SGR YAVUKA MIPAKA YA TANZANIA SASA NI BURUNDI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 75

  • @sebmalunde5945
    @sebmalunde5945 8 วันที่ผ่านมา +11

    Aliyesikia ndani ya Miezi Miwili anipe like. Hongereni Burundi na baadaye DRC

  • @SaidKipango
    @SaidKipango 7 วันที่ผ่านมา +2

    Kagame hapo kama namuona alivyokasirika

  • @MauriceHaseen
    @MauriceHaseen 8 วันที่ผ่านมา +3

    Hongera sana TRC na Burundi.

    • @jamalsaid7475
      @jamalsaid7475 8 วันที่ผ่านมา +1

      Pongezi Wadau Nyote 😊
      Keep it up.
      Tanzania 🇹🇿 hoyeeeee.

  • @fredyjunior6961
    @fredyjunior6961 7 วันที่ผ่านมา

    Woow. Hongeea 🇹🇿, Hongera 🇧🇮

  • @aliakrabi8321
    @aliakrabi8321 8 วันที่ผ่านมา +3

    Malizeni na za ndani basi, musiridhike Dar-Dom pekee

  • @WinfridaMihama
    @WinfridaMihama วันที่ผ่านมา

    Jueni kuwa, Burundi kuna madini mengi aina ya Nickel, pia dhahabu huko Msongati. Pia Burundi ni njia ya karibu kuelekea DRC kuliko njia yeyote na huko kuna madini mengi sana, so kama nchi inawaza watanzania muache ushamba msafiri na kuacha kuridhika

  • @ThecklyKapungu
    @ThecklyKapungu 7 วันที่ผ่านมา

    Safiii sana toka enzi ya baba wataifa ilkua nikuunganisha east African corridor

  • @shabanipanya1033
    @shabanipanya1033 8 วันที่ผ่านมา +4

    Kwa faida gani burundi itatusaidia nini pesa kibao mnatoa burundi twende kufanya nini nchi ya kwanza kwa umasikini duniani

    • @bundaman8542
      @bundaman8542 8 วันที่ผ่านมา

      Tutapeleka Mtwara tukale Panya

    • @niyorukizaelias8142
      @niyorukizaelias8142 7 วันที่ผ่านมา

      Ujinga mtupu unafikiri viongozi wenu hawana akili😂?

    • @mangmodile38
      @mangmodile38 7 วันที่ผ่านมา

      Beberu we

    • @JK-uq1tv
      @JK-uq1tv 7 วันที่ผ่านมา

      Burundi ni mkakati wa kuvusha bidhaa kwenda Kongo na kusafirisha madini kuja bandarini kama vile Shaba nickeli nakadhalika

    • @bakarijumakupaza4351
      @bakarijumakupaza4351 7 วันที่ผ่านมา

      Burundi hawana bandari kwahio watategemea sana Bandari ya Dar nakuipa faida Tanzania kutokana na kwamba trains za TZ zitalipwa pesa kibao kwa mabehewa ya TZ kupeleka mizigo Burundi

  • @MahmoodAhmed-yt9me
    @MahmoodAhmed-yt9me 7 วันที่ผ่านมา

    Mwandishi Ghafla ni tofauti na Hafla tuonee huruma uvunjaji wa makusudi wa lugha adhwiym ya kiswahili umepamba moto asante Waziri kwa kuamka sawia HAFLA

  • @Nedjadist
    @Nedjadist 7 วันที่ผ่านมา

    Huyu Mrundi siku zote aona dunia iko katika msukosuko wa kufedha! Kh! Siku zote doom and gloom!

  • @ngendakumanajeanmarrie7490
    @ngendakumanajeanmarrie7490 7 วันที่ผ่านมา

    Nice burundi tanzania ❤❤

  • @treybrezzy3231
    @treybrezzy3231 8 วันที่ผ่านมา +1

    Miezi miwili???

