BIBLIA MSINGI WA KWELI MINISTRY
BIBLIA MSINGI WA KWELI MINISTRY
  • 103
  • 11 449
KISII DARAJA MBILI DAY 4...MANABII WA UONGO
This stream is created with #PRISMLiveStudio
มุมมอง: 35

วีดีโอ

KISII DARAJA MBILI DAY 4...WAGANGA KANISANIKISII DARAJA MBILI DAY 4...WAGANGA KANISANI
KISII DARAJA MBILI DAY 4...WAGANGA KANISANI
มุมมอง 3512 ชั่วโมงที่ผ่านมา
This stream is created with #PRISMLiveStudio
KISII DARAJA MBILI DAY 3...UNABIIKISII DARAJA MBILI DAY 3...UNABII
KISII DARAJA MBILI DAY 3...UNABII
มุมมอง 9919 ชั่วโมงที่ผ่านมา
This stream is created with #PRISMLiveStudio
KISII DARAJA MBILI DAY 3..TRINITYKISII DARAJA MBILI DAY 3..TRINITY
KISII DARAJA MBILI DAY 3..TRINITY
มุมมอง 4621 ชั่วโมงที่ผ่านมา
This stream is created with #PRISMLiveStudio
KISII DARAJA MBILI DAY 2KISII DARAJA MBILI DAY 2
KISII DARAJA MBILI DAY 2
มุมมอง 92วันที่ผ่านมา
This stream is created with #PRISMLiveStudio
KISII DARAJA MBILI DAY 2KISII DARAJA MBILI DAY 2
KISII DARAJA MBILI DAY 2
มุมมอง 402 วันที่ผ่านมา
KISII DARAJA MBILI DAY 1KISII DARAJA MBILI DAY 1
KISII DARAJA MBILI DAY 1
มุมมอง 732 วันที่ผ่านมา
Unabi wa Bibilia kwa REUBENUnabi wa Bibilia kwa REUBEN
Unabi wa Bibilia kwa REUBEN
มุมมอง 443 วันที่ผ่านมา
MASWALI NA MAJIBU KUHUSU NDOAMASWALI NA MAJIBU KUHUSU NDOA
MASWALI NA MAJIBU KUHUSU NDOA
มุมมอง 884 วันที่ผ่านมา
MASWALI NA MAJIBU KUHUSU NDOAMASWALI NA MAJIBU KUHUSU NDOA
MASWALI NA MAJIBU KUHUSU NDOA
มุมมอง 184 วันที่ผ่านมา
This stream is created with #PRISMLiveStudio
NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTENDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE
NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE
มุมมอง 724 วันที่ผ่านมา
This stream is created with #PRISMLiveStudio
SABATO TOWN CENTRESABATO TOWN CENTRE
SABATO TOWN CENTRE
มุมมอง 144 วันที่ผ่านมา
This stream is created with #PRISMLiveStudio
CHRISTMAS IS APPROACHINGCHRISTMAS IS APPROACHING
CHRISTMAS IS APPROACHING
มุมมอง 144 วันที่ผ่านมา
This stream is created with #PRISMLiveStudio
MASWALI NA MAJIBU YA KATI YA YESU NA MUHAMMADMASWALI NA MAJIBU YA KATI YA YESU NA MUHAMMAD
MASWALI NA MAJIBU YA KATI YA YESU NA MUHAMMAD
มุมมอง 244 วันที่ผ่านมา
This stream is created with #PRISMLiveStudio
KATI YA YESU NA MUHAMMAD NANI WA KUFUATAKATI YA YESU NA MUHAMMAD NANI WA KUFUATA
KATI YA YESU NA MUHAMMAD NANI WA KUFUATA
มุมมอง 444 วันที่ผ่านมา
This stream is created with #PRISMLiveStudio

ความคิดเห็น

  • @frankmugomba3484
    @frankmugomba3484 วันที่ผ่านมา

    Safi sana kazi njema

  • @BenedyWilibadi
    @BenedyWilibadi วันที่ผ่านมา

    Mmh!!!!

