Waziri Ummy Mwalimu azindua mpango wa huduma ya Afya Ngazi ya Jamii | Dar24 Media

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2024
  • --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com
    #Dar24 #Dar24Media

ความคิดเห็น • 8

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera saaana Mhe Ummy na wadau wote wa Afya, ukitaka kujua tuko vizuri , tembea hii dunia, kuna nchi hapa Duniani zimeendelea tena saaana, lakini ukipata mtihani wa upasuaji tu umekwisha, foleni ni kubwa na muda mrefu kwenye Nchi hizo, wewe kama una ndugu UK au Canada akueleze habari za huduma zao za afya , ni mbovu mno tena mno, kupata family doctor ni issue , tuko vizuri saana licha ya uwezo wetu kiuchumi sio po lakini tuna madokta wa kutosha saaana , Hongereni Wizara ya Afya

  • @jacobmalase1060
    @jacobmalase1060 4 ปีที่แล้ว +4

    Vipi kuhusu matumizi ya CHWs

  • @neemakilia3189
    @neemakilia3189 4 ปีที่แล้ว +3

    Community' health workers oyeeee...Leo tumekumbukwa jmni...

    • @williammbwambo79
      @williammbwambo79 4 ปีที่แล้ว

      Hao ni wale waliopewa mafunzo ya miez m3 zamani b4 professional chw

    • @neemakilia3189
      @neemakilia3189 4 ปีที่แล้ว

      Ssa spich ya pili ya wazr ummy ndy imenichanya sana.

  • @siapraygod1822
    @siapraygod1822 4 ปีที่แล้ว

    Lazima watukumbuke

    • @farajasamwel1898
      @farajasamwel1898 4 ปีที่แล้ว

      Sia PrayGod Mungu mkubwa jamani tusubiri ajira tu

    • @husnalinus7245
      @husnalinus7245 4 ปีที่แล้ว +1

      Ashukuriwe Mungu muweza wa yote.