    Imba kiswahili Saida hatuelewi wengine aaaaaa

  • @Utulivu444
    @Utulivu444 6 ปีที่แล้ว +1

    saidaaaaaaaaa oyooooo

  • @bonnyboniface5892
    @bonnyboniface5892 2 หลายเดือนก่อน

    Who else watching this sweet song 2024 🎧💓

  • @elivtv5444
    @elivtv5444 6 ปีที่แล้ว +11

    Umeikuza lugha yetu ya kihaya 🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @jovinabunyomyo3993
    @jovinabunyomyo3993 6 ปีที่แล้ว +5

    nakukubali. mama wagila mayo 😘😘😘😘 kaimbo kalungi mno😊😊😊😊

    • @jovinabunyomyo3993
      @jovinabunyomyo3993 6 ปีที่แล้ว +1

      wapi wahaya gonga like kama umemuelewa ma saida😊😘😘😘

    • @damianmakala2913
      @damianmakala2913 5 ปีที่แล้ว

      Nipe maana ya huu wimbo na mie nijue kilichoimbwa

  • @bahatibertha8822
    @bahatibertha8822 6 ปีที่แล้ว +1

    Daaah! Hongera saida kalori sauti yako naikubali ni org

  • @kalundemedia242
    @kalundemedia242 6 ปีที่แล้ว

    Saida, Vaa imba na Cheza kiasili zaidi uspotee kwenye gem.

  • @leticiafrancis8973
    @leticiafrancis8973 3 ปีที่แล้ว +4

    Lol I'm Nigerian and I love the beat and sound

  • @jonasafrican2537
    @jonasafrican2537 6 ปีที่แล้ว +5

    Gonga like kama Umeikubali hii ngoma. tamu sanaaa 👍👍

  • @rickiusrockius7980
    @rickiusrockius7980 6 ปีที่แล้ว +2

    You so tarented my sister fill so proud for you're good music, keep on doing so god will protect you. Nashindwa niseme vp zaidi ila mziki ni mzuri sana, #kachumbabunulaonfire

  • @nicholausmbilinyi3587
    @nicholausmbilinyi3587 6 ปีที่แล้ว +6

    i dont understand what you are saying,i like the way you say it!music is universal language!u dont to catch the meaning of the words to like it!

  • @jennymbah9537
    @jennymbah9537 5 ปีที่แล้ว +3

    I have no idea what she's saying or how I got here but her voice reminds me of my mom. It's so soothing.

  • @elvism87
    @elvism87 6 ปีที่แล้ว +1

    nakuelewa sana kutoka norway na mimi njo the first kuona ii song

  • @rahelshayo
    @rahelshayo 5 ปีที่แล้ว

    jamn huu wimbo ni mzr ad Raha Kama umeupenda like

  • @amour0072
    @amour0072 6 ปีที่แล้ว +2

    HOW MANY LIKES FOR DIAMOND PLATNUMZ for UPLIFTING THIS LEGEND ARTIST BACK FROM HER FEET?

  • @prof.oduoroduor6471
    @prof.oduoroduor6471 6 ปีที่แล้ว

    aki i love this mama for many years na anaroga kuroga.. waaaaaaaaaaah saida juuuuuuuuu. ebu sikizeni huo mziki. u enjoy hata kama huelewi maneno

  • @faithnnancy4378
    @faithnnancy4378 6 ปีที่แล้ว +3

    I love her voice.. and she have dop songs... thou cant understand these one i lov it

  • @qsamkilly6132
    @qsamkilly6132 6 ปีที่แล้ว +1

    mama unajua sana ebu fanya kolabo na diamond platinum tumemic kuxkia mzki mzur kutoka kwa legand wawl

  • @yaamussa5169
    @yaamussa5169 6 ปีที่แล้ว +2

    Very fantastic song even if I do not understand the language used. BIG UP SAIDA , I LIKE YOU.

  • @drleonemsanii3849
    @drleonemsanii3849 6 ปีที่แล้ว

    Saida natamani sana kufanya na wewe kitu Kali sana ni Dr LEONE from Kenya d,a

  • @godfrey3926
    @godfrey3926 6 ปีที่แล้ว +1

    Kihaya Live...Wimbo mzuri sana wa kihaya..

  • @viopower
    @viopower 2 ปีที่แล้ว +2

    The language is slightly similar to Runyoro Rutoro of Western Uganda 🇺🇬

    • @RichardBaguma
      @RichardBaguma 2 ปีที่แล้ว

      What does kacumba bunura mean?

  • @RomwardWM
    @RomwardWM 6 ปีที่แล้ว

    Ngoma kali sana 🙅‍♂️🙅‍♂️🙅‍♂️😚😚😚😚😚😚🙈🙈🙈penda sana wewe . Nakuomba utuwekee na nyimbo zako zote za zamani .