  • @otienobrian9738
    @otienobrian9738 2 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @MercylineGetuma
    @MercylineGetuma 2 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏

  • @MercylineGetuma
    @MercylineGetuma 2 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏

  • @MercylineGetuma
    @MercylineGetuma 2 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏

  • @kenkinyua143
    @kenkinyua143 3 วันที่ผ่านมา

    Tofauti ya hapa na pale kwa manyuuru ni Nini sasa... kwisha hawa

  • @thegospelmessage5039
    @thegospelmessage5039 4 วันที่ผ่านมา

    Amina

  • @dicksonkimanthi5242
    @dicksonkimanthi5242 5 วันที่ผ่านมา

    Wweeeeeehhhh shetani anaitisha moto kutoka mbinguni UFUNUO 13:13 .hii sasa ata ndio ilifanya nitoke uko kabisa baada ya kuamini ukweli

    • @PhilipobonifacSado
      @PhilipobonifacSado วันที่ผ่านมา

      Sisi atutaki kwayesu kwasabu ya Hawa wavaa sut

  • @thegospelmessage5039
    @thegospelmessage5039 5 วันที่ผ่านมา

    Confusion 😢

  • @Globaladventministries
    @Globaladventministries 5 วันที่ผ่านมา

    Whaaaaaat...GCSDA😢

  • @MichaelJeremia-f8d
    @MichaelJeremia-f8d 6 วันที่ผ่านมา

    Amina

  • @zakayomwalongo9330
    @zakayomwalongo9330 9 วันที่ผ่านมา

    Mwenyez Mungu mwenye upendo akukemee kwa upole na siku moja ukapone na kuubali UTATU MTAKATIFU na sote tukaokolewe

  • @paulwambua4956
    @paulwambua4956 11 วันที่ผ่านมา

    Amen Amen 🙏🏽 Let us be sober and vigilant. May God bless you 🙏🏽

  • @gitongatitus1553
    @gitongatitus1553 11 วันที่ผ่านมา

    Teachers, why can't you engage the purpose of Jesus Christ to humanities according to the book of John 17:2-3 and John 6:35-57. Instead of arguing between days that was in place since from the creation. And nothing could do concerning to give humanities life.

  • @nyandagijeesperence
    @nyandagijeesperence 12 วันที่ผ่านมา

    Powa sana

  • @OnesmoTembe
    @OnesmoTembe 17 วันที่ผ่านมา

    Amina, barikiwa rafiki.

  • @GeorgeMorara-e2l
    @GeorgeMorara-e2l 20 วันที่ผ่านมา

    Barikiwa mtumishi Jairus

  • @EmmanuelMeshack-o9m
    @EmmanuelMeshack-o9m 22 วันที่ผ่านมา

    Yuda 1 :4

  • @patrickmwaniki5172
    @patrickmwaniki5172 22 วันที่ผ่านมา

    Mungu ni mmoja ndio,lakini niko na swali,Mungu yupi aliyekufa,aliyeshuka kama dove na aliyeumba

  • @joshuakimanthi6930
    @joshuakimanthi6930 23 วันที่ผ่านมา

    Bro, the lost sheep is the Israelites. Read Matthew 15:24.....that's who Christ came to save.

  • @swafiirbulbul819
    @swafiirbulbul819 23 วันที่ผ่านมา

    Kuhusu YESU kuwa MWANA .. Tunafundishwa hivi; "Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa. Hakuzaa wala hakuzaliwa. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja." (Qur’an 112-1-4) Sifa ya Mungu ni KUUMBA .. Sio KUZAA .. 🎉 YESU Mwana wa MARIAMU alikuwa ni Mtume wa Mwenyezi Mungu

  • @swafiirbulbul819
    @swafiirbulbul819 23 วันที่ผ่านมา

    Mimi ni Muislamu ... 🎉 Utatu sio mafundisho. "Basi Muaminini Mwenyezi Mungu na Mitume wake. Wala msiseme: UTATU. Komeni! Itakuwa kheri kwenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mungu mmoja tu. (Qur’an 4:171)

    • @BMKMTV
      @BMKMTV 23 วันที่ผ่านมา

      @@swafiirbulbul819 quran 53:9

  • @SamweliFundimtega
    @SamweliFundimtega 24 วันที่ผ่านมา

    Pole mtumishi wa Mungu Bwana yu pamoja nawe.

  • @peterkailibi1278
    @peterkailibi1278 24 วันที่ผ่านมา

    Barikiwa mtumishi

  • @AlfredAlfred-yd2mg
    @AlfredAlfred-yd2mg 26 วันที่ผ่านมา

    Hiyo mama kichaa

  • @emmanuelpetertruegospelcha3331
    @emmanuelpetertruegospelcha3331 26 วันที่ผ่านมา

    Watajifunza kila siku wasiweze kuifikia ile kweli kwa kuwa midomo yao inakiri Mungu na mioyo yao ipo mbali na Mungu na upumbavu wao autaendelea sana

  • @schadracnsengiyumva6525
    @schadracnsengiyumva6525 หลายเดือนก่อน

    Sasa hao wazehe 24 wameumbwa na Mungu Kabla ya Adamu???

