Watanzania sio kila jambo la serikali nibaya wazili mkuu kazungumza achunguzwe sio kwania mbaya wapo watu kwenyematatizo upatia njia ya kujinufaisha wao kwa kudai anachangisha kwa sababu ya tatizo kwahiyo kama Hana kibali nisahihi achunguzwe hera hizo anazo changisha ni kweli zinaenda kwenye hilo janga sio kila kitu nikuipinga serikali tue na hakili
Kulihitajika hekma kuonana na Niffah sio kutumia kamand na nguvu kwajili ya mwananchi Niffah amejitolea kwajili ya Jamii wangapi wanajitolea hakupaswa kutumia nguvu kwajili ya Niffah kujitolea kwa jamii kuna mambo mengi sana yanachangishwa na yanatekelezeka na wala husikii kiongozi kutumia nguvu kwajili ya mtu kujitolea kwenye Jamii... tunahitaji hekma sio nguvu za police juzi jamaa alitaka kutekwa walitowa kauli za nguvu...? Walikaa kimyaa ifike muda tuwe wastarabu katika masuala ya kijamii..👊 tushirikiane kwa moyo mmoja tutimize malengo sio kutumia nguvu kwa wanachi... thanks
Kwanza anachangisha za nini na raisi kasema serikali inahudumia majeruhi wote na mazishi ni juu ya serikali. Maziwa kanunua ya kunywa nani? Kwanini asichangie kuokoa watu yeye anachangisha pesa, kamata mwiziiii🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Mtazamo wangu. Watanzania mnapendaga kauli ile ya kufa kuufaana ndo hiii anayofanya huyu bint. Ombi langutu kama pesa amekusanya kwelii azipeleke kwa waziri mkuu nae atafanya utalatibu wakuzifikisha na sivinginevyo
Uyu dem kosa lake ni Moja tu.. kuchangisha bila ruhusa ila kama nia yamichango alokusanya ilikua nikwenda kusaidia basi apewe nafasi yakurudi nyumbani... Kwasababu sio mara yakwanza watu wanachangisha michango nainafika sehem husika
Tumekosa viongozi kweli ni mara ngapi watu wanachangishwa na zinafika kwa walengwa mtu anakuwa na nia nzuri baadae inakuwa kinyume misiba Singapi watu wanachangisha au hili tu limepangiwa sheria...🫢😳
Kutuma kwenye namba binafsi ni vigumu kujua hiyo pesa kiasi gani imechangwa lakini pia huwezi kuhakiki kama kweli amepeleka zote. Kuna wengine wanatumia kujinufaisha wao binafsi. Kaitwa tu serikali ithibitishe pesa aliyopata wala hakuna ishu sana
Nahisi kwanza ungejifunza kiswahili kwanza kabla hujajibu watu. Serikali ni wananchi na Niffah nimmoja wa wananchi tena mzalendo wangapi wameshindwa kujitolea kama alivyofanya yeye mtu mpaka anatowa idadi kiasi gani kipo bado ndio utapeli tu 😢 Au mnangalia Nani kafanya...
