ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Mume wangu angekuwa ivi nisingekuja Oman 😂😂😂
😂
Wallah Carlos jinsi ninavyokupenda❤❤ yaan kwa kila idara
Mmmh ndoa ina mambo meng 😂😃
Nauliza ndugu wako wanaume kama huyu kk anajua kubembelaza kumuomba mke msamaha tena kwa. Vitendo na kauli
Iyi movie Kali jamani😊😊😊😊😊😊
Hongereni kwa kazi Mzr
Obama eti Mungu anaweza kuwa amekoseaga kwenye utumbo. Kama umesikia.. Like apo
kama una mkubar dayana gonga like twende sawa😆😆😆
Hivi ndio inavotakiwa mume awe kama hiv umefany kosa unajuw kuomba msamaha tena na zawad juu HAHAHA
Nimeipenda hii jmn ,kama kuna mtu kama mm gonga like hapo
July Tito
July Tito namipia nmeipenda lakin muendelezo jaman
Inapendeza xan
Good mume ni kama uyu wakumuomba mke wake msamha pindi anapo kosea
Obama noa kisu hicho maana kilikua kimetaaliwa na mabutu
Shukran sana kwa Movie nzuri, Hongereni sanaaa naomba muendelezo plz. 😅😅😅😅😅 Obama wamwagiwa but habari hupati mpaka kieleweke 2.Mumeweza wahusika.
mwendelezoo ples
mh
good sana
Series nzr episode nzr lkn sio poa kampiga mwenzake sehemu mbaya
Wow ....wat a ncy episode kwa ukwel imeipenda sana ju inafunza sana jamii tuendelezeeni plz episode 4 ,,5,,nakuendelea
Bro unauumiza sana moyo wa huyo mkeo
waooo safiii
*Kama unaangalia uku uki Soma comments gonga like*
Iko vizuri muendelezo wake namba 4
Raivany
Nzuri sanaaa mwendelezo
Kweli me mwenyew nmependa huyu ndo mume kweli
kwenye wanaume mia ni watano tuu wapo ivyo
Mbona hamuachii zingine jaman
Nmempenda huyu baba daaah na mimi na muomba MUNGU anijarie mme kama huyu
Hahaaa ati akujaarie?
Mwendelezo tafadhali
Sheila kzur jmn wanaendana na carlos
Kwani ii move imeisha au mbona zamani sana aiendelei
nzuri sana muenderezo Pls
Mov nzurisana ingekua Mke na Mme wanaishiivo Tanzania nzim ingeendelea
Corlas unapendeza sheila awe mke wako wa.kweli
Daaaah bonge la pich plz mwendelezo
Azza Khamiz
Obama nakupenda bure utasema Jb vile
Nakupenda pia
Ukiwa na nyumba yako raha sana hii ndo furaha ya maisha
Story ❤❤
Tupen bac muendelezo jaman wengine tuko nje ya nchi mbona mnatutesa...plz ni ombi2 lkn ili nac tufeel kuwa tuko nyumban na tuondoe upweke
Hi
mkeo mzuri xna
Daah nzur sana
Nimempenda sana dayna na tony
Please mwendelezo jaman raha😅😅😅😅😅nzurisana
Nzuri sana
Dah nzuri sana
nzuri sana prt4 iko wap
Wow nzuri xanaa..tumalizieni plzz
daah mume kama huyu nikimpata simuashi Ila tunaomba muendelezo
Gss swahiba mm nipo nitafte
Obama jaman hite nidekee nikiwa ai 😀😀😀
Kukakaa kwandugu kwataka moyo tena mkiwa hamjazaliwa pamoja ipo kaz
Sana
asante kwa movie tamu kama hii nimejifuza kitu kwa wanandoa muendelezo plz
Tunaomba 4 jamani tAm sanaa
Movie nzuri sana
Mumemuetea simba nyama kwa nyumba.obama
Wweee ni mkenya bila shaKa
🤣🤣🤣🤣🤣nidekee nikiwa hai
hahaha nimechk mwenzio
Jmn mwendelezo vp
Hahaha hatar eti
Nzuri Sana hii filamu plz muendelezo ya 4 tuone plz👏
muendelezo jamani!
Wanaume hizi tabia sio nzuri tunasababisha wake zetu wa chepuke walai so poa kabisa,jamii don't take the movie as it is but take lesson from the movie
Aha kumbe mshajuwa kuwa wanaume ndo wana sababish eeee
@@shakilaabdala2944 kuna mda wanakua chanzooo
@@youngsimbawcb1814 sokweli
Wanaume ndomnakuwa chazo lakin wanawake nao wanakela lakin siyo siyo weng nasiyo san
Mwendelezo jaman
Tafazali kuna mutu ajuwa jina ya wimbo lina piga kwenye iyi movie
Jomn mwendlez my
mwendelezo bac
Mwendelezo wake vp
hahaha wewe Obama huendi mbinguni,ety ni dekee nikiwa hai
jameni tutangojea la nne hadi lini?
Kwa nn isiwe inaonyeshwa eatv kama zamani jamani .
Naombeni muenderezo
Muendelezo Jamaniiii
Nimegundua makosa mawili kwenye hii clip kitanda hakibadilishwi shuka alafu mbona baba mwenye nyumba akitaka kulala haogi na akuamka kabla kwenda kazini haogi?
Hahahaha we mkaguz hatar
Duh uko Makn kweli🤣🤣🤣
😂😂😂😂noma san
Mwanamke mwenyewe mvivu si uliona Obama alishakatazwa kuingia chumban Kama hawatoi nje Nani azifuate chumban
Haina mwendelezo
Mbona sasha,Abdul,Suzan,nawengine Mbona siwaoni tangu nimeangalia epsoid 1_5?
Season nzuri
ipo fresh,kama sura zao
😆😆😆😆😆😆
Dawa ya msamaha zawadi
safi
Safi sana tunaomba muendelezo please
Hahaha move nzur..wajua Jana ulimkwaza ndio waleta zawad stress zishe wakt ...Anyway gd for apologizing
Sawa
very nice
tamu sana mwendelezo
Sure mumy meresiana iko vzr
Jaman mbona ya 4 hakuna tuwekeeni basi jameni tuanipenda etii
Wanaume kama Hawa walikufa ww2😂
Mwendelezo
Muendelezo jamani
mwenderezo ukoap
Tuekeeni basi sehem ya4 jamani
#Jasons mbona ep 1 sehemu ya 4 siioni? au bado mnaiandaa? pls majibu, nawapenda sana 💖💖
sio vzr kumpiga mwenzio sehemu mbaya ila season nzr
I love you dayana napenda kaz yako nataka unifunze na mimi mdogo wako
Namba4
Jamani ninzuri sana mwidelezo plz
Nizur sana nimeipenda
Nimeipenda sana nizur sana
woooh
muendelezo jomoni nzuri
Hapa noma 9:30
WAP mwendelezo
❤❤❤❤❤❤
Konki
Nice!
ongezeni muendelezo wa episod
Nzuri jamani
Dsh nzuri sana yani yafunza wanandoa najifunza pia
Rozina Hamisi
ninzuri mgekua mnaendelea hapo hapo na Za Siku izi sio nzuri Kama hii
Daimond
Season nzr sana
Mwendelezo plz
jamani season ya 5 kuanzia episode 4 tuwekeen
mwendelezo jamani
yani jamani muendelezo
Mwendelezo Plzz DJ ep ya 4
Nic

#Jasons mbona ep 1 sehemu ya 4 siioni? au bado mnaiandaa?
pls majibu, nawapenda sana 💖💖