  • @Aggreymbugano
    @Aggreymbugano หลายเดือนก่อน

    KWANINI KITABU CHA HENOKO KILIFICHWA KISITUMIKE KWENYE INJILI? SABABU HIZI👇 NGOJA NIKUPE SIRI ZA UFUNUO WA HENOKO ILA IWE NI SIRI YAKO USIMWAMBIE MTU. Miongoni mwa watu walioweka historia kubwa kwenye biblia ukiacha Yesu,ni watatu (ingawa Ni wawili... ambao hawakuonja mauti bali walitwaliwa, yaani Eliya na Henoko) Musa nimemuweka kwa kuwa inaonekana alikufa Lakini hakuna anayejua na mwili wake ulikuja kuonekana mbele za Mungu ukigombaniwa na shetani na malaika. Sasa Musa tumesoma vitabu vyake vitano vinavyomhusu ingawa inaonekana ALIKUFA ila kaburi lake hakuna...anayejua ni Siri yao na Mungu na hakuna asiyefahamu habari zake ameandikwa sana kwenye vitabu vya wafalme lkn ajabu ni kwamba wajanja walizuia na kuondoa historia ya Henoko ambapo Kuna kitabu chake kinaitwa UFUNIO WA HENOKO , waliondoa Lakini Mimi nataka nikupe madini machache. Kinachochekesha Henoko tunaona habari zake kwenye Mwanzo 5:21-24 “Henoko akaishi miaka mia tatu sitini na mitano, akamzaa Methusela. Henoko akaenda pamoja na Mungu, baada ya kumzaa Methusela miaka mia tatu, akazaa wana waume na wake. Siku zote za Henoko ni miaka mia tatu na mi5..sitini na mitano. Henoko akaenda pamoja na Mungu, naye akatoweka, maana Mungu Alimtwaa” Halafu eti mtu aliyetembea na Mungu vizuri na akatwaliwa halafu asiwe na historia namna alivyokwenda na Mungu? Ukisoma Waraka wa Yuda 1:14-16 Ndio utaona Kulikuwa na kitabu cha Henoko na Yuda amesoma Sana hiki kitabu anaposema “Na Henoko mtu wa saba baada ya Adamu, aitoa maneno ya Unabii juu ya hao, akisema, angalia Bwana alikuja na watakatifu wake, maelfu, maelfu, ili afanye hukumu juu ya watu wote na kuwaadhibisha wote, wasiomcha Mungu, kwa ajili ya kazi zao zote za upotevu walizozitenda, bila kumcha Mungu, na kwa ajili ya maneno magumu yote, ambayo hao wenye dhambi, wasiomcha Mungu wameyanena juu yake. Watu hawa ni wenye kunung’unika wenye kulalamika, waendao kwa tama zao, na vinywa vyao vyanena maneno makuu mno ya kiburi, wakipendelea watu wenye cheo kwa ajili ya faida”. Hii inaonyesha kabisa mtume Yuda amenukuu maneno ya Henoko toka kwenye ufunuo wa henoko lkn wajanja wakautoa.....lkn subiri nikupe Siri Ufunuo wa Henoko Aliouona Alipo pelekwa Mbinguni Chini Ya Usimamizi Wa Malaika Uriel. Henoko alipokea maneno ya unabii kutoka mbinguni kwa Mungu Aliye Hai, na kufunuliwa kupitia usimamizi wa malaika mkalimani aitwaye; URIEL. Malaika Uriel ndiye aliyemtembeza Henoko katika ulimwengu wa roho, na kumtembeza mbinguni, kuzimu na maeneo yote ya ulimwengu wa roho..... na inaonyesha huyu ndiye malaika aliyemsimamia mtume Yohana katika ufunuo wake alioonyeshwa na Yesu. Henoko alienda na Mungu Aliye Hai, na kutumika katika matendo makuu sana miujiza na ajabu kuu sana. Alifunuliwa siri kuu sana za mbinguni. Lakini waandishi wa biblia, SEPTUAGINTA kutoka Ugiriki, chini ya usimamizi wa waamini wa hapo awali na Waprotestanti waliamua KUVIONDOA VITABU VINGI VYA BIBLIA NA KUKATAA VISIANDIKWE MAANA WALIONA aibu sana kutokana na MAMBO MACHAFU WALIYOYAFANYA MALAIKA WAASI KUTOKA MBINGUNI NA HENOKO ALIYAWEKA WAZI HAYO MAMBO MACHAFU Mwanzo 6:1-5. Ukisoma kitabu maalumu cha Henoko 7:1 pana siri nyingi sana alizofunuliwa na Mungu Aliye Hai chini ya usimamizi wa malaika URIEL, KAMA MALAIKA MKALIMANI yaani, anaye tafsiri na kufundisha; Ayubu 33:14-24, Waebrania 1:13-14. UFUNUO ALIOUONA HENOKO JUU YA MALAIKA WAITWAO; WANA WA MUNGU NA KAZI ZAO; 1. Henoko alifunuliwa kazi mbalimbali na utendaji wa aina hii ya malaika waitwao; Wana wa Mungu. 