ALIYEKUWA JAMBAZI SUGU AKAOKOKA AMLILIA MREMA, ASIMULIA "NIMESIKITIKA SANA, ALINIPA HELA YA MTAJI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ส.ค. 2022

ความคิดเห็น • 170

  • @adolphriwa3857
    @adolphriwa3857 ปีที่แล้ว +11

    Asie jua maana kamwe ha ambiwi maana.kuna mijitu hata haina akili ina comment ujinga tu eti akamatwe we una fikiri huyu mzee mjinga kujieleza.Mzee anatoa shukrani kwa marehemu baada ya kumsaidia na kuanzisha maisha yake mapya ya kitumishi.Huyu ni Raia mwema na alikubali kujisalimisha ili awe huru na ili akubalike katika jamii yake.Mungu ailaze Roho ya Marehemu pema peponi Amina.

  • @sadockchengula5542
    @sadockchengula5542 ปีที่แล้ว +8

    RIP Mrema. Anaweza kueleza ni sehemu ya wasifu wa marehemu msikivu na mchapa kazi kumbuka alikuwa ni waziri wa mambo ya ndani ya nchi hivyo huyu mzee (jambazi wa zamani) alikuwa anamhusu moja kwa moja.

  • @aaSs-yf8oq
    @aaSs-yf8oq ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe sana mzee kwa kuacha ujambazi na kumponea Bwana Yesu kuwa mwokozi wako. Na Mungu aendelee kukutumie ili ukashuhudie wengine kuwa Yesu anaweza kubadilisha watu 🙏🙏

  • @prosperkullaya6721
    @prosperkullaya6721 ปีที่แล้ว +5

    Poleni sana sanahaaa kweli alikuwa mtu mzr sanahaaa

  • @maigajohn5828
    @maigajohn5828 ปีที่แล้ว +4

    M mungu ampumzishe kwa amani mzee wetu

  • @aaSs-yf8oq
    @aaSs-yf8oq ปีที่แล้ว +2

    Milad ayo naomba uniunganishe na huyu mzee ili aje ashuhudie kanisani kwangu cos Yesu anapenda watu kama hawa waliokuwa majambazi afu akawaokoa ❤️❤️

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 ปีที่แล้ว

      Unataka umpige sadaka sasa??

    • @toshakisasi8331
      @toshakisasi8331 ปีที่แล้ว

      Ndo hvyo sisi alitutema
      Haki akawapa eakina Mareale
      So hukumu lakn atalipzwa huko na Moto mkubwa

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 ปีที่แล้ว +6

    Jambazi mstaafu 🤣

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 ปีที่แล้ว +6

    Kuna tofauti kati ya akili na elimu..HUYU BABA ANA AKILI

    • @toshakisasi8331
      @toshakisasi8331 ปีที่แล้ว

      Akili ya utapeli was Kisiasa
      Aliniachia manyoya

  • @msafirikilongo7429
    @msafirikilongo7429 ปีที่แล้ว +4

    Mpaka katunukiwa tuzo ya laki 3
    Anaonekana alisumbua government

  • @cocorita8367
    @cocorita8367 ปีที่แล้ว +10

    Ana history kubwa sana police wamtafute awasaidie kazi kiukweli

    • @kennedyessau5169
      @kennedyessau5169 ปีที่แล้ว +1

      Hahaaa

    • @aaSs-yf8oq
      @aaSs-yf8oq ปีที่แล้ว +1

      Police wenyewe wanamfahamu alikuwa jambazi ila sasa ni raia mwema

  • @isackshamu9448
    @isackshamu9448 ปีที่แล้ว

    Naierewa

  • @sharifahabsi5004
    @sharifahabsi5004 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂jambazi mstaafu

  • @africapeoplesunion1241
    @africapeoplesunion1241 ปีที่แล้ว +3

    Jambazi Mstaafu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Jamaa kajua kufariji Kwa kweli.
    R.I.P Mzee Mrema

  • @margaritoraphael3805
    @margaritoraphael3805 ปีที่แล้ว

    Askofu loh Mungu ni mwema

  • @nicoombeni6992
    @nicoombeni6992 ปีที่แล้ว +1

    poleni sanaa

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 ปีที่แล้ว +7

    Badala ya kutupa story za marehem mnaleta story za jambaz duh bongo bn

    • @tingbatuuka7278
      @tingbatuuka7278 ปีที่แล้ว

      Wajinga hawa

    • @fredma21x
      @fredma21x ปีที่แล้ว +1

      Marehemu hatuko naye tena anawezaje kutupatia stori?

