Na alaaniwe yeyote yule aipingae kauli yako Mungu awe nawe akulinde na kujitetea kwa kila jambo Mimi nipo nyuma yako kwa kusimamia ukweli Amen watu wa Mungu
Ktk wanaume ww ni mwanamme hakika mungu akulinde akukinge na husda na kila Shari inshaalah endelea kufahamisha watanzania wawe Makin sana na wasikubal chanjoo mungu ameshatuchanja tayar
Mungu anaipenda tanzania katuletea magufuli mdogo mbeba maono wa mungu huyo alieitwa kwa jina layesu mtumishi aliesimama vita Yakuzimu amebomoa ngome kubwa kuliko chanjo yakorona hata hii ailijua tangu mwanzo asante mungu kwakutuletea gwajima wetu
Gwjima Mimi siyoufufuo nauzima Lakini kitawaka hatuchanji mm nafamilia yangu ya Jesus free hatuchanji kitawaka hapa hatakwama bomu yanyukilia hatuchanji ikiwezekana waseme tuanzishe kati ya watu wa Mungu nawatu washetani watajuta awamuhii
Heri wao wanaomtumaini MUNGU na si vinginevyo! Katu Sichanji hata kwa ndoto! Kama MUNGU anataka tufe wacha tufe twende mbinguni tukapumzike na kero za dunia....ila kama Mungu hajapenda tufe basi hiyo chanjo imekula kwao.. Jesus first first and first than first
@@joyceassey2347 hizo akili timamu anazo basi. Ukitaka uamin kuwa huyo rashid ali akili hana fuatilia komenti zoooote humu ndan yeye pekeake ndie anaedislike
AMINA Baba Mungu akubariki sana kwakuwaambia watu ukweli. Mungu akupe maisha marefu umeokowa watu wengi ambao walikuwa hawajui. Elimu yako imesaidia jamii. Asante Baba.
Baba Gwajima endelea kuwatetea Wa TZ, tunahitaji mafusho kuhusu Corona na Vaccine zake. Wewe umesomea mambo ya philosophy, ingawa silo mambo ya uganga lakini unaelewa Sana mambo kama haya yakitokea. Tunakuunga mkono baba, tuko pamoja. Mana wa TZ wengi hatupendi kusoma, ni rahisi kwetu ukituelewesha. Tunakupenda sana.
Tatiz huyo hana nguvu kivile wenye nguvu wapo na ndio wanatak chanjo sijui kama itawezekan kukataa maan hap tunapokwenda itakuwa lazima uchanje mungu ambariki mtumishi wa mung
Mungu akuinue baba askofu taifa linazama ndani yashimo mugu akupe kamba yakuvuta tanzania itoke shimon maono yamagu niyakwako Baba umebeba maono yawatanzania wewe
Kweli MTUMISHI ACHA MUNGU akutumie atakaye chanjwa nikipofu was kiroho Lakini ssi tunaomwamini kristo hatuogopi kufa Wala magonjwa MAANA tunaye komando was yote hatuogopi Wala hatuingii kwenye kongwa la shetani Amina Gwajima
Askofu Gwajima yani hayo mambo natamani ungeyaongea miaka ya 2024 ili 2025 tukupe nchi baba ..Tanzania tunahitajii viongozi wenye misimamo kama wewe Askofu Mungu akuweke sana🙏🙏atuchanjwii 🤸🤸
Usione watu wako kmy kwakweri nimetembea tembea kwamuda mchachetu niwatu wengi wanao kusuport kuliko wanao suport selikali uposiku utalipwa sikuzote Mungu si binadamu na sisi tunakuombea uishi ili ututeteee wanyongee ilove you Gwajima
Bishop Gwajima Mungu akulinde hao watanzania C C M wenzako hawatokupenda. maana umarekani kuna Daktari aliye pinga mambo ya barakoa mpaka Leo anafungwa.
watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa! Dunia sasa ni kijiji mengi yanayo fanyika duniani tunayapata tena kwa kutambua madhara na faida zote. Leo hii twajiingiza kwenye machanjo ambayo yanaripotiwa kua na adverse impact! wenye hiari wakachanjwe.