2. Malaika waitwao wana wa Mungu waliwafundisha wanadamu wakati huo namna ya kutengeneza silaha za aina mbalimbali.....silaha zote unazoziona duniani America,urusi,Korea,ktk falme za kiarabu, Israel, sio Mungu aliyewapa ujuzi wa kutengeneza Bali Ni hawa malaika waasi...... ndio maana leo Kuna watu mnadhani Wana akili kubwa sana lkn si akili ya MUNGU, Mungu ni wa mipaka alimpa mwanadamu mipaka. Ndio waliowafundisha wanadamu mapenzi ya jinsia moja,kulawitiana,kusagana… chanzo kikuu ni nchi za magharibi ambako Kuna mbegu nyingi Sana za malaika waasi. 3. Malaika Azazel, ambaye ndiye aliyekuwa kamanda mkuu wa kikosi hiki cha malaika waitwao; WANA WA MUNGU, kuwazuia malaika wenzake kutenda ushenzi na uchafu wa kutisha, kwa kufanya ngono na wanadamu, Mwanzo 6:1-7 na Dunia ikaharibika. Ndio maana kwa kuona aibu wataalamu na watafiti wa maandiko matakatifu (Biblia) waliamua Kitabu hiki kiondolewe kisiwekwe pamoja na vitabu vingine vya Biblia Takatifu. Uovu huu na uchafu huu uliendelea kwa siku kadhaa na kuharibu kusudi la Mungu Aliye Hai 4. Baadhi ya malaika waaminifu, katika kundi liitwalo WANA WA MUNGU, walirudi mbinguni na kumweleza Mungu juu ya uchafu wa ngono ulifanywa na malaika wenzao hapa Duniani.== ndipo wale malaika waharibifu walioasi na kufanya ngono na kuwaoa wanadamu, kinyume na sheria ya Mungu inavyowataka, walikamatwa na kufungwa ktk gereza kuu lililochini sana ya Dunia. Soma Yuda 1:6 ndie pekee aliyetoa hii siri maana alisoma Sana kitabu hiki cha henoko. Anasema Na malaika wasioilinda enzi yao wenyewe, lakini wakayaacha makao yao yaliyowahusu, amewaweka katika vifungo vya milele chini ya giza kwa hukumu ya siku ile kuu. 5. Malaika kiongozi wa wana wa Mungu, alienda mbinguni kumwomba Mungu BABA awasamehe wana wa Mungu (malaika walioasi), lakini Mungu Alikataa, maana mbingu zilipata aibu kubwa sana. Ndio maana wakati wa mtume Paulo, wamama waliambiwa wafunike vichwa kwa ajili ya malaika. Lengo ilikuwa ni kuwazuia malaika wasijaribiwe tena kwa kuwatamani wanawake na kuwaka tama. 1Kor 11:10 “ Kwahiyo imempasa mwanamke awe na dalili ya kumilikiwa kichwani, kwa ajili ya malaika, ukitazama katika biblia Takatifu, Nukuu ya 1Kor 11:10, inaelekeza ; Mwanzo 6:2, kama andiko ambatanishi na linalosindikiza habari hii. 6. Baada ya malaika waitwao wana wa Mungu kuzaa na wanadamu, walizaliwa wanadamu wenye urefu wa zaidi ya futi; 20, yaani Majitu== Mfano; wanefili, wana wa Anak, na Warefai. Mungu Alimweleza Henoko kwa kirefu sana juu ya gharika ya Nuru na jinsi itakavyokuwa. Henoko 7:1 7. Baadhi ya Wanefili walisalimika katika gharika ya Nuhu, ndio maana wakati wa kuiteka Yeriko wapelelezi