INJILI YA YESU ANARUDI SASA NDIYO CHANZO CHA UMASKINI KWA WAKRISTO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 19 พ.ค. 2024
- #specialthanks to my spritual father H.E HON. DR. GEORDAVIE PEACE AMBASSADOR.
Je una swali lolote gumu kutoka ndani ya biblia linakusumbua na umekosa majibu kabisa? basi usisite kuuliza Mwalimu Isaya Benson yupo kwa ajili ya kujibu maswali yako yote yanayokusumbua. Andika swali lako kwenye comment nalo litajibiwa bila shaka yoyote.
ZABURI 119:130
Kufafanusha maneno yako kwatia nuru na kumfahamisha mjinga
ZABURI 119:11
Moyoni mwangu nimeliweka neno lako nisije nikakutenda dhambi
Mwalim mimi ni muislam ila nakukubali sana kweli kabisa tufanye kazi
unamkubali si kwa sabab anaongea yanayokufurahisha!
Yani leo ndio umepondaponda bongo kabisa, Mungu akubaliki sana👏👏👏
Uko sahihi sana kwakweli
Kichwa yako ipo vizuri niwachache wenye uwelewa
Barikiwa sana mtumishi maana watu tunapewa mafundisho ambayo hayatujengi tufundishe kweli ili tuwe huru
Soma 2petro 3:3-10 usipongeze usiyoyajua walimu wa uongo ni wengi 2petro 2:1-14 utaelewa
@@tutindagamwaijengo3345sasa wewe toka izo enzi za uyo Petro yesu aliwaambia mwisho upo karibu lkn walikufa mwisho hawajauona UO mwisho acheni kulemazwa na maandiko some uelewe usikalili😅
Jamaani acheni, kumutuxi Isaya Besoni, chambueni vya kwenu.
Ubarikiwe mlm
Uko sahihi sana bro yani wkristo ndo wanaongoza kuamatapeli bada ya kuamini yesu anarud hiv karbun tunajisahau mpaka tuna shindwa kusaka maisha.
I agree with you sir. Thank you sir,
Mwarimu Mungu akubariki sana,nikiwa nakusikiliza mafundisho yako utofauti ata ata kidogo na mwarimu wangu kipindi najifunza bibilia.barikiwa tupo karibu yako
Atarudi kuhukumu walio hai na wafu, futa hapo
Utajiri na mali nivya Muda but neno lake litabaki milele
Kaka Yesu na Kristo ni watu wawili tofauti. Kristo alikuwa mweusi na Yesu ni mzungu aliundwa na wazungu, Chunguza na hili kaka.
Tubuni kwa maana ufalme wa mungu umekaribia
Kweli
Kurudi kwa Yesu si kama unavyofikiri . Soma vizuri Neno hasa kitabu cha ufunuo 13.
Muongo mungu akuponye damu za watu zitadaiwa mikononi mwak
Ongea ww mkwel sasa tukusikie
Barikiwa kwa kutufungua akili
Ahsante sorry naonba kuuliza hivi asie Fanya KAZI na asile kimeandikwa kitabu gani ahsante kama utanijibu
Unayo mafunzo maziwa tena yenye akili haswa👌ubarikiwe sana ♥ mmi binafsi nakuelewa sana maana huku nje watu wamelea tu mikono na miguu wamebaki kuomba omba hawataki kuchakarika wanataka kula jasho ya wenziwe
Nimekuelewa Mrumishi Kanisa lifundishwe kuh Ujasiriamali vitegauchumi Elimu ya uzalishaji n.k
Unasho Sema kama ukweli vile
Safisana
vizuru mwalimu,makanisani huwa hawafundishwi namna yakuishi kwakujijenga kimaisha na wakati huo kunahitajika michango ya fedha kujenga kanisa
