Baba kiujumla Mungu amekubaliki sana. Mana Kila ninaposikiliza nyimbo zako zinanibariki, hadimimi natamani kuwa kuimba Kama wewe, Bwana YESU akuzidishie uzima. Ila naomba usinisahau kuniweka kwenye maombi yako baba. Kwa majina naitwa NSAJIGWA Haude . Hakika naamini katika YESU ni Kila kitu.
Una nibariki ndungu sana MUNGU akwinuwe sana
I like everything in this song, both message and dance. Thanks for the soul talking number.
Baba kiujumla Mungu amekubaliki sana. Mana Kila ninaposikiliza nyimbo zako zinanibariki, hadimimi natamani kuwa kuimba Kama wewe, Bwana YESU akuzidishie uzima. Ila naomba usinisahau kuniweka kwenye maombi yako baba. Kwa majina naitwa NSAJIGWA Haude . Hakika naamini katika YESU ni Kila kitu.
Ubarkiwe baba
Amina ahsante mtumishi kwa ujumbe mzuri
Mungu ajiinue kwenye huduma yako
Tutaishi na yesu ubarikiwe pastor
Nabarikiwa sana na ndugu huyu
Mungu akubariki sana hongera kwa wimbo huu mzuri mtumishi wa Mungu.
Wonderful song
Barikiwa mtumishi wa MUNGU
Kumwetu kumbeye Barkiwa mtumshi
Kazi nzuri sana... nimebarikiwa sana
Be blessed more
I lve this song so much
Thanks