wa Yoshua walileta taarifa ya wanefili (majitu) na jinsi wao walivyojiona kama panzi mbele yao. Wakati wa Daudi Aliinuka Goliathi moja ya majitu yanayotokana na ; Malaika waitwao wana wa Mungu Kuzaa na wanadamu, aliwatisha sana Waisrael, hadi alipouawa na Daudi Kwa Ajabu ya Mungu Kupitia jiwe. 8. Honoko alikuwa Nabii wa kiwango cha juu sana. Alifunuliwa ; siri za mbinguni, siri za malaika, siri za wanadamu na siri za shetani. Aliona maono mengi sana yaliwashangaza waumini wa kizazi cha awali. Baadhi ya waumini wa enzi hizo , walivutiwa sana na maneno aliyo yaona Henoko. Wakawa na hamu ya kujua zaidi. Japokuwa kitabu hiki kilizuiwa kisiwafikie watu ili kuficha ukweli na aibu ya kutisha ktk historia ya mbingu na ukristo, Waprotestanti wakakipiga marufuku kitabu hiki na vinginevyo vya Biblia Takatifu. Lakini hata sasa bado Kitabu cha Henoko kipo, kimetunzwa na kimehifadhiwa. Wanafunzi wa Biblia Wanaposoma na kufikia, kiwango cha juu hasa katika kujifunza kujua Asili na ufunuo wa mambo ya, Mungu Mtakatifu. MUNGU ANAMFUNULIA HENOKO MPANGO NA SIRI ZA SHETANI:= Shetani alitoka mbinguni baada ya kufukuzwa, aliposhindwa vita, lakini alikuwa akijua mipango mingi sana na siri nyingi sana za Mungu Akanza mkakati maalumu wa kuvurugua mipango ya Mungu. Shetani kwa kuwatumia malaika wenzake waitwao; wana wa Mungu, aliamua kuingilia mfumo wa damu za wanadamu kwa kuwashawishi malaika wafanye ngono na wanadamu. Maana alijua Yesu Kristo atazaliwa Duniani ili kuwakomboa wanadamu na dhambi zao. Shetani alijua malaika wakikutana kimwili na wanadamu itapelekea damu ya Yesu Kristo isiwe ya mwanadamu, bali ichanganyike na ile ya wanefili (majitu), Lakini shetani hakufanikiwa ktk mpango huu. Shetani alikuwa anaufahamu mpango wa Mungu Kumpa Ibrahimu nchi ya Kanaani, akaamua kuiwahi ardhi hii na kuwaweka wanefili..... wewe jiulize tu wanefili kwanini waliatamia sana Lakini nchi ya kanaani? Lakini hakufanikiwa katika hili. #Beneh_Elohim ni moja ya malaika kutoka kundi la wana wa Mungu ambao wamefungwa hivi sana akisubiri hukumu......kitabu hiki cha henoko kimeandika. #Erakieli ni moja ya malaika mwana wa Mungu aliyeasi ambae baada ya kuasi aliwafundisha wanadamu kufanya mazingaombwe... huyu ndiye chanzo cha elimu yote ya mazingaombwe hapa duniani ambapo hata makanisani imeingia na watumishi baadhi matapeli huzitumia kufanya miujiza, kuona matatizo ya watu Kama nanabii lkn Ni elimu ya Erakieli #Samiazaeli ni moja ya malaika viongozi ktk wana wa Mungu ambaye aliwafundisha wanadamu uharibifu na uovu wa kutisha. #Azazeli ni malaika kiongozi ktk wana wa Mungu na muasi aliyewafundisha wanadamu; mambo ya urembo,hizi make up zote za wanawake mwalimu wa hizo ni Azazeli.... ndiye aliwafundisha uchawi, silaha za kichawi, na kuwafundisha wanadamu kuwa wachawi na washirikina. Alishirikiana na Rafaimu na Zanzuimu, baadaye, walikamatwa na wamefungwa na Mungu ktk Gereza kuu chini ya Dunia. Jitahidi kunifuatilia au fuatilia ukipate hicho kitabu cha ufunuo wa henoko hutajuta kumfahamu kuhani.....japo ni gharama kubwa sana. IKUMBUKWE MUNGU HAKUMUUMBA MWANADAMU AWE MUASI