  • @shaacollection801
    @shaacollection801 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akuinue ilimajambazi wengine waige kutoka kwako

  • @charleschagu7818
    @charleschagu7818 ปีที่แล้ว +1

    Jambazi Mstaafu

  • @fredrickmatiku7783
    @fredrickmatiku7783 ปีที่แล้ว

    Baba jambaziiiii mstaaafuuuuu cheo kipya

  • @alexlingwendu6780
    @alexlingwendu6780 ปีที่แล้ว +2

    Mzee Askofu .Jamaa Yangu Upo vizuri

  • @deusdedithjoseph7588
    @deusdedithjoseph7588 ปีที่แล้ว +9

    Huyu mzee Safi sana kawa mkweli

  • @answardmsagati3045
    @answardmsagati3045 ปีที่แล้ว +3

    kweli nimempenda mzee huyu kwa kuwa muazi

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 ปีที่แล้ว +2

    Sasa Polisi Wamkamate Vipi Wakati Amesitafu Kazi Zake Jambazi Wa Zamani Uyo Ameludi Kwa Mungu Afe Akiwa Huru Japo Kama Aliuwa Akuna Msamaa

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.8793 ปีที่แล้ว +2

    talent healing miracle ndio kanisa hilo 🤣🤣🤣

  • @manyakuulaompondelo4419
    @manyakuulaompondelo4419 ปีที่แล้ว

    Apumzike kwa Amani 🙏 AMINA

  • @user-ws6jl3en9e
    @user-ws6jl3en9e ปีที่แล้ว +5

    Kunahaja kubwa yakuwatafuta watu Kama hawa ilitupate kujua mengi🤔🤔

  • @josephndaki8003
    @josephndaki8003 ปีที่แล้ว

    Mwaka 1990's laki 3 nyingi sana, nauli Dar- Mwanza tsh 1200 , Dar to Songea tsh 800

  • @mohamedshah1700
    @mohamedshah1700 ปีที่แล้ว +1

    Mrema alikua vizuri kimaisha bonge la jumba aisee

    • @farijala1
      @farijala1 ปีที่แล้ว +1

      Unadhani kwa nafasi alizoshika unafikiri angekuwa vibaya?

  • @simonmwandu2214
    @simonmwandu2214 ปีที่แล้ว +3

    🤣🤣🤣Hili jamaa bhana et jambaz mstaafu

  • @obillaezra6205
    @obillaezra6205 ปีที่แล้ว +6

    Waandishi wa Habari mjifunze jinsi ya Kuhoji’ Mnafanya hadi anapata na hasira pasipo kutarajia”

    • @aaSs-yf8oq
      @aaSs-yf8oq ปีที่แล้ว

      Ww ni mpunbavu huna akili, huyu mzee anamxhukuru Mlema kumsaidia pesa ya mtaji na akaacha ujambazi na sasa ni raia mwema.

    • @ellymaz2187
      @ellymaz2187 ปีที่แล้ว

      @@aaSs-yf8oq Umeelewa alichosema Obilla Ezra?
      Mzee karudia mara kibao mwaka 90 na bado mwandishi anauliza mwaka gani?

  • @user-eo7ug2tg9r
    @user-eo7ug2tg9r ปีที่แล้ว

    Nilikuwa Jambazi😂..Nilikuwa Malaya 😂😂😂

  • @softrock7155
    @softrock7155 ปีที่แล้ว +4

    Millard Ayo mmeanza ku fail na hizo premiere zenu.

