Nimependa sana rafiki yake kibendu kumshaurii vzur sana kibendu kuwa mungu ndo kila kitu na sio waganga wenye wanaamin mung ndo kila kitu tujuwane hap🎉🎉❤❤❤
Maskini Cady Sasa utajua mama ni wamaana sana 😂😂😂😂 Sania na yy woiiiie woiiiiiie Jamani hii movie imetufuza mengi kwakweli guys naomba like Leo ata Tano ❤❤❤
Hahahaha😂😂😂 mjomba wake keina amenifurahisha sana Leo, na Sania Bora aende Kwa mganga ngonde wakalee mimba aloooooh😂😂😂 movie inazid kunoga ,huku candy ndo kimesha mramba radhi ya mama mbaya sana jmn😢😢 tuwapende sana wazazi wetu
Candy kweli kipande chako ni kigumu ila unakitendea haki uko vizuri kipaji unacho dada chukua mauwa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤Sania nae umeweza hati ngonde umemuitaje vile Maan sikuskia vizuri 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Safi sana Sania weh kubaliana nababa kijacho wako ishi nae mlee kijacho wenu mana wanasemaga kila lenye mwanzo halikosi mwisho bola yako wewe umeishia vzr kuliko bff wako Candy 🐶😁😀😂kinamlamba akuna kama mama
Chiko kila plani zakoo utafeli tu . Usipoteze muda . Nendeni mkaowe wanawake wapo wengi tu . Mwache Tasha na zatiti . Nendeni katafteni vyenu na hao majambazi wenu .
Candy kaa ukijua Mama ni Mungu wa pili,hata iweje Wazazi niwatu wakuheshimu saan,ceza navingine ila sio Wazazi,acha sas uvune ulichokipanda,yni ulijifanya huna Heshima unamjibu utakavyo,ukasema unatak afe sio Mama yko leo hii unatak kuyaona sas,Dunia utaiona chungu
Busati TV uku tunapoelekea sasa ni kufurahishana😂sasa itakua vzr maana kuna baadh ya siku tunaamka na mood mbaya japo kdg mutuchangamshe uyu candy mpeni bangi bcy😅 Mwazani kaja kumkaba ??! Aw Sion uzuri Mie eeeeh jmny mateso kwa candy ndo nafurahi maana candy anavituko atary😂 ila mzimu unakaba so masihara me najua ukifa unakua huna nguvu😊 ila mama ake candy inaonesha kashiba kbla ya kufa😂ndo Kwanza ana siku moja tayari amesharud kwake amekuja kuiona familia yake😅
Kazi ipo nasio kidog ongera sana wanao mkubali weka alam ya upendo na sapoti zenu muimu sna 🎉🎉🎉🎉
pamoja kijana upo poa
Vizuri sana ninawapenda sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Upendo WA afya ❤❤❤❤❤
😊😊❤❤❤
Kwan radhi ya mama ndio ipo hvo😢😢
Nimependa sana rafiki yake kibendu kumshaurii vzur sana kibendu kuwa mungu ndo kila kitu na sio waganga wenye wanaamin mung ndo kila kitu tujuwane hap🎉🎉❤❤❤
du kendi karudi kwa mganga
Wanao Amin kuwa chiko kila anacho kipang kitafeli tujuane
Kwkwel hii tuiite mission impossible badala ya house girl😂
@@ZaynabAlly-n8d umeona eeh
@@ZaynabAlly-n8dfanya uedit,
Mimi hapa .