Miaka 2005 nilikua naishi Arusha,wao wanautaratibu mtu akifa kama hakuna uwezo mfiwa anaenda kwa mtendaji cha kuomba kibali cha kuchangisha,sijui utaratibu aliotumia huyu muungwana
Serikali wala wasimufikirie mwanaichi yeyote kwasababu ni makosa Yao KUWA ruhusu watu kujenga hovyo, AFRIKA viongozi wetu munafeli wapi kwanini wachangishe.... Kwani MUAMMAR GADDAF, THOMAS SANKARA walimuchangisha Nani mbona AIBU 😢😢😢😢 MUACHENI UYO NIFFER NA WENGINEO TAFADHALI 🌍🌍🌍🌍🌍🌍✊✊💪💪
Kam ni kwel akamatw mtu anasem eti mbon matukio yakitukiy wanachangish toka maafa yametokea mmemuon amefik kariakoo hap akamatw asem hiz hela kazipelek wap
Watu tuache kukurupuka,hata makanisani kuna utaratibu wa kutoa msaada.Mtu huamki tu na kusema napeleka kitu flnai sehem flani.Mwisho wa siku mkumbuke lazima kila kitu kiwe na "Accountability" hata kama ni msaada
Misiba yoteee unafaanyaga..hivyo au huu tuu mambo mengne muwe mnaacha ..serikal mbona lnasaidia sanaa mara. nying.. mm naona matatizo kama haya serikal lnachukua jukumu..Hilo
Huenda nia yake ni njema ila sasa huu umaarufu una levya watu kazi c yako kimbele fronti chanini na hujatumwa!! Sio msiba wa mtu binafsi bali ni wa Taifa sasa wew unajiweka taji la nini ama ndo ili upate kjulikana sn😂!?? shughuli isiyo kuhusu aya sasa apambane na hali yake😂😂😂
UONEVU TU wangapi washafanya haya na hawakamatwi, na wenye majina wengi washafanya utumbo mwingi tu. Ni kiasi cha kusema wanaochangisha waache na waliokwishatuma warudishiwe pesa zao account rasmi ya serikali ni ......... sasa mbona Diva hakamatwi
Kajichanganya ......... hapo serikali ita freeze all her accounts, ata takiwa a verify every shilling aliyokua nayo kaipataje, hapo ndio nyeupe na nyeusi vitagawana. Maybe she meant well ila asingetumia personal accounts
Jana nilisema baada ya kumsikia dada 1 akiwapongeza wanaume waliojitolea kuwaokoa manusura kwa kuwananga wanawake wenzie kwa kujinacbu wako sawa na wanaume, nikasema kwa Janga hili tutankhamen mengi ya hongera na watakaofaidika kupitia hili ona sasa Yamemfika Nifer tena ni wale wale wanaojumuika kwenye mambo yao tu, wakidai wao ni watu maarufu watasapotiana wao kwa wao😂😂😂😂😂 ilooooo bhaaa yaninkoja boo!😢😢😢
Ndugu Hilo ni janga la kitaifa kwa hio lipo kiserikali zaidi.. Wazirimkuu yupo sahihi kabisa watu wamekuwa matapeli au kama alikuwa na Nia njema basi hakufuata taratibu.. ameingilia msiba wa Taifa.
Minilisema jana dada punguza kieherehere jambo liko kwenye mikono ya sirikali kama unauwezo saidia ww kivyoko usichagishe watu wakitaka watasaidia kivyao
Yaani serikali ingefatilia pesa za serikali hivi tungefika mbali lkn hapo wenyewe wanazitamani saaana 😂😂😂😂Niffer tupo na wewe
Kama lengo ilikua kusaidia mungu atasimama na wew
Mungu yupo pamoja na wewe dada yangu niffer
Mungu akutete mdogo wangu najua ulikuwa unafanya kwa nia njema kabisa na naamini utahojiwa na watakuelewa tu.