Askofu Ujumbe umefika ,binafsi nashukuru endelelea kuwafungua wabunge wenzako fikra zao, mchungaji nakuelewa pia nakuheshimu, naiona asili ya hayati John Pombe Magufuli ndani yako.
Hakika tuko mwisho wa dunia hata biblia inasema ni bora kutoa kuliko kupokea na ndio mana ss tunazubaishwa 7bu tunapenda kupewa vya bure Mungu utusaidie.
Hakika waitaji ulinzi wa kiroho na nyama Askofu Gwajima Mungu akulinde na ukupe maisha marefu maana we ni shuja JPM alifahamu that’s why he asked for you in kawe. It is very hard to some people to understand you but they will very soon. The problem is that some leaders are not stable and scared 😱 of wazungu.
Gwajima nikipenzi cha watanzania cku zote anasema alichokiona anafunuliwa sana mungu anamtumia vilivyo nishujaa wavita yakuzimu nashetani anajua moto wagwajima ndio maana wanamuandama lkn kiongozi wangu shujaa wavita wamungu tuko pamoja uwanja wavita hii vita yamnyama tanzania gwajima pekee ndio shujaa hapindishi maneno hapekopeshi yuko streeti pongezi roho wamungu yujuu yautosi gwajima vaa silaha yakivita twende uwanjani yesu yupo nasi
Hata magufuli aliona mbali kukataa chanjo lkn sasa tunae shujaa wavita gwajima anamevikwa nnchi yatanzania hata kuzimu inajua gwajima sio wamchezo vita ya kiroho
Katika wanaume nawewe mungu akubaliki maana wanataka kutupoteza mungu namtegemea mungu ndo kila kitu kwangu na maisha yangu acha mungu afanye kazi yake maana yeye ndo sawa na pia ni uzima wake akisema ndio ni ndio kweli
Kinachonisikitisha,tayari hiyo chanjo watu washailalamikia kuwa inamadhara,MUNGU kautujalia kuwa wa mwisho ili tuikatae lakin chaajabu ndo tumeikumbatia inasikitisha Sana.
TEGEMEO LETU KUU NI HUYU BABA GWAJIMA...SIKUWAH KUKUPENDA HAPO KABLA LABDA SBB YA MISIMAMO YAKO...SASA NAANZA KUKUELEWA.....NATAMANI SASA UWE ZAID YA MSEMAJI NA MSHAURI WA NAMBA MOJA.... TUPIGANIE BABA
Yaani Gwajima ni Professor kabisa, yale mizoga inampinga lakini hata ukiyauliza RNA na DNA hayajui, Gwajima anapinga kiroho, kisayansi, kisiasa, kijamii, kiutamaduni, kiusalama yaani kweli Mungu katupendelea watanzania, Magufuli hajafa
Cograts... Even here in Qatar the vaccine is two type one for qatarians and one for Africans I wonder why we Africans we are vaccinated using different vaccine ??
Na alaaniwe yeyote yule aipingae kauli yako Mungu awe nawe akulinde na kujitetea kwa kila jambo Mimi nipo nyuma yako kwa kusimamia ukweli Amen watu wa Mungu
Ktk wanaume ww ni mwanamme hakika mungu akulinde akukinge na husda na kila Shari inshaalah endelea kufahamisha watanzania wawe Makin sana na wasikubal chanjoo mungu ameshatuchanja tayar
⁹
Mungu anaipenda tanzania katuletea magufuli mdogo mbeba maono wa mungu huyo alieitwa kwa jina layesu mtumishi aliesimama vita Yakuzimu amebomoa ngome kubwa kuliko chanjo yakorona hata hii ailijua tangu mwanzo asante mungu kwakutuletea gwajima wetu
Tunampenda tunamuombea vita ya mnyama 666 nivita ya dunia kimbilio niwewe mungu pekee ushikae maagano
Waliua Maghufuli Mungu naye Nani Akamleta Ask Gwajima Tz mumebarikiwa...This guy the next president of Tz.