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 ปีที่แล้ว +2

    Nijilipue Tena 😂😂🤣

  • @charlesmpemba9387
    @charlesmpemba9387 ปีที่แล้ว

    Story nzr sana

  • @sabrinamsabaha2905
    @sabrinamsabaha2905 ปีที่แล้ว

    😀😀😀 watanzania tunajua kuzitumia fursa hatimae wameuza kwa stori ya jamabazi mstaafu

  • @yunislemnge5558
    @yunislemnge5558 ปีที่แล้ว

    Jambazi alikuwa anaitwa dock lee😂😂😂

  • @shukurumlekwa431
    @shukurumlekwa431 ปีที่แล้ว +3

    R. I. P Mrema pumzika kwa amani

  • @sabinusjacob8833
    @sabinusjacob8833 ปีที่แล้ว

    Daaah waandishi wa michongo wasenge kweli

  • @mzalendomtokambali6551
    @mzalendomtokambali6551 ปีที่แล้ว +1

    Tanzania inchi ya hovyo sana , hata jambazi anastaafu na kupewa pensheni zake😃😃😄😄nimefanya nacheka msibani kweli

  • @gerardmakongo2932
    @gerardmakongo2932 ปีที่แล้ว +1

    Eti huku ni mchumba tuu 😃😃😃😃

  • @utunyaafunntengo4774
    @utunyaafunntengo4774 ปีที่แล้ว

    Jamani 🤣 police yule jambazi sugu mlie kuwa mnamtafuta
    Yuko msibani Kwa mrema

  • @mathewungani9724
    @mathewungani9724 ปีที่แล้ว +1

    Sura ya Kijambazi

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 ปีที่แล้ว +5

    Millard Ayyo ...this is too low for you.. Umetengeneza brand kubwa..ningejua hvi nisingeharibu bundles zangu

    • @pedrotzmunis4132
      @pedrotzmunis4132 ปีที่แล้ว

      fala tu ww

    • @mrs2899
      @mrs2899 ปีที่แล้ว

      Umelazimishwa

    • @wazirmlogi7532
      @wazirmlogi7532 ปีที่แล้ว +2

      Katombwe huko siye tume enjoy vzur kumuona mtu aliyewahi kuwa jambaz na baadae akamrudia mungu na wengine wanaweza kumuiga,katombwe hukoo

    • @masaifinancialagent5089
      @masaifinancialagent5089 ปีที่แล้ว

      Ubaya uko wap hapo kunakitu cha kujifunza Kama upo kwenye maovu unaweza kuondoka na kuwa karibu na mungu wako

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 ปีที่แล้ว +2

    Kweli ulikuwa jambaz

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo41 ปีที่แล้ว

    Wazalendo wanaisha Tz.. wanabaki madunga yembe na majizi.. na hao hawafi.. sijui wamemeza hirizi?

  • @yunislemnge5558
    @yunislemnge5558 ปีที่แล้ว

    Na Richard boom majambazi walikuwa na majina unique 🤣🤣

  • @aloycendalu6867
    @aloycendalu6867 ปีที่แล้ว

    Huyo jamani bado hajaokoka lla ujambazi ameacha mutualieokoka huaanakuwa namabadiliko hatua hadiatuwa mimi nipokalibunae muulize unamfahamu mchungaji Aloyce ndalu

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr ปีที่แล้ว

    Hili ex jambazi sijui limeua watu wangapi,dah!🙌

  • @maxcharles5436
    @maxcharles5436 ปีที่แล้ว +1

    mzee kujieleza bado

  • @shedyeliudy2463
    @shedyeliudy2463 ปีที่แล้ว

    Mbengo zmefungoka

  • @yunislemnge5558
    @yunislemnge5558 ปีที่แล้ว

    Ni smanzi lakini jambazi mstafuu anachekesha😁

  • @dadamuebrania1539
    @dadamuebrania1539 ปีที่แล้ว +1

    Mzee ni Askofu, Nabii mke na watoto wote wapo Marekani lakini Bado Hana hata nauli ya kutosha.HII NCHI NGUMU SANA😭

    • @yusuphkassimu227
      @yusuphkassimu227 ปีที่แล้ว

      Kwa hiyo unataka kusema wenye ndugu huko awakosi pesa .