Aliomba Kibal? Ataachiwa coz watu maarufu nchi hii hupewa kipaumbele tofauti na wale maskini wanaojitolea kuokoa manusura
Hamna shida kafanya jambo flan la kishujaa sana
Mungu akusimamie niffer family tupo nyuma yko
Kwann asumamie kwenye simu yake 😅mwizi huyo
Kunamuda wema unaponza 💔
Watanzania sio kila jambo la serikali nibaya wazili mkuu kazungumza achunguzwe sio kwania mbaya wapo watu kwenyematatizo upatia njia ya kujinufaisha wao kwa kudai anachangisha kwa sababu ya tatizo kwahiyo kama Hana kibali nisahihi achunguzwe hera hizo anazo changisha ni kweli zinaenda kwenye hilo janga sio kila kitu nikuipinga serikali tue na hakili
Kulihitajika hekma kuonana na Niffah sio kutumia kamand na nguvu kwajili ya mwananchi Niffah amejitolea kwajili ya Jamii wangapi wanajitolea hakupaswa kutumia nguvu kwajili ya Niffah kujitolea kwa jamii kuna mambo mengi sana yanachangishwa na yanatekelezeka na wala husikii kiongozi kutumia nguvu kwajili ya mtu kujitolea kwenye Jamii... tunahitaji hekma sio nguvu za police juzi jamaa alitaka kutekwa walitowa kauli za nguvu...? Walikaa kimyaa ifike muda tuwe wastarabu katika masuala ya kijamii..👊 tushirikiane kwa moyo mmoja tutimize malengo sio kutumia nguvu kwa wanachi... thanks
Kwanza anachangisha za nini na raisi kasema serikali inahudumia majeruhi wote na mazishi ni juu ya serikali. Maziwa kanunua ya kunywa nani? Kwanini asichangie kuokoa watu yeye anachangisha pesa, kamata mwiziiii🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Mtazamo wangu. Watanzania mnapendaga kauli ile ya kufa kuufaana ndo hiii anayofanya huyu bint. Ombi langutu kama pesa amekusanya kwelii azipeleke kwa waziri mkuu nae atafanya utalatibu wakuzifikisha na sivinginevyo
Noma sana
Aaah jamn nifa hakufanya kwa ubaya alijitolea kwaajili ya wanafabiashara mwenzie.
Uyu dem kosa lake ni Moja tu.. kuchangisha bila ruhusa ila kama nia yamichango alokusanya ilikua nikwenda kusaidia basi apewe nafasi yakurudi nyumbani... Kwasababu sio mara yakwanza watu wanachangisha michango nainafika sehem husika
Iko wazi huo ni utapeli
Tumekosa viongozi kweli ni mara ngapi watu wanachangishwa na zinafika kwa walengwa mtu anakuwa na nia nzuri baadae inakuwa kinyume misiba Singapi watu wanachangisha au hili tu limepangiwa sheria...🫢😳
Kila kitu kinaitaji Sheria ww sio kila kitu unalaum selekal tumia hakili kama anawateperi utajuaje ndiomaana anaitwa polis wakamhoji
Kutuma kwenye namba binafsi ni vigumu kujua hiyo pesa kiasi gani imechangwa lakini pia huwezi kuhakiki kama kweli amepeleka zote. Kuna wengine wanatumia kujinufaisha wao binafsi. Kaitwa tu serikali ithibitishe pesa aliyopata wala hakuna ishu sana
TANZANIA🙌
Watanzania wamezoea kuibiwa na nifa kulasiku 😅😅
Nahisi kwanza ungejifunza kiswahili kwanza kabla hujajibu watu. Serikali ni wananchi na Niffah nimmoja wa wananchi tena mzalendo wangapi wameshindwa kujitolea kama alivyofanya yeye mtu mpaka anatowa idadi kiasi gani kipo bado ndio utapeli tu 😢
Au mnangalia Nani kafanya...
Watu wanaongea kimapenz hawajui Sheria , sawa na Yule msukuma alikuwa anachangisha mtaji kwenye magroup
Huyo dada mshenz sana ana kusanya vipi ela bila ruhusa
MANGE KIMAMBI KASEM kitambo uyu Niffe nitapeli😂😂😂😂
Sio tapeli jamn kafanya Kwa moyo wake tu tuache lawama
@@Sharifa_Fashion_21mmh kwenye pesa hakuna moyo wa ivo dear hasa zikianza kusoma milioni na yeye ana madeni adi ukuchani, Nope
Siyo moyo mbn serikali imetoa namba ya kuchangia kama mwanzo walitapeli hili jambo la serkali ninamuusu nn??