Kafie mbali kabisa
Gwajima afungiwe kanisa na mpotoshaji mkubwa huyu
waibie hao hao waumini wako unaweza kutuonesha aliepokea pesa ili chanjo ipokewe? Tambua watu wana elimu mno kuliko wewe zwazwa
Mungu anaweza yote akiamua awe Raisi hakuna wakuzuia ubarikiwe kwa maono mazuri
@@thomaschiee2926 wewe funga lako.
Gwjima Mimi siyoufufuo nauzima Lakini kitawaka hatuchanji mm nafamilia yangu ya Jesus free hatuchanji kitawaka hapa hatakwama bomu yanyukilia hatuchanji ikiwezekana waseme tuanzishe kati ya watu wa Mungu nawatu washetani watajuta awamuhii
Heri wao wanaomtumaini MUNGU na si vinginevyo! Katu Sichanji hata kwa ndoto! Kama MUNGU anataka tufe wacha tufe twende mbinguni tukapumzike na kero za dunia....ila kama Mungu hajapenda tufe basi hiyo chanjo imekula kwao.. Jesus first first and first than first
Hakika my
Nadhani TZ tunakurupuka sana chanjo hazijaanza leo ni ubunifu wa kibiashara tu wanang'ang'ania huo msaada ni hatari sana hakuna cha bure kwa mzungu
Kabisa
@@festovenas502 haswa
Nampenda sana huyu mtu Jasiri,kama kuna shetani anaempinga huyu mtu aje na hoja za msingi💪🔥🔥🔥🔥
Kabisa
Kwa chizi kama wewe ndio unamuona na hoja huyu zwazwa mwenzako lakini kwa watu wenye uelewa huyu wanamuona kama shimo la choo
Waoooo what an understanding,we love you Gwajima,speak speak the wise will listen
@@RashidAli-mm1uo hukua na haja ya kumtusi mtu ukiwa mtu mwenye akili timamu
@@joyceassey2347 hizo akili timamu anazo basi. Ukitaka uamin kuwa huyo rashid ali akili hana fuatilia komenti zoooote humu ndan yeye pekeake ndie anaedislike
Safii sana Gwajima endelea baba!!
Nasimama pamoja na Gwajima. Hachanjwi mtu hapa, hachanjwi mtu hapa.
🇹🇿🇹🇿🇹🇿Ndio Mchungaji wa Mungu Baba Jehovah kwa jina la Yesu Kristu Amen ❤️❤️❤️
Gwajima will be next president of Tanzania, has strong power,vision and ability..!!
Its true
Kabisa naona urais unamkalibia hivi punde
Me pia naona
Jidanganyeni wajinga ninyi
@@josephatcostantine5618 up peke yako , kula yako ndogo
AMINA Baba Mungu akubariki sana kwakuwaambia watu ukweli. Mungu akupe maisha marefu umeokowa watu wengi ambao walikuwa hawajui. Elimu yako imesaidia jamii. Asante Baba.
Baba Gwajima endelea kuwatetea Wa TZ, tunahitaji mafusho kuhusu Corona na Vaccine zake. Wewe umesomea mambo ya philosophy, ingawa silo mambo ya uganga lakini unaelewa Sana mambo kama haya yakitokea. Tunakuunga mkono baba, tuko pamoja. Mana wa TZ wengi hatupendi kusoma, ni rahisi kwetu ukituelewesha. Tunakupenda sana.
