KUMBE UISLAMU NI DINI YA KUPELEKA WATU MOTONI.. ALIYEKUWA MUISLAMU ATOBOA SIRI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 54

  • @ImaniTinda-h6x
    @ImaniTinda-h6x 34 นาทีที่ผ่านมา +1

    Hongera umemchagua kristo njia sahihi

  • @banyankirubusamarc1727
    @banyankirubusamarc1727 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu akubaliki Paulo, Mungu anapenda wamwanio kama wewe, unaco kipoteza kwa ajili ya kumuamini Mungu utalipua zaidi mno ya kile unaco kipoteza. Yesu akulinde ili uendelee kushuudia injili ya uzima wa milele

  • @georgeurembo4553
    @georgeurembo4553 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu akubariki sn

  • @MudiMshindo
    @MudiMshindo 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Jaman muogopeni mungu,yesu katumwa kwa wana waizrael tu,zama zake zishapita,

    • @wadimtwana7286
      @wadimtwana7286 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Wanaelewa ila wanatia pamba masikoni mwao

    • @SimuliziBongo
      @SimuliziBongo 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Mathayo 28:19-20
      Baada ya kufufuka kwake, Yesu aliwaamuru wanafunzi wake:
      "Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu; na kuwafundisha kuyashika mambo yote niliyowaamuru ninyi."
      Hii inaonyesha wigo wa kimataifa wa injili baada ya kifo na ufufuo wa Yesu.

    • @SimuliziBongo
      @SimuliziBongo 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Yohana 10:16
      Yesu alisema, "Ninayo kondoo wengine ambao si wa zizi hili. Hawa pia inanipasa kuwaongoza, nao watasikia sauti yangu, na kutakuwa na kundi moja na mchungaji mmoja."
      Hii inatafsiriwa kuwa ni kuhusu watu wa Mataifa (wasio Wayahudi), ikionyesha kwamba kazi ya Yesu ingewaenea wote.

    • @SimuliziBongo
      @SimuliziBongo 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Yohana 3:16
      "Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwana wake wa pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele."

    • @Joh-j9s
      @Joh-j9s 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@SimuliziBongoaya hiz ulizotoa, huwa wanajifanya hawazioni.😂😂😂

  • @samxx411
    @samxx411 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu anaelewa ila yupo kuubomowa uislamu cha kushangaza mbona yeye hajauliwa 😅😅😅

  • @ibrahimjuma9709
    @ibrahimjuma9709 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mtu mjinga akikusikiliza anakuona umeongea ukweli jifundishe ili binadamu tuko aina 4
    1.alie umbwa kwa udongo
    2.alie umbwa kwa mifupa
    3.walio umbwa kwa maji
    4.alie umbwa kwa neno. hizi zote roho si mungu? Mfano yesu nisawa na hizo roho zingine.tazama zinakula zinalala zinaenda Chooni zinamtegemea mwenyezi mungu zote. Swali ya yesu iko tofauti na hizi jitafakari vizur duniani njia ni mbili umshukuru au ukufuru.Duniani hapamtoshi mwenyezi mungu soma vizur bibilia ujiulize kwa nini inakinzana shida Nini? uongo niwanani na ukweli ni wanani

  • @peterkailibi1278
    @peterkailibi1278 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amina Kwa fundisho nzuri

  • @dantez8775
    @dantez8775 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amina kaka, ila sasa toka kwenye dini ya wasabato, hawatambui nguvu za roho mtakatifu.

    • @samxx411
      @samxx411 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Inabidi kumbe Bado amepotea 😂😂😂

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      tulia kijana,tumia akili!

  • @feisalathumani31
    @feisalathumani31 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Muislam gn huyo mwenye sura ya kilevi, hata picha hamuoni.

  • @AbdillahiMselem-ig2dm
    @AbdillahiMselem-ig2dm 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe una Dhani mungu ameuumba moto kwa ajili ya nani wewe uwe muisilam Sasa moto uta kosa watu Baki ukouko ukachomwe

  • @allialbusaid
    @allialbusaid 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Anayevuta bangi aende jela kwa sheria ya tz huo nimuongozo wa sheria ya tz . Je kumkataa Mungu wa kweli ufanwe nini ? Naona wewe ni wale wamafanikio wa faida ya kilimwegu .tafakari zaidi maisha baada ya kifo

    • @SimuliziBongo
      @SimuliziBongo 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Amekuambia nani Allah ndio Mungu wa kweli?

  • @SwahibaMnazi
    @SwahibaMnazi 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Aujui unacho kizungumza wew nakuombea Allah akuonyeshe njia iliyo njema usipite kwenye njia mbaya

    • @kevinskicalvo7472
      @kevinskicalvo7472 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂 sasa hajui aje na amesomaea dini..?