  • @MgasaEmanoeli
    @MgasaEmanoeli 7 วันที่ผ่านมา

    Warundi wenyewe wanapakimbia huko wanafikia hatua yakujiita WAHA sasa TRC Mnapeleka huko Burundi kwa faida gn wakt nchi yenyew ni maskini namba moja duniani
    Utafanyeje biashara na maskini? ilhali kuna KENYA na UGANDA zenye faida kibao kushinda hiyo nchi

    • @JayJaysb
      @JayJaysb 6 วันที่ผ่านมา

      Kijana comenti yako ni ya ki chizi xana Burundi ni nchi masikini mu akili yako alakini ujuwe Burundi ina rasilimali nyingi zinazohitajika xana ulimwenguni ardhi ya musongati uko reli inapokwenda ina 6% ya nickel yote ya ulimwenguni ambayo Burundi inaweza ikachimba myaka 100. Muda mwengine kabla ya ku comenti ujinga tumia akili kwanza na brain fala wewe

    • @MgasaEmanoeli
      @MgasaEmanoeli 6 วันที่ผ่านมา

      @@JayJaysb Fala mwenyewe na nchi yko

  • @MauriceHaseen
    @MauriceHaseen 8 วันที่ผ่านมา +1

    Mbona hapo kwa ukamilishaji wa ndani wa miezi ... mmekata jamani? 🥲🥲

    • @aminasittusaid3830
      @aminasittusaid3830 8 วันที่ผ่านมา +2

      Nadhani ulimi umeteleza tu, labda alikusudia ukamilishaji wa maandalizi ya kuanza ujenzi

  • @SimonShoo-m4b
    @SimonShoo-m4b 8 วันที่ผ่านมา

    Burudi ni wapi

  • @Hussein-qq2uy
    @Hussein-qq2uy 8 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi huo mkataba sikubaliani nao kabisa watanzania kwanini hatuna uchungu na nchi yetu kwanini burundi wakati sisi bado tuna maeneo mengi usafiri unahitajika hilo fungu lielekezwe mikoa ya pwani na kusini ikatengeneze reli huko na siyo kuwapelekea watusi watuletee vita kweny nchi yetu

    • @PakatJames
      @PakatJames 7 วันที่ผ่านมา

      We nani hata usipoukubali huu mradi nani ajali😅

    • @huyu1993
      @huyu1993 7 วันที่ผ่านมา

      Who are you? Wewe kama nani?atahukubaliani na mkataba

    • @ShabaniMaulidi-g4w
      @ShabaniMaulidi-g4w 7 วันที่ผ่านมา

      Kaa Kwa Kutulia Wewe Mtu Mmoja usipokubali Fresh to Kazi iendelee

    • @bizomenyimanaelias5455
      @bizomenyimanaelias5455 6 วันที่ผ่านมา

      @@Hussein-qq2uy wew nani upinge mradi wa nchi Mbili

    • @HalfanHemedi-r8z
      @HalfanHemedi-r8z 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      twataka tukaoe waburundi

  • @kassimluqman9255
    @kassimluqman9255 7 วันที่ผ่านมา

    Kusema ukweli baadhi ya warundumi haruamini kama serekali yetu inaweza kujenga SGR labda serekali ya Tanzania isimamiye ipadavyo

  • @WinfridaMihama
    @WinfridaMihama วันที่ผ่านมา

    Ungejiuliza wewe usiyejua la kufanya na nchi maskini, wazungu huja Tanzania kufanya nini tangu zamani tukiwa maskini wa kutupwa na wao wakiwa tayari wameendelea?

  • @MgasaEmanoeli
    @MgasaEmanoeli 7 วันที่ผ่านมา

    Trc ni bora mkajiunga na Congo kuliko Burundi
    Coz Burundi hawana faida yyote ni maskini dunian by GDP na GNI
    Hawana madini yoyote wala malighafi wapo wapo tu wanatusumbua KIGOMA mbwa hao
    In short sijaafiki ni heri mngetengeneza metro train hapa dar

    • @JayJaysb
      @JayJaysb 6 วันที่ผ่านมา

      Kijana kafanye upelelezi vizuri Burundi ina 6% ya ni nickel yote yenye iko duniani na tunaweza tukaichimba myaka 100 ijayo ndio mana tunahitaji reli ili nickel ikichimbwa iingie Dar Bandarini faster

    • @faridamin6383
      @faridamin6383 6 วันที่ผ่านมา

      ​@@JayJaysbhii line ndo itaextend kufika congo kupitia Burundi.

  • @davidalex4844
    @davidalex4844 7 วันที่ผ่านมา

    Hivi kuna nini Burundi, binafsi siafiki uwekezaji huo km taifa tutanufaika na nini kuunganisha reli yetu mpaka Burundi.
    Mikoa ya kusini ambayo inamchango mkubwa sana kwenye uchumi wa nchi hii ni km imesahaulika...
    Kwa nini nguvu hiyo isingewekezwa baini ya Tanzania na Zambia ili kuboresha TAZARA iwe na SGR badala ya SRM ambayo ni ya zamani sana...
    Like serious conecting SGR kwa nchi ambayo haipo stable kwenye usalama wake na majirani zake pia..