Natamani miujiza ifanyike Uwe raisi rip magufuri nileteeni gwajima nileteeni gwajima
Barikiwa ujazweeeee na urindwéeeeooooo
Kwajina la YESU CHRISTU wa MBINGUNI
Waambie Kaka.... Tumechoka na wanaonunuliwa kututeketeza... Msaidie JPM WETU
Tatiz huyo hana nguvu kivile wenye nguvu wapo na ndio wanatak chanjo sijui kama itawezekan kukataa maan hap tunapokwenda itakuwa lazima uchanje mungu ambariki mtumishi wa mung
@@pilijohn1478 mwenye ngv n YESU ndo atashughulika
Mungu ata mpigania yeye ndotunae mwamini,,
Huyu mnamuamini huyu si alisema anaweza kuwafufua wafu?? Mbona hakumfufua Huyo jpm
@@fredikigodi4372 Amina
Karibu katiba mpya kiwepo kipengele cha mgombea binafsi sisi tukupe nchi
Kwakweli chukua nchi gwajima
Askofu Gwajima Bishop Tupo nyuma yako baba wakrist,waislamu,wapagani,vijana,wazee kwa watoto tupo nyuma yako tupo pamoja na wewe..Atutakii kuchanjwaa
Mungu asimame Nawewe Askofu,Akulinde Kwa Kila Hila za shetani na wanadamu wapangao kukuangusha na Kukudhuru,Na Sisi Watanzania Tupo nyuma yako Baba,🙏
Hao wanaokupinga wanaona mbele wanaogopa Ujasiri wako ila Mungu Yu pamoja nawee utashinda endelea kutetea Haki
Watanzania, Mumepata Chuma kabixa,Huyo Razima awe Raisi wa Tanzania ,ana Hakili za Mungu.
Huyo ni mtoto wa Simba wa Yuda. Mungu akurinde
Yn uyu lzm achukue ula isi
@@chamblainreuben7431 rudi shule kwanza ujue kuandika vizuri kishe uje kuandika tena
@@RashidAli-mm1uo kwahyo Pont yake hukuilewa ila umeona tu arudi shule mbona sie tumeuelewa iloooo kibaraka
Hakika my, gwajima anatufaa kuwa rais wala
@@hadijamagufuli2661 hapo sasa watu wengne bana
Mimi nipo Germany unasema kweli unafaa kuwa Rais wengine wanaangsmiza Nchi
Kwakukosa maarifa
Uko sawa
Oyo Niyajee?🇩🇪
Ndo maana Mh Msukuma Ana bifu na wanaojiita maprofesa aka wasomiii hawaisaidii sana jamiiii
Sasa ona kwa hili janga
Eee Mungu wangu
Safi sana mzee wewe na majaliwa ndio tegemeo letu 👏👏
Dr. Appreciate your speech
All way from Ke🇦🇫
Our president is now reborn in your soul.
Mungu akuinue baba askofu taifa linazama ndani yashimo mugu akupe kamba yakuvuta tanzania itoke shimon maono yamagu niyakwako Baba umebeba maono yawatanzania wewe
Kaondolewa JPM jasiri muongoza njia,kainuliwa hasiri Gwajima.Anaongea na waumini Kanisani na anaongea kwa ajili ya wananchi bungeni
Hahahaaaa I love you man of God! Una hekima na macho ya rohoni🥰🥰🥰
Huyu Rais wetu jamani anajua kutetea nchi yake janini nani huyu
Sikusikii kwenye ishu ya bandari inakuaje?
Safiii....tupo pamoja askofu wetu Mungu ndie chanjo yetu
Mungu azidi kukupa ujasiri mtumishi..🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Jasusi la mbinguni hiloo limetumwa kufanya kazi ya mungu anayempinga anajitafutia matatizo
Thank you sir 🙏 May God bless and protect you ! Hizo chanjo hatutaki zitawaozea mpaka wazitupe kwenye garbage in Jesus name🙏
braza we noma sana wachane.
