Premere Pro Sehemu ya Pili_Jinsi ya Kuboresha muonekano wa Video

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 พ.ย. 2016
  • Video hii itakupa muongozo wa ku edit video kwa Premiere Pro ktk kipengere cha kuboresha muonekano wake yaaani "CIMEMATIC LOOK"
    Video hii utaona jinsi Color Correction inavyofanywa kupitia Kipengere kimoja kimoja lakini katika video hii Tutazungumia vipengere vitatu tu yaani
    SHADOW
    MIDTONES
    HIGHLIGHTS
    Kumbuka ku Subscribe na kushare video hii ili Jumua yetu ikue
    ~-~~-~~~-~~-~
    Please watch: "Jinsi ya Kutumia Photoshop CS6 kwa mara ya kwanza(Beginners) SEHEMU YA 1"
    • Jinsi ya Kutumia Photo...
    ~-~~-~~~-~~-~
  • ภาพยนตร์และแอนิเมชัน

ความคิดเห็น • 25

  • @SalehEmmanuel
    @SalehEmmanuel 3 ปีที่แล้ว

    Na kuku Bali Sana mtu wangu mungu akubariki kwakazi unayo fanya

  • @maduhumanyangu1544
    @maduhumanyangu1544 หลายเดือนก่อน

    Habari boss
    Naomba Setup ya Adobe Premier pro cc 2015 with Cracked ambayo siyo DEMO wala Trial.

  • @tunnuabdallah-tw7yj
    @tunnuabdallah-tw7yj ปีที่แล้ว

    Je kwenye PC inafanya kazi

  • @iamiconboy
    @iamiconboy 5 ปีที่แล้ว

    Asantee sana umenifanya nijue vitu vingi sana

  • @pizopaulnx7473
    @pizopaulnx7473 4 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa leo san

  • @directeds.particle790
    @directeds.particle790 5 ปีที่แล้ว

    nakukubali sn bro

  • @gawazabrain
    @gawazabrain 7 ปีที่แล้ว

    tashukur ukinisaidia

  • @afmedia5510
    @afmedia5510 4 ปีที่แล้ว

    nataka maandishi yangu yapite kwenye video zangu primier pro 2018

  • @singanomedia8019
    @singanomedia8019 3 ปีที่แล้ว

    Gd bro lkn naomb usubscribe Chanel yang

  • @dvjmwambadegovernor377
    @dvjmwambadegovernor377 7 ปีที่แล้ว

    DAH XANT BRO LAKIN MM TATZO LANGU PROGRAM YANGU HII YA PREMIERE PRO CC HAINA IYO THREE WAY COLOUR COLLECTION

  • @mudyahmedytz9411
    @mudyahmedytz9411 7 ปีที่แล้ว

    Thanx Sana bro unafany kit poa sana

    • @ziadifilmTz
      @ziadifilmTz 6 ปีที่แล้ว

      Sana bloo unaeleweka sanaa

  • @remigiusrespicius1600
    @remigiusrespicius1600 6 ปีที่แล้ว

    bro nakufatilia sana i wish nipate contact zako

  • @jeanclaudekalonda8617
    @jeanclaudekalonda8617 7 ปีที่แล้ว

    Asante sana bro kutupa vitu vizuri, hivi adobe premier pro ina sapoti video zilizorkodiwa na kamera ya android?

  • @monicamumbi3799
    @monicamumbi3799 5 ปีที่แล้ว

    Naomba link mzee ya premier pro

  • @luchiyaprinting
    @luchiyaprinting 6 ปีที่แล้ว

    kibongobongo mtu akijua kitu anataka ajue pekeyake lkn ww ni mfano wa kuigwa. saluti kwako

  • @muslimdawah7258
    @muslimdawah7258 5 ปีที่แล้ว

    swali langu Nina pc windo 7 naweza tumia Adobe premier pro? naje nitaipataje?

    • @muslimdawah7258
      @muslimdawah7258 5 ปีที่แล้ว

      @@Richstartz Thanks kwa maelekezo but nimeshindwa kuidownload

    • @YCLASSICTZ_
      @YCLASSICTZ_ 5 ปีที่แล้ว

      Tembelea @getintopc

  • @mwanjaphones4081
    @mwanjaphones4081 4 ปีที่แล้ว

    nahitaj iyo premiere pro

    • @lexarmcwillz803
      @lexarmcwillz803 4 ปีที่แล้ว

      dizzaina TV kama uko Dar nicheki

  • @gawazabrain
    @gawazabrain 7 ปีที่แล้ว

    thanx bro bt nahiataj msaada zaid nataka kujifunza utanisaidiaje hapo 0684863138

    • @ngoyatvonline2463
      @ngoyatvonline2463 5 ปีที่แล้ว

      Nitakufutilia hadi unchoke nasasa npo dalasan kwako