Wachezaji wote waendelee kujituma na kufata mipango ya kocha kwa usahihi na wapunguze sana makosa yasiyoyalazima nakupoteza pasi kwa wapinzani au kwa kukosa mawasiliano na wasiridhike na magoli wanayoyapata waendelee kushambulia kimkakati kwani magoli mengi ni faida kwetu pia furaha kwa mashabiki zikijitokezw
Fitness inaongezeKa sana kwa wachezaji . Sisi wananchi tunataka wachezaji wawe na fitness kubwa ..Naamini tutafikia malengo yetu msimu huu. Nidhamu ndani na nje ya uwanja ni muhimu sana kwa timu yetu #daimambelenyumamwiko #timuyawananchi 💛💚🖤
Ila huyu kocha wa fitness naona anatengeneza maroboti sasa.... 😂 Kwa hivi wakiwa na usikivu na kujituma natumaini Tutapata Vikosi 2 mpaka 3 TENA BEST TIMU NAIONA.
Us one billions supporters off Youngs Africans we will be there by any cost during any time yes yes yes it's OK 👍 Youngs Africans oyeee oyeee oyeee sugar sugar good and Green and yellow oyeee hayaa Twendeee kazi wananchi wooote eee 😅
Oya mwambieni Muda tabia yake ya kunyoosha mikono juu ishala ya kuomba samahani kwenye mpira kila tukio mimi inanikela sana, kingine Ki Aziz abadirishe upigaji wa kama vile juzi magolikipa wamemkalili sana
Maxi amerudi kwenye team like zake zote apaaaa======>>>>
Just umagine in 12minutes people 500 naa wameshaangalia hii video na likes juu woooow such kind of love for our team... Daima mbele nyuma mwiko💛💚💛💚
asante mungu kwa wachezaji wetu kuwa sawa pia chama na diara uwafanyie wepesi ameen
Mashallah timu yetu yote imelud sasa asante mungu
Daima mbele nyuma mwiko yanga bingwa inshaallah
Wachezaji wote waendelee kujituma na kufata mipango ya kocha kwa usahihi na wapunguze sana makosa yasiyoyalazima nakupoteza pasi kwa wapinzani au kwa kukosa mawasiliano na wasiridhike na magoli wanayoyapata waendelee kushambulia kimkakati kwani magoli mengi ni faida kwetu pia furaha kwa mashabiki zikijitokezw
Coach fitness 💯 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
YANGA BINGWA 💚💚💚👈
Mungu endelea kutoa baraka zako kwa yanga ili ile gusa achia twende kwao ikawafikie vizuri singida na kujisifu kwao katika jina la yesu amen
Ameen
Daima mbele nyuma mwiko 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
I love you yangaaaa prayers🎉🎉
Yanga 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Fitness inaongezeKa sana kwa wachezaji .
Sisi wananchi tunataka wachezaji wawe na fitness kubwa ..Naamini tutafikia malengo yetu msimu huu.
Nidhamu ndani na nje ya uwanja ni muhimu sana kwa timu yetu
#daimambelenyumamwiko
#timuyawananchi
💛💚🖤
Fountain gate, wametusema vibaya nendeni mkawajibu Kwa vitendo😢 pls pls
Wakong'ote nyingi hawana adabu 😢
Yanga 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Naomba tuongeze ubunifu kwenye hiz video za mazoez mfano mzuri zile za Madrid kunogesha tuu😊😊 daima mbele nyuma mwiko❤❤
Ila huyu kocha wa fitness naona anatengeneza maroboti sasa.... 😂 Kwa hivi wakiwa na usikivu na kujituma natumaini Tutapata Vikosi 2 mpaka 3 TENA BEST TIMU NAIONA.
Baca 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Yaooooooooooooo🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Max🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
I love njano na kijani Hadi kufa kwangu
Daima mbele nyuma mwiko button wananchiiiiiii 💚💚
yanga bingwa
Sisi daima twawaombea mzidi kutufurahisha ishaallah
Kibwanaa🎉🎉🎉
Mungu atufanyie wepesi wake
KM25 Namuonekano mupya kam JESHI YAO😂 😂 asante Mungu kuwarejesha MAX...MUSONDA...YAO.ANDAMBILE 🙏🙏🙏
Amiin
GUSA ACHIA TWENDE KWAO 😊
Kipara cha Yao... 😂😂😂 Wenzake wanapiga Kofi tu..