Amen
Am blessed
Sooo touching. Msg
God bless u
Amen
Gwajima uko sawa cc tunasubili tu uchaguz wataona hawa Ccm nimewachikia upendo wangu labda Majaliwa agombee
Kweli MTUMISHI ACHA MUNGU akutumie atakaye chanjwa nikipofu was kiroho Lakini ssi tunaomwamini kristo hatuogopi kufa Wala magonjwa MAANA tunaye komando was yote hatuogopi Wala hatuingii kwenye kongwa la shetani Amina Gwajima
Askofu, andeleya kujenga Safina. Watu watajuta.
In fact I love your speech,but I miss your gospel speeches so much,please daddy bring your gospel speeches back!!
Askofu Gwajima yani hayo mambo natamani ungeyaongea miaka ya 2024 ili 2025 tukupe nchi baba ..Tanzania tunahitajii viongozi wenye misimamo kama wewe Askofu Mungu akuweke sana🙏🙏atuchanjwii 🤸🤸
Asante Mungu Kwa kutupa lulu hii adimu.
Soul of Magufuli is still living in Gwajima
Usione watu wako kmy kwakweri nimetembea tembea kwamuda mchachetu niwatu wengi wanao kusuport kuliko wanao suport selikali uposiku utalipwa sikuzote Mungu si binadamu na sisi tunakuombea uishi ili ututeteee wanyongee ilove you Gwajima
Ni heri nife kuliko kuchanja kbsa Mungu ni mkuu sana mimi cion sababu ya kuchanja kbsa like kwa wanaouniunga mkono ✋💯🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mh Bishop ni bora wakuapishe tu uwe Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania maana Magufuli yupo ndani yako
Safi sana
Ameeen daddy Gwajima. Haleluya
Asante sana mtumishi wa Mungu hachanjwi mtu hapa wachaje tu wao wenyewe
Sema mpendwa Wa mungu upo Sawa kabisa fata nyendo za mfarume wetu magufuri pinga chanjo sisi siyo wanyama Wa kufanyia majalibio
Tunakuunga mkono Mtumishi wa Mungu tupo pamoja acha wao wachanje watuache wananchi kutuangamiza kwasababu ya tamaa ya pesa
Mungu akuongoze kaka, umebaki wewe badala,Ya kumpoteza ndugu Yako magufuri, Wewe ni NABII WA MUNGU KAKA
Baba umetisha tea taifa lako na mungu asmame na SS ubarikiwe sana mtumish
Leo nimeota wote waliochanjwa wamegeuka ma zombi dunia imearibika
## haaaaa
@@georgemhalla8853 gwajima mungu akutangulie.
Mumebarikiwa,wa Tanzania, ukweli mshapata ndio huo,but truth is not popular,
Dieu Kiray umenichekesha😀
Amina
Baba gwajima sio Ufufuo na Uzima tu ni sisi watanzania wote tunakuunga mkono
Asante sana kwa ujasiri wako wewe siyo mbunge wa ndiyo wewe ni mbunge wa haki maana Yesu u ndani yako
Iwe nzuri, iwe mbaya, mm naitumia hiali ya kutokuchanjwa...
Hakuna cha chanio hapa! Mungu atulinde!! Amen.
Amina kwa JINA LA YESU ASANTE SANA GWAJIMA KWA JINA LA YESU MUNGU AKULINDE
Bishop Gwajima Mungu akulinde hao watanzania C C M wenzako hawatokupenda. maana umarekani kuna Daktari aliye pinga mambo ya barakoa mpaka Leo anafungwa.
