SWALI LA WAISLAM LAJIBIWA KWA UFASAHA NA DOCTOR WA KUJIBU MASWALI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 25

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Allah 💕

  • @hamishatibu1007
    @hamishatibu1007 2 ปีที่แล้ว +1

    Uzuri wa waislamu sisi.tumesoma na hii.midhalo.tunaifatilia sana Hiii chanel inakata vipande ambavyo.waislam.wanakua wanawabana wakristo ila bado haisaidii

  • @mukrimmohd8954
    @mukrimmohd8954 2 ปีที่แล้ว +1

    Toa aya inayothibitisha ukristo dini

  • @rbagha5280
    @rbagha5280 2 ปีที่แล้ว +1

    Message kutoka Canada. Wakristo na waislamu wameumbiwa na mungu huyu mmoja tu. Hakuna mungu tofauti aliye umba Mkristo na mungu mwingine aliye umba Mwislamu. Sawa? Hapa tumekubali. Je dada na ndugu zangu kwenye Ukristo--umejiuliza hayo maswali kibinafsi? Umejiuliza jina la pili au la mwisho, yaani surname, wa Gospel kutoka Matthew, au Mark, au Luke, au John? Passport yako ina jina lako ya kwanza tu? Utaweza kusafiri hivyo? Ujiulize. Fikiria sana kwa akili aliyekupa mungu. Je Yesu au mama yake Maria walisema Yesu ni mungu au mtoto wa mungu? Je wanabii kwenye Bible waliozaliwa kabla ya Yesu wataenda motoni, kwa sababu hawakujua Yesu, na wakristo wanasema “only through Jesus you will be saved?”? Hii ndiyo haki au ni dhulma? Waislamu wanapenda Yesu zaidi kwa sababu wanaume wa waislamu wanaweka ndevu na wanawake wanavaa hijab (Head Cover) kama Mother Mary. Hawali Pig/Pork kama Yesu au mama yake. Wanamwomba dua na kukwabudu mungu moja sawa sawa kama yesu na mama yake walivyo omba kwa huyu mungu moja. Sawa? Fikiria sana haya maswali. Sio Ibilisi/Shaitani/satan awapoteshe na awachukue motoni. Wakristo ni wandugu wa waislamu. Sote tuende Peponi kwa kumwabudu mungu mmoja tu. Au sio? Much respect from Ray in Canada.

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 2 หลายเดือนก่อน

      Mungu ndiye muumba wa vyote na huyo ndiye Mungu aliye anzisha taifa la Israel ili wanadamu wote tumjue yeye kupitia wao.Lakini Mungu anaye abudiwa na wabudha au wahindu au allah wa waarabu hao ni miungu siyo Mungu muumbaji

  • @fareidykugwile3998
    @fareidykugwile3998 ปีที่แล้ว

    Hakuna Aya iliosema moja kwa moja kwamba ukristo Ni dini ya mungu

    • @gilbertwes529
      @gilbertwes529 ปีที่แล้ว

      Ikiandikwa ndo nini iwe sasa wakati uislamu ni dini yake Mohammed tu kawafunga macho nyie hamuoni

    • @SalmaAbdul-zz7dy
      @SalmaAbdul-zz7dy ปีที่แล้ว

      ​@@gilbertwes529 uislamu ni dini ya mwenyezimungu mungu
      Quran 3:19
      Na wewe toa andiko la biblia ukristo ni dini ya .mungu

    • @gilbertwes529
      @gilbertwes529 ปีที่แล้ว

      @@SalmaAbdul-zz7dy mwenyezi Mungu yupi Allah sio Mungu wa wa Israel wajua ivo Allah ni miungu waliowaabudu waarabu kitambo jielimishe bro na dini ni njia hio ndo maana ya dini alosema yeye ndio njia ya kweli twamjua ni nani Kristo jibu lako hilo

    • @SalmaAbdul-zz7dy
      @SalmaAbdul-zz7dy ปีที่แล้ว

      @@gilbertwes529 toa andiko kuwa Allah ni mungu waloabudu waarabu na ukristo ni dini ya mungu
      Kwanza Allah Hana udhaifu kama mungu wako wa bandia