😂😂😂😂😂
Kma unakubali candy laana ishanza kumla tujuane jaman 🇴🇲🇹🇿😂na kma unakuliana kua kilmba atamuowa somoe tujuane pia 😂
Uhakika
Radhi za mama ni muhimu sana katika maisha yetu jama tumejifunza kitu kupitia busati tv
Naomba mujifunze hapa kwa canday laana ipo jmn tuwaeshimu sana wazazi wetu 😢😢😮😮
Tuwaeshimi sana wazazi wetu kwa kwel mungu tupe mwisho mwema ii muvi inafundisha kweli ❤❤❤naitaji lake zangu
ILA CANDY UNAJUA MBWAA WEW MPAKA UNAKELA BWNA😂😂UNAJUA UNAJUA Na unajua tena❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
😂😂😂
Sana kabisa anajuwa 😊
@@PatriciaTennyAnajuwa hadi raha kila part yuwaitendea haki MashaAllah more love❤❤❤254🎉🎉🎉
@@MwanamkasiBakari-pb2gw hakika anajua mpaka anakelaa😂
Walio furahia kumuona cendy kwenye halii kama aliyo wahi kumfanyia da zuuuhuuuu gonga🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉like apa
Wee acatu hapa nimefurahi yangu yote 😂
Malopo ni hapa hapa chini ya jua
Mungu halali
Jamani twende turudi kendi anajuwa kuigiza 🎉🎉🎉
Sanaaaaa anajua
Sanaaaaa😂😂
Anajua mambo kweli
Kend zaitii tasha mama tasha sania wanajua sana
Wallah anajuwa
Ila cendy we nihatar sn like za candy jmn kauwa mpaka kauwa tena🎉🎉🎉mauwa yake jmn🎉sania kwa ngonde😂😂mbio za ukingon zimeishia sakafun😂
Nimewai leo ila candy jamani kimemramba😢😢, naomba like ata kumi sijawai pata toka nianze
Chiziiiii
😢
amekuwa chizii
Bado hakijamramba😢😢
Candy ameact poa
Candy unajua unajua Tena unajua sanaa chukua maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Saniaaa daah umeludi kwa baba Asante sana mgalmw wangu ebu weka like kwa Sania jaman😅😅😅😅😅😅😅
Nimecheka kama mazuri Sania karudi Kwa baba chaja😅😅😅
Candy hongera sana unajua kuigiza mauwa Yako 🌹🌹💐🌹🌹🌹🌹💐❤️❤️❤️❤️❤️💋💋♥️♥️💯💯💯
Maskini Cady Sasa utajua mama ni wamaana sana 😂😂😂😂 Sania na yy woiiiie woiiiiiie Jamani hii movie imetufuza mengi kwakweli guys naomba like Leo ata Tano ❤❤❤
Mrs ngonde
@@ahadimtawa5352 👍🏾
Sania anakishepu kizur na kamwli chake ❤
Waooo nimewahi jamani wa 1 nimeigoja mpaka basi jamani kwa walio goja kama me kuacha kulala tukigoja house girl tujuane kwa like tukisonga mbele❤❤❤
Candy kimekulamba hicho,jamani tuwaheshime wazazi wetu ,love mama❤❤❤❤
Kutoka Kenya 🇰🇪 halafu Sania ameamua kubeleka mimba kwa baba Kirikuu 😂😂😂team Mr Tasha tujuane
Hahahaha😂😂😂 mjomba wake keina amenifurahisha sana Leo, na Sania Bora aende Kwa mganga ngonde wakalee mimba aloooooh😂😂😂 movie inazid kunoga ,huku candy ndo kimesha mramba radhi ya mama mbaya sana jmn😢😢 tuwapende sana wazazi wetu
Candy kweli kipande chako ni kigumu ila unakitendea haki uko vizuri kipaji unacho dada chukua mauwa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤Sania nae umeweza hati ngonde umemuitaje vile Maan sikuskia vizuri 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kanisa big up candy
Nataman kama ningeweza kutoka like hata 💯 Kwa kendi tu
mfalme wake mume wake
Muhogo mchungu ila candy 😅 ,,, bata kampanda ngedere😂😂
jamn tuwaheshim wazazi wetuu lan so nzur hii move inatufunza mengii tusiendekeze dunia ni mapito tuu
Dakika moja nimewasili jaman Leo nimewahi ❤❤ 🇧🇮🇮🇶
Ila mwisho wa hii move inasikitisha kend kuwa chizi dah . Mama kend msamehe mwanao .