Mungu tutie nguvu kwakweli katika kipindi hichi kigumu Sana waafrika wamegeuka watu wa kufanyiwa majaribio mungu tunaomba uingilie Kati🙏🙏🙏🙏
Mungu akulinde milele sie tupo nyuma yako piga kaz
Jiwe walilolizarau mwanzo sasa ni fire nipo nyuma yako baba ww ni nimkombozi we2 huko tunakoelekea
watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa! Dunia sasa ni kijiji mengi yanayo fanyika duniani tunayapata tena kwa kutambua madhara na faida zote. Leo hii twajiingiza kwenye machanjo ambayo yanaripotiwa kua na adverse impact! wenye hiari wakachanjwe.
Askofu Ujumbe umefika ,binafsi nashukuru endelelea kuwafungua wabunge wenzako fikra zao, mchungaji nakuelewa pia nakuheshimu, naiona asili ya hayati John Pombe Magufuli ndani yako.
Yesu christ tuko mbele zako ,tunyakue dunia ibaki na akina wanaochoma chanjo
Mungu akufiche maadui wasikuone,
People need to hear this ...Yesu umekuwa Mfalme wetu simama Tena kwenye Ili.
Safi sana Askofu. Mimi nakufuata wewe, yaani nimekua mfuasi wako kwa moyo kuliko maelezo.
Askofu duhhh unawapenda watani wako sana. Wangoni na wandendeule. Hongera sana.
Hakika tuko mwisho wa dunia hata biblia inasema ni bora kutoa kuliko kupokea na ndio mana ss tunazubaishwa 7bu tunapenda kupewa vya bure Mungu utusaidie.
Na wavivu wa kusoma hata maandiko nimesoma ufunuo 13:16-18 nimeogopa kabisa
Mungu Yuko pamoja na wew Mtumishi Na atakusimamie Katika Ulinzi kwa sababu anaona ujumbe unao utoa kwa watu🙏
Jaman mnakumbuka nileteeni gwajima nileteeni gwajima kumbe Mungu alikuwa anasema ndani yk daaah
Kabsa, yule mzee alikuwa na maono ya mbali sana. Na ninaimani alikuwa anajua muda wowote anatembea maake alikuwa kawindwa sana.
Mimi ni muislam lakini gwajima your my president i stand with you my president
Message send and delivery, congratulation
Safi kabisa mtumishi mungu akulinde
Tz tunabaki ya gwajima msema kweli mungu mlinde please please.huu ndo anae penda inchi yake kuliko walio tuuza sisi
Mzee mtata huyu anazidi kuruka nao tu😁
Hakika waitaji ulinzi wa kiroho na nyama
Askofu Gwajima Mungu akulinde na ukupe maisha marefu maana we ni shuja
JPM alifahamu that’s why he asked for you in kawe. It is very hard to some people to understand you but they will very soon. The problem is that some leaders are not stable and scared 😱 of wazungu.
Bishop Gwajima endelea kutufundisha maana wengi akili bado imefumbwa....👏👏👏👏
Gwajima nikipenzi cha watanzania cku zote anasema alichokiona anafunuliwa sana mungu anamtumia vilivyo nishujaa wavita yakuzimu nashetani anajua moto wagwajima ndio maana wanamuandama lkn kiongozi wangu shujaa wavita wamungu tuko pamoja uwanja wavita hii vita yamnyama tanzania gwajima pekee ndio shujaa hapindishi maneno hapekopeshi yuko streeti pongezi roho wamungu yujuu yautosi gwajima vaa silaha yakivita twende uwanjani yesu yupo nasi
Hata magufuli aliona mbali kukataa chanjo lkn sasa tunae shujaa wavita gwajima anamevikwa nnchi yatanzania hata kuzimu inajua gwajima sio wamchezo vita ya kiroho
Katika wanaume nawewe mungu akubaliki maana wanataka kutupoteza mungu namtegemea mungu ndo kila kitu kwangu na maisha yangu acha mungu afanye kazi yake maana yeye ndo sawa na pia ni uzima wake akisema ndio ni ndio kweli
Mama Samia kafelii Sana aisee😭RIP JPM,,,,Mungu akulinde askofu wasije wakakudhuru Ka walivyomuua uncle Magu
Kinachonisikitisha,tayari hiyo chanjo watu washailalamikia kuwa inamadhara,MUNGU kautujalia kuwa wa mwisho ili tuikatae lakin chaajabu ndo tumeikumbatia inasikitisha Sana.
