Hilo somo umeenda haraka mno. Maana sijajua tutafika je hapo kushika hizo nota maana hapa ndiyo muziki unaanza kuwa mtamu. Naomba urudie hili somo tafadhali kwa sisi tunaoanza moja.
Asante Sana ndugu binafsi ninafatilia tangu eps 1 umenisaidia pakubwa Sana km hili somo la Leo ilikuwa kiu yangu kubwa na interlude nalo nasubir nitakupigia simu
Very educative
Hilo somo umeenda haraka mno. Maana sijajua tutafika je hapo kushika hizo nota maana hapa ndiyo muziki unaanza kuwa mtamu. Naomba urudie hili somo tafadhali kwa sisi tunaoanza moja.
Mkuu upo vizuri sna nakupataje kaka
Asante Sana ndugu binafsi ninafatilia tangu eps 1 umenisaidia pakubwa Sana km hili somo la Leo ilikuwa kiu yangu kubwa na interlude nalo nasubir nitakupigia simu
thank you mkuu
Good👍
Next session tunaomba pia interludes
Asante mwalimu kw somo zuri vp mwalimu huna darasa Whatsapp
Nice lesson.
Asante Sana mwalimu
Asante San mwalim naomba mawasilian yako please
Good
Nice...🎉
Shukrani mwalimu kwa mafunzo ya kuvutia,,,una darasa WhatsApp mwalimu?
mwalimu namba zoez jinsi ya kupga pedal,.... Pedal una use kvp
Kindly send mi all chords itz disturbing mi sana juu Sina mwl lakini saa hii nitaamini nitajua
Asantee
Tupe link ya group
Gud performance am following your class but kindly be clear on chord i.e m,s,d(right hand)/left hand want to follow that chords fully
homu boy unfundiish vzuur sana kaka ntupie contact kbs unfndixh wasap
Naomba no yako please
Shukrani sana hivi unaweza kupiga kinanda hata kama hujui solfa notation..maana mimi zinanisumbua sana au kama unaweza kunifundisha
DO RE MI FA SO LA TI DO