Wachuuzi Kilifi waonywa dhidi ya kuuza dawa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
  • Bodi ya kudhibiti uuzaji wa dawa za wadudu na mimea imewaonya vikali wachuuzi wadogo wadogo kutoka kaunti ya Kilifi na ukanda wa Pwani kukoma kufanya biashara hiyo kwani wachuuzi hao hawana vibali vyovyote na hivo kuhatarisha Maisha ya wanadamu.

ความคิดเห็น • 3