    • @kevinskicalvo7472
      @kevinskicalvo7472 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂😂 unakataa nini kwa alicho kisema ama ipi isio sahii....wewe utuwekee iliyo sahii 😂😂😂😂 kwa maadiko 😂😂😂😂😂😂

    • @josephmusagasa
      @josephmusagasa 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wewe ndiye hujui. Huyo Allah ndo kitu gani? Sikiliza hoja nzuri za msomi na aliyekuwa muislamu tena wa kuzaliwa. Yeye ametoka mchana peupe. Yesu anathibitisha kuwa yeye ni mwana wa Mungu lakini Quran inasema Mungu hana mwana. Je,Yesu na Quran nani muongo? Jitafakari sana.

    • @wadimtwana7286
      @wadimtwana7286 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Safi ndugu huyu kafata pesa lakin akifa atakiona

    • @kevinskicalvo7472
      @kevinskicalvo7472 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@wadimtwana7286 hahaha 😆 😂 🤣 😅 nyie kila mtu anaye pata ukweli Kafata pesa hakuna laini ingine yakutumia hii imetuchosha...ajab sasa niliona nao wa Yemen 🇾🇪 kwa wingi sana nao wanafwata nini sasa....?

  • @MaulidRamadhani-t8b
    @MaulidRamadhani-t8b ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu njaa itampeleka papaya, Hana hoja yoyote ya kuukosoa Uislam ,ni njaa tu ,anatumika vibaya .Anajisifu Ana elimu ,eliminate ya kukuangamiza ?

  • @MaulidRamadhani-t8b
    @MaulidRamadhani-t8b ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu Ana elimu ya kujaza tumbo tu.

  • @AbdulWaheedAlRawahi
    @AbdulWaheedAlRawahi 22 นาทีที่ผ่านมา

    Uislamu haulazimishi mtu awe Muislamu hiyo ni kwa faida yake kama yeye mwenyewe. Lakini kama atayaka kujichagulia kwenda jahannam kwa kuuwacha Uislamu huo ni uwamuzi wake.

  • @UstadhiAdnani-q8u
    @UstadhiAdnani-q8u 21 นาทีที่ผ่านมา

    kashakula matango pori sasa kavimbiwa

  • @amirmohamedali7922
    @amirmohamedali7922 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe kijana njaa ndio inakupeleka kwanza ulikua muisilamu kisha ukaritadi ukarudi Tena ukasilumu Tena baadae ukaritadi Tena sasa twakungojà Tena habari zako

  • @JamalGermanus
    @JamalGermanus 31 นาทีที่ผ่านมา

    Wewe si msomi,hebu elezea faida anazozipata mzazi Kwa mwanawe?

  • @wadimtwana7286
    @wadimtwana7286 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Una hiyari yako ndugu kuwa mkiristo kama ni dini ya haki utaona baadae na hivyo vitabu vya zamani ndugu vimeharibiwa.

  • @IjumaaIjumaa
    @IjumaaIjumaa 6 นาทีที่ผ่านมา

    Ww hujasoma ila unanukuu kwenye kiswahili sasa msomi wakiislam hatoritadi kwa sababu hakuna dini isipokuwa waislam mbele ya Allah na kama unauchafuwa waislam Allah anaulinda mwenyewe silimu hujafikiwa na umaut

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Paul ni feki anafautilia pesa za SDA.

    • @SimuliziBongo
      @SimuliziBongo 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwenye ukristo kungekuwa na pesa hata mimi ningekuwa tajiri hivi sasa.

  • @feizalmas
    @feizalmas 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu jamaa mnafiki sana alikua muislamu. Wakiristo wakampa pesa na kumuahidi maisha mazuri aliponyimwa maisha mazuri akarudi katika uislamu na kutubia na kusema Kila kitu alichokua anafanya kanisani na kukiru alikua anapindisha maandiko. Wakamfuata wakiristo Tena wakampa pesa na maslahi akarudi katika ukiristo. Huyu njaa inampeleka mbio kueni makini

    • @Austinemarko
      @Austinemarko 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwan wakristo dio wanao peana uzima ww akili yko iko

    • @ImaniTinda-h6x
      @ImaniTinda-h6x 32 นาทีที่ผ่านมา

      Huna unalolijua angalia video vizr ipo ambaya waislam waltishia kumua yeye na mkewake

  • @AbdillahiMselem-ig2dm
    @AbdillahiMselem-ig2dm 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu chizi wa kutengenezwa amna muisilam mwenye sura mbaya kama wewe muislam lazime awe mwenye Nuru pia muislam Gani ata matamshi ujui kutamka

    • @NduwimanaPatrick-lc4gi
      @NduwimanaPatrick-lc4gi 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Chizi we we somA vitabu upunguze matusi

    • @SimuliziBongo
      @SimuliziBongo 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Matusi ya nini sasa Kwani Sheikh Yahaya Alikuwa Mkristo?

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acha unafiki wewe umebadilisha dini mbona hujauwawa na kila.siku upo na waislamu mbona hawakuuwi

    • @SimuliziBongo
      @SimuliziBongo 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tumia akili yako vizuri. Amesema kama angekuwa katika nchi zinazoongozwa na Sharia za Kiislamu angeuwawa. Na sio nchi ambazo haziongozwi na sheria za kiislamu.