Mimi ni muislam mazubuti. Ila huyu jamaa anacho kitu muhim cha mazingatio.. na Huenda ana siri kubwa kuhusu korona... ANAWEZAKUFA MDA WOWOTE
Hawezi kufa huyu
Hafi mtu hapo
Hafi mtu apooo, ilo ni jitu la mbinguni linaongea
Safi sana baba sisi tunamtegea mungu
Allah akupe ulinzi maana nchi yeti ukiwa msema ukweli ww Ni adui na huna maisha marefu lakin we mungu akupe ulinzi
Hakika mungu ni mwema namuona magufuli ndani ya gwajima akika magufuli amerudi munguuuu
TEGEMEO LETU KUU NI HUYU BABA GWAJIMA...SIKUWAH KUKUPENDA HAPO KABLA LABDA SBB YA MISIMAMO YAKO...SASA NAANZA KUKUELEWA.....NATAMANI SASA UWE ZAID YA MSEMAJI NA MSHAURI WA NAMBA MOJA.... TUPIGANIE BABA
JESUS WINS. WALIO UPANDE WETU NI WENGI NA WANA NGUVU KULIKO SHIMO LOTE LA CHINI YA NCHI KATIKA JINA LA YESU.
Kama nakuelewa sana kamanda hebu tukabebe fomu ya ulais 2025 ni wa2 tu ww na ss rolinga Mungu awafunulie zaidi
Roho yamagufuli yakupenda wananchi unayo zaidi maladufu
Na roho ya Uzinzi anayo kubwa mpaka akapiga picha zikavujs
@@RashidAli-mm1uo hakuna binadamu aliekamilika
@@RashidAli-mm1uo pumbavu wewe
Tunakuombea mzee hata ss htuchanji. Wachanjage wenyewe tu.
@@mashramadhani1989 kwenfa zako mpuuzi wewe unamsapotije gwajima
Gwajima Mungu akutangulie
Kwer uovu imekua taasisi ila yupo mungu na mm ctochanja na ukoo wangu wote!!!
Mungu yupo mbele tusiogope
Yaani Gwajima ni Professor kabisa, yale mizoga inampinga lakini hata ukiyauliza RNA na DNA hayajui, Gwajima anapinga kiroho, kisayansi, kisiasa, kijamii, kiutamaduni, kiusalama yaani kweli Mungu katupendelea watanzania, Magufuli hajafa
We jamaa umeongea point sana
Cograts... Even here in Qatar the vaccine is two type one for qatarians and one for Africans I wonder why we Africans we are vaccinated using different vaccine ??
We have to escape this trap no matter what.
@@Sunshine-hw3dp surely they are tricking us...
Samia msalitii wetu.leo kachanjwa ya uongo ili atudanganye,
Hili mtumish tuko pamoja
Waache waendelee kupata alama za utambuzi
MZEE MUNGU AKULINDE NA KUKUFUNIKA KWA ULINZI NA UZIMA WA DAMU YA YESU 🙏🙏🙏
MAREKANI WAMEKATAA HII CHANJO YA JENSON &JENSON VIONGOZI WETU WANAIPOKEA VIPI ?
@@gefreymtalo5613 NI KUFUNGWA UFAHAMU TU NDUGU YANGU. TUKO NJIAPANDA SANA LAKINI TUKIOMBA MUNGU ANA NJIA ZA KUTUOKOA
Hatukubali kutufanyiapo majaribio wachanjwe wao.
Makufuli aliona mbali kumbe alikua
Sahihi kuku chagua aise Mungu mkubwa nime kuelewa vizuri mie binafsi