Mwalimu isaya.naomba utuchambulie.kilipu ya Mzee wa upako.maana amesema MUNGU ni mmoja tu.na yesu sio MUNGU naomba utowe ufafanuzi.maana wewe unamtetea sana Mzee wa upako
Honakimepitaka Kongo leo kanisa katholiki ndio wame mtuma ahendekuchafua inchi hawakweli ni watu kabisa mimi kwa mawazo yangu nilikuwa nahona kanisa katholiki lifungwe kokote Barani afrika mahana aho ndo wachochezi wao huchukua Taarifa ya inchi zote zafrika kupeleka mahali usika
Yusu yuko karibu sana kuriko unavyofikir hao wazungu unaowasema ndio mnaosema mafrison wanaoiharibu dunia na dunia inatekwa na pesa maana siku za mwisho watu watapenda pesa kuliko mungu, wakristo waamke wajue dunia imeisha na iko hoi bin taaban, sodoma na gomola ni ishara kwa wakristo mapepo yametupwa dunian nayo yatadanganya wengi wakristo amken dunia imeisha
JAMAA NI MJINGA SANA HAMNA MFANO WAKE. ANGEJUA BY 2030 KUTAKUWA TAYARI NEW WORLD ORDER IMESHIKA HATAMU KWA KUASISI CHRISLAM. AMBAYO NI DINI BILA MUNGU. IMEASISIWA TOKA 2020.NA ITABOMOSHA MAJUMBA NA MISIKITI YA IBADA. MATHAYO 24:1,MARKO 13:1 ,HATA ASIPORUDI WATAKAO KUFA NDANI YA KRISTO WATAFUFULIWA KWANZA.
Acha ufara pesa zilipendwa toka enzi zimeanza kutumika mbona mwisho haukuepo fanya kazi acha kukuaa ki fara ukawatesa watoto na umaskini
@@peterpanyika6810😂😂😂 izo ni nukuu ata make 2000 walisema ni mwisho wa dunia sasa uu ni mwaka gani😂😂
@@XhebbyMandevu wewe uwe mjanja kimbizana na hizo hela ndio utajua kwamba shetan sio mjomba wako yesu anasema utafuten Kwanza ufalme wa mungu mathayo 6:33 join Cha maovu yote ni kumpenda pesa chagua mungu au dunia ujue hakuna makristo atakaekufa kwa njaa Amin mda umeisha na yesu Yuko njian
Hata mwisho in a mwisho wake. Madam Ni nukuu, Basi na ipite miaka elf na elf, LAKINI MWISHO UPO.HAIEPUKIKI.
Uko kinyume na biblia, kwa nini tuna hubiri kurudi kwa yesu kulinyakua kanisa kwa msisitizo,
Ni kwa sababu watu wengi wana kufa kila siku, kwa hiyo lazima kuwepo na msisitizo, wanadamu wasipo pewa tahadhari watajisahau.
Watakuwa wazembe
Fimbo alio tumia mzunguu kumpumbaza na kumtawala mwafrika ni dini na limefanikiwa kwa asilimia 85
Mwalimu unaongea ukweli lakini mtu anapofundisha Yesu yu karibu haimaanishi watu wasifanye kazi lakn tunakumbushwa tuwe watakatifu
Apo nakupinga kabisa,
Tunahubiri habari za ujio wa Yesu Kirsto hata kama itapita miaka buku from now, Lazima ujuwe lengo kuu la kutangaza huu ujumbe wa kuja kwa Kirsto Yesu.....
Wewe uko na maarifa ktk historia but sio katkia Ufunuo na nguvu za Mungu, Uwezi juwa kila kitu mana unaonekana unajuwa kila kitu,
Yesu Kirsto anarudi mda wowote but hiyo haitufanyi tusiishi maisha mazuri na ya kitajiri dunian ungesema hivyo ungeeleweka.
Shida ya tuliowengi tulishalishwa matango pori na hatutaki kuyatapika, unachofundisha Mwalimu ndio usahihi wa mambo, isipokuwa akili za wengi zimefungwa kwenye boksi. Waafrika hasa Wakristo tuache uvivu wa kufikiri.