    • @dadamuebrania1539
      @dadamuebrania1539 ปีที่แล้ว

      @@yusuphkassimu227 Kabla ya ndg wewe unatakiwa kumsaidia Askofu na nabii wako.PUMZIKA MZEE MREMA

    • @mussababu5623
      @mussababu5623 ปีที่แล้ว +1

      Hujui Tu mke hupandikiza chuki Kwa Watoto wao wasiweze wasaidia Baba zao

    • @dadamuebrania1539
      @dadamuebrania1539 ปีที่แล้ว

      @@mussababu5623 Basi kazi ipo.Pumzika mzee MREMA.

  • @hajiomary3766
    @hajiomary3766 ปีที่แล้ว +1

    mbele yako nyuma yetu R.I.P

  • @gapserminja5215
    @gapserminja5215 ปีที่แล้ว +1

    Acheni uchawi kwani siku zote ulikuwa wapi? Mganga ww😫

  • @vincentmushi1247
    @vincentmushi1247 ปีที่แล้ว +8

    Sasa kama alikuwa jambazi na ameeleza maovu yake,akamatwe na aisaidie polisi tena,ana mambo mengi ya kusimulia

    • @solomonnkohozi607
      @solomonnkohozi607 ปีที่แล้ว +2

      Acha ujinga ww

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 ปีที่แล้ว +3

      Sasa akamatwe wa nn?hkn mkamilifu kila mtu ana maovu yake

    • @hassanhancha1413
      @hassanhancha1413 ปีที่แล้ว +1

      we mpuuzi siku nyingine usikurupuke hivyo

    • @ramadhanichuka3583
      @ramadhanichuka3583 ปีที่แล้ว +1

      Okoka

    • @vincentmushi1247
      @vincentmushi1247 ปีที่แล้ว +1

      Nyie wapumbavu mnaotoa povu
      Si ajabu huyu ni mjomba wenu alikuwa anaiba Mali za watu na kuwagawia
      Eti mwingine anasema hamna aliye mkamilifu fala kweli ww....kama haujawahi kuibiwa utaona pouwa tuu...

  • @mozamagaya8618
    @mozamagaya8618 ปีที่แล้ว

    We ni jambazi kwenda uko🤸afande kamata uyo sweka ndani😀

  • @rajeep-ni7lh
    @rajeep-ni7lh ปีที่แล้ว

    Silly question

  • @casablancastudioarusha775
    @casablancastudioarusha775 ปีที่แล้ว

    #Millardayo mtafute huyu mzee ana madini mengi sana itakayo saidia vijana

  • @tingbatuuka7278
    @tingbatuuka7278 ปีที่แล้ว +5

    Hizi sio habari za kuleta msibani kwa mtu makini kama mrema. Ujambazi watasimukia jambazi mwenyewe akifa. Toka hapa

    • @NR-ll4sr
      @NR-ll4sr ปีที่แล้ว

      Hahahahaha Hahahahaha

  • @hamadishaibu8490
    @hamadishaibu8490 ปีที่แล้ว

    Kwer maisha safar

  • @ibraimoissiaca6058
    @ibraimoissiaca6058 ปีที่แล้ว +1

    Bongo bwana eti jambazi mstaafu

  • @Mosses8
    @Mosses8 ปีที่แล้ว +1

    Maswali gani ss

  • @aboubakarymasalanga1887
    @aboubakarymasalanga1887 ปีที่แล้ว

    Oooh nkipata bunduki nafukia kwenye kabuli

  • @SafiyaJ-yw2vt
    @SafiyaJ-yw2vt ปีที่แล้ว +1

    Inahusu nn kumhoji kama jambazi na hapo msibani

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 ปีที่แล้ว

    Duuh inatisha

  • @haniffa9024
    @haniffa9024 ปีที่แล้ว +1

    th-cam.com/video/6tia-5UH4MI/w-d-xo.html
    DAWA YA KUMUWEKA MPENZI KIGANJANI......*#*#
    th-cam.com/video/6tia-5UH4MI/w-d-xo.html