    • @gilbertwes529
      @gilbertwes529 ปีที่แล้ว

      @@SalmaAbdul-zz7dy Nenda ukasome kuran bro inasemaje dini zilizo tangulia ni gani wacha kurudia maswali yakipuzi ya mashekh wenu ilhali Quran inasema uyahudi na ukristo ni dini za Mungu zilizo tangulia ama waogopa kufikiria, alafu toa andiko alafu nakushauri uende uangalie maana ya neno dini ni nn ndo uje ulize Hilo swali lako mana naona ni kaa ambae hujui maana ya dini ni nn

  • @yohanamahonastephan6864
    @yohanamahonastephan6864 3 ปีที่แล้ว +1

    Yo

  • @hamishatibu1007
    @hamishatibu1007 2 ปีที่แล้ว

    jibu swali.wapo.ukristo dini

    • @Bisekoson
      @Bisekoson 2 ปีที่แล้ว +1

      Angalia kuanzia dakika ya 8 utapata majibu, usiwe mbumbumbu mzungu wa reli. Kama ufaham ni shida angalia tena kuna majibu.

    • @ipyanapaul8268
      @ipyanapaul8268 2 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa waisilamu uelewa hakuna waisilamu mambo ya biblia hamuyawezi

  • @mwashambamakame4435
    @mwashambamakame4435 2 ปีที่แล้ว

    Hajajibu swali mbona,.... Namsaidia ebu asome 39 :22 QUR-AN achane na ukiristo

  • @mudriqahmed3666
    @mudriqahmed3666 2 ปีที่แล้ว

    Jamani musilolijua kuna kitu kinaitwa kiraka hicho kitu wakristo wanakitumia sana yani kubabaisha kujibu swali kwa kutumia aya za kuruani na kutumia mandiko kwa ya biblia kwa wakati mmoja ndio kiraka

  • @mudriqahmed3666
    @mudriqahmed3666 2 ปีที่แล้ว +1

    Mana wakristo kuna maswali huwa hayajibiki ili kukwepa kusema halijibiki ndio wanavuruga akili za wakristo waliopo mbele waingie kwenye kuran waingie kwenye biblia halaf watupe jibu litakalo endana na ule mvurugano waloutoa

  • @mussakamando2678
    @mussakamando2678 3 ปีที่แล้ว +1

    Hana uwezo wa kukijibu kwa ufasaha. Acha ubabaishaji wewe...

  • @ibrahimmsafiri2656
    @ibrahimmsafiri2656 3 ปีที่แล้ว

    sasa hapo ufasaha wa majibu uko wapi? sijaona jibu wapi amesoma aya kutuambia wapi Ukristo ni Dini ya Mwenyezi Mungu

    • @Bisekoson
      @Bisekoson 2 ปีที่แล้ว +1

      Hahahaa nilidhani kiswahili hukifaham kumbe hata ufaham pia ni shida hebu sikiliza 8.10
      Amesema kawaulize watu wa dini zilizotangulia mahayudi na wakristo, hiyo humaanisha wakristo ni dini, na inasema walioteremshiwa kitabu. Nimekusaidia sasa kama ufaham wako ni shida basi. Maana kitabu chako chenyewe kimekupa majibu..

  • @frankmpembu2505
    @frankmpembu2505 2 ปีที่แล้ว +1

    Swali limejibiwa hilo, Waislamu hamujaelewa wapi?, Dini yetu ni KRISTO kwa Mujibu wa Biblia. Huyo Allah wenu ndiye aliyeileta Injili kama anavyo dai, kaleta Dini gani,?

    • @Bisekoson
      @Bisekoson 2 ปีที่แล้ว

      Mi hata sielewi ufaham wao ukoje aisee, shetani ana nguvu sana. Kama huna Roho wa Mungu unakua kipofu kabisaaa. Maelezo yako crystal clear, eti mtu anauliza wapi imesema ukristo ni dini khaah.