    • @omarymkamba3045
      @omarymkamba3045 7 วันที่ผ่านมา

      Uwe unfuatilia kaka reli ya Tazara tayari kuna mkataba umesainiwa kati ya china ,Tanzania Zambia kwa ajili ya kuiboreha iwe ya umeme na kuna mpango wa kujenga reli kutoka mtwara mpaka mbambabay

    • @AmosiTimoteo
      @AmosiTimoteo 7 วันที่ผ่านมา

      Mbona Tazara tayari zamani tu

  • @allymusira2153
    @allymusira2153 8 วันที่ผ่านมา +1

    Safiiiii sana tunataka maendeleo siyo porojo ya siasa za chuki

  • @roberttarimo4956
    @roberttarimo4956 7 วันที่ผ่านมา

    WANAVUKALINI KENYA, kuna nini Burundi??????

    • @JayJaysb
      @JayJaysb 6 วันที่ผ่านมา

      Nickel musongati

  • @sadocklundi5216
    @sadocklundi5216 8 วันที่ผ่านมา +3

    Trillion 5.6 kwa km 282 (Uvinza - Msongati), halafu Trillion 6.3 kwa km 506 (Tabora -Kigoma). Gharama zinataka kuendana lakini Km zinapishana mbali au Dollar imekuwaje ati!

    • @kambamazig02024
      @kambamazig02024 8 วันที่ผ่านมา

      fuzzy maths! Wanapiga!

    • @vkmtaki
      @vkmtaki 8 วันที่ผ่านมา +5

      Landscape ya uvinza msongati ni milima na mabonde watachoronga sana milima

    • @ezekielchengula2228
      @ezekielchengula2228 8 วันที่ผ่านมา +3

      Itakuwa jiografia zinatofautiana sana. Vipande vingine vina structures nyingi ngumu, mfano madaraja, upasuaji milima, nk kuliko ilivyo kwa vipande vingine.

    • @SaidKasomo
      @SaidKasomo 8 วันที่ผ่านมา +2

      Tabora - Mwanza sehemu kubwa ni tambalale lakini ukianza kuelekea Magharibi toka Tabora kuna maeneo mengi ya milima na mabonde kwahivyo madaraja na mahandaki yatahusika sana

    • @jabirhamisi8036
      @jabirhamisi8036 8 วันที่ผ่านมา

      Kwa miezi miwili au?

  • @jabirhamisi8036
    @jabirhamisi8036 8 วันที่ผ่านมา

    Huu ni uhuni kama uhuni mwingine,
    Yaani uhuni wa kudanganya umma reli inakamilika ndani ya miezi miwili?
    Shida yetu TZ amani tumeichoka au ni nini?

    • @fredyjunior6961
      @fredyjunior6961 7 วันที่ผ่านมา

      Kakosea tu. Miaka 2 nola shaka

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 6 วันที่ผ่านมา

      Amekisea kaka msamehe tu.
      Lkn pia hawa ni machawa wa mama

  • @allymusira2153
    @allymusira2153 8 วันที่ผ่านมา +1

    Hongera serikali big up mama

    • @jamalsaid7475
      @jamalsaid7475 8 วันที่ผ่านมา +1

      Tanzania 🇹🇿 leads others follow 😊
      Hongera Mama Rais Samia Suluhu Hassan ❤

    • @jamalsaid7475
      @jamalsaid7475 8 วันที่ผ่านมา +1

      Wa kenya 🇰🇪 Mpo?
      Naona kimya sana!
      Tupeni taarifa tafadhali 😊

  • @jumashedafa
    @jumashedafa 8 วันที่ผ่านมา +1

    Mie nahis kakosea ni miaka miwil...c miez miwil...na kama ni miez miwil labd ni kama kilomita 20

  • @AdamuIbrahimu-e9m
    @AdamuIbrahimu-e9m 7 วันที่ผ่านมา

    Hapo vipi, wapinzani wataweza?. Mama juu zaidi. Miaka5 Tena.

    • @AmosiTimoteo
      @AmosiTimoteo 7 วันที่ผ่านมา

      Hawawezi kabisa

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 5 วันที่ผ่านมา

      Tumechoka kuuzwa