Doooh masikin hii ni aibu ata siku ingine hatowez tokea m2 na akafanya jambo la kishujaa km hili 😢😢😢
Bora waonywe Shenzi zao, wanajifanya maarufu wenye huruma matapeli wa mjn😂😂😂😂😂
Yan dada wawatu anajitoa sana
Miaka 2005 nilikua naishi Arusha,wao wanautaratibu mtu akifa kama hakuna uwezo mfiwa anaenda kwa mtendaji cha kuomba kibali cha kuchangisha,sijui utaratibu aliotumia huyu muungwana
@@Sharifa_Fashion_21kajitoa wapi😂ndo maana waafrika tunaonekana wapumbavu kisa watu flani ivi
Kwann aweke kwenye simu yake kama sio wizi
Mtihani
Wekwe ndan kwanza il ajfunzeeee
Na pia watz wanapenda kutapeliwa
Mwiziiiii huyuuuu dada
Wanaomtetea nifa wote matapeli, wahuni nyie unaanzaje kuchangisha bila utaratibu
Kwyo serikali inamchukulia niffer ni mwizi au kama wale tuma kwa namba hii au me sjaelewa🤔
Kama lengo nikusaidia hanakosa. Serikali ichukuetu hizo hela alizo changisha
Mhh mwisho wa siku serikali mtaachiwa wenyewe kila kitu maana watu watakachofanya ni wizi ila nyinyi kuiba sio wizi
Kafanya jambo la kishujaa kabisa naomba pia wale waliowateka watu wakamatwe
Kazii nzuli😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉uchawa
Pesazilizochangishwazirudishwe
Safi sana
Sio kumhoji atoe na hizo pesa pumbavu sana mwizi mkubwa
Pia diva jamani
Serikali wala wasimufikirie mwanaichi yeyote kwasababu ni makosa Yao KUWA ruhusu watu kujenga hovyo, AFRIKA viongozi wetu munafeli wapi kwanini wachangishe.... Kwani MUAMMAR GADDAF, THOMAS SANKARA walimuchangisha Nani mbona AIBU 😢😢😢😢 MUACHENI UYO NIFFER NA WENGINEO TAFADHALI 🌍🌍🌍🌍🌍🌍✊✊💪💪
Kam ni kwel akamatw mtu anasem eti mbon matukio yakitukiy wanachangish toka maafa yametokea mmemuon amefik kariakoo hap akamatw asem hiz hela kazipelek wap
Watu tuache kukurupuka,hata makanisani kuna utaratibu wa kutoa msaada.Mtu huamki tu na kusema napeleka kitu flnai sehem flani.Mwisho wa siku mkumbuke lazima kila kitu kiwe na "Accountability" hata kama ni msaada
Fursa imegoma hyo, pole
Kilanga komo Hahaha social media zinatuharibu Sana safi wazir mkuuu
😅😅😅😅😅
mh nchii hii sio poa
Watu warudishwe pesa zao
Misiba yoteee unafaanyaga..hivyo au huu tuu mambo mengne muwe mnaacha ..serikal mbona lnasaidia sanaa mara. nying..
mm naona matatizo kama haya serikal lnachukua jukumu..Hilo
Kimemlamba duh
Matatizo hayo jmn na hizo pesa basi serikal ichukue ifanyie jambo ktk matatizo hayo kama kweli alikuwa na nia nzur naiman zitaenda kwa walengwa.
