EXCLUSIVE NA MREMBO ANAE TIKISA TIKTOK, YAJUE MAISHA YAKE ALLEYTA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.พ. 2023

ความคิดเห็น • 204

  • @tanzaniaprank2623
    @tanzaniaprank2623 ปีที่แล้ว +83

    Kama unamkubali dada huyu Gonga like hapa

  • @shafiamustafa7856
    @shafiamustafa7856 ปีที่แล้ว +15

    Kuna watu mna makasiriko jamani huyu dada ni mzuri sana

  • @queendidah8188
    @queendidah8188 ปีที่แล้ว +16

    Acheni wivu bhna uyu dada mzuri mbona alaf kama ni mzuri ni mzuri tu filter haiwez kukubadilisha kitu kama ni sura yake ipo na uziri bdo upo ko kama mtu ni mrembo utabaki kuwa mzuri tu hata utumie filter ☺️

  • @alphamenson3784
    @alphamenson3784 ปีที่แล้ว +2

    Manzi frani hustler sana tangia kitambo na yuko proud kuwa yeye.

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 ปีที่แล้ว +4

    Dada mtangazaji nakupenda maashalla unajielewa

  • @fattybeniozo488
    @fattybeniozo488 ปีที่แล้ว +2

    Nampenda uyu sister 🥰😘♥️♥️

  • @alfredkasololo5242
    @alfredkasololo5242 ปีที่แล้ว +10

    Kweli dada huyu ni murembo sana. Namupenda💟🇨🇩. Nilikuwa na mupenzi wangu Rehema, "munyakyusa" mwaka 1984, pale Dar-Es-Salam. Alikuwa anatumika ku waziri ya mambo ya dani. Napenda sana wa dada wa Tanzanie. Wenu kutoka Congo-Kinshasa🙏🇨🇩💟

  • @butoyisonga900
    @butoyisonga900 ปีที่แล้ว +5

    mzuri sanaa

  • @aureliana569
    @aureliana569 ปีที่แล้ว +3

    Watu mnasem mbay kwani amjua tiktok watu wengi wana tumia filter jaman 😂😂😂😂😂 c bora dad kuna wale wegin tiktok weupeee sas kutan nao kam wamepigwa na 💣 kule wapo softy njo uwaon sura michunusi kam yote pamoj na kutumia filter dad wawatu anahuzuri wake

  • @maryamhaji9655
    @maryamhaji9655 ปีที่แล้ว +3

    maashallah ni karembo

  • @mukeshimanarashide4714
    @mukeshimanarashide4714 ปีที่แล้ว +2

    Murembo kwakweli🥰🥰

  • @salhamrishoi4943
    @salhamrishoi4943 ปีที่แล้ว +5

    Cream mbaya jamanini

  • @ntakirutimanasidra1637
    @ntakirutimanasidra1637 ปีที่แล้ว +2

    Nimzuri sna sna ❤❤❤❤😊😊😊

  • @yeronimohadrian520
    @yeronimohadrian520 ปีที่แล้ว +2

    Vp apo mbna filter haija take place😂😂 ...!! Anae muhoj ni bonge la black beauty 😍😍...!! Ila girls muda wanakuag wanaji selfie na filter ndio wanafkiriaga wako hivo 😂😂...!!

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 ปีที่แล้ว +6

    Mzuri dada wa watu Masikini comments za binAdamu nyei

  • @mwakamlindwa366
    @mwakamlindwa366 ปีที่แล้ว

    Ameongea fact hawajubali kwamba hawana kitu love u more

  • @zuberiismail2972
    @zuberiismail2972 ปีที่แล้ว +5

    Mtangazaji nakukubaligi huwa unaakili Sana mshkaj

  • @filidamshani6411
    @filidamshani6411 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe mndali mwenzangu ♥️♥️

  • @benjaminkangolo2017
    @benjaminkangolo2017 ปีที่แล้ว +6

    Mtangazaji you have nice voice 👍

  • @hellenbenny8913
    @hellenbenny8913 ปีที่แล้ว

    Sema tu nampenda