  • @tingbatuuka7278
    @tingbatuuka7278 ปีที่แล้ว

    Mhm🤣

  • @husseinmustafa9519
    @husseinmustafa9519 ปีที่แล้ว

    MZEE ASKOFU HUYO NI KWELI

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 ปีที่แล้ว

    He🙄

  • @abelmapuri4407
    @abelmapuri4407 ปีที่แล้ว

    Jambazi msitaafu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @kavisheonline2418
    @kavisheonline2418 ปีที่แล้ว

    Jambaz kawa mkali gafla 😂

  • @nindemkeremi3708
    @nindemkeremi3708 ปีที่แล้ว

    #davistarMata

  • @jumamnumbwa9483
    @jumamnumbwa9483 ปีที่แล้ว

    Kwahiyo kina Elisha wapo marekani

  • @bibliakitabukitamu6015
    @bibliakitabukitamu6015 ปีที่แล้ว

    Anhaa naanza kumwelewa

  • @abdonmsafiri8014
    @abdonmsafiri8014 ปีที่แล้ว +9

    Alishatumikia adhabu ya maovu yake kwa Sasa hawezi shitakiwa. Hakuna kesi iliyokwishaamuliwa na kuhukumiwa inaweza Anza Tena upya as new case hakuna. Hii Ni confession. Mnaotaka akamatwe alishakamatwa kwa hayo anayoeleza Sasa hawezi kamatwa Tena. Just enjoy the confession only by now

  • @haidarishemahonge9357
    @haidarishemahonge9357 ปีที่แล้ว

    Jambaz mstaafu umevaa uzi wa msimbaz...ila sio mda wa maojiano kwa kipind cha msiba ...mtafuten yy kama yy...

  • @sadamissa5687
    @sadamissa5687 ปีที่แล้ว

    Ujambazi hauna impact yyte aisee , silaha kibao afu unapewa msaada wa mtaji

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf ปีที่แล้ว

    Rais Alli Hassan Mwinyi alimuuliza Mrema unataka kufagia Dar je umesha maliza kufagia Arusha, Vunjo, Shumindu?...

  • @jacksongidion5170
    @jacksongidion5170 ปีที่แล้ว

    7

  • @nindemkeremi3708
    @nindemkeremi3708 ปีที่แล้ว +2

    @davistarmata mtafute huyu tupate storry

  • @fujowaya2315
    @fujowaya2315 ปีที่แล้ว

    mbona mrema amekasirika

  • @febroniakavishe7665
    @febroniakavishe7665 ปีที่แล้ว

    Police bad amjamkamat ad sas uyo

  • @jacksontimila4517
    @jacksontimila4517 ปีที่แล้ว

    Mjifunze kuuliza maswali

  • @aishaomarry6996
    @aishaomarry6996 ปีที่แล้ว +1

    Ayo tunakuombeni mumfanyie exclusive interview huyu mzee jambazi mstaafu anaonekana anamengi.

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe Mrema alikuwa hana ubaguzi,RIP

    • @toshakisasi8331
      @toshakisasi8331 ปีที่แล้ว

      Mimi alinibagua Kess kstuamnisha akala Hongo tukakosa hak achomwe na Moto mkubwa hatu hukumu ndo hvyo

  • @bibliakitabukitamu6015
    @bibliakitabukitamu6015 ปีที่แล้ว

    Nabiiii????