Bustan TV hongeren sn Kaz nzur Sana niomba kila mmoja apewe tuzo tusipepese macho kendy kazi nzur ❤❤❤❤😂🎉🎉🎉🎉
Hii house girl imetoa funzo sana katika jamii aki nyinyi watu mungu awatie nguvu ❤❤❤❤
Candy unajuaaa mpk unakelaaa Yani house girl bila candy na shoga ake saniaa hainogi🎉🎉🎉🎉
Sania sania kwakweli nimeamini kisicho riziki hakilik kula chuma hicho kwa mganga😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂manga
Kiufupi wana busati tv awajawai kutuangusha wate wako very nice 🎉🎉🎉wakomakini nakazizao 😊😊😊🙌🙌🙌
Safi sana Sania weh kubaliana nababa kijacho wako ishi nae mlee kijacho wenu mana wanasemaga kila lenye mwanzo halikosi mwisho bola yako wewe umeishia vzr kuliko bff wako Candy 🐶😁😀😂kinamlamba akuna kama mama
Kumbe chiko wewe mmakonde ..ndo maana huchoki kusumbuwa watu 😂😂bt moree love 🥰 Allah awatie nguvu inshallah 🙏🥰
Huyo wa ngonde jamani najua alijicheka baada ya kutazama hii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
hahahahaaaaa ety asante sana mfalme wang mme wang ngonde leo sania we wakuongea ivoo 😂😂😂
Sania kadata
😅😅😅
aah! hongera ngonde hatimaye pisi kali iko chini ya himaya yako😂😂😂😂😂
Raana ixha anza kumtafuna m2 hkuuuuuh daaah cendy unajitahid xna kwa uhuxika una kaz ngumu xna ili kufikixha ujumbe axanten xna ❤❤❤
Chiko kila plani zakoo utafeli tu . Usipoteze muda . Nendeni mkaowe wanawake wapo wengi tu . Mwache Tasha na zatiti . Nendeni katafteni vyenu na hao majambazi wenu .
Candy ulivyomroga zuu ulijiona mjanja,kula chuma hicho..Afu asieskia la mkuu........
Chiko hajakata tamaa 😢. Mashetani wenziwe hawajielewi, huyu chiz yule kavurugwa
Ila kiukwl kaka Chiko ww kla sku planing zako za kitoto kwl kwl ❤, et umesoma nae ko kusoma nae ndo kujua ktu, au bas,
Hapo cend nmekupenda bureee❤❤❤
Candy candy candy 😢😢 nakuonea huruma dada angu ila dunia duara Yale niliopitia Leo yamefika na kwako
Zuu umejifica hapa kweli 😂😂 nimekuona😂😂😂
Zuu kama zuli nakupenda sana mdogo wangu kipenzi nakupenda sana sana
like kwa niaba ya kendy mambo ni moto
Wangapi wanaangalia wakiwa kwa bed from oman😊
Hongera sana candy umeplay part yako vizuri sana MUNGU akuze kipaji chako
Candy kaa ukijua Mama ni Mungu wa pili,hata iweje Wazazi niwatu wakuheshimu saan,ceza navingine ila sio Wazazi,acha sas uvune ulichokipanda,yni ulijifanya huna Heshima unamjibu utakavyo,ukasema unatak afe sio Mama yko leo hii unatak kuyaona sas,Dunia utaiona chungu
Tuseme tu ukweli Candy anachangamsha move sana Kwa kweli
Sania kanenepa, mtoto shape shape🎉🎉🎉
Umeona pia ww😅❤❤
Mimba hiyo imemnenepesha
@mossikombo959 itakua🤣🤣🤣 na imekimbilia kwenye wowo wo
Chiko chiko chiko nimekuita mara ngapi
Kazi zuri ongera sana candy unajua kuigiza chukua maua yako🌹🌹🌹🌹
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 nafurahi sana na Tena ni funzo kubwa sana kila aliyezaliwa naasimdharau mama yake.