  • @hansramadhan8945
    @hansramadhan8945 6 ปีที่แล้ว

    Mmh hapana kwa kweli

  • @lucyalbert6161
    @lucyalbert6161 6 ปีที่แล้ว +1

    hongera Sana saida wimbo mzuri Sana jamani

  • @mouradradmou7696
    @mouradradmou7696 6 ปีที่แล้ว +54

    *Twenda sawa kwa kugonga like team **#KAROLI** ngoma kali*

  • @keepmum1042
    @keepmum1042 6 ปีที่แล้ว

    Ahsante nakukubal kwa kuitambulisha lugha yetu Mungu azidi kukulinda katika kazi yako

  • @hadijatambwe9194
    @hadijatambwe9194 6 ปีที่แล้ว +3

    She beautiful her voice is 👏👏👏💋💋💋👌👌 . Please sing some parts in no Swahili we love your music mummy. Perfect vocal voice

  • @sistersade9039
    @sistersade9039 6 ปีที่แล้ว +4

    Saida hukosei njia! Endelea mbele tu.

  • @yldabale
    @yldabale 6 ปีที่แล้ว +2

    Thanks sis.Saida for putting out good music., I wish I speak your language but the video gives me a good explanation. Pan-African love from this Nigerian village woman.

  • @princiokechukutzmuckarts7997
    @princiokechukutzmuckarts7997 5 ปีที่แล้ว

    saida n mzur jaman.

  • @hannahnganga161
    @hannahnganga161 6 ปีที่แล้ว +26

    Mama na heshima zake, lots of love from kenya

  • @monikaprotas4459
    @monikaprotas4459 5 ปีที่แล้ว

    mama etu anajitahidi sana hongera yake

  • @latiirosehamada5682
    @latiirosehamada5682 5 ปีที่แล้ว +1

    Saida akori je ne comprends op votre langue mais je t'adore 💜 et tj es très joli 💗💕❣️💖💞💋💟💘💘

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 ปีที่แล้ว +4

    Mama unajua kwenda wakati, umetisha sana

  • @godfrey3926
    @godfrey3926 6 ปีที่แล้ว +5

    unanigambira stupidi mbere ya my waifuuuu.....Very nice song...Flamingo is maguru garaigara is kuemerera..😄😄😄😄

    • @elivtv5444
      @elivtv5444 6 ปีที่แล้ว

      Godfrey Raphael blo umetisha sio kwa lugha iyo. From nibebe FM radio station bukoba

  • @jfodboyyoungscalion5839
    @jfodboyyoungscalion5839 6 ปีที่แล้ว +4

    niwe wenka.. big up shangaz

  • @KingMuta
    @KingMuta 6 ปีที่แล้ว

    Asante sana..mama saida kwa mzk mzur... sauti yenye kipaji cha asiri

  • @laizsuke8265
    @laizsuke8265 6 ปีที่แล้ว

    Daaaah mawe Yaani nyimbo tamu hata maana sielewi ila zinanifanya nalia jamani muziki safi Melody nzuri daaaaah

  • @janethmvanda4436
    @janethmvanda4436 6 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri saida we ni malkia wa kihaya

  • @cestjolie5574
    @cestjolie5574 6 ปีที่แล้ว +3

    You never DISAPPOINT us your fans mama so keep up the good work maan twapendag san nyimb zak xan japo kua wengn ka sie huag ha2elew kila unchaokising 👌🏽👌🏽👌🏽👌🏽👌🏽👌🏽👌🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽.

  • @RAUNATION
    @RAUNATION 6 ปีที่แล้ว +93

    Team mziki mtam mkowapi gonga like 200

  • @eliakazilo6078
    @eliakazilo6078 ปีที่แล้ว

    Tanzania hii Ni Saida klKaroli na Rose Muhando tuu

  • @babawes7027
    @babawes7027 6 ปีที่แล้ว

    maze hii inaweza

  • @carolinekanini6342
    @carolinekanini6342 3 ปีที่แล้ว +3

    Her voice is so melodious!

  • @winifridandunge9974
    @winifridandunge9974 6 ปีที่แล้ว

    aky saida wallah mi mkenya lakn napenda songs zako xana...god blees u.....