  • @vj8313
    @vj8313 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣 nimecheka hapo kwenye eti bastola za kichina ukiweka kwenye mfuko wakat mwingine zinajifyatua . R.i.p mh mrema

    • @sadamissa5687
      @sadamissa5687 ปีที่แล้ว

      🤣🤣😂watupie pesa maskini hao

  • @adolphriwa3857
    @adolphriwa3857 ปีที่แล้ว +5

    Na nyie wa andishi wa Habari wengine muwe na usikivu wakati mnapo mfanyia mtu mahojiano na sio una uliza swali ambalo tayari lishajibiwa na mzungumzaji unae mhoji katika mahojiano.kinyume na hapo unakuwa kama haupo makini katika kazi yako uandishi.Huyo mzee ni mtu mzima maswali mengine aliyo ulizwa alishayajibu ktk mazungumzo yake ndo maana mkampandisha hasira na wakati mna muuliza baadhi ya maswali.ikumbukwe kwamba communication skills ni muhimu katika kazi ya uandishi.Tena natoa ushauri kwa channel muhimu kama hii mnapo rusha habari hakikisheni mna edit hadi kwenye speech ya waandishi maana wa andishi wasio fahamika ni wachache sn wenye taaluma ya hii tasnia ya habari hivyo wasije wakashusha brand ya chanell kisa tu wamechangia maicrophone.Asanteni sn

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 ปีที่แล้ว

    Wazee wa mjin hao

  • @pilabiliani9394
    @pilabiliani9394 ปีที่แล้ว

    Uokovu wa mchongo

  • @stamilinchambi2602
    @stamilinchambi2602 ปีที่แล้ว +1

    wewe unàitwa mchungaji nani

  • @aishatarimotarimo2689
    @aishatarimotarimo2689 ปีที่แล้ว +1

    Askar itabid awe karibu na huyu mtu atawaambia vitu vingi sana

  • @mwigakatumpula5695
    @mwigakatumpula5695 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mzee akamatwe na ahojiwe kwa kina zaidi maana ana pataje kiburi kuongea hayo yote kama sio Bado mshirika wa kazi ya ujambazi 😄😃😃

  • @gracemalatwe6064
    @gracemalatwe6064 ปีที่แล้ว

    Watangazaji wengine sijui hawaelewi?mtu anawaambia alisha acha ujambazi na ndiyo maana alisalimisha silaha,lakini bado mnauliza umeacha ujambazi khaaa

    • @jamesmsalilwa8733
      @jamesmsalilwa8733 ปีที่แล้ว

      Wanatakiwa 'waandishi' hawa wakasomee uandishi wa habari siyo kubeba mike tu ndiyo uandishi. Maswali yao tu, inabainisha bado kusomea kazi hiyo.

    • @jamesmsalilwa8733
      @jamesmsalilwa8733 ปีที่แล้ว

      Wanatakiwa 'waandishi' hawa wakasomee uandishi wa habari siyo kubeba mike tu ndiyo uandishi. Maswali yao tu, inabainisha bado kusomea kazi hiyo.

  • @shamsaelbeity8250
    @shamsaelbeity8250 ปีที่แล้ว +3

    Hujaacha muhuni wewe una wanafunzi wako

    • @zenadaudzena2849
      @zenadaudzena2849 ปีที่แล้ว

      Haswa

    • @adamfundikira4556
      @adamfundikira4556 ปีที่แล้ว +3

      @@zenadaudzena2849 angekuwa muisilam usingesema ameacha kafiri ni wewe unaemkataa Yesu kristo

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 ปีที่แล้ว

    Hilo kabila wengi wamepata pesa kwa njia hyo

  • @softrock7155
    @softrock7155 ปีที่แล้ว +2

    Mna bore sana!

  • @shamsaelbeity8250
    @shamsaelbeity8250 ปีที่แล้ว

    Kuokoka hakuna kafiri we

  • @patricknyiti5303
    @patricknyiti5303 ปีที่แล้ว +1

    Mnaboa maswali gani hayo mnamuuliza

  • @emmanuelsamwel741
    @emmanuelsamwel741 ปีที่แล้ว +1

    Mwandishi wa Habari..
    Kwahio umeacha ujambazi ama?...
    What a fool question