Nhtr
🙏
AKOME
Very sad why she did that? What a shame 😂😂😂😂
Sasa alikuwa anachangisha bila kushirikisha serekali mmmmh mdomo koma
Huenda nia yake ni njema ila sasa huu umaarufu una levya watu kazi c yako kimbele fronti chanini na hujatumwa!! Sio msiba wa mtu binafsi bali ni wa Taifa sasa wew unajiweka taji la nini ama ndo ili upate kjulikana sn😂!?? shughuli isiyo kuhusu aya sasa apambane na hali yake😂😂😂
Nifa anakuwaga na kimbelembele Sana huyu Binti 😊
Kixhefu xhefu umempa kauli mage 😂😂😂
UONEVU TU wangapi washafanya haya na hawakamatwi, na wenye majina wengi washafanya utumbo mwingi tu. Ni kiasi cha kusema wanaochangisha waache na waliokwishatuma warudishiwe pesa zao account rasmi ya serikali ni ......... sasa mbona Diva hakamatwi
Uonevu vipi alitumwa? 😊😅
Hapo ndo mtaelewa umuhimu wa elimu
Duuu
Duuuuh sio poa🤔
Kajichanganya ......... hapo serikali ita freeze all her accounts, ata takiwa a verify every shilling aliyokua nayo kaipataje, hapo ndio nyeupe na nyeusi vitagawana.
Maybe she meant well ila asingetumia personal accounts
angetumia nn
@paullukanga-xn8pr Angeshirikiana na serikali kufungua special account sio kuomba watu wamuwekee pesa kwenye akaunti binafsi
Comments zote humu zinaonyesha watanzania tuna shida sehemu !mtu anakusanya hela bila kibari? Usalama wa hela hizo ukoje?
Safi kabisa tapeli uyo
Sasa ww dada kwel hatahuogopi? Maskini naulivyo mzuri bc
Tatizo elimu, hapo na kukurupuka
Duh😂😂😂😂😂hii nchi unaweza jiona unafanya jambo sahihi lkn serikal itakavyokushurutisha mwisho wa cku unakuwa na roho mbaya sababu ni wao
Jambo sahii.serikali toka lini inataka michango.huyo binti nitapeli.watanzania wacheni ujinga.kesho akinunia gari utataka kuuliza pesa katoa wapi?.ushasaau kama ulimchangia
Huyu muongo hela asingepeleka zote ni mpigaji usiilaumu serikali
Huyu mwinzi tuu hana lolote halitumwa anasema kanunua maziwa hayo maziwa kapeleka wapi
Niffer tapeli mukubwa.....Safi Saana Waziri Mkuu akamatwe kabisa.
Jana nilisema baada ya kumsikia dada 1 akiwapongeza wanaume waliojitolea kuwaokoa manusura kwa kuwananga wanawake wenzie kwa kujinacbu wako sawa na wanaume, nikasema kwa Janga hili tutankhamen mengi ya hongera na watakaofaidika kupitia hili ona sasa Yamemfika Nifer tena ni wale wale wanaojumuika kwenye mambo yao tu, wakidai wao ni watu maarufu watasapotiana wao kwa wao😂😂😂😂😂 ilooooo bhaaa yaninkoja boo!😢😢😢
ALIKUWA ANAKUSANYA PESA ALIPE DENI LAKE LA ML.60 ANALODAIWA NA WATEJA WAKE HUYO😂😂😂
Iiih kumbe 😢😢😢
Kumeanza kuchangamka sasa
WAHENGA WAMESEMA WEMA UNAZAA ZAMBI
Ndugu Hilo ni janga la kitaifa kwa hio lipo kiserikali zaidi.. Wazirimkuu yupo sahihi kabisa watu wamekuwa matapeli au kama alikuwa na Nia njema basi hakufuata taratibu.. ameingilia msiba wa Taifa.
Achen kukuza mambo mtu c anatoa kwa anavotaka
Acha akamatwe hatutaki wizi kwnye majonzi
Nn mbayaa
Kutwa kufungua maduka kumbe pesa za utapeli
Minilisema jana dada punguza kieherehere jambo liko kwenye mikono ya sirikali kama unauwezo saidia ww kivyoko usichagishe watu wakitaka watasaidia kivyao
Wema umemponza
Anatafuta Umaarufu Kwenye Msiba, Kumbe Hilo duka na iso Ranger ni pesa ya Utapeli!!
😂😂😂 niffer
.