  • @michaelmdoe9368
    @michaelmdoe9368 4 ปีที่แล้ว

    Muziki mzuri unaishi

  • @fridajaphet6157
    @fridajaphet6157 4 ปีที่แล้ว

    Japo kilugha icho sikielewii lakin wimbo huu nimeupenda anytym nauskiza

  • @mariamatiku2293
    @mariamatiku2293 6 ปีที่แล้ว

    nakukubali sana dada ngu wakola kutuburudisha yani hii sms inanikumbusha rafiki yangu anafanyiwa hvy da saida noma

  • @chrisdekihirithenks8192
    @chrisdekihirithenks8192 6 ปีที่แล้ว

    kwenye mambo ya mziki na kukubali wewe 2 na hii baada ya 10 watengeneza limix % respect

  • @bhokemasyaga6244
    @bhokemasyaga6244 6 ปีที่แล้ว

    Da ' napenda sana saut ya saida . yaan inafarj, inatia moyo , huchoki kuisikiliza kila Mara. yaan unatani irudiwe rudiwe tu ......
    sauti ya kumtoa nyoka pangoni .....( ila tafsr kidogo na ss tuelewepo)

  • @elivtv5444
    @elivtv5444 6 ปีที่แล้ว +4

    Nakukubali kachumba bunula

  • @pettyvitus2094
    @pettyvitus2094 6 ปีที่แล้ว

    M naangalia video tuuu,lugha nawaaachiaaa wahaya

  • @crianussyliacus1995
    @crianussyliacus1995 6 ปีที่แล้ว

    Nyalila akatanda mkazi wangu,wakola saida akaimbo kalige

  • @sheillahchisika8414
    @sheillahchisika8414 6 ปีที่แล้ว

    Hapo xawa dada saida asante kutuburudisha.

  • @mariajulias3681
    @mariajulias3681 6 ปีที่แล้ว

    saida oli number One nakupenda

  • @abduldully564
    @abduldully564 6 ปีที่แล้ว

    Ila ww saida ukiendelea kuimba kilugha chako utakosa fans. Mm siwezi sema nyimbo maana hakuna chochote nimeelewa humu. 😎 😎 😎 😎

  • @piusgidion7279
    @piusgidion7279 6 ปีที่แล้ว +1

    Wakola ma said a, Luanga wenene,agendelele kubabela ,amoi na abanyans boona aboliukwashanya naboi bkb moja , bb

  • @kusekwakatemi9798
    @kusekwakatemi9798 6 ปีที่แล้ว

    ongera sana Dada saida nakukubli kwa nyimbo zuli

  • @danieljames3017
    @danieljames3017 ปีที่แล้ว +1

    Wakola waitu

  • @fatmahchambo2037
    @fatmahchambo2037 6 ปีที่แล้ว

    Naipenda hii nyimbo hadi nauguwa mwenzenu jamani...

  • @enobyeederaider5662
    @enobyeederaider5662 6 ปีที่แล้ว

    bonge la ngoma Ma Saida Kaloli wagira mayo munooh munoonga

  • @philiposhilingi8066
    @philiposhilingi8066 6 ปีที่แล้ว +3

    Mama kuimba kikabila hatukatazi Ila jitahidi kuweka na kiswaili ILI Walio wwengi tuelewe

  • @benezethrugemalirarutagwel4424
    @benezethrugemalirarutagwel4424 6 ปีที่แล้ว

    Ngoma hii inaweza kuwa ya karne kati ya nyimbo alizowahi kuimba Saida haina pakukosoa meseji,video wimbo wenyewe ni wa kiwango cha juu sana kwangu ni wimbo na video bora ya mwaka 2018 ongera management mliofanikisha hii ngoma keep t up !

  • @benezethrugemalirarutagwel4424
    @benezethrugemalirarutagwel4424 6 ปีที่แล้ว

    Nimeurudia mara kadhaa kutizama na kusikiliza ni wimbo mkali sana

  • @deusngilangwa9497
    @deusngilangwa9497 4 ปีที่แล้ว

    Sanaa ni ujumbe na burudan nimekosa ujumbe lkn nimeburudika.,.,🙏

  • @firibatiferisiani4660
    @firibatiferisiani4660 6 ปีที่แล้ว +20

    mayo akaimbo kaikairege mno homukama akubere waitu

  • @athumanikitogo8236
    @athumanikitogo8236 6 ปีที่แล้ว +14

    Saida Unakipaj kikubwa sana ila ingekuwa vyema uwe unaimba unachanganya KISWAIL na KIKABILA nusu kwa nusu eli tupate kukuelewa japo kidogo

    • @mshobozikamugisha4080
      @mshobozikamugisha4080 6 ปีที่แล้ว

      Kiswahili hakipandi vizuri, msamehe, ukisikiliza interview zake utakubali kwamba bora aimbe kilugha

    • @ainekishakahwa3829
      @ainekishakahwa3829 5 ปีที่แล้ว

      Athumani Kitogo ok

  • @teachercritique4132
    @teachercritique4132 6 ปีที่แล้ว

    Hapa nyumbani naonekana kama chizi kwa sababu ya wimbo wako... du.

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 4 ปีที่แล้ว

    Nakuulila muala waitu

  • @ElizabethKaindi-py2pm
    @ElizabethKaindi-py2pm หลายเดือนก่อน

    Nice songs mama 😅😅❤❤❤