Mtumishi mbn kama unakosoa maandiko kw
Unaishi kwa neema ya MUNGU sio kwa akili zako hata ungepewa dunia yote itakusaidia nini wakati we ni mufu tu.
Kuhusu mafanikio ya mataifaMimi naamini kwamba Mungu aliweka madaraja weupe sana wana akili,uchumi na tekmolojia ya juu, kadiri rangi inavyozidi kufifia ndivyo vyote vinavyopungua, kwa hiyo Waafrika tunatakiwa tufanye kazi ili tuboreshe maisha yetu sio tuwashinde wazungu.
Kama Mungu akiamua kupindua meza basi sisi tutakuwa juu na wazungu watakuwa chini. Kufanya kazi kwa bidii ni sahihi, kutofanya kazi kwa kudhani Yesu anakuja kesho ni kukosa maarifa.
Yaani ww nimekuelewa sana kaka njoo nikuoe zawadi yako naomba namba yako
KRISTO ALIKWISHA RUDI YUKO NDANI YETU KAMA WEWE HUNA KRISTO BASI ENDELEA KUMSUBIRI ILA MIMI BINAFSI KRISTO ANAISHI NDANI YANGU NA MIMI NAISHI NDANI YAKE MILELE
Duh! Mimi naomba kujua wewe ni mwalimu wa neno la mungu yupi?
Ivi Uko Arusha Mwalimu Au?
Mwalimu sio kweli hilo sio changamoto ya maendeleo bali maendeleo walio soma ndio chanzo cha kutoendlea kwa wa Africa tanzama,hata wewe Benson hapo unatunganya kabisa mbona wapo ambao hawaendi kanisani bado masikini?
Kweli wazungu wamekamata akili za waafrika wengi yani bado kuna watu wakiambiwa ukweli usiopingika bado wanaamini mifumo ya wazungu,,,ila wazungu wenye dini yao hawaiamini kama waafrika wanaojifanya wapo kindakindaki kwelikweli😂😂,
Mwalimu endelea hivyohivyo kabisa nakukubalisana mungu awenawe pamoja nafamilia yako Hawa wa afrika nivijinga sana nahasa Hawa wakatoliki wamedanganya sana watu eti sadakazote Ziende itali Huhu ni uhuni tu wahambie kabisa Mahana wote wa nakaa kuchukuapesa zetu
Wakikuhita shetani wahondio mashetani baba mzima amezehekea kanisani eti Amesomea upadiri nawakati wenzaho ndo wana tafuta njia yakutawala ili watoto waho wahishivizuri
Wewe una uthibitisho gani kwamba watu hawafanyi kazi, unawalisha wewe, Kazi tunafanya, Maombi tunaomba sana, na hatutaacha kuomba, kama kanisa lako hawafanyi kazi sawa. na kwanini unapinga kurudi kwa Yesu.
Mwakilembe hiyo ndio injili sasa ulikuwa wapi nimekuelewa ameeen
Yuko sawa kwakweli
Acha ujinga biblia inasema yesu yu karibu Na dalili zinaonekana WW ni mshenzi watu wasiombe
Sijui wa afrika waliingia kwahihi dini kwanini ahukwasababu yaumaskini?