  • @dennisezakiel3380
    @dennisezakiel3380 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji nina swali je hao malimbuko walipaa kwenda Mbinguni au walivyofufuliwa alafu walikufa tena?

    • @BMKMTV
      @BMKMTV หลายเดือนก่อน

      @@dennisezakiel3380 Yesu akiwa ndiyo huo ufufuo, ina maana Walifufuliwa katika Kristo na hawezi kufa tena

  • @dennisezakiel3380
    @dennisezakiel3380 หลายเดือนก่อน

    Amina .nimekuelewa pr ,Mungu akubariki sana

  • @EkaiAdrian
    @EkaiAdrian หลายเดือนก่อน

    Barikiwa mtumishi

  • @kenkinyua143
    @kenkinyua143 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @NeemaMutawali-v1e
    @NeemaMutawali-v1e หลายเดือนก่อน

    Utatu umemharibu dada hata haelewi ila Mungu amsaidie.

    • @BMKMTV
      @BMKMTV หลายเดือนก่อน

      Kabisa

    • @PhilipobonifacSado
      @PhilipobonifacSado 12 วันที่ผ่านมา

      Mimi nilielewa kama yeye ila nimeelewa mapema

  • @josephomollo1451
    @josephomollo1451 หลายเดือนก่อน

    Utatu ni hatari, imechanganya wengi,

    • @BMKMTV
      @BMKMTV หลายเดือนก่อน

      Yeah

  • @LabanKebaso
    @LabanKebaso หลายเดือนก่อน

    God bless you mwalimu

  • @sirpleasureb
    @sirpleasureb 2 หลายเดือนก่อน

    CHUNGA ISIWE NI ILE MALALAMIKO ULILALAMIKA UNALIWA NA MBU UKIWA HUKO MERU NA KWAMBIA MUNGU HUTAHUBIRI TENA .ULITUBU,NYENYEKEA NA UACHE KIBURI..OMBA MSAMAHA

  • @josephomollo1451
    @josephomollo1451 2 หลายเดือนก่อน

    Pole sana watumishi,tunashukuru Mungu ni mwema mko wazima

    • @BMKMTV
      @BMKMTV 2 หลายเดือนก่อน

      @@josephomollo1451 Mungu atukuzwe

  • @MunaiStephen-j9p
    @MunaiStephen-j9p 2 หลายเดือนก่อน

    Happy day

  • @MunaiStephen-j9p
    @MunaiStephen-j9p 2 หลายเดือนก่อน

    Happy Sabbath mtumish huko ni wapi

  • @EliabuShima
    @EliabuShima 2 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa mtumishi mutsya

  • @paulwambua4956
    @paulwambua4956 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu Awalinde watumishi wa Mungu

    • @BMKMTV
      @BMKMTV 2 หลายเดือนก่อน

      @@paulwambua4956 Amina. Nawe pia

  • @furahag3098
    @furahag3098 2 หลายเดือนก่อน

    Amen watumishi wa mungu 🙏

  • @JIBAMBATV
    @JIBAMBATV 2 หลายเดือนก่อน

    From obinaa tv nipitie pia plz

  • @zuhraall02
    @zuhraall02 2 หลายเดือนก่อน

    Amina amina Barikiweni sana watumishi wa Bwana

  • @HappinessKwamboka-zw4cs
    @HappinessKwamboka-zw4cs 2 หลายเดือนก่อน

    Pitia pia

    • @BMKMTV
      @BMKMTV 2 หลายเดือนก่อน

      @@HappinessKwamboka-zw4cs tayari

  • @vivicakarry
    @vivicakarry 2 หลายเดือนก่อน

    Hello....from Obinna tv updates.... Nipitie pia

    • @BMKMTV
      @BMKMTV 2 หลายเดือนก่อน

      @@vivicakarry tayari

    • @BMKMTV
      @BMKMTV 2 หลายเดือนก่อน

      @@vivicakarry tayari

  • @yusuphsendeu1173
    @yusuphsendeu1173 2 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi vi

  • @paulwambua4956
    @paulwambua4956 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa kumwamini Mwana wa Mungu tunapata uzima

  • @OLUNGAJOSHMAH
    @OLUNGAJOSHMAH 2 หลายเดือนก่อน

    Wamezoea kubana wasio na Neno leo kwao chuma Hapo