Mama ni mama jaman ata awe mlemavu tuwaeshimj wazaz wetu ❤️❤️❤️ mungu atupe hekima ya kimbingu
Wwnao amini kuwa mma niaeshimiwe 👍 Candy umenifudza k2❤❤❤❤
Busati TV uku tunapoelekea sasa ni kufurahishana😂sasa itakua vzr maana kuna baadh ya siku tunaamka na mood mbaya japo kdg mutuchangamshe uyu candy mpeni bangi bcy😅
Mwazani kaja kumkaba ??! Aw Sion uzuri Mie eeeeh jmny mateso kwa candy ndo nafurahi maana candy anavituko atary😂
ila mzimu unakaba so masihara me najua ukifa unakua huna nguvu😊
ila mama ake candy inaonesha kashiba kbla ya kufa😂ndo Kwanza ana siku moja tayari amesharud kwake amekuja kuiona familia yake😅
Jamani dada angu kendi kawa chizi ! Jamani anamwekeya huruma like yake😂😂😂😂
Na mimi leo like jmn wapendwa ❤❤❤nimewahii😢😢😢
Ila chiko😂😂 et nilisoma nae kwa hiyoo kama ulisoma nae chuo😮
Candy pole ila kuigiza unajua sana Sania bora umekubali yaishe maji yakimwagika hayazoeleki😂❤❤❤ busati ni moto
Candy is the best actress very best
Ila kipara mtelezo😂😂😂na mastlyle yako ya kunyoa🤣🤣🤣🤣🤣
Hongera sana Wana busati mnatupa mafunzo mazuri sana ila hongera kwa candy anajua kuact sana
Hii sehemu ya chiko nikupoteza2 mda sio kitu hapo
Kabisa
Hapo sawa nilitaka iwe ivo amkabekabe ndo adhabu imfae
Mkimaliza kuwatch,mlale poa
Ahsant naw mung akulind dear
Ahsante nawewe munguuu akulinde
@@moreenfelluzy3243 asante dear
@@JaliahAbdulkalim-k9u asante dear
Nmefrahi Sana Kandi anajua Sana kuigiza hongera sana
Candy uko Sawa dear yni nmekupea hongera🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ila candy anajua jamn anafanya move inazidi kunoga hongera San mamy❤
😂😂 we kendi wew akikuskia mu0g0 mchungu mwenyew 😂😂
Huyu sania sio mbaya mzur mm nimempenda ngonde please mm namtaka niachie mm😂
Wakwanza From Qatar
Bwana yesu asifiwe
Amen
Ameen
Ameen
Namm naomba like leo
Candy ulimuloga zuu akaw cizi unajisikiaje sasa nawee😂😂😂sania nikutakie kila laher kwa mufalme wako 😂😂😂
Mm wakwanza leo🎉🎉
Candy! umeweza naunaweza mauayako🎉🎉🎉🎉
Candy mtoto kauta😂😂😂😂😂chiko bana ukiwachwa achika unakera San 😂😂😂from 🇰🇪 kenya 🇰🇪🥰🥰🥰
Jamani shida yupo vinzuli sana❤❤❤ kalata yake good
Kelele moja Kwa Mrs ngonde jamani😂😂😂😂
Kazi nzuri sana team Busati tv🇹🇿
Hii ya Leo hata haijanoga,mama Tasha na zatiti sijawaona😢😢like hata mbili
😂😂😂😂sania na bibi ya mgaga jamani 😢
Wooa wa kwanza leo
Loho ya mungu mwili wa serikalin hahahaha kendi kimekulamba
Nliwai sema candy ata chizi kumbe najua kuchakanua uhalisia wa mmbo 😅😅😅
Jamani candy kimeruka kabisa 😂😂😂😂kwe lahana ya mama ni mbaya sana
😅😅😅😅kendi pole ila unatupa fundisho nzuri
Cendy 😂😂😂😂😂 jamani sasa mhogo mchungu nae nani kamuita hapa jamani 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 chukua hayo maua mammy haya sania wangu mphilipino wetu kimekukuta nini mpka ukarudi kwa mfalme wako ngonde😅😅😅😅😅 jamaniii busat tv mnasitahili pongezi
Sania ukinenepa una umbo sana❤
Nimekuwa wa kwanza
Candy makelele we ni nouma sana upewe maua yako🌹🌹🌹
Maskini cendi best yangu😢pole nimeuzunika aswaaa pole mama
Candy pole lkn ndo tujifunze kuheshimu wazaz wetu,
Mhongo mchungu cracked my ribs😂😂😂...walokua walaumu busati hawamfunzi candy haya mmefurahi😊
Candy Candy... hongera Sana mwayaaa unajua kuigiza mpka basii ❤❤
Hiii muve ninzurii sanaa pia inafundisha sanaa ❤❤
😂😂😂😂😂 walio msikia sania alichosema gonga like chezea mfalme wake njoeni mnipepe jamn huku mbavu zinaniuma 🤣🤣🤣
Sania karudi kwa baba kirikuu😂😂,.. mfalme wangu... Pwahahaa kimewaramba wee na swaibayo candy
Nimechelea jamani warundi muko wap ❤❤❤
Wa kwanza Leo 😁😁
Candy unajuaaa yng umeniachaa hoi pny kampanda Bata hahaha