Wewe ni agent wa kuzimu
Ona raisi ruto ziara tu yakwenda marekani imegarimu billioni nne za Kenya sawa sawa na dolla$ million arubaini yadolla$ kuliko ajenge hata kiwanda Huku Akita Futia WAKENYA kujakufanya kazi ulaya kwaviwanda vyawenzake kicheko duniani tena kutuko duniani
Kweli ukifa mwisho
Umefika hakunaanayejuwa
Kurudi kwa yesu
Mapastere muache kudanganya watu
Waowanatafuta mali wamewina mufanye kazi
Nayesu alisema tufanye
Kazi muvivu asile
Wewe hizo za 72 tunazo
Nacho just wakristo wanafanya kazi sana kuliko waislam lakini waislam wamefundishwa siri za mafanikio kiroho na niwatoaji sana. Wakristo wachoyo wanaishi maisha ya punda wanafanya kazi saaana. Tafuta somo jingine
Mwarimu nina swali kidogo.kwanini Mungu ailiamua kukaa kimya Miaka 430 bila Kuwa na nabii.kisa ni Nini
Watu muache ujinga yesu hatarudi hata ukisali vipi biblia imeletwa na wakoloni ili watutawale na wachukue mali zetu tujisahau sisi tunasali
hongera
Maarifa huna unatumalizia mb kuma ww
Pumbavu ww shenzi
(UMEVIMBIWA) INJILI YENU YA (KISONGO) IMELAANIWA MNASEMA UONGO MWANZO MWISHO
ILA MTADAIWA DAMU ZA MNAO WAPOTOSHA
Tulio wengi hatujui biblia Ndio maana tunashindwa kumuekewa (mwalimu unatufungua ubongo 😅💪💪)
Nakusikiliza kutoka Mozambique. Nakuashauri mtumishi kwamba sisi WA kristo tua enenda kwa Imani sio kwa kutumia akili.soma vizuri upate kuelewa,yesu yu karibu kurudi
Acha uwongo , kwani iyo andiko unajuwa imeandikwa lini, ulisha wai sikia wapi yesu akarudi....uyo yesu harudi ,leo ama kesho ...fanya kazi epuka umasikini uone ufalm wake mwenyezi Mungu.
Mwalimu ulishahona wapi mchunga anabariki condom wewe eti wazungu wanatupenda viongozi wamakanisa wame changia pakubwa kuharibu inchi zetu zakiafrika sana tena sana ingekuwaheri kanisa katholiki sidini niwapelelezi ambao wametumwa kokote ilikwamafanikio yaho tu
Yesu anaweza kurudi hata usiku wa leo hata asirudi miaka 10000.ila atarudi harafu la kusema wakristo maskin ni mawazo y'ako na nafsi y'ako ionavo mm macho yangu sijaona mkristo maskin ma'ana kristo alifanywa maskin I'li ss.tuwe matajiri siku za mwisho watabadili kweli ya Mungu kuwa uongo ko wanaokunywa damu za watu ni matajiri hao waliojiunga na mavyama.ya laana.hao benson hao wanaodhulumu nafsi za wakristo kwA siri ni.matajiri sijaona matajiri dunian kama mtu ana mahela hamchi Mungu katika loho na kweli anaifaidisha tu ardhi majumba na magari mm nasemaga hao wa hela za shetan unawaona Wana hela mm nawaomba wako hoi bin.taabani wako Asu kwenye ambulance ya yesu wanahitaji matibabu harafu maneno y'ako benson uangalie sana asilimia kubwa sio mazuri milimani tutakesha makanisani tutashinda huko na siri za mafreemason Mungu katufunulia tumejua benson ukiwa na hela bila yesu umekimbatia nyuki
Umepotoka wewe
Kazi tunafanya acha ujinga wewe unabii lazima uhubiriwe
Wewe soma 2petro 3:3-10 mjinga wewe unapotosha sana watu ambao ni wavivu kusoma maandiko rais wa irani KAFA bado putin mnaompinga Mungu wa Yakobo Israel leo unapinga kurudi kwa kristo
Kweli kabisa
Msikilize usiropoke. Huo ndio uharisia alioongea. Watu tupige kazi tutoe sadaka sio unashindwa kushinda huko. Mchango wa kanisa una buku. Piga kazi tuache uvivu. Mpaka hapo wewe naona dhahili una mistari tu ya biblia omba sana upate bible knowledge😅
sasa mbona uko israel wanafanyasherehe za mashoga
Tujue kwanza ni mwalimu wa neno la mungu yupi
Acha ujinga sikiliza mpaka mwisho ndo uanze kukometi
Uko sahihi kabisa cha msingi ni kuishi maisha matakatifu na kufanya kazi hata kama Yesu atarudi kesho akakukuta uko kwenye harakati za kutafuta maisha hautakuwa na hasara yoyote
Eti wakristo ni maskini labda ww ndio maskini