Amini,max karibu uwanjan
❤❤❤❤ good 👍👍👍
Yanga bingwa
Max mwambaaaaaaaaaaaaaa
You are back
Jaman mnamuonea yaoyao na kipara chake😂
Ivi baca na pacome wanaongea nini😂
Pumbavu kabisa😂😂😂 mnategea mazoezi 😂😂
Gusa achia twende kwao makolooo
Daima mbele nyuma mwiko
Us one billions supporters off Youngs Africans we will be there by any cost during any time yes yes yes it's OK 👍 Youngs Africans oyeee oyeee oyeee sugar sugar good and Green and yellow oyeee hayaa Twendeee kazi wananchi wooote eee 😅
Gusa achia twende kwaoo
Huyu kocha nimemkubali sana hakuna mda
Wa kutengeneza nywela , Yao kajitafuta kanyoa Pala 😂😂
Sijamuona Chama😢
Sasa nawaza mwenzenu maxi naye kasharudi ivi siku ya mechi wapinzani siwatapata tabu maana hiii yanga sasa kwa pila hili duuuh! Watateseka sanaaaa😅😅😅😅
Chama langu..... 😊
Wanamuona yaoYao Babu yao nn😂😂😂🙌
Please 🙏 bring it on always. Thank you very much all yes it's 🙏
Didier mzize🎉🎉
Kesho bila refa wale ngiri maji hawatoki😆
Aamini aamini maashaalha
Msemaji wa makolo c alisema trh 28 kuna saprise ya Max🤣🤣🤣
Max yupi anamzungumzia, huyu wetu hawatampata
Ni pacome
Alikuwa anatafuta mashabiki waende kwenye mechi zao kwa kutumia yanga
Msemaji wa fountain kamdomo kamdomo
El Capitan nondo🎉🎉
Nimeskia skudu makudubela 😂😂😂😂
Manshallah Bacca
Aziz aongezew mkataba
Bado chama na diala
Oya mwambieni Muda tabia yake ya kunyoosha mikono juu ishala ya kuomba samahani kwenye mpira kila tukio mimi inanikela sana, kingine Ki Aziz abadirishe upigaji wa kama vile juzi magolikipa wamemkalili sana
Jameni mbona aziI kiii anaamchokoza 🦣🦣🦣🦣🦣 kisa upaaaa wake
Jaman boka kata k amevaa Hadi mazoezini😅😅😂
Yanga yangu
Sawa GSM
Good luck
🎉 Good
Bacca ndio mtia ubani 😂
Allaah Akbar
❤❤❤
Gusa achia twende kwako
Nataman nmuone Mkude akikiwasha
Gusa achia twende kwao
Skudu makudubela😅😂
🎉🎉🎉❤❤
Mkude amewakosea nini mbona hachezeshwi jamani, wananchi tunamtaka Mkude
Hata mimi nawazaga hivo kwanini
Diara mbona hayupo
Majeraha
Gusa achia
🔥🔥🔥🔥🔥🔥💛💛💛💚💚💚🔰🔰🔰🔥🔥🔥
Please try to score out of the box
Iv wametok avic town saiv
Aucho kasuka twende kilioni😅
Kasuka kwa mama kimbo😂😂😂
Balek Yuko wapi
Yao icho kipara anakoma
Nani? Kasikia Skudu Makudubela
Please play many vpass
mbn yao hajavaa jezi ?
Dakika ya 6 na sekunde ya 5 kuna mtu kamwita skudu, amekuja kwenye hamasa ?
Skudu tena
Kwani huyu no. 25 ni Nani??
Sasa wewe unamiomba mungu akuepushe na adhanu ya khabri wakati unakwenda kutekeleza ukharu
𝙶𝚞𝚜𝚊 𝚊𝚌𝚑𝚒𝚊 𝚝𝚠𝚎𝚗𝚍𝚎 𝚔𝚒𝚕𝚎𝚕𝚎𝚗𝚒
Yanga 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