Proverbs 29:2 wenye haki wakiwa kw mamlaka Watu hufuraiii zaidi bali mtu muovu atawalapo watu wanahumia * Luke 3:14, Askari Nayo wakamhukiza sisi nasi tufanye Ninii Akawambia Msithulumu Mtu awe yeyotee wala kumshataki kw uwongoo na mutozelewe na msahara Kenya ipo Mahali papayaaa
It's like draining a lake. Hii campsite ni over 100ft deep na Iko so wide. Maloli zimeishi kumwaga taka taka hapa for some years na ata haijafika quarter full. Hii maji unaona hapo ni deep sana
Bona hii serikali ya ruto dio iko na vituko
Ingewezekana kudrain maji maybe more bodies ziko chini it could be easier
Aki the government could just help the people to remove water
My thinking is under that water we may found many bodies
Proverbs 29:2 wenye haki wakiwa kw mamlaka Watu hufuraiii zaidi bali mtu muovu atawalapo watu wanahumia
* Luke 3:14, Askari Nayo wakamhukiza sisi nasi tufanye Ninii Akawambia Msithulumu Mtu awe yeyotee wala kumshataki kw uwongoo na mutozelewe na msahara
Kenya ipo Mahali papayaaa
Government has no crains surely
Wat are crains 😂
Like akuna vile wanaeza toa hii maji na taka , do ikue rahisi kupata bodies 😢
Wachangishe pesa ya pumps na pipes or can somebody donate.......@Sakaja?
It's like draining a lake. Hii campsite ni over 100ft deep na Iko so wide. Maloli zimeishi kumwaga taka taka hapa for some years na ata haijafika quarter full. Hii maji unaona hapo ni deep sana
Ila kenya wachafu khaaa😢
hilo shimo liko deep na pana sana, ile maji iko humo acha tu ile green unaona covering ni kwekwe tu but chini ni bahari
Its like a dam maji inatoka kutoka chini.hata wakiweka bomba bado yatoka kwa chini hapa nimkono wa bahari